DC UBUNGO AIBUKA SINZA KUKAMATA MADADA POA GESTI NA BAR AKUTA MADUDU, AZIFUNGIA "KAMATA WOTE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim 7 месяцев назад +75

    Unapokataza Kuuza Bangi Anza Na Mkulima Watu Wanakula Hela Za Uma Mabilioni Lakini Mnawapigia Na Salute Jamani Hiiii Nchi Ngumu Sanaaaah

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 7 месяцев назад +8

      Punguza Sauti maana WATASIKIA

    • @marandoruzali1946
      @marandoruzali1946 7 месяцев назад +8

      Ni kweli kabisa mafisadi mnawaacha wanaopora nchi lakini mnadili na watu wa chini kwa kutafuta majina ya kazi zenu

    • @albertmichael4014
      @albertmichael4014 7 месяцев назад +5

      Et amekosa Mambo ya kufanya et anaenda kukamata makahaba, asilimia 90 ya nchi zote wanachangamoto hyo sembuse tz hajafanya hata research akiamka tu anaenda kukamata makahaba

    • @RonnieBertin-f7f
      @RonnieBertin-f7f 7 месяцев назад +4

      @@marandoruzali1946 wanatafuta kiki za kipumbavu

    • @omariKalyango
      @omariKalyango 7 месяцев назад +4

      Kwahiyo ulitaka wale mawe

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 7 месяцев назад +73

    Mi nafikili ni sawa kukamata wale ambao Unawakuta kabsa balabalani wanajiuza lakn sio saw kwenda Gest kushka watu...Mawazo yangu🌄

  • @omarimpogo6895
    @omarimpogo6895 7 месяцев назад +83

    Sas kosa Lao ni nini..!? Munaacha kukamata wala rushwa mnaenda kukamata watu waliojipumzikia zao kwny Nyumba za wageni!!!! Hii si saw

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 7 месяцев назад +6

      Kwaio unataka kusema zinaa iruhusiwe tena na unajina la omari kabisa hivi kama ndugu yako anafanya hivo utakubali au unasema kwasababu huna ndugu hapo

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 7 месяцев назад +1

      Kosa lao wanazingua wanajiuza ni kinyume na sheria za Nchi yetu

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 7 месяцев назад

      du si mchezo yani mpaka sasa bado haujafahamu kosa Lao!

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA 7 месяцев назад

      Punguza ushabki kwenye Mambo ya msingi

    • @danielmbugi1733
      @danielmbugi1733 7 месяцев назад

      Ulisha wai fiki ilo eneo ukaona walivyo.uchiii

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 7 месяцев назад +20

    DC well done, kazi nzur but hao wote uliowakamata warikodi majina yao kisha hakikisha unawapa mtaji wa kueleweka au kazi za kueleweka kuepukana na umaskini, utakua umetisha ssana💪 👏

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 7 месяцев назад +12

    Huyu Dc hafai kuwa kiongozi ipo siku atakuja kufukuswa kazi ww endelea.anashindwa kufanya kazi za maana unakuja kuhangaika na watu wazima.pili unasema wakafanye kazi hiyo kazi umewatafutia.ww Dc hata mshahara hunauwezo wa kuwalipa

    • @justardzelphine6526
      @justardzelphine6526 7 месяцев назад

      DC inawezekana hana kazi ya kufanya

    • @wilbertkemeli8869
      @wilbertkemeli8869 7 месяцев назад

      Yuko sahihi watoto wadogo wanoishi mazingira hayo wanajifunza nn!
      Isitoshe hata watu wazima wanaoishi maeneo yale inakua kelo kwao maana mazingira yao yanayowazunguka yanakua sio ya maadili

    • @andrewmuya7212
      @andrewmuya7212 7 месяцев назад +1

      Kwa nini asipambane na vibaka wanazuri watu usiku

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 месяцев назад

      Masifa tu huyo jamaa fala sana, akawape mishahara yake ili iwe mtaji .Ati anawaambia wenye bar wawadhibiti wadada nje ya bar kwani huo ni wajibu wao kukagua wateja huyo ni mjinga kweli. Afunge hizo biashara alafu kodi alipe yeye

    • @ErickJackson-f6e
      @ErickJackson-f6e 7 месяцев назад +1

      Kweli shida ana taka kuonekana ana fanya kazi 😅😅😅😅

  • @AbdulkarimAisha-ex5kp
    @AbdulkarimAisha-ex5kp 7 месяцев назад +5

    Kazi nzuri sana kiongozi dada zetu waache uzinifu watafute kazi zingine uchumi wa nchi ukue

  • @ankoharunacomputers9709
    @ankoharunacomputers9709 7 месяцев назад +3

    Iwe Sheria ya Nchi mzima. Bravo❤❤❤🎉

  • @beratsanoo5778
    @beratsanoo5778 7 месяцев назад +5

    Kama wewe mwanaume Kweli na unajifanya unachukia sana dhambi nenda kapambane na wanaume wenzako unaowapigia salute kila siku na ni wezi wa pesa za umma,Unakuja kuvimba kwa hawa dagaa,Unautani sana wewe jamaa.

