BIASHARA 8 ZA MTAJI MDOGO | ANTHONY LUVANDA | Full Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 266

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 Год назад +3

    Somo ni zuri Sana, hongera. Mimi najua wewe ni msomi, ujitahidi kutumia Kiswahili pekee ili iakisi uhalisia WA elimu yako na kuondoa matabaka maana wanaofanya biashara na kufanikiwa SIO hao tu, tukumbuke na Sisi wanakijiji kaka.

  • @azorimaganza7036
    @azorimaganza7036 6 лет назад +4

    You and Joel Nanauka 're a great coach and mentor to many. Thank you for helping us out; I really appreciate your inspirational and support,A few people have the privilege of having such a supportive and giving speakers. We're beyond lucky to have you guys in our generation. Thank you for being there for me yet again. I am so grateful that you are in my generation.Seen myself at 8:41, 14:28 & 29:29.See you at the Top

  • @stivinstivin7656
    @stivinstivin7656 5 лет назад

    Kweli kabisa kulingana na huo uxhauli wako watu tuna weza kutoka kimaisha cha muhimu inatakiwa tumuombe mungu atusaidie kwenye kazi zetu

  • @theosaimon6933
    @theosaimon6933 7 лет назад +13

    Thanx for the good and knowledge i getting something thanx sana luvanda ntakutafuta nikija Tanzania your a good teacher bro

  • @ellymsuya7131
    @ellymsuya7131 6 лет назад +2

    Mungu akubaribi sana kwa sababu umenitoa kiakili zaidi👍👍

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 3 года назад +7

    1. Events planning & Management
    2. Photography
    3. IT consulting
    - web design, graphics design, Web maintenance
    4. Social media planner
    Manage social medias(FB, INSTAGRAM etc) of different companies
    5. Personal trainer
    -Swimming trainer
    -GYM trainer
    - Company registration
    6. Make-up artist
    7. Network marketing
    - Know more people to share your company's products
    8. Mobile money service
    Tigo pesa
    Halopesa
    T-Pesa
    Vocha
    #AhsanteMcLuvandaEvents

  • @Blandine81
    @Blandine81 2 года назад

    Merci beaucoup mon frère ❤️👌(Asante sana kakayangu )

  • @robertmgori8165
    @robertmgori8165 Год назад

    Thanks so much brother luvanda

  • @kissymbrazil4329
    @kissymbrazil4329 4 года назад +1

    kaka umeongea kiingereza kiingi sana somo linakua halina msahada kwetu ambao hatujui kiingereza somo zuri tatzo kiingerezaaa

  • @leahchallomachibya1791
    @leahchallomachibya1791 6 лет назад +27

    😘😘😘😘KARIBUNI NAMIMI NI MSUSI MZURI KWA MGENI BEI YA STYLE YOYOTE NI 20000 TU... KARIBU SANA. NAPATIKANA MWENGE DAR ES SALAAM.

  • @adolfkizinga1846
    @adolfkizinga1846 3 года назад +1

    Nice lesson brother may God bless you congrats

  • @florentbunzaly6391
    @florentbunzaly6391 5 лет назад +2

    Thanks for your education ,it has opened our minds

  • @edwardalex483
    @edwardalex483 7 лет назад +9

    thanks Mr Tony. i learn kias chake.

  • @nurdinyin7183
    @nurdinyin7183 6 лет назад +5

    GOD will bless you Tony thank you

  • @Jaymediatzonline
    @Jaymediatzonline 6 лет назад +3

    Thanks bro. Japo mimi sijafika huku Chuo kikuu nimejifunza vitu flani

  • @joycejacob6263
    @joycejacob6263 Год назад

    You're Good teacher

  • @abdufatuma9420
    @abdufatuma9420 5 лет назад +1

    May God bless you, " better late than never" kindly I would like to get intouched with you. You really motivated me sir.

