MIRAJI|FOUNTAIN WALIONGEA DHARAU SANA|WALIKOSA HESHIMA|MAZEMBE TOKA GAME NA YANGA HAIJULIKANI ILIPO🤣

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 202

  • @furahahappe
    @furahahappe 11 часов назад +1

    Pole sana kwa mzee Saidi, Mungu amfanyie wepesi babake apone haraka

  • @NassPozo
    @NassPozo 2 дня назад +6

    Pole yk mzee wetu mungu atampa nafuu mgonjwa

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 2 дня назад +7

    Mpeni pole mzee wetu mungu nimwema utapona inshallah 🙏💪🏽💪🏽💪🏽

  • @jairatu688
    @jairatu688 2 дня назад +4

    Mpe pole sana mzee Saidi...... Allah atamuafu mzazi wake in shaa allah 😢

  • @iluminatasagalani6791
    @iluminatasagalani6791 13 часов назад

    Pole mzee saidi Mungu amponye mapema

  • @chinedu255
    @chinedu255 2 дня назад +8

    Daaah Msee saidi wetu jaman 💔 nimemmiss jaman hakikisheni tunamchangia mzee wetu arejee mjini haraka

  • @FaizaChama
    @FaizaChama 2 дня назад

    Jamn pole Sana kea mzee wangu said. Nampenda Sana. Na tunamuombea babu yetu. Apone haraka ,,,,, kabisa tumusaidie ❤❤❤

  • @boscomtani1006
    @boscomtani1006 2 дня назад

    Pole sana Mzee Said kuuguliwa na Mzazi. Mwenyezi Mungu amponye ampe afya njema tena

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 2 дня назад +5

    YANGA are firing on all cylinders at the moment, Pacome Zouzoua, great game,High quality performance.

  • @DottoWache
    @DottoWache 11 часов назад

    Mzee saidi pole sana kwa kuuguliwa na baba ako mzazi

  • @SelemanMrisho
    @SelemanMrisho 2 дня назад +3

    Pole mzee saidi kwa kuuguliwa na mzee wako

  • @AlidiIssa
    @AlidiIssa День назад +1

    Pole sana mzee wangu allah atamponye mgonjwa wako na soon atakuw sawa inshaallah natutarud tena kupata furaha yako mzee said

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 День назад

    Jaman pole sana kwa mzee wetu mzee saidi tunampa pole na tunamuombea atapona mzee wake af chagamba huyu miraji atakuvunja hilo bega kila cku analipiga ila namkubal sana big up tupo pamoja

  • @AlfaniMichael
    @AlfaniMichael 2 дня назад +2

    Mungu mwema mzee wetu said utakaa sawa inshallah 🙏🙏

  • @SaidAlawi-m6x
    @SaidAlawi-m6x 2 дня назад +9

    Duu Allah ampe shifaa mzazi wetu

  • @GodlistenAndersonMremi
    @GodlistenAndersonMremi 2 дня назад +32

    Duh Chagamba Kwanza Mpeni Sana Mwanafamilia Wetu Pole Sana Mzee Wetu Said,Mwambieni Sisi Tupo Nyuma Yake Na Mchango Wangu Utaingia Kwa Wakati,.🙏🙏🙏

    • @abrahmanmussa1384
      @abrahmanmussa1384 2 дня назад

      Aweke namba tumutumie pesa mm nipotayari

    • @abrahmanmussa1384
      @abrahmanmussa1384 2 дня назад

      Nashukuru kuipata kesho utauona mchango wangu😊

    • @abrahmanmussa1384
      @abrahmanmussa1384 2 дня назад

      Mpen pole sana mungu atamuongoza Kila nikitafuta Mzee saidi nampata mwengine pili kunakitu kinakera wanachukua picha ya Mzee saidi wanaweka ila ukiifingua unakuta mwengine imekera sana

  • @JANE-jv4eq
    @JANE-jv4eq 2 дня назад +3

    Mungu amsimamie mzee wetu.

