HIZI NDIO SABABU ROLLS ROYS ZINAUZWA BEI MBAYA SANA, ZINA NINI CHA AJABU?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2024
  • КиноКино

Комментарии • 62

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 5 месяцев назад +12

    Diamond aheshimiwe Sana✊🏿✊🏿

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 месяцев назад +19

    Nitabaki na Toyota yangu. Inanipeleka popote Afrika mashariki na kati. Naipenda sana gari yangu. Amen.

    • @OmariNyota
      @OmariNyota 5 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @emmanuelminja3128
      @emmanuelminja3128 5 месяцев назад

      😅😅😅😅😅😅

    • @JumaNdevu
      @JumaNdevu 5 месяцев назад

      Kama huna pesa ndugu yangu ndio utasema weee una toyota alhamdulillaah kuna mwengne anasema nitabak na baskel yangu

    • @user-uh5ms6qe9b
      @user-uh5ms6qe9b 5 месяцев назад

      Nipe gari moja ndugu

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 5 месяцев назад +4

    Yes
    Asante kwa taarifa hii

  • @luckyngumbi4243
    @luckyngumbi4243 4 месяца назад +1

    Haaaa hongela zimfikie kijana wa tz. diamondi platnam 🔥💯

  • @maddog5358
    @maddog5358 Месяц назад

    Asalam alaikum wezagu am swaleh tugume from uganda I love you guys Allah awepe jana mzee napeda sana story book emenfugua macho Sana kuaa mtu tafauti kwa wezanga💪❤❤❤

  • @maleobustz2614
    @maleobustz2614 4 месяца назад +1

    Sikupingi kwa kazi zako 👏

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 5 месяцев назад +4

    Sasa twende kazi❤❤❤❤

  • @deodatuskessy6643
    @deodatuskessy6643 5 месяцев назад

    Amazing work Justin

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 5 месяцев назад +2

    Gari hizi inabidi ununue ili zikusaidie kutumia pesa. Yaani uwe umejipata kwelikweli.

  • @jacksonseverin5670
    @jacksonseverin5670 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri video ya leo balaah

  • @user-yj7pc2is9j
    @user-yj7pc2is9j 5 месяцев назад +1

    Mimi mwanao kinoma nakufatilia sana. Ila hunipi salam, naenda kama OCHUTREND MWONEKANO 😅

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 месяца назад +1

    Tuko pamoja kaka justine shedy

  • @kachongomatano1561
    @kachongomatano1561 5 месяцев назад +1

    Uko juu kaka 🎤 ❤❤

  • @stephanomakoye3497
    @stephanomakoye3497 5 месяцев назад

    Umetisha ❤❤sana

  • @salessliquor9519
    @salessliquor9519 4 месяца назад +1

    Kweli watu wana hela ndugu yangu shedi

  • @GasperDanielkulaya-jf7ct
    @GasperDanielkulaya-jf7ct 5 месяцев назад

    Sasa twende kazi 🔥🔥🔥🔥

  • @hamisimashaka4899
    @hamisimashaka4899 4 месяца назад +1

    Wachezaji wa timu ya taifa ya SAUD ARABIA kila mmoja alipewa zawadi ya Rolly Roys baada ya kuifunga timu ya taifa ya Argentina

    • @michaeljames403
      @michaeljames403 4 месяца назад

      Hao waraabu acha kabisa wana hela hawajui wazifanyie nn.

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 5 месяцев назад +1

    Safii sana

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 5 месяцев назад +1

    Tuko pamoja brother 🎉🎉🎉🎉

  • @kachongomatano1561
    @kachongomatano1561 5 месяцев назад +1

    One love kaka

  • @user-jm4iv1gf1e
    @user-jm4iv1gf1e 4 месяца назад +1

    Eeeeh siyo la kitoto

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d 5 месяцев назад +1

    Wenye uwezo wa kawaida tupambanie tunapopaweza...