  • @suzandavid3582
    @suzandavid3582 6 лет назад +1

    Thanks to you.... Umenifungua zaidi

  • @ikramsafnes3019
    @ikramsafnes3019 6 лет назад

    NAKUPENDA sana kaka tena sana kaka MWENYEZI MUNGU AKULINDE SANA TENA SANA WE ARE PRAYING FOR YOU EVERYDAY .BINAFSI NIMEPATA NOREJI KUBWA SANA KAKA ##ANTHONY LUVANDA

  • @mussastephano7627
    @mussastephano7627 6 лет назад +6

    Nice brother Anthony Luvanda . I welcome you one day to visit Muhimbili university

  • @nouritekum4439
    @nouritekum4439 7 лет назад +5

    your ideas are something else!! u inspire

  • @moniqn5324
    @moniqn5324 2 года назад

    Great stuff but the music is very annoying

  • @kabuodorcas8538
    @kabuodorcas8538 6 лет назад +1

    Wewenimwalimu muzuri asante sana Mungu atakulipa

  • @joyblessedtv
    @joyblessedtv 7 лет назад +25

    am touched nimeamua kuamka am going to do something thanks for motivating me.

  • @agnessmollel1249
    @agnessmollel1249 7 лет назад +11

    Nimekupenda bure.....MUNGU akubriki sana

  • @suzanamartin6342
    @suzanamartin6342 4 года назад

    Kaka nimekwelewa sana naomba uzunguke mikoa yote kutoa hizo semina uje nahuku kwetu shinyanga

  • @yangasconline
    @yangasconline 6 лет назад +5

    Tony i wish you more blessing from God thanks so much for your lesson

  • @nollyafricanmovies9569
    @nollyafricanmovies9569 6 лет назад +1

    Business is very important for our economy asante sana.....na mimi nina kitu changu nakifanya...kama mnapenda movies na series tembelea channel yangu...

  • @kulthumsalim1886
    @kulthumsalim1886 7 лет назад +11

    Nice speech Mr.my Allah bless you a lot...

  • @privatusaudax5271
    @privatusaudax5271 5 лет назад +2

    brother elim yako iko vizuri sana ni ukweli mtupu

  • @godfreyluvanda1479
    @godfreyluvanda1479 2 года назад

    Ahsante sana

  • @peninaancon1256
    @peninaancon1256 6 лет назад +1

    Great talk 👍👍👍..

  • @ngoyemotinspnetwork.7124
    @ngoyemotinspnetwork.7124 6 лет назад +2

    thanks sana kaka.
    ila naomba kuona nawe kaka.
    naomba nielekeze ofisi zako.

  • @catherinekasanda6366
    @catherinekasanda6366 7 лет назад +6

    karibu chuo kikuu cha Science na technology Mbeya, we also wish to hear from you Mr.

    • @TonyInspirationalTalk
      @TonyInspirationalTalk  6 лет назад

      catherine kasanda Asante. Andaeeni seminar ntakuja

    • @emauf
      @emauf 6 лет назад

      @@TonyInspirationalTalk I am also from MUST, You are most welcome, and your presence will be greatly appreciated.

  • @kahasatv8262
    @kahasatv8262 4 года назад

    Editor, plz naona sauti bit lako linatuchanganyia habari tunataka tuskie sauti vizuri na sio hilo beat lako, sijaona umuhimu wake wakti mike za kunasa sauti zipo vizuri

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 4 года назад +1

    Your my mentor

  • @ikramsafnes3019
    @ikramsafnes3019 6 лет назад +2

    Your voice ,speech,Version it very enough to show you is one and the special man Tanzania .educated

  • @yasinyasin-xi7yn
    @yasinyasin-xi7yn 5 лет назад

    ubarikiwe sana kwa kazi yako nzuri

  • @ireneluke3533
    @ireneluke3533 6 лет назад

    Enx dear brother nmejifunza kitu nilikua na wakat mgumu naamin kupitia wew nitafika tu

  • @sarafinasabas8845
    @sarafinasabas8845 2 года назад

    Ahsante kaka

  • @mariamkiwaka4729
    @mariamkiwaka4729 6 лет назад +2

    When your young, work to learn, not to earn!!! Kuongea ni kitu rahisi but absolute real reality sio. Everything need money . If you have money you will get money.

