PRESS: ALLY KAMWE AWEKA HADHARANI MBINU YA 'KUWAUA' MAZEMBE KWA MKAPA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 94

  • @YangaIbra
    @YangaIbra 18 дней назад +14

    Nimechi muhimu sana kwetu inshallha tumuombe mungu tushinde hiyo mechi DAIMA MBERE NYUMA MWIKO

  • @AnnamarysCharles
    @AnnamarysCharles 18 дней назад +15

    Guys GONGA Like hapa kwa anayeamini mazembe atakandwa na mpira mwingi

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 18 дней назад +7

    Tnakupenda sana semaji upo vizuri mno 💚💚💚💚💚💚💚

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo 18 дней назад +11

    YANGA BINGWA 💚💚💚👈

  • @EmmanuelMarwa-g3u
    @EmmanuelMarwa-g3u 18 дней назад +7

    Umeongea kwa hisia kali sana semaji letu, naimani tutamfunga huyu jamaa, Daima mbele nyumamwiko

  • @Platymoh17
    @Platymoh17 18 дней назад +5

    Tuna imani na team yetu💚💛

  • @samwelgeho2602
    @samwelgeho2602 18 дней назад +5

    Upo vizuri sana semaji

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 18 дней назад +1

    Inshaallah mw/mungu atubariki pia awabariki wachezaji wetu viongozi wetu pamoja na mashabiki duniani kote daima mbele nyuma mwiko

  • @isackphilipo5132
    @isackphilipo5132 18 дней назад +2

    Namatumain mwenyez mungu atakuwa nasi tutashindaa❤

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 18 дней назад +7

    Kila la kheri insha Allah yanga bingwa

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 18 дней назад +2

    Safi sana semaji letu tupo nyuma Yako,ombi langu kuwe na utaratibu mzuri wa kuingia uwanjani kwani kumekuwa na malalamiko ikiwemo baadhi ya watu kupigwa mtu akiwa amelipia

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 17 дней назад +1

    Gusa achia twende kuwa bingwa inshallah yanga oyeeeeeeeee daima mbele 💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💓💓💓💓💓

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 17 дней назад +2

    Mm najiandaa hapa singida ijumaa inshaallah nakuja dar wananchi wa dar na mikoa karibu na mbali pia twendeni tukaujaze uwanja.

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 18 дней назад +5

    Yess!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MAMSWABUBASHIRU
    @MAMSWABUBASHIRU 18 дней назад +2

    Umeongea Kwa hisia sana god bless you ❤

  • @JaneWidzengo
    @JaneWidzengo 18 дней назад +4

    💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚bingwa

  • @ImmaShalua
    @ImmaShalua 17 дней назад

    Naipenda yanga daima mbele nyuma mwiko💚💚💚💚💚

  • @mtambwejunior
    @mtambwejunior 18 дней назад +6

    Wananchiiiii

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 17 дней назад

    Asante pia nasi tuna mshukuru mwenyezimungu kutupa uhai pia wachezaji wetu Mwenyzimungu Awahifadhi na viongozi benchi lote laufundi mwenyezimungu Awalinde mfanye kazi kwa uered mkubwa Aameen Dar nita miss gusa achia wekachini twende kwao🙏💚💚

  • @AugenAgustino
    @AugenAgustino 18 дней назад +6

    Tulitukanwa Sana mda wetu kuwaonyesha kuwa tunaweza

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 17 дней назад

    Allahamdulillah wote waliokuwa wagonjwa yunashukuru mnaendelea vzr In sha Allah yao kwasi mwenyezimungu akuponye haraka Amiin🙏

  • @Shubbykm
    @Shubbykm 18 дней назад

    Mungu awatangulie wapambanaji wetu,na uongozi Kwa ujumla mungu ni mwema kala lengo litafokiwa. Daima mbele,nyuma mwiko

  • @sarahsaimon4095
    @sarahsaimon4095 17 дней назад

    Najua tunamchezo mgumu sana. Ila kwa uwezo wa Allah tutapata matokeo mazuri. Jumamosi pia niwatakie kila la kheri wachezaji wetu benchi la ufundi, viongozi kwa pamoja tuungane ili kufanikisha ushindi wetu siku ya jumamosi Inshallah🙏

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 18 дней назад +3

    Nikweli nafasi yetu ni ngumu lakini bado tunayo nafasi,unaongea kiume .

