MCHAMBUZI AMBOKILEE: HII YANGA MALALAMIKO YATAZIDI KWA SIMBA/CHASAMBI YUPO SAWA/UBINGWA BADO MAPEM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 2 дня назад +2

    Kichwa cha mjeruman uko bright sana

  • @gwamakamoses6457
    @gwamakamoses6457 2 дня назад +2

    Wewe uko tofauti, kweli unajisifia mno hata kama huna point

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 2 дня назад +2

    Hahahaaaa simba ina speed!

  • @jonathanmugayiwa-b3y
    @jonathanmugayiwa-b3y 2 дня назад

    Chuma cha mjerumani❤❤

  • @maasaiLodge-tl2sp
    @maasaiLodge-tl2sp 3 дня назад

    Kuwa wa kwanza...maua yangu scope

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 дня назад

    Mzee wa upepooo😅 huyu kama homorapa alie kwenye michezo😅

  • @jaffarishabani
    @jaffarishabani 2 дня назад

    ambokile🎉🎉🎉

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 2 дня назад

    Match ya Azam na yanga ngumu kuliko Simba na Azam au Yanga na Simba.

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 3 дня назад

    Asiyependa vibovu 😂😂

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 дня назад

    Scope Media mnakoroma sana. Rekebisheni

  • @Emmanueltunzo
    @Emmanueltunzo 2 дня назад

    Kichwa cha mwendawazimu😂😂😂😂😂😂

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 3 дня назад +2

    MALALAMIKO NDO SHAANZA HIVYO YAANZE MARA NGAPI?SAIZI WANASEMA WANAHAMA KMC KOLO HAO

  • @mylifepurpose
    @mylifepurpose 2 дня назад

    Nilichogundua hawa watangazaji sio kwamba wanaisemaga yanga vibaya Bali ni wanaipenda yanga na ndiyo mana wanaumia wakiona inafanya vibaya

  • @Emmanueltunzo
    @Emmanueltunzo 2 дня назад

    Huyu jamaa ni kamdomo pia kasahau maneno yake😂😂😂😂😂

    • @nelsonmgaya1490
      @nelsonmgaya1490 2 дня назад

      Ni kweli huyu ni ndumila kuwili!

    • @marystambuli8045
      @marystambuli8045 2 дня назад

      Jamani tusimseme sana. Tunapokosolewa tukubali. Tusichukie, mbona tukifanya vzr huwa tunasifiwa.

  • @HabibuRamadhan-nn8ws
    @HabibuRamadhan-nn8ws 3 дня назад

    Sawa utaelewa

  • @chrisantusnditi8670
    @chrisantusnditi8670 2 дня назад

    Uzuri wa Chuma cha Mjerumani huwa anakuwa muwazi.Timu ikifanya vibaya huwa anakosoa na ikifanya vizuri huwa anasupport jitihada zinazofanyika.Ndyo maana wengi wetu huwa tunamuona kigeugeu,lakini huyu jamaa ni mchambuzi mzuri tu.Wengi wetu huwa hatupendi kukosolewa

  • @AmedeusPanga
    @AmedeusPanga 2 дня назад

    Huyu jamaa hajui mpira yanga kufungwa na tabora akasema mbovu halianajua Haina mabek wa nne Tena mhim

    • @JumaKitutu-t4s
      @JumaKitutu-t4s 2 дня назад

      Sasa we unayejua mpila unaona ilikuwa Sawa?

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 2 дня назад

    Mmeanza kelele Sasa hivi mtamtaja GSM

  • @FrankLuhaha-p4l
    @FrankLuhaha-p4l 3 дня назад +7

    Mashabikiii wa Simba n wasengee.mbna max nzengeli alisemaaa anamkubaliii awesu

    • @DENISMAKALA
      @DENISMAKALA 3 дня назад

      Ni mamaku ikumbukwe kuwa pia wanawalipa wachambuzi waiponde yanga sasa ni NGUmu sana wao kukubali credit NIENDE kwa yanga

    • @MsamyJunior
      @MsamyJunior 2 дня назад +2

      Msipitilize utan mpka kweny matusi jaman

    • @ZawadiMoris
      @ZawadiMoris 2 дня назад +2

      ​@@MsamyJuniorniusenge kweli,yanga aliyumba game kadhaa watu wakafurahi sana!!sasa yanga imerudi wanaanza kutapika usenge walitaka yanga iwe inaboronga siku zote?Leo imesimama kelele zakununua metch zimeanza ina maana nawao wanatuuzia?