  • @FatumaMwage
    @FatumaMwage 2 дня назад +5

    chagamba ukimuhoji miraji naomba apo began weka mto😂😂😂😂

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 дня назад +2

    Pole sana mzee saidi kwa kuuguza jamaniii tumemis sana mzee saidi jamaniii asante chagamba kwa taarifa ❤

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 дня назад

      @Shadia mzima ulipotelea wapi ndugu

  • @usatoenglandvegas4046
    @usatoenglandvegas4046 2 дня назад

    Daaah asante sana kwa tarifaa tusha miss sana mzee wetu🎉🎉🎉 said

  • @Hancy_barrow
    @Hancy_barrow 2 дня назад +2

    Miraji mara moja vs chagambaaa kama Kawa kama dawa na Mako Chali kama Kawa record.familia❤

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 2 дня назад +4

    Gamba na miraji 😂😂😂😂
    Mpo good gamba

  • @MunaBintbadru
    @MunaBintbadru 2 дня назад +3

    Hakika ka miraji waisana liwali dain tuwafanyie ihisani wazazi wawili Allah ampe shifaa mzaziwetu na baba etu mzesaid Allah akupesubra katika kipindi ichi chakumuuguza mzee wako

  • @mohammedshadhily196
    @mohammedshadhily196 2 дня назад +1

    Pole nyingi kwa mzee wetu,Allah amfanyie wepec

  • @LinusChagawalye
    @LinusChagawalye День назад

    mpeni pole sana ndugu yetu kwakweli Mungu ampe wepesi tumemiss sana

  • @HassanMkina-z6b
    @HassanMkina-z6b 2 дня назад +5

    Nakubali mwanangu chagamba na maramoja mnatisha sanaa

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 2 дня назад +6

    Kweli milaji wawe na nidhamu kwa wapinzani wao alaf walisahau ali kamwe alisema anaendag kuwasikilizisha wachezaji clip😂😂

  • @Abuusalama-i5j
    @Abuusalama-i5j 2 дня назад

    Mzee Said,,, Allah akupe nguvu....na subra Kwa unayopitia

  • @falajijuma-f2m
    @falajijuma-f2m 2 дня назад +2

    Miraji mupe pola Mzee saidi🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SemeniJames-hp3mc
    @SemeniJames-hp3mc 2 дня назад +1

    Mpen pole Mzee said tumemx Sana mungu amsaidie Baba Yake apone Sisi tupo pamoja

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 2 дня назад +1

    Aisee mpeni pole sana mzee Side kwa kuuguza

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 2 дня назад +1

    Daaa mungu amjalie baba yake apone inshallah 🙏💪

  • @SaidAlawi-m6x
    @SaidAlawi-m6x 2 дня назад +11

    Mzee said pole kwa uguzaji

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 2 дня назад

    Pole sana mzee said mungu akufanyie wepes mgonjwa apone,,huku tunakusubir

  • @ArkamuAbeid
    @ArkamuAbeid 17 часов назад

    Asante kaka unaujua mpira

  • @imrankweka4752
    @imrankweka4752 2 дня назад +6

    Allah amfanyie weepes mzee saidi mgonjwa wake apone mapema.

  • @longothedony711
    @longothedony711 2 дня назад +1

    Pole sana kwa mzee wet Saïd mung atamsaidia

  • @FloridaBoysfc-op1rb
    @FloridaBoysfc-op1rb 2 дня назад

    Mwenyezi mungu amponge haraka tumemmiss sana mzee wetu

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 дня назад +2

    Ahsante kwa majibu ya mzee said maana afya yake mgogoro

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 дня назад +1

    Dah pole yake mzee said kwa kuguza mzazi

  • @MasudAlly
    @MasudAlly 2 дня назад

    Katika watani mzee saidi namkubali sana mungu amtie nguvu kwenye kipindi iki kigumu anacho pitia

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 2 дня назад

    Upo sahihi sana Kaka Miraji kwa hayo maelezo yako.