  • @ZamZam-ph3dy
    @ZamZam-ph3dy 6 лет назад +2

    Good sir thank you, i like it

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 3 года назад

    1.event planning and management..so hot

  • @shomarimtelea1606
    @shomarimtelea1606 4 года назад

    unawapashida wasioenda shule maneno mawili kiswahili
    maneno saba kingereza
    WABONGO BNAAA...!!

  • @rehemanassor352
    @rehemanassor352 3 года назад

    Wow! Somo zuri sana

  • @innocentwasiwasi901
    @innocentwasiwasi901 5 лет назад

    Uko vizuri Luvanda ila kuna vipengere baazi unatumia sana kingereza unatuacha hewani kaka

  • @prosperlelo7768
    @prosperlelo7768 5 лет назад +3

    Katika darasa hili nimetoka na hichi: SKILLS - DEVELOP YOUR MIND,DEVELOP YOURSELF AND SETUP THE GOALS MORE EFFICIENTLY.By PROSPER LELLO, IAA STUDENT,STUDY ON FINANCE AND BANKING.

  • @wemalenard8443
    @wemalenard8443 4 года назад

    Nimejifunza

  • @eventstransportationservic9194
    @eventstransportationservic9194 6 лет назад

    Thank you a lot Mr.Luvanda

    • @amanjohn4391
      @amanjohn4391 5 лет назад

      Omba mungu akupe akili kwanza wengi wanatanguliza kupenda Mali za haraka haraka utafeli pata hii elimu kwanza

  • @laurinfred8887
    @laurinfred8887 5 лет назад +15

    Basi ukitoka kumsikiliza huyu jamaaa unaona kama ushafanikiwa, ila jaribu sasa kuingia mtaani kiyafanyia kazi alokuambia ndo utajuaa😅😅,

    • @scolamayomba5670
      @scolamayomba5670 5 лет назад

      Apo umeongea

    • @laurinfred8887
      @laurinfred8887 5 лет назад

      @@scolamayomba5670 😂 ni nomaa wanakuwaga na ushawish hawa

    • @aishakhasim1440
      @aishakhasim1440 5 лет назад

      Kwelii bwana daah😂😂😂😂😂maisha si mchez

    • @paulenock7719
      @paulenock7719 5 лет назад +1

      🤣🤣🤣ee bana unaweza mbali kuanza kutembea mtaani unajikuta kituko tu

    • @lameckjohn3257
      @lameckjohn3257 4 года назад

      Ni kwasababu anakufundisha matokeo na sio sababu za kupata matokeo

  • @agathaphoteen3574
    @agathaphoteen3574 6 лет назад +1

    Good..nmekupenda bureee

  • @najmakimosa8306
    @najmakimosa8306 6 лет назад +15

    Anthony brother naomba mawazo Mimi ni hand worker napenda kazi za mikono na ninapenda kujifunza lakini bado in MASIKINI nifanyenini niweze kukitumia kipaji changu kujikwamua kiuchumi

  • @joelylimon8781
    @joelylimon8781 6 лет назад +1

    Asante sana dady yetu

  • @Rayflix44
    @Rayflix44 5 лет назад

    Shida yenu nyie speakers mpo Tanzania lakini mnatumia sana kingereza , unavyoelewa sio ambavyo watu wote wanaelewa. Fundisha kulingana na mazingira ,

