Ingependeza ndugu yangu ukanielezea kwauzuri na upole nandanganya kwa jambo gani ili nisiregelee hilo jambo mara nyingine . na sio uzuri kumuita mwenzako mushrik nihatari mm naamini hakuna mola anae faa kuabudiwa ila ni Allaah pekeyake . sijui nijambo gani nililp mshirikisha mola wangu .nieleze nipaye kuliacha . naomba unielezee hapa aw ruhsa utoe clip uelezee mm nimekosea wapi na kwa jambo gani mpaka inaniita mushrik?
Wacha kudanganya watu,mushrik

Khatari Iliyokuwepo Huenda Mushiriki Ukawa Niwewe. Uwe Usurubi Yakumwambia