  • @Benjamini-k7d
    @Benjamini-k7d 7 месяцев назад +58

    Wewe naye umekosa kazi unashidwa kero zawanaichi unafanya kazi ambayo siyo sahihi

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 7 месяцев назад +3

      hiyo pia nikero,kazi sahihi ni ipi kama hiyo siyo sahihi?

    • @VictorLyimo-so9xr
      @VictorLyimo-so9xr 7 месяцев назад +3

      Mfano gani unatuonesha tuonyeshe maendeleo

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 месяцев назад +2

      Unapenda uzinifu wewe?

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 7 месяцев назад +1

      ​@@MuhammadHassan-xp6dcSasa kero kuingilia UHURU wa MTU

    • @iddiali8057
      @iddiali8057 7 месяцев назад +2

      Mkuu huna KOSA. Huna makosa, chapa kazi

  • @Rennyanselim
    @Rennyanselim 5 месяцев назад

    Umalaya tu acha yakamatwe, safi sana mkuu na mungu akusimamie 9:48

  • @EliaElibariki-pu9lu
    @EliaElibariki-pu9lu 7 месяцев назад +18

    Uyu DC anatafuta kiki

    • @albertmichael4014
      @albertmichael4014 7 месяцев назад +4

      Adi nashangaa hv huyu elimu alipata wapi, napata waswas

    • @Jacklinejohn7
      @Jacklinejohn7 7 месяцев назад

      Yani makonda ndio kiongoz watu wananyanyasika uko yee yuko bize au anamtafuta hawara wake ndio mana anapita kilakona

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      Kwa nyie mnaojiuza ndio mnaona anatafuta kiki

    • @lilianobed
      @lilianobed 7 месяцев назад

      Ye mwenywe demu wake ni malaya hakuna sehem duniani inakosa makahaba alishindwa makonda utaweza we muone machonyalivyo mtoka km katoka kupuliza kutoka kwenye ukahaba ni neema ya mungu nilikua huko kwa miaka7 mungu ndo kaniokoa Sasa siwalaumu makahaba wanajuwa wenywe changamoto zao za maisha we muone akiuza hujui yalo mkuta

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 7 месяцев назад

      W​@@rumdeesonsoa1811wanunuz hao

  • @paulmutailuka2417
    @paulmutailuka2417 7 месяцев назад +2

    Safi sana mhe. DC Hassan Bomboko, unafanya kazi nzuri classmate wangu. Mungu akubariki sana, Ni kweli kwa sasa maisha yamekuwa magumu sana ila dada zangu ambao mmeamua kufanya biashara hii ni wasihi tu muachane nayo kuna shughuli nyingi sana za kufanya. Unaweza kuanzisha hata biashara yyt ndogo na ukafanikiwa. Mungu awatie nguvu kwakweli.

    • @romualdmadeniromuald525
      @romualdmadeniromuald525 7 месяцев назад

      Biashara bila mitaji

    • @paulmutailuka2417
      @paulmutailuka2417 7 месяцев назад

      @@romualdmadeniromuald525 Kaka inahitaji ubunifu wa hali ya juu ili uweze ku survive ktk maisha haya. Nakubaliana na wewe bila mtaji huwezi kufanya jambo ila naweza nikakupa mfano kdg. Kuna kamsemo kanasema anzia unapo weza mtu anaweza akafanya kujiajili mwenyewe kwa kuanza kufulia nguo watu mwisho wa siku akapata mataji na maisha yakaenda vzr, pia anaweza akaanza kuchoma maandazi na akauza mpka akapata mtaji. Sema siku hizi vjn wengi wamekuwa watumwa wa kufikiri sana. Anasubili mpka apate ajira na siku hizi ajira hamna.

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 7 месяцев назад

      awape ajira sasa

  • @TABAKICOMEDY8972
    @TABAKICOMEDY8972 7 месяцев назад +5

    Mkuu unafanya kazi nzuri sana hongera sema kuna mambo mengi na muhimu zaidi kuliko hili mfano barabara ya ubungo mpk buguruni tunateseka tunakaa kwenye foleni kwanzia saa 6 jion mpk saa mbili tupo kwenye foleni kwa ajili ya maroli kuwa mengi sana ebu anagalia vitu vya msingi zaidi hongera kwa kazi nzuri

    • @lawrenceleonard2007
      @lawrenceleonard2007 7 месяцев назад

      Subiri tu barabara zitakuja tu taraatibu tu tunaanza

    • @LawrenceMseti
      @LawrenceMseti 7 месяцев назад

      ​@@lawrenceleonard2007
      Kinondoni nayo ifanye hii operation hebu njoo eneo la Boko Basihaya ni shida kwa kelele na changu doa.