    • @deborahchaula911
      @deborahchaula911 5 лет назад

      kuku_ Tz hapa anawafundisha waanachuo wewe angalia,unachoelewa

  • @sichochote
    @sichochote 7 лет назад +10

    I like your speech Tony

  • @stevebupamba5009
    @stevebupamba5009 5 лет назад

    great great great ideas......100%

  • @joanithasalvatory9707
    @joanithasalvatory9707 7 лет назад +19

    thanks but i beg you to come, in Institute of rural and development planning in Dodoma

  • @OyoTanzania
    @OyoTanzania 5 лет назад +1

    content nzuri sana ubarikiwe kaka

  • @sangjr8219
    @sangjr8219 6 лет назад +2

    Safi sana. I got u

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 5 лет назад

    Nice talk,very motivational-Ila huo muziki ungeondolewa kabisa baada ya mazungumzo kuanza.

  • @abelsanga7361
    @abelsanga7361 6 лет назад +1

    u are the unlocker

  • @danielryaga2166
    @danielryaga2166 7 лет назад +1

    it so good Anthony i like it u'r speech

  • @virginiamumbua2972
    @virginiamumbua2972 Год назад

    Wow

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 лет назад +2

    Huyu anafundisha sawaaaa...but issue yeye anabiashara gani?au biashara yake ndio hii anayoifanya hapa.
    "napita tuu!!!"

    • @deborahchaula911
      @deborahchaula911 5 лет назад

      Freddy Mello huo no mtazamo hasi Fanya yanayokufaa kama unahis rahisi jaribu kurusha kitu uone wangapi wanakufuata

  • @pendojailosy9082
    @pendojailosy9082 5 лет назад

    mm pia kuna fursa naifanya hapa chuo... asante kwa kuzid kunimotivate... karbuni kwa mwanachuo yeyote anaye hitaji kuijua pia

  • @bigambalayejooh7761
    @bigambalayejooh7761 6 лет назад +2

    Please can you explain more about Event planning and management

  • @margaretmkangala7774
    @margaretmkangala7774 5 лет назад

    Mimi napenda hayo mambo ya kilimo nakusubiri asante

  • @nasovajaha3158
    @nasovajaha3158 6 лет назад +1

    Karibu mwalimu nyerere University

  • @mihangwabuyamba3264
    @mihangwabuyamba3264 6 лет назад +2

    I liked much your work,for unlocking the locked mind for development.

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 6 лет назад

    Shukrani nimejifunza kitu

  • @allymwasingo2044
    @allymwasingo2044 5 лет назад +1

    elimu nzuri

  • @emauf
    @emauf 6 лет назад +5

    Anthony Luvanda. A great inspiration.
    Subscribe account yangu nitakuwa na share biashara zaidi ya 100 za mtaji mdogo, zisizohitaji mtaji, na mtaji mkubwa. Vitu muhimu kwa mwanachuo anaependa kufanya biashara akiwa chuo pia.

    • @ahlamali3541
      @ahlamali3541 6 лет назад

      im the one

    • @yusuphpkalulu5603
      @yusuphpkalulu5603 5 лет назад

      Kaka Antony Mimi nimekuwa nafanya biashara zangu hapa chuo duce nafanya biashara za network marketing na kuuza nguo so nimependa sana inspiration zako I'll be with u closer brother am really love this stey blessed

    • @musalucas1633
      @musalucas1633 5 лет назад

      Nisaidiee namba yako

  • @davidraphael6718
    @davidraphael6718 3 года назад

    Vp naweza kupata nafasi ya kuuliza ..?

