Aliyekudanganya kuwa na pointi 1 ndo ubovu wa timu ni nani? Huyo mwenye pointi 1 anakukanda na pointi zako 6 kila mkikutana....kwenye ligi napo pamoja na marefa lakini bado unapumulia mashine
Panya road kwenye ubora wako.....wivu wa Yanga kusemwa vizuri si ni kweli tengenezeni na nyie timu iwe nzuri ukweli utasemwa vinginevyo endeleeni kutegemea marefa
Wewe ni mchambuzi bora sana,huna tabia kama wachambuzi wa kimakolo
Uko pow bro
Alisari na mediama ugenini,alifuzu kwa alama 8
Uyu ni mtangazaji tu lakn kuchambuwa mpla ajuwi lolote kuchambuwa mpla sio mchezo
Dogo kama huna demu basi unastahili kusema najipanga sio unazini zini alafu unasema sifikirii kuoa.
Yaani ingekuwa simba ndio ana alama moja ,sijui tungetwa wabovu kama man u au mtibwa sijuii
Aliyekudanganya kuwa na pointi 1 ndo ubovu wa timu ni nani? Huyo mwenye pointi 1 anakukanda na pointi zako 6 kila mkikutana....kwenye ligi napo pamoja na marefa lakini bado unapumulia mashine
Mtibwa anaongoza kwenye champion ship
@@msemakweli...😂😂😂😂😂 Mwongezee vidonge vingine
Nikukumbushe upete, game ya medeama tulitoka suluhu ya mojamoja ugenin hatukufungwa
Ss utopolo ya ss hkn timu ple
Msamehe amejisahau huyu meamba
Mtangazaji una mapenzi na upande mmoja, na hiyo inakunyima nafasi ya kuuliza maswali kwa professionalism. Pole
Sjaona alikoralia maana kauliza kotekote na kauliza vzr na kajiba vyema
Panya road kwenye ubora wako.....wivu wa Yanga kusemwa vizuri si ni kweli tengenezeni na nyie timu iwe nzuri ukweli utasemwa vinginevyo endeleeni kutegemea marefa