TAMATI; MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII WAKUTANA JUKWAANI, HOJA ZA KILA UPANDE ZALINDIMA, JIFUNZE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 19

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail 3 месяца назад +5

    Wakristo elimu hawana dini hawana kelele tu wanapiga hawajui kundisha wanababaisha tu

    • @RobertshijaMakumi
      @RobertshijaMakumi 2 месяца назад

      Hawatoi hoja au?

    • @Egline-x3k
      @Egline-x3k Месяц назад

      Wewe umefanya nini na huyo Mohamed,umepony kiwete au ata headache😂😂😂😂, gospel is foolish to those who don't know,okoka baba🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 3 месяца назад

    Akuna sauti

  • @sadiqkivunjor5698
    @sadiqkivunjor5698 2 месяца назад +1

    Ukristo ni upagani maana hata yesu awatambui

    • @vyaduoj
      @vyaduoj 2 месяца назад

      @@sadiqkivunjor5698 wewe jifanye ahumuelewi dasha hipo siku utamuelewa bila sauti yake tena

    • @salangtvone
      @salangtvone 2 месяца назад +1

      babu yake muhamad alikua mfuasi wa nani kabla ya muhamad kuzaliwa

    • @myself4128
      @myself4128 2 месяца назад +1

      Hakuna Upagani Zaidi ya Uislam,kwanza Mtume wenu kalelewa katika Upagani na wazazi wake wako Kuzimu,Hakuna sehemu Quran inatuonesha Anasilim,Mnaabudu kuelekea Lilipo Jiwe Jeusi Mnaenda Hijra kuramba Jiwe kuna Upagani zaidi ya huo?mnaenda Kutembelea kaburi la Mtume???Mnaabudu Mungu kea Kiarabu?wapi aliwaambiafajye Hivyo????

    • @100kidso
      @100kidso 2 месяца назад

      @@salangtvone swali nzuri

  • @swedially2227
    @swedially2227 2 месяца назад +2

    Yani mbona hili pambano rahisi sana ila waislam wabishi tu, mashekh100 vs 1pastor😂😂.. kwanza washakubari yesu ni kristo na ni nabii alietumwa na Mungu sasa hapo wanabishana nn?

  • @Egline-x3k
    @Egline-x3k Месяц назад

    Hawa watu wakiomba hawafungi macho😂😂😂😂😂😂😂😂😂, that's why they're blind spiritually 🙏🏼🙏🏼

  • @BahoAsuman
    @BahoAsuman 2 месяца назад

    Wa haziri waki isilamu nimakomedi wamesomeya komedi

    • @haibazinjibari3020
      @haibazinjibari3020 2 месяца назад

      @@BahoAsuman kama vote ivo hujauwona ukweli hapo ndugu ww utakuwa huna ufaham mzuri

  • @thomangwanyama7122
    @thomangwanyama7122 2 месяца назад

    Sasa nyinyi wakristo musichoelewa hapo nini mbona jibu munalo sema munalazimisha Naona moto munaulazimisha aya bana tuonane mbinguni

  • @elicanamurunga
    @elicanamurunga 2 месяца назад

    😂😂😂😂 ndacha nataman kuw kwa mkutano wako hata siku moja tu nitasaidika sana

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 2 месяца назад

    Siiku tatu tu hazitoshi. Wekeni angalau wiki 3 kama Paulo

  • @JordanRichard-s2d
    @JordanRichard-s2d 3 месяца назад

    Ndacha ni kiboko.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 месяца назад +1

      Kiboko wa kutumia maneno ya vitabu ambavyo havikubaliki ktk dini au vipi?! Bingwa kuweka viraka na kuruka aya zinazompiga yeye mwenyewe 😂😂😂😂

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 месяца назад

      ​@@rayisadesigns2646😂😂