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 5 лет назад +1

    Very simple

  • @zakayomoshi1270
    @zakayomoshi1270 5 лет назад +13

    Xema ungefanya mpango wa kuongea KISWAHILI mwanzo mwxho kwa sababu ni watu wengi wanakutazama na kukuskiliza kwa hyo sio wote watakuelewa

    • @lameckjohn3257
      @lameckjohn3257 4 года назад +1

      Ilitakiwa ujifunze kingereza ili upate fursa ya kujifunza mambo mengi zaidi

    • @kalenzokalenzosentunagu4766
      @kalenzokalenzosentunagu4766 4 года назад

      Zakayo Moshi nikweli hapo mzungu haelewi na mweusi ndobas kingeleza kinawenyewe na kiswahili nawenyewe ausyo

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 6 лет назад

    Ahsante sana / somo zuri

  • @suzylyimo5345
    @suzylyimo5345 6 лет назад +1

    asante barikiwa sana

  • @getrudenyamvula3511
    @getrudenyamvula3511 7 лет назад +1

    thanks for sharing sir

  • @Capt_Willy
    @Capt_Willy 5 лет назад

    Karibu chuo cha Mipango-Dodoma brother

  • @annasamwel2966
    @annasamwel2966 6 лет назад +1

    thank brother i learn something be blessed

  • @dianadeogratias7533
    @dianadeogratias7533 6 лет назад +2

    sante sna mkuu i like it

  • @pablogeoffrey5231
    @pablogeoffrey5231 5 лет назад

    Nivyema ungetoa na challenges zake ..! Izo ni biashara za mdomoni

  • @lukeloezekia6712
    @lukeloezekia6712 6 лет назад

    Thank you bro.

  • @joelylimon8781
    @joelylimon8781 6 лет назад +2

    Asante sana

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 3 года назад

    Nimevielewa mno kwa sababu teyari nimemaliza chuo ila kwa aliyechuoni hawezi kukuelewa hata

  • @lovelydaughter175
    @lovelydaughter175 5 лет назад +2

    Am in Zanzibar how can I get your CD ? my brother

  • @عيالي-م6ف
    @عيالي-م6ف 6 лет назад +15

    unaongea kingereza sana wotewanao kufata hawasikii unasema nini

  • @bigambalayejooh7761
    @bigambalayejooh7761 6 лет назад +3

    sorry naomba niulize kitu hapo kwenye point No 4 kuhusiana na social media constantncy,,vipi kuhusu hati miliki unaweza kufungua account ya kampuni Fulani let say CRDB bank na ukaanza kuupdate information zao without permission yao

  • @abdonbageita865
    @abdonbageita865 6 лет назад +2

    good entrepreneurs

  • @ribesonara636
    @ribesonara636 5 лет назад

    Thanks buddy

  • @mutuamulinge6158
    @mutuamulinge6158 5 лет назад

    Wengi wanalalamika hawafahamu Kiingereza .Tayari kuna nafasi ya bishara .Kufunza watu basic English. Can some fill that gap. You earn by solving people's problems

    • @paulenock7719
      @paulenock7719 5 лет назад

      Hahaha jamani nimecheka sana watu wanalalamika sana ndugu fulsa hii

  • @maxtv689
    @maxtv689 7 лет назад +7

    thanks so much Tony for your good prevention but how can I get your no,#

  • @International_Admin
    @International_Admin 4 года назад

    thanks I get well

  • @rudomgera6394
    @rudomgera6394 5 лет назад

    Thanks

  • @georgematahimba5242
    @georgematahimba5242 5 лет назад +5

    Nadhani ni specialy kwa waliosoma sisi vihiyo....bye mzee

  • @eliusandrew3762
    @eliusandrew3762 5 лет назад

    Inawezekana

  • @kumwekabrandtv3115
    @kumwekabrandtv3115 7 лет назад +4

    appreciate my role modal

  • @nicholasjoseph9080
    @nicholasjoseph9080 5 лет назад

    naomba usiache kuja mwanza kutoa somo hpa katikati ya jiji hpa vijana weng wanakaa vijiwen

  • @fortunatemathiasbarabara3686
    @fortunatemathiasbarabara3686 7 лет назад +3

    I like you Luvanda

  • @agathamdemu7084
    @agathamdemu7084 6 лет назад +3

    Plz karibu Mzumbe mbeya campus College plz