    • @EstherAndrea-ho3xe
      @EstherAndrea-ho3xe 7 месяцев назад

      Ata luwaha wapo wengi xan

  • @al-bleproshooteur1922
    @al-bleproshooteur1922 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤ kazi nzuri njo congo

  • @EmmanuelNdaki-e7q
    @EmmanuelNdaki-e7q 7 месяцев назад +34

    Mkuu acha waendelee na maisha yao hakuna jipya hapo.

    • @sangajaffar7419
      @sangajaffar7419 7 месяцев назад

      KWA KWELI HIYO KAZI IMEANZA HAJAZALIWA NA YEYE BALEE ALIPONEA HUMO HUMO

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 7 месяцев назад +1

    Safi sanaaaaa kiongozi mkuu wa wilaya"All akupe wepesi"wanazalisha snaaa family

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 7 месяцев назад +8

    Kuna wakat serikali yetu inakuwa kama ina unafki, tunaona kuna wapigaji serikalini mpaka bungeni wanatajwa kwa wizi, wanaachwa eti leo wanajidai wanakatmata dada poa daah! Mungu inusuru nchi yetu.

  • @Almasuoud
    @Almasuoud 7 месяцев назад +2

    Unakuta huyo jamaa aliliwa hela na madada wa hivyo ndoo maana 😂😂

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 7 месяцев назад +9

    Hana kazi DC
    Hana uwezo wa uongozi
    Tengeneza ajira DC
    Haya mambo yalikuwepo tangia enzi ya bwana Yesu
    Ammulize Mzee Makamba

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 7 месяцев назад

      Akuletee ajira nyumbani wakalime

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 7 месяцев назад

      Uvivutu

    • @SabrinaMikidadi-oc5xg
      @SabrinaMikidadi-oc5xg 7 месяцев назад

      Huko ndo wameonaga pa kupatia kiki wakafunge club za masaki huko au kitambaa cheupe kwanini wanafunga vichochoroni tu

    • @SabrinaMikidadi-oc5xg
      @SabrinaMikidadi-oc5xg 7 месяцев назад

      Mbona tip top bado wapo?

  • @Kudus12381
    @Kudus12381 6 месяцев назад

    Kiongoz unadhalilisha wananchi na Taifa kwa ujumla video inaenda mbali sana tafta njia sahihi apo unabomoa haujengiii maisha magum na kaz hawana unawasaidiaje pia tumia tafsida haipendez kuwaita dada zetu malaya alaf ukumbuke MUNGU anakuonaa

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles Месяц назад

      Ww unaonekana huwa unanunua hizo pisii

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 7 месяцев назад +23

    well done DC allah akutie nguvu katika zaid katika majukumu yako.

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 7 месяцев назад +1

      Kwel mungu amlinde kwalipi nawakati tunachaniwa nyavu zetu na vibaka ana hangaika na malaya

    • @Malkia-jv4ct
      @Malkia-jv4ct 7 месяцев назад +1

      ​@@EmmanuelChrispin-bo5xhsindo hapo sasa

  • @hopesumary
    @hopesumary 7 месяцев назад +15

    Wape ajira ss acha kelele🙋

    • @BarakerZeonlist
      @BarakerZeonlist 7 месяцев назад

      ajira ni wewe serikali aiwezi kukufata

    • @ZedMngulwi-gw6nb
      @ZedMngulwi-gw6nb 7 месяцев назад

      Jiajiri wewe

    • @AbrahBuraheze
      @AbrahBuraheze 7 месяцев назад

      😂ko hao tu ndio wapewe hajira kwan tanzania wangapa hawana kazi na hawajiuzi😂😂😂

  • @mdl6463
    @mdl6463 7 месяцев назад +36

    Walikiwepo tangia enzi Dunia inaumbwa 😂😂😂😂😂

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 месяцев назад +5

      Namshangaa sana kazaliwa juzi huyo ndio anajiona anajua sana. Serekali yenyewe iliwashindwa waanzilishi miaka ya zamani na walikua na mitaa yao ndio yeye ataweza mjinga huyo

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 7 месяцев назад

      Mbo​@@leokamil6284mbona mtetea nawewe umo

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 7 месяцев назад

      @@leokamil6284usiombe kwenye familia yenu awepo japo moja ndo utajua hii aibu ipoje

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 7 месяцев назад

      Mpumbavu na mjinga wewe mpenda zinaa mwanaharamu kabisa, kwa hiyo sababu wapo walishindwa hivyo kwa kipindi chake aache sio? Kuchekelea ukahaba ni nisawa na wewe unaetetea pia kahaba au wewe ni mmoja wao unanunuliwa au unanunua? Hawa washenzi wanatuharibia mitaa kwa tabia zao chafu kama sijambo la aibu kwanini wasiuzie watu wa kwao majirani ama mitaa karibu na kwao wakihojiwa hao wote wanatokea mikoani au nje ya mji, ukahaba ni tabia mbovu ya kukemea na sio kukubali kushindwa​@@leokamil6284

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 7 месяцев назад

      ​@@leokamil6284😂😂

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 7 месяцев назад

    Askari wa like ana wivu na madada poa anajua humzibia ridhiki

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 7 месяцев назад +3

    Viongozi wa siku izi wanapenda sana camera kuliko kufanya kazi za maendeleo tengeneza miundombinu ya ajira ndio utatokomeza iyo biashara.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 7 месяцев назад +1

    Sema nini 😅😅😅 hiyo Tandam nimeielewa kama naweza kupata namba yake unitumie mh Dc.