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 17 дней назад

    Kbs ata mm nilisemwa sana tena sana 😢 ila naiman na tem yetu Ishallaaaaah

  • @yuzoboey6707
    @yuzoboey6707 17 дней назад

    Tumekupata semajiiiii wetuuuu na Inshallah Mungu atatusaidiaaa tutavukaaa pamoja na tunaingia robo final ni kweliiiii semajiiii wetuuuuu tumesemwa sanaaaa na ni muda wetuuu kuwaonyesha kuwa sisi ndo mabingwa
    Yanga daima mbele nyuma Mwiko

  • @BenjaminigervasMkuchu
    @BenjaminigervasMkuchu 18 дней назад +4

    Alikamwe anaongea kwa hisia sana. Please Sr GOD tuangalie ss yanga tuvuke hili kundi

  • @producerjm3314
    @producerjm3314 17 дней назад +1

    Kwakweli mungu ana baraka nasisi tutajaa uwanjani afe beki afe kipa

  • @mohamedmaliki698
    @mohamedmaliki698 17 дней назад

    Kila la KHERI ALLAH azidi kumpa NGUVU na jitihada juu ya pambano letu dhidi ya TP mazembe ,na inshallah tupate ushindi # yanga Daima mbele nyuma mwiko timu ya wananchi 🇹🇿🔰🙏

  • @AthumaniHuseni
    @AthumaniHuseni 18 дней назад +3

    💚💛💚💛💚💛💚💛💚🙏🙏🙏🙏

  • @GoodluckMosha-jn2ec
    @GoodluckMosha-jn2ec 17 дней назад +1

    Yanga ndio timu pekee taznania na Africa ambayo inaweza ikafungwa na mashabiki tukapiga makofi kuwapongeza players kwa kupambana hatakama tumepoteza in short fans wa yanga tumeiva. Tunaujua mpira.

  • @NoshadiRajabu-w9o
    @NoshadiRajabu-w9o 18 дней назад +4

    Siku iyo ni full house Kwa mkapa hapo" na matokeo yanga atashinda goli 3

  • @ElikanaBahati
    @ElikanaBahati 18 дней назад +2

    💛💚💛💚💛

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 17 дней назад +1

    MWAMBIE MSHERY AJIANDAE KUOKOTA IYO TAREHE 4 J MOSI😂😂😂😂😂

  • @RenoxMpinga
    @RenoxMpinga 18 дней назад +3

    Mtalemwa ahusishwe aweke wakfu team yetu

  • @AminaDauda-cb2wj
    @AminaDauda-cb2wj 17 дней назад +1

    Umeongea kwa uchungu na hisia sana semaje inshaallah

  • @JaphethTumbu-f6j
    @JaphethTumbu-f6j 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @ibrahimmwasamila6412
    @ibrahimmwasamila6412 18 дней назад +1

    Umeongea kwa hisia sana

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 17 дней назад

    Kamwe umeongea kwa hisia sana 😢 tutashinda jmn naiman 🙏

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 18 дней назад +4

    Yanga bingwa

  • @RenoxMpinga
    @RenoxMpinga 18 дней назад +2

    21:50

  • @JohnMyula-u9j
    @JohnMyula-u9j 17 дней назад

    Nikweli mungu tunakuomba simama upande wetu utusaidie

  • @michaelbucga
    @michaelbucga 18 дней назад

    Hatoki mtu ,💚💛💚💛

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 18 дней назад

    wananchiiiiiiiii ,daima ushindi

  • @romanmwaisela
    @romanmwaisela 16 дней назад

    Neema ya Mungu iwe nasi, kushinda shindano hilo,Kila la heri Yanga.

  • @bakarsalimu6418
    @bakarsalimu6418 18 дней назад +2

    Warogaji haooooooooooooooo. Nyuma mwiko

  • @SebastianiNgonyani
    @SebastianiNgonyani 18 дней назад

    Semaji letu(Aly Kamwe)tunakuamini sana.

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 18 дней назад +1

    Tunamuomba MUNGU awape afya njema wachezaji wetu na benchi zima la ufundi ,na tunaomba MUNGU awasidie wakapambane tupate ushindi 4Jan wa points 3muhimu.

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 17 дней назад

    Jamani wanayanga hasa wa dar jitokezeni kwa wingi msikae majumbani mm nipo singida ijumaa inshaallah naanza safari

  • @HanafyMussaNassour
    @HanafyMussaNassour 18 дней назад +2

    Kuna timu zenu alafuu kuna yet penda sana yanga

  • @jumamchina9038
    @jumamchina9038 17 дней назад

    Kila la kheri Young Africans Sports Club.

  • @hafia.056
    @hafia.056 17 дней назад

    OK let's me ask you today wananchi .Youngs Africans Tamu jibu lake yanga iko sukari ama sugar muwaa cream maziwa chai cream n.k eee. Yes yes yes it's Thank you very much all our lovely biggest club ever. Thank you very much all yes 🙏

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 17 дней назад

    Allaah Akbar

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 17 дней назад

    @RamadhaniYusufu:- Diara ni muhimu sana apangwe,Usituletee ubaguzi wa kimakolo

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 17 дней назад

    🔰🔰🔰🔰

  • @bakarsalimu6418
    @bakarsalimu6418 18 дней назад +1

    Fungulia mbwaaaa Tyr hiyooooooooo

  • @omarykinyesa6405
    @omarykinyesa6405 18 дней назад +2

    Gusa like achia comment twende kwao

  • @RamadhaniYusufu-zs9fd
    @RamadhaniYusufu-zs9fd 18 дней назад +1

    Diara asipangwe hiyo mech

  • @hafia.056
    @hafia.056 17 дней назад

    Wananchi wooote vipi lakini hatujambo sote. Naamiin tuko waximaa sote hamdulilah..halafu jingine tunasema Youngs Africans vipi lakini sugar sugar lakini jibu lake yes it's Youngs Africans vipi apo Aaaa good good good stuff sugar sugar muwaa cream maziwa chai 👍 stuff. Our leaders players na coaches stuff. It's good stuff what you very good good yes and us one billions supporters allover the world 🌎. We promise you we will be there days and night. For biggest success further to go.for good good always 👍. Ok Youngs Africans oyeee oyeee oyeee sugar sugar eee

