KUSAGA AMKATAA MBOWE “MIMI SIYO CCM, WATANZANIA TUWE WABINAFSI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 96

  • @HenryKimaro
    @HenryKimaro 11 дней назад +6

    Mbona hakuna maneno ya kumkataa Mbowe acha uchwa wako ama na ww ni kspuku big up Kusaga una Akili

    • @solomtz7049
      @solomtz7049 11 дней назад +1

      Sasa hawa wanaanza kufanya utumbo kama viombo vya habari vingine…. Kichwa cha habari na maongezi tofauti

  • @SharaMan-yn9px
    @SharaMan-yn9px 11 дней назад +8

    Uko vizuri Boss kusaga

  • @IshmaelLuyagaza
    @IshmaelLuyagaza 11 дней назад +12

    Kudos Kusaga, well-spoken words !!!!!

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 11 дней назад +6

    KUMBE KUSAGA NI MWANAUME WA KWELI ANATEMA MADINI TU SAFI❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 11 дней назад +7

    Hongera sana brother 🤝

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 11 дней назад +1

    Genius, royal people do speak fact

  • @stenobway3602
    @stenobway3602 11 дней назад +3

    My mentor ❤❤❤

  • @KapingaAjuaye-es7fq
    @KapingaAjuaye-es7fq 11 дней назад +2

    Kuna level ukifika hautak8wi kuwa na upande big up bro

  • @TheKinyago
    @TheKinyago 11 дней назад

    Brilliant!!!

  • @emmanuelfundi7486
    @emmanuelfundi7486 11 дней назад +4

    Safi sana ❤🎉

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 11 дней назад

    Boss Jo
    Salute sanaaaaa

  • @benedictomahombo
    @benedictomahombo 11 дней назад +2

    Big minded person🎉

  • @ernestkirigitik9448
    @ernestkirigitik9448 11 дней назад +4

    Nice big J

  • @BarakaCKimambo
    @BarakaCKimambo 10 дней назад

    Safi sana bwana Kussaga

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO 11 дней назад +5

    Unajtambua saana mzee good

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 11 дней назад +6

    Huyu jamaa akili kubwa.hajaongea kichawa kama vyombo vingine

  • @LovenessLusiani
    @LovenessLusiani 11 дней назад +5

    WELL SAID BOSS

  • @KhamisFeysal
    @KhamisFeysal 11 дней назад +1

    Chadema sio chama cha wananchi wote hata ccm sio chama cha wanachi wote

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 11 дней назад +11

    Afadhali ww hujipendekezi na ccm moja kwamoja

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 11 дней назад +1

    True,Kusaga.

  • @VladimirNtuli
    @VladimirNtuli 11 дней назад +9

    Dah kusagaaaaaaaaaaaa miaka bukuuuuu mjombaaaaa

  • @BahatiMayombo-k7m
    @BahatiMayombo-k7m 11 дней назад +8

    Huyu bwana mtulivu sana wa fikra

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 11 дней назад +6

    Afadhali yako unaongea point.

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 11 дней назад +5

    Kusaga asante sana

  • @HamzaOmary-r6u
    @HamzaOmary-r6u 11 дней назад

    Big up sana

  • @hamadyndembo3366
    @hamadyndembo3366 11 дней назад

    Big joe❤

  • @SilverYanga
    @SilverYanga 11 дней назад +2

    Big brain 🧠

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 11 дней назад

    Well said

  • @AsiaShaban-zz4yr
    @AsiaShaban-zz4yr 11 дней назад

    Kusaga na kukomboa big up Mzee

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 11 дней назад +5

    Tatizo Mzee wagu sio kupiga kuratu Kura tunapiga lakini kama utakumbuka kauli ya nape anasema inategemea na nani anatangaza matokeo ukisha tangaza sio baadae unaomba radhi kwaiyo hakuna haki yakutambuliwa Kura nibosheni

  • @ibraagwanda4683
    @ibraagwanda4683 11 дней назад +2

    Joe kaongea vizuri sana,tatizo ni kichwa cha habari,poor journalism.

