Ww wapoteza kumbukumbu Wkt zama za watu wasiojulikana Wngp wamepotea na yy akiwa mkuu wa mkoa dar je aliwalinda? Lisu alitoa taarfa zakufuatliwa mara ngp Had kashambuliwa Mbaya zaid lisu kamtaja wA kua ndie aliongoza ule uharamia Mkiongea muangalie na ya nyma
Mimi sio mwana ccm Wala chadema . Ila sio Siri Tz ipo siku mungu atasikia kilio chetu. Niswala la mda.... Ila kumbukeni Kila nafsi itaonja mauti...hata nyie mnaofura mda utafika sahii kitenge unajuwa......
Na kipnd cha magu ndio kuliibuka watu wasojulikana Wakapewa jukumu la kupga watu risas kuteka Watu ilikua style ya utawala Mait ziliokotwa nyng kwny vroba
Tanzania ukitka uwe kiongozi Bora razma uwe fisadi ty ndo utaishi vzr ila tatizo wataliwa wake hawana elim hatujuwi hk zetu Kenya sisi wametuzid elim ndomana wakismamia jambo wanafanikisha kwakuwa Wana elim yan wasoma 😂😂
Mungu ndie anajua makonda Yuko wap na huko aliko mungu Yuko nae poppte alipo
😂😂😂 ila kitenge bhana
Aisee Noma saana
Kama mwenyewe aliishasema anatafutwa 24/7 ni hatua gani zilichukuliwa kumlinda???
Q
Ww wapoteza kumbukumbu
Wkt zama za watu wasiojulikana
Wngp wamepotea na yy akiwa mkuu wa mkoa dar je aliwalinda?
Lisu alitoa taarfa zakufuatliwa mara ngp
Had kashambuliwa
Mbaya zaid lisu kamtaja wA kua ndie aliongoza ule uharamia
Mkiongea muangalie na ya nyma
na pia ameshasema mwenyewe kwamba analindwa na mungu... kwahiyo hamna mjadala hapo
Wewe nan anakulinda
@@mokhimji yaani ulivyochukuliwa na Dunia mpaka unasahau ulinzi wa mungu ndugu daaah
Mama Makonda yuko wapi mbona umekaa kimya ..😭😭
😮😮
Hajui nayeye kasema mama ake mzazi
Mungundiyokilakitu. Kamakampanga makonda aishi miaka 100 ataishi binaadam hawezi kushindana na Mungu. Kama hajapanga basi hawezifika. Kwani ulichopangiwa ndichoutakachokipata binaadam tusij8danganye utamchukiamtu. Utakavyo munguakipanga asifehafi. asife kipindiww unataka hafi. ❤❤nakupenda Allah. Kunufayakunu
Mungu yupo nae😍 na anawaona wammpangiae maovu,❤❤❤❤ Makonda
Karibu sana kiongozi wetu mungu amesikia kilio chngu
SERIKALIII HIIIIII HIIIIIIII
Yupo wala hafi huyo kusudi halijatimia,popote alipo mtamtoa tu.
Hahahaha 🤣🤣🤣 ila kitenge Wewe Jamaa Dah! Saluti you bro
Likizo gani hajafikisha hata miezi miwili kwenye ukuu wa mkoa?
Mh wahuni wamesha aribu mambo yani. alisema mapema kuwa anafatiriwa
Tz jau viongozi hao hao wabakaji dah😢
Ivi Magu walisemaje..!? Wakaongezea anatusalimia sana😂😂
Makonda naye Ni mtu....mungu simamiaaa
Mimi sio mwana ccm Wala chadema . Ila sio Siri Tz ipo siku mungu atasikia kilio chetu. Niswala la mda.... Ila kumbukeni Kila nafsi itaonja mauti...hata nyie mnaofura mda utafika sahii kitenge unajuwa......
Nabii Issa alishasema anaetumia upanga atakufa kwa upanga lakini Mungu si Athumani amsamehe na kumsaidia kijana wetu.
Mama samia makonda yokowapi
Makonda nitu mwema Kwa watamzani zaidi sana Arusha mama ulituletea makonda Arusha tuambie yuwapi?😂😂
Ndugu wa makonda mko kimya
Hayo tuwaachie wao CCM
Tunatamani tujue alipo kwanini serikali isiseme ukweli
Wasafi rekebishen iyo screen iso fanya kaz bhan iii , wasafi media kubwa mzee saa ati screen haifanyi kaz em rekebishen bas
Sasa ww unasikiliz hbr au una angalia screen acha umbea😂
❤
Watu na maneno eti mmemtafuta Ikulu...he is on Training there
Yani ata raisi yupo kimyaaa2 hawasemi makonda wetu alipp😭😭😭
Iyo likizoooooo yake inaisha liniiiiiiiiii jamaniiiii
😢
Ivi kwanin hamsemi yupo wap
Taalfa za makonda zitatoka baada ya Simba na yanga kucheza mechi Yao
Kitenge acha unafiki atama
Wali fanya hivyo kwa Magufuri tena chini ya mama kipi kitakuwa kigeni utawala huu ulitakiwa tuubadilishe
Na kipnd cha magu ndio kuliibuka watu wasojulikana
Wakapewa jukumu la kupga watu risas kuteka Watu ilikua style ya utawala
Mait ziliokotwa nyng kwny vroba
Sasa Kwa Nini viongozi hawasemi Yuko wapi
Makonda nae ni mtu wa drama sana bwaaa aaggghhh!!!
Shida kubwa yetu sisi watanzania uoga tumeweka mbali sasa tuchat humu Kisha tukalare
Makonda kipenzi chawengi onekana uliko
Hizo ni drama ili kupotezea issues
Ngoja tuone
Tangu kitambo kitenge umpendi hapo umefurai
Kitenge kafulahi hatar
Kha atari
yukowapi mwamba
Tanzania ukitka uwe kiongozi Bora razma uwe fisadi ty ndo utaishi vzr ila tatizo wataliwa wake hawana elim hatujuwi hk zetu Kenya sisi wametuzid elim ndomana wakismamia jambo wanafanikisha kwakuwa Wana elim yan wasoma 😂😂
Nyie wadhulumaji wajinga naona kama vile munafurahia lakini mutafurahii tu bure maan udhulumaji mutaacha
Labda amefitwa
Amina vikoba ageuka mwanafunzi wa from 4 ruclips.net/video/I3UpyLugl5Y/видео.htmlsi=EU4WHbWnfU4Ie8pz
Kua na akili kama kuku utaerewa sio kurewa ...+. =∆ •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• jogoo ndie anaejua namna kumpanda mtetea 😂
Tanzia 🤮🤮🤮🤮🤮
You guys are ridiculous; it’s not even funny like you’re pretending it to be.
Tangu kitambo kitenge umpendi hapo umefurai
AMPENDI KAMFANYA NINI? KITENGE ANASOMA MAGAZETI KOSA LAKE NINI?
Hayo tuwaachie wao CCM
Waachien lakin yanajenga mazoea ipo siku