KUELEKEA UCHAGUZI MKUU CHADEMA TAIFA,JIMBO LA MBINGA MJINI WATOA MAONI YAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 23

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 14 дней назад +3

    Hongera sana umechambua vizuri sana

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 14 дней назад

    Tundu lisu kwanza chama badae 💪✌️

  • @godfreymkulu4966
    @godfreymkulu4966 14 дней назад

    Lisu

  • @princeimani8078
    @princeimani8078 14 дней назад +2

    Hi

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 14 дней назад +2

    Lissuuuuuuuu

    • @jdanny497
      @jdanny497 14 дней назад

      Hawezi shinda hizo ni kelele tu

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 14 дней назад +2

    Lissu popote pale

    • @jdanny497
      @jdanny497 14 дней назад

      Maskini hana kiapo Ogopa mtu mwenye njaa

  • @LeahMgunda-l8c
    @LeahMgunda-l8c 14 дней назад +1

    Kongole mwenezi.

  • @Isack-b9k
    @Isack-b9k 14 дней назад +1

    Ulipo tupo

  • @kaitabaendrew8199
    @kaitabaendrew8199 14 дней назад

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 14 дней назад

    Hii ya kutegemea mtu mmoja kuwa mwenye hela kwenye chama akifa ghafla hapo ndipo itakuwa mbaya sana bora awaachie wengine ili aone mambo yatavyoendelea.

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 14 дней назад +3

    TUNDU LISU Daima nyuma mwiko

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 14 дней назад +1

    Luvuma safi lisu anatosha lisu oyee

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 14 дней назад +2

    Tunakwenda ma lissu

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 14 дней назад

    KATI YA HAWA WATU WAWILI KIPIMO CHAO ITAKU KUTOKA NA KUPOKEA RUSHWA ATAKAYETUHUMIWA NA HILO ASIPEWE KURA TUACHE MAMBO MENGININE YOTE, MAANA NCHI YETU IMEOZA KWA RUSHWA

  • @princeimani8078
    @princeimani8078 14 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 14 дней назад

    Hawezi jua huyo

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal 14 дней назад

    Acha porojo. Chimba zaidi ujue yaliyo ndani ya chama chako. Huwezi kueneza usichokijua. Jipe muda chimba, fuatilia utajua uozo uliopo. Msipofanya mabadiliko mmekwisha. Siri imefichuka. Jini katoka kwenye chupa

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 14 дней назад

      Achimbe zaidi nini zaidi ya maelezo hayo?

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 14 дней назад

    Jibu kwa capacity ya nchi unaongea utumbo

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 14 дней назад

    Wewe siyo mpiga kura hivyo msimamo wako si wa wajumbe watakaopiga kura