Matukio mengi ya Zanzibar nayajua kupitia "Alfatah tv online"...Rashid Salim umebarikiwa na wanahabari wanaojua kuripoti vilivyo...Allah azidi kuwaenua nyote 🤲🤲. Ahmed kutoka Malindi,,Kenya.
Nyinyi polisi mupo kisiasa zaidi, halafu wacheni kula rushwa na kubambikizia watu kesi. Halafu mnaroho mbaya kishenzi baadhi yenu. Jiimarisheni kivitendo hata bunduki za kizamani. Bado kabisa
Tanzania wanajisifia at wanajeshi kali, kwanini mafunzo hayo yasifanywe kuwa na jeshi na usalama wa Zanzibar, Ajabu kila siku wanapiga kelele kusema waarabu wasiwekeze mbona mnaomba misaada kwao na sio hizo nchi nyengine. kiufupi tuacheni urasimu, unafiki na ubinafsi na tufuateni njia za haki hapo ndio Allah ataleta neema.
Matukio mengi ya Zanzibar nayajua kupitia "Alfatah tv online"...Rashid Salim umebarikiwa na wanahabari wanaojua kuripoti vilivyo...Allah azidi kuwaenua nyote 🤲🤲.
Ahmed kutoka Malindi,,Kenya.
Ahsante sana Ahmed
Simuliwauwa warabu tena munawatakia nn namalizao au baniyani mbaya au kiatuchake dawa
Nyinyi polisi mupo kisiasa zaidi, halafu wacheni kula rushwa na kubambikizia watu kesi.
Halafu mnaroho mbaya kishenzi baadhi yenu.
Jiimarisheni kivitendo hata bunduki za kizamani.
Bado kabisa
Tatizo serikali za kiafrika wanauza ardhi kwa UAE. Tena ardhi kubwa
Kuna msemo unasema..... Usiwe mkavu ukavunjwa (kama kuni) na wala Usiwe mbichi ukakamuliwa (kama juice)