TUNAOMBA CHAMA ABAKI/YANGA KILA MSIMU WANAMSAJILI/NI KIPENZI CHA WANASIMBA WOTE/TUNATAKA MAFANIKIO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 окт 2024
  • Klabu ya Simba SC kupitia kwa mashabiki wake Leo June 30,2024 wamefungua Tawi la Timu hiyo lililopewa jina la Mpira burudani maeneo ya Kigamboni Mbutu kichangani,hafla hiyo iliyohudhuriwa na Msemaji wa Simba SC Ahmedy ally ambae ndio alikuwa mgeni Rasmi

Комментарии • 1