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 7 месяцев назад +26

    sio safi

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 месяцев назад

      Safi mungu anapenda

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 7 месяцев назад

      Kamateni wenzi wauma wanao ibiserikari

  • @jamesonjames4291
    @jamesonjames4291 7 месяцев назад +1

    Huu ni upuuzi na kutaka sifa tu Kwaiyo watu wasiende gest au bar au watupe vitambulisho basi sasa kama mtu upo bar wazingua hivyo ndo nini kama sio sifa nchi hii adi viongozi wanataka kiki yani kama wanajua sana wakakamate wanaokula hela za miradi ya nchi

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 7 месяцев назад +36

    Vitu kama hivi ndio vinafanya serikali igombane na wananchi😂😂

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 месяцев назад +1

      Wee mshenzi tu kwa iyo waachiwe kwa sababu nawe unajiuza

    • @OscarAsukenie
      @OscarAsukenie 7 месяцев назад

      @@Mumewangu unajua mke wangu, ulaya walishindwa wakaamua iwe biashala halali. Vp wana uhakika wa kuwapatia maisha? Maana pale ndo kula kulala yao🤣🤣🤣

    • @InocentPius
      @InocentPius 7 месяцев назад

      Kweli

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 месяцев назад

      @@OscarAsukenie wewe sijui upo katika Dini gani! Manake ukristo uzinifu unapinga na uislam vile vile unapinga halafu wewe unawaunga mkono mungu mwenyewe anapinga alafu wewe unaunga mkono omba msamaha kwa mola wako utaangamia ukipata ukimwi utajuwa .

  • @kemmymartine4884
    @kemmymartine4884 7 месяцев назад

    Amen God bless uu hakika mh

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 7 месяцев назад +3

    Sema siku unaweza ukawa na hata na mke wako guest au mpenzi wako mmeenda kupumzika .alafu operation inakukuta hii ya dc unaweza ukachanganywa na madada poa.kwa mtazamo wangu nipende kuishauri serikali wakamate madada poa wanaowakuta mabarabarani sio ambao wapo kwenye vyumba vya guest

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 7 месяцев назад

    03:53 huyo kijana kashakwishaaa 😂😂😂

  • @dorcasdavid2247
    @dorcasdavid2247 7 месяцев назад +8

    M/Mungu Akusimamie Sn Mkuu,,Umejua kunifurahisha sn.maana ni Aibu sn kwa Jamiii

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 7 месяцев назад

      Aibu ya nn sasa

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 7 месяцев назад

      Haswa ndgu yangu hasa mfano eti unamkuta mtt wa kiume nayeye anachukuliwa kinyume na maumbile subbuhanna llah

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 7 месяцев назад

      Kassimally naww ndyo wale wale nn mtt wa kiume unauliza aibu gani pumbavu weeeee

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 7 месяцев назад +8

    safiiiiiiiii,wanatuletea laaana Mungu anachukia Bali inakuwa ngumu,on do a LA a na muheshimiwa,Hui ndio ma a na ya muheshimiwa,Jes him a ichukue mkondo wake

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      Nafikiri ulikuwa na point nzuri sema ndio ivo mwandiko umekusaliti

    • @liverobby8988
      @liverobby8988 7 месяцев назад +1

      Me nataka nikununue wewe

    • @RaiderTube
      @RaiderTube 7 месяцев назад

      Wewe mwenyewe malaya tu, unakuta unatombwa hapo bikra huna na haujaolewa, au umeolewa unatombwa na michepuko halafu unasema wanaleta laana, biashara hiyo ilikuwepo hata kipindi cha yesu, malaya wewe

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 7 месяцев назад +1

    Nendeni kwa Mwambukusi na Lisu ili wawatetee sababu Chadema ni chama chenu mashoga na makahaba mtatetewa tuu.

  • @RobertNjoroge-dt6yc
    @RobertNjoroge-dt6yc 7 месяцев назад +4

    Umefanya vizuri sana ndio watu waolewe na kuoa jamani tunapoeleke sio nafanya kazi nzuri sana hongera

  • @jimysanga5777
    @jimysanga5777 7 месяцев назад

    DC BIG-UP SANA. TAIFA LINALORUHUSA HAYO LAZIMA LITAVUTA LANA.WALA USKATISHWE TAMAA NA MTU YEYOTE.