    • @MsamyJunior
      @MsamyJunior 2 дня назад

      @ZawadiMoris 🤣🤣🤣🫵🫵🫵

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 2 дня назад

      Ni wasenge kweli ​@@MsamyJunior

  • @jacobmwera9636
    @jacobmwera9636 2 дня назад

    miongoni mwa wachambuzi wa hovyo ni huyuu

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 2 дня назад

    Uliongea sana Tena vibaya kuisema yanga Leo unajifanya kuisifia hebu tupishe huna lolote ongelea madunduka wenzio

    • @HajiJuma-oy1jy
      @HajiJuma-oy1jy 2 дня назад

      Hamna anaongea ukweli na pia anawakumbusha watu wajibu wao

  • @mch.mengorikionlinetv8439
    @mch.mengorikionlinetv8439 2 дня назад

    yani uondoke na ahoa dhidi ya feisal, hayo nimatusi

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 2 дня назад

      Na bado si huyo jemedari keshaanza ooo kuna beting malalamiko ya sindano yameisha gsm yameisha sasa yapo ya beting. wakati anafungwa yanga hakukuwa na beting. wajinga hao kina oruma jemedari na wachambuzi wote.

  • @MpalukaNayanda
    @MpalukaNayanda 3 дня назад +1

    Chuma cha mjerumani umezingua

  • @KaiMwalim
    @KaiMwalim 2 дня назад

    Ss mwanzoni ulisemaje na saa iv unasemaje. Hebu ukiongea jaribu hata kukumbuka ulichokisema huna lolote

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 2 дня назад

    Akivaa kakoti anasahau!

  • @renatusbishanga8364
    @renatusbishanga8364 2 дня назад

    Niliwahi kusema kuwa wewe ni moja ya chambuzi uchwara kwasababu ulikuwa wa kwanza kuibeza yanga pindi ilipofanya vibaya leo unarudi kusifia jirekebishe ktk kutimiza majukumu yako ya uchambuzi wa mpira.

    • @JumaKitutu-t4s
      @JumaKitutu-t4s 2 дня назад

      Sasa c ilifanya vibaya
      Yy km mchambuzi anachambua alichokiona.
      Sasa kama haikua mbovu kwa nn ilifungwa

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 3 дня назад

    Hovyoo kabadilika? Alisema kocha wa Yanga hakustahili,Hana kiwango! Leo ameshaanza kimsifia!

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 2 дня назад +1

    Usikwepe kenge wewe,halidi yuko sawa na dube alisema siku ya yanga maandalizi ni makubwa kuliko siku na simba

    • @ChapanyotaMwaifunga
      @ChapanyotaMwaifunga 2 дня назад

      Wanakamia sana sana yanga kuliko mechi zote hii Iko waziiii

  • @JamesSaini
    @JamesSaini 2 дня назад

    Mwamba uyu apa

  • @maasaiLodge-tl2sp
    @maasaiLodge-tl2sp 3 дня назад

    Leo nimewahi

  • @vianerykapinga8038
    @vianerykapinga8038 2 дня назад

    Uliiponda sana yanga wewe Ambokile. Huna lolote

  • @ImanikhatbMussa
    @ImanikhatbMussa 2 дня назад

    Ktk wachambuzi wajinga ww ni namba 1

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 3 дня назад

    Ww kinyonga una lolote

  • @KaiMwalim
    @KaiMwalim 2 дня назад +1

    Ss mwanzoni ulisemaje na saa iv unasemaje. Hebu ukiongea jaribu hata kukumbuka ulichokisema huna lolote