  • @roi2554
    @roi2554 2 дня назад +9

    Wekeni namba ya mzee said ya tigo pesa tumchangie, ni wazo langu tu sijui wenzangu mnasemaje

    • @arnoldrwegoshora449
      @arnoldrwegoshora449 2 дня назад

      Wameweka ya miraji ndo anakusanya michango. Tumchangie mzee wetu

  • @SOPHIASALUMU-u3b
    @SOPHIASALUMU-u3b 2 дня назад

    Daa pole mzee saidi

  • @FrankMahuna-xb7lt
    @FrankMahuna-xb7lt 2 дня назад +1

    Pole sana kwa mzee said

  • @edsonmalcel4478
    @edsonmalcel4478 2 дня назад

    Poleee yake sana mzeee said,,,, tumwombeee heri

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 2 дня назад +1

    Inshaallah allah amfanyie wepesi

  • @silahamichael1676
    @silahamichael1676 2 дня назад +1

    Daah mpeni pole Mzee saidi

  • @abdiissa8536
    @abdiissa8536 2 дня назад

    Ishall mungu atamponya baba wa mzee saidi

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 2 дня назад

    Pole sana mzee wetu saidi

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 2 дня назад +3

    Pole sana Mzee Said Mwenyezi Mungu amponye haraka baba yako

  • @EliaBurra
    @EliaBurra 12 часов назад

    Sema miraji anjua san mpira

  • @rubanimponzi8259
    @rubanimponzi8259 2 дня назад +4

    Miraji safii

  • @maryfides591
    @maryfides591 2 дня назад +4

    Da! Mzee saidi Bado Hana baba ongeranyake

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 дня назад

      Hana au ana😂😂

    • @LilianBitwale
      @LilianBitwale 2 дня назад

      Et Hana 😂😂😂 jamaan Kwan shuleni hamkujifunza herufi😢😢😢

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 2 дня назад +1

    M.mungu atampa Shifaa inshaallah

  • @jamessimpungwe6140
    @jamessimpungwe6140 2 дня назад

    Aseee mnajuaaa🎉🎉

  • @jasminhaji3175
    @jasminhaji3175 2 дня назад +2

    Mungu acheni aitwe Mungu mzee said hadi sasa yupo na baba aliye hai na kwa uwezo wake atapona tu

  • @enocksamuel9390
    @enocksamuel9390 2 дня назад

    Pole sana mzee wetu side

  • @korneliombonaofficial6300
    @korneliombonaofficial6300 2 дня назад

    Aisee , mpeni poleni Sana mzee wetu

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 2 дня назад

    Pole sana baba yetu Mzee Said Tunamwomba Mola amponye baba yetu.

  • @HamisiallyilalataHamisiallyila
    @HamisiallyilalataHamisiallyila 2 дня назад +2

    Sasa milaji usiwe kumpiga saan chagamba mabega jaman😂😂

  • @RemigiusRaphael-p7z
    @RemigiusRaphael-p7z 2 дня назад

    Mpe Pole mzee said

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 2 дня назад

    Mpeni pole mzee wetu Saidi kwa kuuguliwa na baba yake mzazi

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 2 дня назад

    Mwambiye mzee saidi tunampa pole sanaa tumekosa ladha sana chagamba

  • @abdallahsaleh5194
    @abdallahsaleh5194 2 дня назад +1

    Allah amfanyie wepesi auguze salama

  • @JamariDiRama
    @JamariDiRama 2 дня назад +3

    Daa atapona ishallah

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 2 дня назад +1

    Pamoja sana ndugu zangu chagamba vs maramoja

  • @NassoroMasudi-w4k
    @NassoroMasudi-w4k 2 дня назад

    Mzee said mpe pole babu inshaallah atapona

  • @tawsi-yc3nk
    @tawsi-yc3nk 2 дня назад

    Poleni sana familia Allah atafanya wepesi

  • @killerwizzyofficial2157
    @killerwizzyofficial2157 2 дня назад +1

    Pole kwa mzee we2 jmn

  • @OnesmoLeonard-z5f
    @OnesmoLeonard-z5f 2 дня назад +2

    Tumemchoka mirajiiiii bhana Mzeee Saidi Yuko wapi

  • @obedmolle8017
    @obedmolle8017 2 дня назад +1

    Chagamba naombea mzee saidi sana

  • @FiniasBugobola
    @FiniasBugobola 2 дня назад

    Mpe pole mzee said

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 2 дня назад +1

    Wish Mzee Said Father a quick recovery.