  • @beddaathanas3150
    @beddaathanas3150 7 месяцев назад +19

    Hongera sana comred, kazi nzuri sana

    • @frankmahenge5943
      @frankmahenge5943 7 месяцев назад +3

      Angekamata mashoga ingekuwa safii lkn hapo hamna cha ajabu

    • @mandelasamson8401
      @mandelasamson8401 7 месяцев назад

      Uzuri wa kazi hiyo ni ipi, watu wanakero kibao hazishughulikii anahangaika na malaya,malaya hawajawahi kuwa kero popote

  • @MaikoSiria
    @MaikoSiria 7 месяцев назад +1

    uko vizuri sana yani nchi ikiendelea hiv tutafika mbali

  • @malakisilas6523
    @malakisilas6523 7 месяцев назад +7

    Kazi nzuri sana Mkuu wa Wilaya.

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 7 месяцев назад

    Safi sana👏👏👏👏👏

  • @MBANGA_NAME
    @MBANGA_NAME 7 месяцев назад +3

    Tengenezeni mazingira ya ajira, waoneeni huruma wanategemewa, sidhan kama mtu anezakua na uhakika wa maisha na akaamua kuuza nwili,
    Kwa kulinda utu ni sawa, ila ki uhalisia sio sawa,
    Tengenezeni mifumo ya uhakika wa ajira.

  • @RashidiNyamihasi
    @RashidiNyamihasi 7 месяцев назад

    Alhamdulillah huenda. Tanzania ikapata neema kamata wote hao manyang'au

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 7 месяцев назад +5

    Weeeeeh huyu DC hataki mchezo eti,kazi kazi🙏🙏🙏🙏

  • @JoelTumusime
    @JoelTumusime 7 месяцев назад

    Hawa Vijana wanateuliwa kwa miemuko na kazi zao ni za kimiemuko, kwamba wilaya yake haina changamoto tofauti na hizo

  • @esmailesmail4319
    @esmailesmail4319 7 месяцев назад +4

    Nenda dodoma, kamata wa bunge pia

  • @VenanceMsoka
    @VenanceMsoka 6 месяцев назад

    Duuu uyoo sfanfe amemcheki kibonge😅😅

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 7 месяцев назад +10

    Naunga mkono but siungi mkono udharirishaji, msiwaoneshe camera kwa lazima. Ni kinyume na Maadili ya utu. Tumieni vizuri vyeo.

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 7 месяцев назад +3

      Kuonyeshwa kwenye kamala na wanavyo jiweka uchi kipi , kinazalilisha hapo😮

    • @christophernzige3913
      @christophernzige3913 7 месяцев назад +3

      Mbona hawakamati mashoga?

    • @kisinza6077
      @kisinza6077 7 месяцев назад

      @@akidajulius1581 nadhani wewe inamaana Yako, Sasa nilichokisudia na unavyotaka ni tofauti, kwahiyo sikulaumu.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Месяц назад

    Mimi sitetei hawa wasichana. Ila naona kuruhusu mabaa kuuza ulevi hovyo ni chanzo cha kuzidi uchafu wa umalaya. Naomba Serikali iwafungulie wasichana wanaozurura chuo cha kuwafundisha, kushona upishi na kadhalika. Itasaidia sana.

  • @christiancalvin2183
    @christiancalvin2183 7 месяцев назад +22

    Vina mda basii.. Mda si mrefu watarudi na maisha yataendelea kama kawaida

  • @daudkindy8062
    @daudkindy8062 7 месяцев назад +1

    MASHAALLAH KAZI NZUR MKUU

  • @AnnaSamson-ym7tu
    @AnnaSamson-ym7tu 7 месяцев назад +7

    Umekosea DC iyo siyo sawa

    • @Veronicaenos
      @Veronicaenos 7 месяцев назад

      Siyo Sawa nn vp Yan mtu anaweka maadil ww unapinga

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 7 месяцев назад +15

    Mbna hamdili na mashoga wakati yapo kibao huko dar

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 7 месяцев назад

      Ndio nashangaa 🤮🤮

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 7 месяцев назад +1

      Mbona kashasema wanawakamata

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      Hujasikia hapo alichoongea?

    • @daudymlauletv8489
      @daudymlauletv8489 7 месяцев назад +3

      Tuwaone sio tunaona ma dada poa tuyaone mashoga na tuonyeshwe sura zao ili tuwatenge

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 7 месяцев назад

      @@daudymlauletv8489 kabisaaa

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 6 месяцев назад

    Hii moja ya kazi kwa mkuu wa wilaya kuhakikisha jamii zinakuwa na maadili ili vizazi vyetu viwe salama safi sana

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 7 месяцев назад +11

    Huyu
    DC anawalipia kodi hao wamiliki wa lodge? Yaani sasa hv mnaingia mpaka kwenye magesti ,je kama mtu kaenda na mpenzi wake?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 месяцев назад +1

      Kwa sheria gani?.kuna shida chungu nzima za kutatua wamebaki kudhalilisha watu .Je hao wenye gesti wazifunge? .Ningeomba uwape hizo shughuli zingine na mitaji sio ukurupuke tu.Uonevu mtupu acha sifa wewe

