Mhadhara wa Kiprofesa na Profesa Rwekaza Mukandala, Mwanzo-Mwisho Historia ya MV Bukoba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 43

  • @abbyhery
    @abbyhery 5 месяцев назад

    Asante sana Prof. Rwekaza Mukandara kwa utafiti wa kina. Umeutendea haki umma wa Tanzania, nasi tunajivunia kuwa na msomi kama wewe. Utafiti wako wa kina na andiko lako hakika litakuwa rejea kwa vyombo vyetu vya usafiri na kuimarisha usalama wa abiria. Ubarikiwe sana!

  • @GraysonBulayaNashumba
    @GraysonBulayaNashumba 5 месяцев назад +1

    Kama usomi ndo huu basi inaogopesha sana kuwa msomi

  • @Tanganyika-w5p
    @Tanganyika-w5p 5 месяцев назад

    Nawakubali sana Maprofesa wa nchi yangu ya TANGANYIKA.

  • @Joshua_Kalinga
    @Joshua_Kalinga 5 месяцев назад +1

    Jinsi ulivyoonesha umuhimu wa mabadikiko ya katiba, na kupendekeza aina ya mabadiliko tunayohitaji...hasa kuhusu mamlaka ya rais, hakika hii ndo usomi. Unaonyesha njia asante sana. LAKINI USIISHIE HAPO. "Its lamentable how few academics seek to encourage desicion makers to take more of their conclusions. For most academics, the book or paper is the end of the exercise. For strategic lobbyist it should be the starting point." John Clark: Democratizing Development.

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 5 месяцев назад +5

    Moja kati ya Maprofesa wanaojitahidi kwa dhati kushusha heshima na hadhi ya uprofesa! Yaani nchi yetu naona km tunaenda kuwa na msiba mzito lkn kwa watanzania ambao bd wako hai!

    • @djovitadiyami6085
      @djovitadiyami6085 5 месяцев назад

      JAMBO LA MSINGI NI KUULIZA UPROFESA UMEISAIDIAJE NCHI KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOKABIDHI NCHI IPATE MAENDELEO NA USTAWI.
      UPROFESA KASUKU KUNUKUU WASOMI AU MAPROFESA WALIOPITA NI JADI ILIGANDISHA FIKRA HASA ZA WAAFRIKA HATUWI CRITICAL THINKERS TUNA'DUBLICATE NA KUPASTE' KUONYESHA USOMI WETU.HAKUNA UTAFITI NA UGUNDUZI WALA 'INNOVATION.'

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM 5 месяцев назад

    Hapo sasa, KATIBAAAAAA

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 5 месяцев назад

    Siyo kigeugeu bari niwa Ovyo,binadamu asiyekuwa na msimamo niatari kwa jamii nzima

  • @henrygwalema1860
    @henrygwalema1860 5 месяцев назад +6

    Kama prof ni kuwa na akili kama za huyu mzee, basi heshima ya u pfr inashuka kwa kasi hapa nchini, itafika hatua mtu kuitwa profesa ni Sawa na mtu kuitwa mwijaku

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 5 месяцев назад +5

    Mikataba mibovu ndio shida ya nchihii subili Sasa mikataba ya bandari ndio mtakimbia nchi hii

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 5 месяцев назад

    Asante sana prof

  • @afredyohana356
    @afredyohana356 5 месяцев назад +9

    Huyu Mzee ni msomi lkn ni kigeugeu sana hata faida ya usomi wake unaweza usiione

    • @benamimulokozi6052
      @benamimulokozi6052 5 месяцев назад +1

      Quantify

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 5 месяцев назад +2

      Ni kwa sababu vyuo vikuu tanzania ni kama taasisi za serikali badala kuwa visima vya fikra... rejea enzi ya mwalimu Nyerere,mzee Mwinyi haikuwa rahisi viongozi kwenda chuo kikuu

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 5 месяцев назад

      Kweli kabisa

  • @samwel7975
    @samwel7975 5 месяцев назад +2

    Mzee anapenda sana kutaja neno 'jalala' anapokua anadeal na mambo ya chuo kikuu cha dar es salaam😂

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 5 месяцев назад +8

    Huyu mzee na bwana mdogo pole pole hawa watu tukiipata tanganyika huru Inapaswa tuweke sheria ya kuwanyonga wasariti na sheria hiyo watu wa kwanza kuwahukumu ni huyu mzee na pole pole kwn watu ndo wasariti namba moja kwenye taifa letu njaa zao na kukosa utu walituacha kwenye giza nene na kushiriki dhambi mbaya kuwahi kutokea kwenye nchi yetu ambayo hawa watu waliiratibu na kusababisha mzee wa waliyoba kubaki mwenyewe na msimamo wa khaki

