ZIMENASWA SAUTI ZA WATU WA MBOWE WAKIMZUNGUKA LISSU KWA WAJUMBE KUOMBA KURA,,WAJUMBE WAMGOME MBOWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 44

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 10 часов назад +1

    Lisu ontop of chadema dgtl

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 8 часов назад +1

    Aiseee noma sana kweli kizuri chajiuza na kibaya cha jitembeza

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 7 часов назад

      Maigizo msiwapotoshe watu

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 7 часов назад

      Waongo wametengeneza ka clip kawongo

    • @CretusMwalongo
      @CretusMwalongo 7 часов назад

      @EmmanuelMlowe-u1v wewewee wanajitambulisha majina na majimbo yao kipi hakijaeleweka

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 5 часов назад +1

    Nchi inahitaji vijana tuamke hasa Wasomi tusikubali Haya majinga yanayopiga simu. TAL.

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 8 часов назад +1

    Mbowe unaaibika sana

  • @kassimhaji3238
    @kassimhaji3238 14 часов назад +1

    Mheshimiwa Mbowe nakushauri fuata nyayo za mstaafu Zitto,ustaafu kwa heshima,ondosha jina lako epuka aibu,kwasasa upepo wa chadema kwa uenyekiti umekukataa

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 10 часов назад +1

    Mbowe nenda home 😂😂😂tunajua unataka uibe kura ila utakoma sana 😂😂😂😂

    • @mkondomkondo4721
      @mkondomkondo4721 9 часов назад

      Mbowe Kawa mseveni/Mugabe..mbowe kapumzike,huna Aibu?

  • @AbubakarYusuph-d3r
    @AbubakarYusuph-d3r 7 часов назад +1

    Mbowe must go out

  • @amosnjiaapostle
    @amosnjiaapostle 4 часа назад

    Nimemkubali sana jamaa huyu wa kanda ya Victoria aliyesema miaka Ishirini hajamtosha,kwa kweli ni jibu zuri sana.

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 9 часов назад +1

    Mbowe,chura si kakuahidi mzigo wa kuni!zigawe kwa wajumbe utashinda

  • @EdwadKalesi
    @EdwadKalesi 9 часов назад +1

    Edward kalesi huyu Mbowe atuachie chama chetu anang'ang'ania nini

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 6 часов назад

    😂😂😂😂😂wajumbe wamechafukwaa

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 11 часов назад +1

    Ndio ishirin inamtosha mbowe apumzike.

  • @AlexChacha-vc5id
    @AlexChacha-vc5id 11 часов назад +1

    Ameishiwa mbowe Hana sera,nashauli apumzike

  • @EdwadKalesi
    @EdwadKalesi 9 часов назад +1

    Hao ndio chawa Mbowe

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 5 часов назад +1

    Haka kadada na nahuyu kaka waomba kura za mbowe niwajinga.kiasi hata wakifa sio wakuzikwa.niwakutupa kwe mto ruvu wariwe na mamba wajinga kweli

  • @lawrencethomas5086
    @lawrencethomas5086 13 часов назад +1

    Lissu

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani 9 часов назад +1

    Huyo siyo dada wa Mbeya kweli?

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 11 часов назад +1

    Hahaha mtu alielazimishwa na wanachama kugombea anaanzaje kuhangaika Kutafuta kula???

  • @MalifedhaMtutuzi
    @MalifedhaMtutuzi 4 часа назад

    Acheni kumchafua Mbowe kwa maigizo yenu hayo.

  • @MzeeKagambo
    @MzeeKagambo 12 часов назад +1

    Kwani kura zinaombwa kwenye simu kila mtu ana akili

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 13 часов назад +1

    Tunataka lissu

  • @importancetv3196
    @importancetv3196 4 часа назад

    U ni uhuni sijui mnatuonaje

  • @importancetv3196
    @importancetv3196 4 часа назад

    Acheni uhuni

  • @abdulkarimmgunya513
    @abdulkarimmgunya513 14 часов назад +1

    Mnatuchanga na njaa zenu ninyi

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 12 часов назад +1

    21 imetosha tunataka lisu na heche tumechoka lushwa ukomo wamadala viti malumu niwalewale mbowe tumemuchoka huyo JAMA hanajipia

    • @MzeeKagambo
      @MzeeKagambo 12 часов назад

      Tumechoka na..sauti hizo naomba msitishe

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 6 часов назад

    huyo wala sio mwana chadema sauti hiyo niya tulia aksoni

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 12 часов назад

    mpaka aseme

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust 13 часов назад

    Mbowe ulikataa kustafu mwenyewe,utaaibishwa.

  • @MzeeKagambo
    @MzeeKagambo 12 часов назад

    Haya kama maigizo

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 10 часов назад

    Natukisha muondoa Mbowe tutadili na CCM juu chini 😂😂😂😂

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 13 часов назад

    Zito kawa mwemyekiti wakati mbowe yumo na kamuacha bado anatamani

  • @SilvaSendeu
    @SilvaSendeu 14 часов назад +1

    Hizo sauti tuna uhakika gani ni sauti za akina nani. Nyie waandishi wa habari acheni uchawa na uchochezi

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 13 часов назад

      Sikiliza vzr kajitambulisha jina na cheo chake na anakotoka kwahyo na ww umiza kichwa kufanya utafiti wako syo Kila utafuniwe.

  • @KHATIBUSENYE-ss3ok
    @KHATIBUSENYE-ss3ok 13 часов назад

    Wapiga cmu wote wanadhihaka they know the reality hata kama Kuna kitu wanajivunia nyuma ya pazia Mzee umejibu vizuri sana ili chama kiwe na heshima mambo nikupokezana asijione mtu kuwa yeye ndo final lakini kama ulivyosema utashindwa mkosoa chama tawala hakika mnasababu ya msingi kufanyia changes lakini huyo Mugabe au kabuta mseven ni shida ili aeshimike angatuke asiangalie mashinikizo ya nje otherwise wamemshitukia kuwa anawauza wenzake😊😊

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 11 часов назад

    Hatumtaki mbewe ruswa nying huyo anakdidimiza chama tu,klamwaka tunakua w sindikzaji tu.

  • @JacksonAnderw
    @JacksonAnderw 13 часов назад

    Habal

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 13 часов назад

    Mama huyo ni mbea,Demokrasia sawa dada kufanya kampeni kea kuwapigia wajumbe simu ili wamchague Mbowe hiyo ndo Demokrasia?

  • @fmleli.tz2004
    @fmleli.tz2004 10 часов назад

    Hizi drama za kuchafua kijinga sana unajuaje ni drama za kumchafua Mbowe utotot mkubwaa

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust 13 часов назад

    Acha iyo tabia ww mama.