    • @MsNajma-e6e
      @MsNajma-e6e 7 месяцев назад +1

      Wanashindwa kukamata wanaotuibia zahabu na haridhi zetu na wanaoiba pesa serekarin wanaenda kukamata watu wanaishi na maisha Yao iyo serekari haijawai kutoa kaz wara pesa hakina misada pesa wanakula wenyewe tu mnakuja kuzaririsha watu na family zao

    • @josephernest155
      @josephernest155 7 месяцев назад +1

      Unaweza lala zako guest huna hili wala lile DCanakuja paaap unajikuta Centro na kwenye video clip mitandaoni unaitwa Kaka Poa😊

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 месяцев назад

      @@josephernest155 Huyo jamaa kakurupuka tu kutafuta umaarufu

    • @selelimaganga6710
      @selelimaganga6710 7 месяцев назад

      Mbaya zaidi sasa ukute alieemda anafamilia yake mnamkamata hawaona wanaweza kuongeza migogoro ktk familia?

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 5 месяцев назад +1

    Biashara ya toka kale iyo watu wasiuze kuma watakula matako au watu wanafamilia zao bhnaaa tunajiuza sana hakuna kuacha na hatukomiii😂😂😂😂 maisha saf kaz nd iyo iyo

  • @shyneafya
    @shyneafya 7 месяцев назад +12

    MUNGU AKUBARIKI SANA MKUU wa Wilaya fanya kwa zamu yako Mungu akusimamie

  • @MwimjumaHamidu
    @MwimjumaHamidu 4 месяца назад

    Wamejaaa mafia jamani safi sana❤

  • @AliAli-m5k9l
    @AliAli-m5k9l 7 месяцев назад +12

    Msirudi nyuma Mungu awabariki iwe kweli wakarime

  • @bensonmlwale
    @bensonmlwale 7 месяцев назад +1

    Mheshimiwa unajaribu kunishangaza unatumia power kubwa kukamata wanawake ,samahani kaka hebu tumia nguvu kubwa kukamata mashoga ,kwani crip gan inayonesha umekamata mashoga ,unafeli bro,niachie inchi hata Kwa dakika 240 uone shughul zangu ,Sasa mheshimiwa u nakamata ambao wanazaa duu kweli nimeamin mashoga wananguvu,boss mtangulize mungu

  • @SaidiMiraji-lk3vm
    @SaidiMiraji-lk3vm 7 месяцев назад +4

    Mko sawa kabisa lakin nashaluli kamela zisitumike kuwacholesha sura zao ina kua sio vizurii kivilee maana naona maisha bado yataendelea na mmeisha wazalilisha

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 месяцев назад +1

      Hii ni sifa za udhalilishaji mtupu. Fungeni kisha Serekali ikose kodi. Hii inakusaidia nini wewe mkuu

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 7 месяцев назад +1

    😂😂😂duh Kuna shangazi hapo nimemuona jamani lkn mnajisumbua vitarudi siku si nyingi

    • @DjMswati
      @DjMswati 7 месяцев назад

      🤣😂

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 7 месяцев назад +10

    Mkamate hata ma kakapoa😂😂😂

  • @melch3097
    @melch3097 7 месяцев назад +2

    Hii sio powa kabisa, nikuwazalilisha tuu, maisha ni magumi, serekali tengeneza ajira kwa vijana, hakuna anaependa kujiuza

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      Basi hata wezi, matapeli na majambazi waruhusiwe maana hata wao ni maisha magumu

    • @nshaijatedy5512
      @nshaijatedy5512 7 месяцев назад

      Umo na singashai na watoto wa chuo wakawemo umo😂

  • @strikerforce4949
    @strikerforce4949 7 месяцев назад +3

    Huyu dogo mkuu wa wilaya hatoboi. Hiyo vita haitakiwi kwenda kwa kukurupuka hivyo. Angeanza kwa kutoa elimu

    • @YaeliJoseph
      @YaeliJoseph 7 месяцев назад

      Mungu atamlinda maana anafanya kazi njema

    • @gracerichard8145
      @gracerichard8145 7 месяцев назад

      Ww unaona sio njema lkn mtaan maisha ni magumu mno watu wamesoma lkn kaz no wanaolewa ndoa nazo changamoto biashara mtu hawez, kweli hii vita ni kubwa ngoja tuone​@@YaeliJoseph

  • @ClementYohana-s1e
    @ClementYohana-s1e 7 месяцев назад

    Safi sana hongera kazi nzuri sana yetu nchi dah wamgumu sana madada poa

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 7 месяцев назад +14

    Tatua tatizo la wafanya biashara,hao wadada wanapunguza ubakaji

    • @israelifissoo2141
      @israelifissoo2141 7 месяцев назад +8

      madhara yake kwa jamii ujajua tu watoto wanaoishi kwenye hiyo mitaa lazima wajifunze hayo mambo ya hovyo

    • @ubunifulifestyle3492
      @ubunifulifestyle3492 7 месяцев назад +2

      ​@@israelifissoo2141wanawake wa siku hizi ndoa na mapenzi kwao biashara, mi naona bora hao wamejitambulisha kuliko wanaojificha chini ya mwanvuli wa ndoa na mahusiano

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 7 месяцев назад

      Mshenz mbwa mweus wewe

    • @official_nansty1896
      @official_nansty1896 7 месяцев назад

      Mifumo ya maisha kwa watoto inaanza kwa wazazi

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      ​@@official_nansty1896Kama wazazi wenyewe ndio hao wanaojiuza je?