  • @newtech_pro
    @newtech_pro 4 месяца назад

    ila bro sio kwa marekani. wao hizo wanatembelea mitaani hizo ghost,cullinan na phantom ni gari za kawaida sana (sio marekani pekee). kwa gharama inatisha Africa na asia basi huko pengine ni gari ya kulala nje tu. WATANZANIA TUTAFUTENI PESA JAMANI

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 месяцев назад

    👍✌️👊.

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 5 месяцев назад +1

    Sasa mbona Daindomo huku kwetu bongo ana Rolls Royce lakini anatukanwa na hata na mbeba taka Mbona hana hadhi hiyo

  • @impixelmusictz3044
    @impixelmusictz3044 5 месяцев назад +1

    Hizi gari zina gharama kubwa

  • @noahayoubameninaendereakubarik
    @noahayoubameninaendereakubarik 4 месяца назад

    Ninandoto ya kumiliki ghali hiyo😊

  • @user-od6dt1yr9o
    @user-od6dt1yr9o 4 месяца назад

    Bado nipo hai sikati tamaa kununua Ishallah.

  • @wenslauseranga2419
    @wenslauseranga2419 4 месяца назад

    Nitanunua yangu one day

  • @jordanmongi
    @jordanmongi 3 месяца назад

    Kwaio Royce ya Mr diamond platnumz alisema gari lake liweje ?

  • @Lucybalele9419
    @Lucybalele9419 5 месяцев назад

    Huhuhu athumani pka sasa ana elfu 18000 anataka kununua roze roze

  • @chrissthegymist
    @chrissthegymist 5 месяцев назад

    Mbona hapa Dubai ziko madukani tena mpia kabixa?

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 5 месяцев назад +1

    Bugatti baba Bugatti ndio inakiburi ningum kuikuta iliyo chini ya dolla milioni kadha na sidhani kama zinafika hata 10 Afrika nzima

  • @sisye1
    @sisye1 5 месяцев назад

    Sasa Ile ya platnumz

  • @AnoldMatei
    @AnoldMatei 2 месяца назад

    Modi kanunua kwa youzd😂😂...awezi nunua jimya

  • @richtarimo4470
    @richtarimo4470 4 месяца назад

    Sasa ikiungua inakuaj

  • @eskalade486
    @eskalade486 5 месяцев назад

    Kuna mfalme alinunua indio zaman akawa anazolea taka wakaenda kumuomba ladh

  • @user-ue9hv1gd7w
    @user-ue9hv1gd7w 4 месяца назад

    Diamond huenda alinunua kwa mtu😅😅😅😅

  • @user-ty8ci5oi9m
    @user-ty8ci5oi9m 4 месяца назад

    Mimi siezi kununua hio pesa hata nikiwa na pesa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 месяцев назад

    Toyota yanachomoka mataili

  • @Kimeii88
    @Kimeii88 4 месяца назад

    Uyu muongo xan

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 5 месяцев назад +2

    Unamaanisha diamond anayo mahela mengi?

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 5 месяцев назад

      Ile mtumba sio custom made

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 5 месяцев назад

      @@Fgldesigns mtumba wa kilometer zero brother? au mtumba ni bure unapewa?

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 5 месяцев назад

      Ndio maana yake siwangekuwa wengi

    • @its_khalidy_46
      @its_khalidy_46 5 месяцев назад +1

      ​@@danielmkama24zero kilometers uliiyona wapi na aliambiwa aoneshe akagoma?

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 5 месяцев назад +2

    Ile ya daimond ni ipi?? Kati ya hizo??

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 5 месяцев назад +3

      Hiyo ni mtumba😂

    • @arafatyhussein
      @arafatyhussein 5 месяцев назад +1

      Inaitwa Rolls Royce Cullinan

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 5 месяцев назад +1

      ​@@benOfficial36anauliza tolea gani sasa yamtumba au mtumba bongo mnaokota bulee kama mondi aliokota nawewe kaokote

  • @aoloathumani10
    @aoloathumani10 5 месяцев назад

    Akili za kuambiwa changanya na zako😠😠