Dah inaitaji moyo mchunhaji hivi kwa haya yote na bado unasema Mungu anajibu mm ni kiumbe dhaifu tu toka kuzaliwa nikaanza kujitambua miaka tisa mpaka leo miaka 24 naumwa na bado unasema Bwana anajua ninayopitia ni moyo wa namna gani huo niupate nipate kuimili haya?
Amina , Mungu wetu apewe sifa siku zote Kwa neema zake juu yetu🎉
Thanks for your word from God nmejifundisha mengi barikiwa sana
Pastor Mungu akubariki ninaeendelea kuwa imara kiroho na kiakili kupitia masimo yako.
Powerful message from this man of God. May God continue using you in His vineyard for the glory of His name.
MUNGU atusaidie sana AMEN
Ooh mungu ntafumza watoto wangu maombi
Pastor Ubarikiwe Kwa SoMo hilo
Nakutazama nikiwa Kenya mahubiri Yako yamehuisha moyo wangu,ubarikiwe Sana.
nimegundua kuwa watoto waliokua na maombi tofauti tofauti umefanya vizuri kuwaita wote
SoMo zur mnoo,pasta barikiwa sn,na mungu wetu atubariki sote Amina,,
Mungu akutunze wengi waokolewe kupitia ww nimejifunza kitu kwamahubir haya
eimen pastor barikiwa
🙏🙏🙏nimeshukuru sana kwa mahubiri mazuri nimeinuliwa kiroho Na Mungu akubariki
Sabbatho ya leo Ikatutakase na kutubariki na kutubadilisha pia 👏👏👏
Amina mtumishi ubarikiwe
Happy Sabbath day tuned in Germany
Amen🙏 Mtumishi
Amen mtumishi nimeelewa na kubarikiwa
Mbarikiwe watoto
Good massage indeed. Be blessed pastor.
Nimebarikiwa
Hongera
SoMo nzuri sana, it's a blessing to our Life
Amen 🙏 🙏🙏🙏
Kila mtu anaee fatilia mahubiri yako hata kaaa ajutie bundle lake MUNGU AKUBARIKI SANA Pasta David Mbaga
Nabarikiwa sana.
Amen❤
Thank you pastor Mmbaga, I've really benefited. Be blessed abundantly.
Hello uko na namabari ya mchungaji ningependa niwasiliane na yeye kuhusu vitabu vyake ...
Barikiw
Amen Glory to Almighty God
Mola akuinue
Hiii imekaa sawaa tuimeze itusaidie hasa wadada
Thanks
Amina Amina
Barikiwa sana
Barikiwa Sana mchungaji. Nina swali je unapokoza jibu kwa mipango yako ufanye Nini?
Amina sana
Amina
Aminaa
ubarikiwe mtumishi
Amen
Amen
Aksente ubari kiwe sana Pasteur
Sabato iliyopita hii Ubarikiwe mchungaji hata Sabato ya leo tumebarikiwa kwakweli kanisa Ipagala.
Pasta unamjua vizuri panya unamkuta Kala suti yako au katafuna sofa zako halafu muache
Dah inaitaji moyo mchunhaji hivi kwa haya yote na bado unasema Mungu anajibu mm ni kiumbe dhaifu tu toka kuzaliwa nikaanza kujitambua miaka tisa mpaka leo miaka 24 naumwa na bado unasema Bwana anajua ninayopitia ni moyo wa namna gani huo niupate nipate kuimili haya?
Mungu akutetee usikate tamaa
usikate Tamaa dear...Mungu ni muaminifu sn na atatenda kwa wakati wake
NABARIWASANANAFUNDILAMUTOTOALIYELISHAWATU 5000ELT
Anaefaham huyu mchungaji anaongoza kanisa gani kwasasa anitajie tafadhal au mwenye namba zake
David mbaga mostly anapatikana kwa chanel ya mahubiri TV am sure utapata no yake
Ni wakanisa la wasabato mara nyingi anapatikan mhubir tv
Yupo kanisa la Waadventista Wasabato Dodoma Kati
Amina sana
Amina
Aminaaaaaaa
Amen
Amina
Amen
Amen