Hapo max hayupo yanga ya sasa huwezi jua unamkaba nani mzize anakuwa beki ,pacome anarudi kuwa kipa sasa hapo jobu kapanda kuwa mshambuliaji huwezi kuelewa ueleke e wapi
@@taseleli9181 jemedar anasibitisha tabia za makolo wengi uwa ni mashabiki wa timu sio mpira mwenyewe kucheza mpira anajiona mchambuzi lakn Bado anatumika kuichafua timu Moja ndo mikia mlivyo hamuamini katika kutengeneza timu iwe Bora uwanjani mnasajili wachambuzi uchwala kuisema yanga nakuichafua ila vikombe tunabeba nakuwakanda tunawakanda hamtuwez nnje ndani mbinu zenu kwetu zilipendwa
Hapo max hayupo yanga ya sasa huwezi jua unamkaba nani mzize anakuwa beki ,pacome anarudi kuwa kipa sasa hapo jobu kapanda kuwa mshambuliaji huwezi kuelewa ueleke e wapi
siyo max tu, umemuacha chama na Musonda, achana na akina Faridi, Mkude na wengine.
Endeleeeni kujitekenya maji na mafuta hayawezi kukaaa pamoja😂😂😂😂😂
Tumewapiga kwasababu ya maneno ya mtenje arubano
Mtenje nae afukuzwe na issa mbuzi wamewadanganya mashabiki wao
Kocha kaambiwa kma kuna njia ya kupita tafuta ufike kwako ila sio kambini😂😂😂😂
Daaaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasenge nyie mnadhalilika kisa GSM awape hela
Nyie wenyewe wasenge tushawadhalilisha mara kibao Tano mbili Moja na pesa hatujawapa vp wenzenu wanaodhalilishwa kifaida nyinyi na wo nani wasenge
Na nyie bahasha si mnazichukua kwa yanga ! Ni walewale tu subilini bahasha msikimbizane mpo foren
wewe tulikuzalilisha kisa MO ama???
Kocha karudi nyumban kama shabiki ila hii nchi nyie tutakufa vibaya watanzania tukipataga vyeo 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa itakuajee 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🙌
uyu jemedari akapimwe akiri, kesha zusha jambo linguine ukoo, ikishinda Simba aaaah. umsikii
Jemedar kichaa TU Simba wanabebwa na marefa TU.
Jemedar hasikuumize kichwa anaumia akitokea lind siunajua mbwa wa moh
Ukweli ukisemwa Utopoloooo mnaumwa na kutoa kauli chafu mnataka ukweli usisemwe? mngekuwa timamu mngetaka jemedari athibitishe anachokisema sio kupinga tu kwa mahaba yenu na Utopoloooo wenu
@@taseleli9181 jemedar anasibitisha tabia za makolo wengi uwa ni mashabiki wa timu sio mpira mwenyewe kucheza mpira anajiona mchambuzi lakn Bado anatumika kuichafua timu Moja ndo mikia mlivyo hamuamini katika kutengeneza timu iwe Bora uwanjani mnasajili wachambuzi uchwala kuisema yanga nakuichafua ila vikombe tunabeba nakuwakanda tunawakanda hamtuwez nnje ndani mbinu zenu kwetu zilipendwa
@@taseleli9181Uwezo na uelewa wako wa masuala ya Soka ni mdogo. Endeleeni kutegemea TFF, Bodi ya Ligi na Waamuzi lakini mtachemka tu.