NEEMA YATANGAZWA KWA WALIMU, MASLAHI KUBORESHWA, KAULI YA RAIS YAIBUA SHANGWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025

Комментарии • 22

  • @stellajoachim1655
    @stellajoachim1655 6 дней назад +2

    Hongera sana mhemiwa raisi, ukweli ni kwamba elimu ni center ya naendeleo yote yunayoyaona, lakini kwa miaka zote imekuwa ikipuuzwa na kuacha nyuma. Ombi langu mfumo wa ufunzaji na mitaala ibadirishwe, walimu waajiliwe na mishahara iongezwe kwa walimu, mwisho na mm naomba mniajiri maisha magumu sana.

    • @abdalahngozi5455
      @abdalahngozi5455 6 дней назад +1

      Wawoo, nakuombea kwa Mungu uwe ni miongoni watakaoajiriwa mwaka huu ee

    • @gavaodispensary9306
      @gavaodispensary9306 6 дней назад

      Tafuta acount yake ya instagram andika huko humu Mheshimiwa Raisi hata pata fursa ya kuona ur comment

  • @salummsusa5007
    @salummsusa5007 6 дней назад +1

    Hongera rais wetu mpendwa tuko nawe daima❤❤❤

  • @rosemaryegnatus6933
    @rosemaryegnatus6933 6 дней назад +1

    Ahsante ney wa mitego ujumbe umefika

  • @AkramJafarj
    @AkramJafarj 6 дней назад

    aloooh 🙌

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 6 дней назад

    Hapo kwa walimu ukitimiza utapiga mwingi , utaeleweka kwa hapo kwa baadhi ya kundi ,ukipiga sehemu 4 kama usemavyo kwa walimu ccm itakuja kua chama cha wananchi wa Tanzania na kura unapata

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 6 дней назад

    Ni siasa za maji taka kampeni za uchaguzi wanataka kura za walimu , sera hadi ishirikiane Na watu binafsi ni maajabu 😅

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 6 дней назад

    Uchaguzi oyeeee ..

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 6 дней назад

    Porojo hizo anatafuta kura uchaguzi umewadia

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 6 дней назад

    Wepesi wakuongea wagumu wa kutekeleza uwongo mwingi

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 6 дней назад

    Wapunga bendera wakiwa wameshiba kodi zetu

  • @RugakiMsingo
    @RugakiMsingo 6 дней назад

    Danganya toto uchaguzi uwo

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 6 дней назад

    Hapo nakupongeza mama na ongeza pesa kwa walimu basi

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 6 дней назад

    Watumishi....limeni,fugeni...fanyeni biashara kwa hyo mikopo...mtakuja kunishukuru...maslahi hayatozid elf 50....😢

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 6 дней назад

      Yaani.kila majina yenu yakikristo baadhi yenu kwenye kila coment mnapinga anayoyafanya.Rais Samia ni dhahiri kwamba mnaleta udini mkubwa na hatari kabisa katika taifa letu baadhi yenu wakristo acheni chuki mbaya.hiyo mtapata maradhi yasioambukizika kwa chuki zenu za.kidini

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 6 дней назад

      @abuumuhammad7133 nani kapinga acha ukilaza.....ushauri ni Bure...ingawa ni ngumu kuelewa haswa kwa mswahili

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 6 дней назад

      @jeremiaaugustino7187 kilaza wewe usiyejitambuwa huo ndio ukweli hamna jema na hii Tanzania soon tutakuja kufanywa na Allah kama wa Libya Neema ya Viongozi hatuioni mpaka tuje tuletewe migogoro ndio mtajuwa baadae kuwa CCM umuhimu wake

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 6 дней назад

      @@abuumuhammad7133 haujajibu nimepinga nini

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 6 дней назад

    nikapitie vyetu vyangu sasa

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 6 дней назад

    Walimu ndio watumishi wa umma peke yao?

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 6 дней назад

      Udini unawatesa aloo baadhi yenu maana.hakuna jema kwa Rais Samia kwa baadhi yenu maana kila coment yakupinga kauli za Rais Samia au Kauli na ahadi zake utaona majina mengi yakikristo ndio wanapinga ni ushahidi tosha kuwa ni udini na sio kutoa maoni wala kasoro mshindwe kabisa