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 18 дней назад +1

    Kila la kheri

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 18 дней назад

    Umesema Vema,
    Tulipigwa na kupitwa baada ya Match, wao watatandikwa Uwanjani muda wa Dakika 90
    Dakika za nyongeza hiyo itakuwa :-
    GUSAAAAAAA
    ACHIAAAAAA
    TWENDE KWAOOOOOOO

  • @barnabasmatonya2635
    @barnabasmatonya2635 18 дней назад

    Tucheze mpira tu, Mungu tumwache adeal na Ukraine, tusimu-overload

  • @ISMAILMATLE-j3n
    @ISMAILMATLE-j3n 18 дней назад

    Nikweli mimi niko Karatu mkoani wa Arusha tarafa ya eyasi yanga mbele nyuma mwiko

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 17 дней назад

    Kila la heri!

  • @producerjm3314
    @producerjm3314 17 дней назад

    Ety nani atamtia mwenzake kwenye kitanzi😂

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 18 дней назад

    Tuna imani na timu yetu Yanga gusa achia twende kwao TP Mazembe wachapwe goli 3 kavu.

  • @issadul-d5v
    @issadul-d5v 17 дней назад

    Hivi Baleke, Mkude, Mwenda, hawa sio wachezaji wa Yanga? Mbona hatupewi yaarifa zao

  • @romanmwaisela
    @romanmwaisela 16 дней назад

    Msemaji anaongea Kwa kumaanisha sana twendeni tumuunge mkono.

  • @MethodkifokaMethodkifoka
    @MethodkifokaMethodkifoka 18 дней назад

    Hii gusa achia twende kwao, sion mazembe anatokea wapi

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 18 дней назад +1

    YANGA BINGWA

  • @BahatiAbassi
    @BahatiAbassi 18 дней назад

    nikwel tupambane matokeo yap mungu yup ishalll

  • @RamadhaniYusufu-zs9fd
    @RamadhaniYusufu-zs9fd 18 дней назад +2

    Diara asipangwe hiyo mech jmn 😢😢

  • @producerjm3314
    @producerjm3314 17 дней назад

    Ety tumewekwa goli lakwanza😂

  • @RamadhaniYusufu-zs9fd
    @RamadhaniYusufu-zs9fd 18 дней назад

    Diara asipangwe hiyo mech jmn

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 17 дней назад

    Yanga LAZIMA tushinde tu

  • @imanibakili8028
    @imanibakili8028 18 дней назад

    Yarab utujaalie tushinde michezo yote ya kimataifa iliyobaki

  • @Shubbykm
    @Shubbykm 18 дней назад

    Kila lengo litafikiwa

  • @majoxkemmoyofficial
    @majoxkemmoyofficial 16 дней назад

    Diarra vp mbn xielewi

  • @AlfonsiKAHOZE
    @AlfonsiKAHOZE 17 дней назад

    ONGERATUPOPAMOJANAYANGAYETU_INSHALHATUNASHINDAMUNGUYUPOAMIN

  • @MaikoKapelo
    @MaikoKapelo 18 дней назад

    Yanga.tamu.wape.saramuuu

  • @shaoshao9522
    @shaoshao9522 18 дней назад

    Hivi hii timu inaitwaje? Yeng , yanga, Young au Younger? 😂😂😂

    • @saidmasengo7988
      @saidmasengo7988 18 дней назад +1

      OSHA kwanza makalio uwaze maana UBONGO huna😂😂😂😂😂😂

    • @ndiiyolazaro1125
      @ndiiyolazaro1125 17 дней назад

      Kwa kweli😂😂😂​@@saidmasengo7988

  • @Lugano-u5d
    @Lugano-u5d 18 дней назад

    Baleke vipi?

  • @shaoshao9522
    @shaoshao9522 18 дней назад

    Tutabeba sindano za kutosha hao majeruhi watacheza tu

  • @SalumMajorhood
    @SalumMajorhood 18 дней назад

    Subirini kitanzi kinawasubir nyny yanga

  • @songweforecast9685
    @songweforecast9685 18 дней назад

    hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @RamadhaniYusufu-zs9fd
    @RamadhaniYusufu-zs9fd 18 дней назад

    Diara asipangwe hiyo mech jmn

    • @EvansTewele-q5o
      @EvansTewele-q5o 18 дней назад

      Umekazania diara asipangwe kwani koch ndo atajua

  • @RamadhaniYusufu-zs9fd
    @RamadhaniYusufu-zs9fd 18 дней назад +1

    Diara asipangwe hiyo mech jmn