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 2 дня назад +1

    Milaji nakukubali sana, chagamba muongezee dk milaji maana hachoshi mkumsikiliza.

  • @Josephinefrancis-z9y
    @Josephinefrancis-z9y 2 дня назад

    Pole sana mzee said

  • @matei2908
    @matei2908 2 дня назад

    mzee saidi pole na changamoto Mimi nakuombea mtani wangu mzee atapona TU kikubwa kuomba mungu matibabu yafanye kazi mkuu

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 2 дня назад

    Kamdomo kamewaponza. Mzee saidi anatufurahisha sana.

  • @ayk20
    @ayk20 2 дня назад +3

    Washaanza kuogopa😂

  • @SemeniJames-hp3mc
    @SemeniJames-hp3mc 2 дня назад

    Chagamba Niko mbali nipe ya wasp Niko Dubai ❤

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 2 дня назад

    Gusa achia twende kuwa bingwa yanga bingwa inshallah

  • @jerryjob1692
    @jerryjob1692 2 дня назад

    Mmh Jamani Mzeee SAIDI

  • @edsonmalcel4478
    @edsonmalcel4478 2 дня назад

    Ilaaa mirajii kwamba mazembe inatafutwaaaa haijulikanii😅😅 ilipo 😅😅

  • @MariaSigani
    @MariaSigani 2 дня назад

    Chagamba kwn mzee said kaenda wp jamani mbna hutuleyei😂😂😂😂

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 2 дня назад +1

    Mie nampenda makolo miraji mzee saidi mchome Sam huwa wapenzi wakusema ukweli kina kusugu wao kufoka2 hata ukweli ukiwepo hawaoni ukweli usemwe na ubaya usemwe sio kila kitu kibaya na sio kila kitu kizuli

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 дня назад

      Kisugu
      Mzaramu
      Pass million
      Watu wa kupewa posho kwa kuisifia timu mitandaoni

  • @MarliusMajani
    @MarliusMajani 2 дня назад

    Tumchangie mzee Said

  • @angeljosephatvenancea5699
    @angeljosephatvenancea5699 2 дня назад

    Mmeongea kweli kabsa, Mtenji na Mbuzi walikosa adabu! Mzee Said mpeni pole Kwa kuuguza, tupo pamoja, ntatuma mchango wangu mapema sana!!

  • @FloridaBoysfc-op1rb
    @FloridaBoysfc-op1rb 2 дня назад

    Changamba kwani unaugonvi na mzee saidi unatutakiya nini 😂

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 2 дня назад

    Hapo sawa polee yake

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 2 дня назад

    Mpe pole mzee Saidi😢

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 2 дня назад +1

    Mzee said Mungu atamsaidiaaqa🔥🔥

  • @ayk20
    @ayk20 2 дня назад +2

    Bado kidogo tuu mtaanza kusema GSM anaharibu ligi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 дня назад

      Nahawachelewi kweli mara. Hooo mama tusaidie mara GSm anatuhujumu 😂😂😂😂😂😂

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 2 дня назад

    Mzee saidi mfuate atoe ki2 kizito 😂😂

  • @NassirJuma-i3h
    @NassirJuma-i3h 2 дня назад

    Mungu atamuwafu mzee said

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 2 дня назад

    Miraji😂😂😂😂😂😂

  • @PateloMwasenga
    @PateloMwasenga День назад

    Jamaa unajua mpira ww sana kweli unaujua

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 дня назад

    Mzee.said ameonywa na makolo asiisifie yanga.

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 2 дня назад

    Tumchangie Mzee saidi

  • @MariaSigani
    @MariaSigani 2 дня назад

    Jamani mpeni pole sana mungu ni mwema atamsaidia2 atapona

  • @salheyamawe348
    @salheyamawe348 2 дня назад +1

    Augue pole mzeeee wetu