  • @GKukuz
    @GKukuz 11 дней назад

    Una uchungu na taifa na unatamani sana vijana wapate akili ya kujisimamia na kutokua chawa maana hii husabasha kukosa haki zao za kiuzarendo...
    Hiii ni kwa mtu yeyote anayelipa kodi (VAT) kwa haki. Corporate tax na tax zozote zile zinauma sana pale unapoona hazifanyi kazi sawa sawa.. big up i promise, ntajifunza mengi kutoka kwako

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 11 дней назад +2

    Big up kaka

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 11 дней назад

    KAJIVUWA😊

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 11 дней назад +3

    Uko sawa nimependa, ongereni sana cloud na Azam UTV mmefanya kitu Cha mahana sana, nimependa sana nimeshangaa TBC kutokuonyesha mkutano wa chadema.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 11 дней назад +1

      @@josiacharles2778 Clouds Biashara na Azam Tbc Serikali ya ccm hsya kazi kwako

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 10 дней назад

      @margarethpolepole7438 ni kutokujitambua tu Kwa serikali usika, TBC ni lawananchi wa Tz na chadema ni chama cha siasa ndani yake wapo ao ao wananchi wa Tz wanaolipa Kodi, wanakosea

  • @hashimmziray7416
    @hashimmziray7416 10 дней назад

    #akili kubwa Kusaga #5tena kwako na vyombo vyote vya habari vilivyo chini yako

  • @denisJoel-v7i
    @denisJoel-v7i 11 дней назад

    Safi sana tajr akil ming

  • @johnmbitiyaza1254
    @johnmbitiyaza1254 11 дней назад +1

    Akili kubwa sana.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 11 дней назад +6

    Mimi ni chadema mbowe akishinda nahamia act maana kipindi magufuli na lisu Mimi nilikuwa wakala madhaifu ya mwenyeki tuliyaona tulilazimishwa kusain na police huku ccm wamepigwa kwenye sanduku

    • @solomtz7049
      @solomtz7049 11 дней назад

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @nadirdoody7955
    @nadirdoody7955 11 дней назад +2

    Amen anen

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 11 дней назад

    Les go guys and don’t forget to vote for opposition

  • @paulbernard7135
    @paulbernard7135 10 дней назад

    Kusaga IQ is very higher than an ability of an individual who’s applying his mental and physical abilities in his daily life routine.

  • @Pweza
    @Pweza 11 дней назад +7

    Hii kauli ya mmiliki wa chombo cha habari afungamani na chama chochote kile ...hii inatafsiri ya wazi kuwa diamond na Alikiba sio wamiliki wa radio station

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 11 дней назад

      Wamealikwa lkn🤔🤔

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 11 дней назад

      @@josephkiwale374umemjibu vizuri sana hata hafikirii anachokiongea mbona huyu yupo hapa chadema? Pili wale anaosema si wamiliki anatakiwa ajue kuwa ni wafanyabiashara na lazima wasapoti sehemu ambayo itawalinda kibiashara zao

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 11 дней назад

      Gud

    • @MohamedMohamed-b9w9k
      @MohamedMohamed-b9w9k 11 дней назад

      Kila mtu na uamuz wake

    • @japhetkyarukambaaristides8698
      @japhetkyarukambaaristides8698 11 дней назад