  • @josephernest155
    @josephernest155 7 месяцев назад

    KIMENUKA😂😂 MSAKO 😊 HUYO JAMAA ALIYEKAMATWA INAWEZEKANA ALIAGA KWA MKEWE ANAENDA SAFARI KIKAZI😮 NI BONGE LA MSALA.

  • @EmmanuelNdaki-e7q
    @EmmanuelNdaki-e7q 7 месяцев назад +10

    Jamani shughulikieni mambo ya miundo mbinu wala hiyo cyo ishu ht kama mkiwakamata haitasaidia kitu.

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 7 месяцев назад +1

      Msenge wewe kajiuzie poroni huko nguruwe mweusi wewe

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 7 месяцев назад +1

      Kuna dada yako anajiuza au mbona unatetea

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 7 месяцев назад +1

      Kumbe ww n mmoja wao

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад +1

      Kwann unatetea utovu wa maadili?

  • @ShabaniNuru-o1y
    @ShabaniNuru-o1y 7 месяцев назад

    Safi sana DC lakini mimi nashauri wanunuaji ndo muhimu zaidi wakanatwe na wakikamatwa waonyeshwe live kwenye ma tv na wawekwe front page ktk magazeti ...tutakuwa tumefanikiwa wanunuaji tusipoenda hawatajiuza

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      Wote wanatakiwa wakamatwe. Maana bila wauzaji wanunuaji hawatakuwepo pia

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 7 месяцев назад +6

    Mkaifunge lamada

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 7 месяцев назад

    Mungu Atujibu tumelia sana Mbarikiwe viongozi

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 7 месяцев назад +4

    Daa uo mshangazi huna nyama za kwenda daa

    • @MigomgoMigali-ky1jl
      @MigomgoMigali-ky1jl 7 месяцев назад +1

      Daaha mwanangu nimeutamani kinyama

    • @Fantastic.-gm1eo
      @Fantastic.-gm1eo 7 месяцев назад

      ​@@MigomgoMigali-ky1jl kweli babu toto jeupe nyama za kutosha lazima nikalitafute hapo sinza

  • @ChristopherMwijonge
    @ChristopherMwijonge 7 месяцев назад

    At si poa😂😂😂😂 tengeneza ajila.DC

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 7 месяцев назад +4

    Ubakaji utaongezeka

    • @idrisamngagi284
      @idrisamngagi284 7 месяцев назад +1

      Bora . Ili wajue umuhimu wa chumvi kwenye chakula

    • @azizasaleh6624
      @azizasaleh6624 7 месяцев назад

      Kwaiyo we unaona aki kufanya uchafu safisana

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      Mbona wanaobaka huwa ni watu wenye wake zao? Tofautisha nyege na ushirikina

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 7 месяцев назад

      Mbona hamkati wabakaji

  • @kerryrummy633
    @kerryrummy633 7 месяцев назад

    Aaaah kumamamke wasingenikamata mm uzalilishaji tu wakijinsia

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 7 месяцев назад +6

    Mungu awatangulie ila kuna wapumbavu watakuja kuwakatisha juhudi hizi

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 7 месяцев назад

      Kweli kk kuna baadhi ya watu hawana akili alafu wanalalamika kuwa viongozi hawafuatilii

    • @frankmahenge5943
      @frankmahenge5943 7 месяцев назад

      Mbona msako wa mashoga hatusikii

    • @chrismkama4889
      @chrismkama4889 7 месяцев назад

      Iyo kazi ni kazi ya kitabia.kukomesha tabia ya mtu aliyeshikwa na mapepo si kazi nguvu za kimwili ni kazi ya neno la Mungu liumbe upya Roho na mhusika akubali kumpokea Mungu.Shida kubwa Wanawake ni wengi Duniani kuliko Wanaume, ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira ni chanzo cha hayo.tatu wakuu ndo wanaongoza kununua maana masikini anawaza mlo wa siku apateje. MAHAKAMA ITATAFASIRI SHERIA KWA USHAHIDI.SWALI WATAKALOULIZWA UPANDE WA SERIKALI NI KWAMBA WAMEWAFUMANIA WAKIFANYA IYO BIASHARA? KUNA MASWALI MENGI HAPO.NAFIKIRI MNGEWAPELEKA KWA VIONGOZI WA DINI NGUVU YA NENO LA MUNGU INGEWABADILISHA MAISHA YAO.KUNA MAHALI PAMEANDIKWA MAKAHABA WATAWATANGULIA KUONA UFALME WA MUNGU.