  • @deusmalulu7568
    @deusmalulu7568 5 месяцев назад +2

    Well done Prof, ilikuwa vigumu kwangu kuelewa title ila kwa kusikiliza wasilisho lako nimeelewa vilivyo

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 5 месяцев назад

    Hayo aliyoyasema ni mepesi,yanajulikana .Hayakuhtaji professor kuwasikisha.Hata kijana wa form six angeweza kuwasikisha

  • @leonidaskwigize1853
    @leonidaskwigize1853 5 месяцев назад

    I always appreciate your standards

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 5 месяцев назад +3

    Hivi huyu ndiyo aliwahi kusema aliokotwa jalalani na mhe: MAGU?

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 5 месяцев назад +1

    Prof mbona hujagusia dp world.....upande wa mikataba?

  • @mmarycalvin6395
    @mmarycalvin6395 5 месяцев назад +4

    Hii hotuba ingetolewa mapema ingeponya watu MV NYERERE NA MV SPICE ISLANDER I
    HAPA ELIMU IMETUMIKA VIZURI
    MAPROFESSA MSIKAE KIMYA

  • @piuspaschal2964
    @piuspaschal2964 5 месяцев назад +1

    Hii ndio faida ya elimu. Tunahitaji watu wenye kujielekeza katika tafiti Ili nchi zetu za ulimwengu wa tatu zivuke

  • @michaelakonaay9774
    @michaelakonaay9774 5 месяцев назад

    No....long storytelling, not a professorial TalkSwitch 😢😢😢😢
    Mb zangu na muda wangu vimeenda

  • @PaulKabungo
    @PaulKabungo 5 месяцев назад +2

    Tunataka katiba mpya, ndipo tutajua prof kwa kuikwamua Tanzania

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 5 месяцев назад

      Akili yako imeishia katiba ya wanasiasa.sisi hitaji letu ni viongozi wazuri tu sy vinginrmea au katiba

    • @peleziyohana4806
      @peleziyohana4806 5 месяцев назад

      ​@@emmanuelmlowe-ew7gx wewe jamaa unaongea kama umekatwa kichwa. Katiba yako hii ya Sasa haiwezi leta kiongozi mzuri unayemzungumza. Ili kupata viongozi Bora, inabidi tupate katiba mpya

  • @michaelmnganga9886
    @michaelmnganga9886 5 месяцев назад +1

    Mzee wa majalala tumeshasahau unatukumbusha jamani tuache bana😂😂

  • @enockmakupa7815
    @enockmakupa7815 5 месяцев назад +3

    Yani kumbe serikali ndio ilisababisha vifo ya ndugu na jamaa zetu. Wanasheria mtusaidie namnagani kuishitaki serikali kwa uzembe huo ulisababisha genocide

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 5 месяцев назад

      Huna akili

    • @davidlyamboko7477
      @davidlyamboko7477 5 месяцев назад

      Serikali ni nani?
      Ikitakiwa kulipa Fidia hela si hizi hizi za Walipa Kodi wakiwemo familia za waliopata ajali?

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 5 месяцев назад +1

    Ni profesa lakini njaaa Sasa wanaendekeza matumbo Yao na familia zao

  • @ambelemwabudu5775
    @ambelemwabudu5775 5 месяцев назад

    maprofesor wa ccm ni matakataka

  • @djovitadiyami6085
    @djovitadiyami6085 5 месяцев назад +2

    Msitandike kichaka bali mkifyeke kumtoa chatu mla watu.

  • @abelabba7809
    @abelabba7809 5 месяцев назад +1

    mbwembwe za kujiendekeza kibao

  • @MorganMwaipyana-tz9vc
    @MorganMwaipyana-tz9vc 5 месяцев назад +1

    Hivi Nkrumah paliruhusiwa kutoa mihadhara kwa kiswahili?

    • @davidlyamboko7477
      @davidlyamboko7477 5 месяцев назад

      China maprofesa wanatoa mihadhara kwa kiingereza?

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 5 месяцев назад +2

    Maprofesa wa UD kuna shida sana! Hapo ni jalalani ikweli!
    Huyu Mukandara hastahili hata kusikilizwa. Ni mtu aliyelawiti chuo kwa sifa za hovyo tu. Alipokuwa REDET alijisemea mambo ya hovyo kabisa! Leo hii ndo anakuja kujidai kujua mambo? Kila wakati alikuwa anasifia utawala na alikuwa anasema hata uongo ili mtu fulani apate sifa. RUBBISH!!!

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 5 месяцев назад

      What the Professor has just said is absolutely nonsense.He should shut up his mouth because he used to embrace faulty policy prosecuted by the ruling CCM.Shame on him