      😂😂😂

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 11 дней назад +2

    Unajuwa sn

  • @EmmanuelMassawe-c5g
    @EmmanuelMassawe-c5g 11 дней назад +1

    Kwamaneno hayo Sina chakusema

  • @ndeziboysanga
    @ndeziboysanga 11 дней назад +2

    hamia kwalisu kaka nimekuelewa mbowe kasongo lisuuuu

  • @kalumunakalumuna7403
    @kalumunakalumuna7403 11 дней назад +3

    Kusaga Yuko vzr

  • @reganleonce4731
    @reganleonce4731 9 дней назад

    Ila all in all ni chama chamapinduz sisi kama Tim ya mamayetu mi5 tena

  • @samdellaworld5334
    @samdellaworld5334 11 дней назад +3

    Akili kubwa hii.!!!!!🎉

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 11 дней назад

    Safisan

  • @helenpeter396
    @helenpeter396 11 дней назад +1

    Huyu Ana Kauchadema Ndani yake... Ni vile hataki kunyoosha maelezo... Wakubwa tuu ndo tunamuelewa

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 11 дней назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 11 дней назад +1

    We kijana au madala?

  • @SimonSimon-q3q
    @SimonSimon-q3q 11 дней назад

    Ukovizuri kaka

  • @Abdujumbem3
    @Abdujumbem3 11 дней назад +1

    IQ KUBWA SANA

  • @SamweliStephano-f3e
    @SamweliStephano-f3e 11 дней назад

    Why waandishi wake wa Habari aliowaajiri wanafungamana na vyama hali ikiwa haitakiwi

  • @khalidikaghembe1775
    @khalidikaghembe1775 11 дней назад

    Nyie vyombo vya habari mmetuumiza sana vyombo vingi no uchawa tu umewajaa

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 11 дней назад +1

    Nenda kapige kura wwee waachie cdm yao

  • @mitingopromoterstz
    @mitingopromoterstz 11 дней назад +1

    Og kabsa

  • @franciscojohn5751
    @franciscojohn5751 11 дней назад +1

    Saf kaka

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 11 дней назад +2

    Simuamini huyu

  • @GwessoEdwinGwesso
    @GwessoEdwinGwesso 11 дней назад +1

    Tajir asie mnafk na chawa

  • @igulug5450
    @igulug5450 11 дней назад +3

    Amevurungwa msamehe bule tu

  • @catherineangel2529
    @catherineangel2529 11 дней назад

    Kula unapigaaa unamchagua mtu anaefaa wanamtangaz asie faa kokunahaja ya kupiga

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 11 дней назад +1

    Nakukubali

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 11 дней назад

    Watanzania tuwe wabinafsi kivipi kuma nyie

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 11 дней назад

    Uyu chadema sema kule wanafosiwa

  • @Freeedom-e4h
    @Freeedom-e4h 11 дней назад +1

    Sio watanzania sema watanganyika jina lenu hamlitaki

    • @AbubakariHamissi
      @AbubakariHamissi 11 дней назад

      shida hujui hata asili yako, shule kwenu tatizo

    • @nuhumwikwabe2647
      @nuhumwikwabe2647 11 дней назад

      Bila Tanganyika mtaishi vipi na kisiwa chenu mtakufa vibaya na njaa ,maisha yenu yanategemea Tanganyika

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 дней назад

    Hiyo Club siyo yake ilikuwa ya Baba yake mimi ni mkongwe nafamu kila kitu

    • @raulianraphael6853
      @raulianraphael6853 11 дней назад

      Baada ya baba ake mdimamizi n nan tuambie we unaejua kila kitu

  • @Hkilave
    @Hkilave 11 дней назад

    Mbowe siyo wa mchezo mchezo hana shida ndogondogo

  • @Freeedom-e4h
    @Freeedom-e4h 11 дней назад

    Kura haifanyi kazi bali kukiza watu

  • @PolycapySilayo-g9w
    @PolycapySilayo-g9w 11 дней назад

    😂

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 11 дней назад

    wewe ccm bwana Ila unaipenda chadema

  • @PastorMwapololo
    @PastorMwapololo 11 дней назад +1

    Mbona chadema uyu kbs ana mzuga nani sasa wewe nyooka tuusizunguke bt tuna kuamini sana ila ukisimama upande wako ndipo utakua huru zaidi