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 7 месяцев назад +1

    Sijapenda hata kdg!! ndg DC huu ni udhalilishaji mkubwa! biashara hyo haijaanza leo wala auwezi kuimaliza ni misifa tu!😣

  • @icesue6613
    @icesue6613 7 месяцев назад +12

    Ajira hakuna, Hilo zoezi hutoliweza.

    • @shaban6644
      @shaban6644 7 месяцев назад +1

      Kwa hiyo ndo Ajira Mpuuzi wewe.

  • @JumaYusuphu-ek1dn
    @JumaYusuphu-ek1dn 7 месяцев назад

    Nimeipendasana iyo hongera ds isiishie kata yaubungotu maana nimbaya sanaiyo

  • @HusseinKalamba
    @HusseinKalamba 7 месяцев назад +14

    Hilo limshangazi veep limenona kinoma

  • @TwahaRashid
    @TwahaRashid 7 месяцев назад +2

    Safi sana mheshimiwa Yani umenifurahisha sana , na huku kwetu tunakerwa na aibu hii,

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 7 месяцев назад +4

    haki za binadamu nafaragha mbona hamlioni hili uyu msenge aende RAMADA HOTEL

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 7 месяцев назад

    Safi sana kilicho fanyika nijambo jema sana. Niulize swali kuna watu wana kula ela za uma na wana pingiwa ving'ola nk hao wanakiuka sheria au vipi, mkitaka wananchi wawa elewe kamateni waujumu uchumi wanao firisi taifa mapolomoko ya maadili ni mengi sana ufisadi, kuto tosheka, wizi, ubanafsi, kwasasa tuna itaji shelia iwena nguvu pande zote

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 7 месяцев назад +3

    Nimefurahi sanaaa jamani hongeraaaaaa sanaaaaaaaaa

  • @RichardSikana
    @RichardSikana 7 месяцев назад

    are you going to jail them😂

  • @AlyMohd-yp1xe
    @AlyMohd-yp1xe 7 месяцев назад +10

    Tufuta ela ww wacha ushamba

  • @salafitvsalafitv910
    @salafitvsalafitv910 7 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @TahilaRamadhan-hz3pd
    @TahilaRamadhan-hz3pd 7 месяцев назад +3

    Ubarikiwe sana mkuu🎉🎉

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 7 месяцев назад

    Ukifuatilia vizuri hapa kuna uvunjaji wa sheria kidogo na pia unawapeleka mahakamani unawashtaki kwa sheria ipi mheshimiwa DC hilo linahitaji sera na sheria kwanza KUTENGENEZA foundation nzuri hivi kesho utawakuta tena hapo bado mno kaka

  • @elieneapalangyo6938
    @elieneapalangyo6938 7 месяцев назад +10

    Hao wanapunguza ubagaji

  • @GreciousMolleli
    @GreciousMolleli 7 месяцев назад

    Sasa wanajifichaa nini wakati wanauzaa Jamani hawa madada😢😢😢😢😢😢

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 месяцев назад +4

    Njo arusha shivaz

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 7 месяцев назад +1

      Hahaha balaa hapo nlienda kuna balaa zito

    • @chuchufplatnumz4888
      @chuchufplatnumz4888 7 месяцев назад

      Shivangaaaaaa. Ofisiniiiii

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 7 месяцев назад

      Hata shivas wanatakiwa wachukuliwe hatua

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 7 месяцев назад

      @@rumdeesonsoa1811 kabisa wako wazi sana mpk utadhan hakuna serekali

    • @humphreyfungo7669
      @humphreyfungo7669 7 месяцев назад

      Makonda komesha hii biashara Arusha shivaz na kote

  • @alfeshhassan4181
    @alfeshhassan4181 7 месяцев назад

    Kazi nzur masha allah❤❤

  • @IssaHaji-q2c
    @IssaHaji-q2c 5 месяцев назад

    ume fanya jambo zuri hongera baba

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 7 месяцев назад +1

    Waachen tu shuhuri ya kutinduliwa kwa siku mara 3 had 4 so poa maisha magum kifupi hao wako kazin tra wakae nao wawape taratibu za kod bas maisha yaendelee ela yao no ya moto sana wanaifanyia kazi kweli Au mnataka wakaibe

  • @DanielJoseph-u5f
    @DanielJoseph-u5f 7 месяцев назад

    sema hao madada wako vizuri hakuna derivary mniletee 😎😎😎😎

  • @frankmichael1968
    @frankmichael1968 7 месяцев назад

    Mungu atunusuru tu ila hawa wadada wanapitia magumu sana
    Sometimes maisha huwa ni makatili sana...ila mungu ni wetu sote

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 7 месяцев назад

    Saf sana mkuu, inauma sana kwa mzaz anaona mwanaye ni miongon Mwao

  • @JaphetSarawa-ch2qd
    @JaphetSarawa-ch2qd 7 месяцев назад

    Nzriii sana hyo