Nikitoa la moyoni Gwajima NAKUPENDA Sana Mtumishi wa Yesu na huwa nakuelewa sanaaaa Barikiwa sana una mafumbo ambayo nayapenda kulikoni uhalisia wa unacho maanisha..unafundisha watu wazima..
😮😮😮 kutoka Saudi Arabia mungu nisaidie nifungulie mirango na watoto wangu wasijisikie ukiwa na upweke wasiwe na moyo wa hasira mungu wafunike damu ya yesu
Napenda sana anavyo hubiri na kufundisha:,huyu Askofu Gwajima natamani sana pamoja,nakuwa Askofu wa kanisa lake tu:,Bali natamani angekuwa Lecture wa Vyuo,Vikuu: vya Kikristo Duniani akipewa vipindi kutoa Matilio haya bora kabisa kuwahi kutokea kwetu:
Nimesikiliza na kuona video zako nyingi RUclips,Nakuombea Mungu akulinde,na akuongeze maarifa na mafanikio,ili uendelee kuitetea nchi yetu,uendelee kutututea,na tujiendelee kujipatia hekima nyingi kutoka kwenye mafundisho yako. Niko Mwanza,ila siku nikija Dar,nitakumbelea kanisani kwako nikusikilize mubashara! Mungu akupe uzima na ukuzidishie mafanikio na afya njema ili tuendelee kuvuna hekima hii uliyojaliwa na Mungu.
Mimi kwa sasa niko saudi lakini napitia wakati mgumu sana kila nitakacho jaribu kufanya hakifanikiwi sijui pesa inaenda wap ju nikipata imeisha nimesikiza haya mafundisho 🙏🙏🙏emwenzi mungu naomba unifungue kifungo nilicho fungwa nifanikiwe nilee familia yangu
Naomba Mungu amuongezee nguvu askofu gwajima.zaidi na zaidi wajitokeze wakina gwajima wengine wengiwengi.maana wakiwa 10.kama hawa.tanzania.imetoboa.kazana baba shetan kwA sasa.anarukaruka.endelea.kumminya gwajima.uzunguke.tena.Tanzania
Nikitoa la moyoni Gwajima NAKUPENDA Sana Mtumishi wa Yesu na huwa nakuelewa sanaaaa Barikiwa sana una mafumbo ambayo nayapenda kulikoni uhalisia wa unacho maanisha..unafundisha watu wazima..
Ameni baba mchungaji nimeelewa somo vizuri ANAE NIROGA atarogwa mwenyew kwa jina la YESU KRISTO ALIYE HAI 🙏🙏
Nimebarikiwa na hili NENO, Ubarikiwe Mtumishi Wa Kristo Yesu.
😮😮😮 kutoka Saudi Arabia mungu nisaidie nifungulie mirango na watoto wangu wasijisikie ukiwa na upweke wasiwe na moyo wa hasira mungu wafunike damu ya yesu
Advanced preaching ,annointed preaching ,God bless you!!!!
Napenda sana anavyo hubiri na kufundisha:,huyu Askofu Gwajima natamani sana pamoja,nakuwa Askofu wa kanisa lake tu:,Bali natamani angekuwa Lecture wa Vyuo,Vikuu: vya Kikristo Duniani akipewa vipindi kutoa Matilio haya bora kabisa kuwahi kutokea kwetu:
Barikiwa mtumishi wamungu
Mungu wangu nipe matunda Saudi Arabia Amen 🙌 🙏
Amen Baba yangu original I love you Dady
Nimesikiliza na kuona video zako nyingi RUclips,Nakuombea Mungu akulinde,na akuongeze maarifa na mafanikio,ili uendelee kuitetea nchi yetu,uendelee kutututea,na tujiendelee kujipatia hekima nyingi kutoka kwenye mafundisho yako.
Niko Mwanza,ila siku nikija Dar,nitakumbelea kanisani kwako nikusikilize mubashara!
Mungu akupe uzima na ukuzidishie mafanikio na afya njema ili tuendelee kuvuna hekima hii uliyojaliwa na Mungu.
Hakika Mungu amekupa mafunuo makubwa ya kutuondoa gizani Mtumishi. Barikiwa sana.
Ameen ,,uishi milele, mtumishi jasusi la mbinguni
Balikiwa San mtumish ❤❤❤❤❤❤❤
Baba Gwajima umetumwa kwangu huu ujumbe ni wangu kabisa
Mimi kwa sasa niko saudi lakini napitia wakati mgumu sana kila nitakacho jaribu kufanya hakifanikiwi sijui pesa inaenda wap ju nikipata imeisha nimesikiza haya mafundisho 🙏🙏🙏emwenzi mungu naomba unifungue kifungo nilicho fungwa nifanikiwe nilee familia yangu
Ameni Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🥰 emungu nisaidie nisipaniki nitoke kwenye mtego
Naomba Mungu amuongezee nguvu askofu gwajima.zaidi na zaidi wajitokeze wakina gwajima wengine wengiwengi.maana wakiwa 10.kama hawa.tanzania.imetoboa.kazana baba shetan kwA sasa.anarukaruka.endelea.kumminya gwajima.uzunguke.tena.Tanzania
Mungu akutunze Mch kwa manufaa ya Dunia nzima
Mungu nipe kutokuchoka😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Ubalikiwa pastor nakuelewa sana
Watching from Nairobi Kenya
I connect to the grace
Huu uwanja ni Mzuri Sana,imeandikwa,sio uwanja wa hofu sitautumia kupigana na adui yangu.
Mungu akupE maish
Mrefu baba 2:51
Amen nakufata kutoka finland
Ujumbe mzuri sanaaa asante mchungaji.
Amina BABA
Amina kubwa baba asikofu
Asante mchungaji
❤❤❤❤gwajima
Barikiwa sana baba askofu
Nakukubali sana ngwajima😊
Mtumishi baba mwenye masomo yenye mafunuo sana
Yesu nisaidie
Amen Baba Askofu
Mungu akulinde na kukupgania
Vizuri mtumishi
Kama ville pastor Ezekiel wa new life church Mombasa Kenya,ulinyamaza Mungu akamtetea.
Amen Amen baba.
Niko congo drc ongezewa kipaji baba
Nimemuomba Mungu baba yoshi miaka 120 ukiwa na nguvu ya kuhubiri injiri wewe na mimi tu majasuzi ya mbinguni haleruuuuuuuuuyaaaaaa
Ubarkiwe baba
Haleluya Baba 🔥 🔥 🔥
mmh wonderful
Original message
Hallelujah
Amina
Kweli Baba!
❤❤❤ good news
Rais wetu ajae❤
😅😅😅😅 Mtumishi hapo kwenye kutega ndege hapo😅😅😅😅😅 ubarikiwe sana. Umetukumbusha mbali sana.
Ameeeen ameeen ameeen
Ameen
HUYU NI MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI
❤❤❤🎉
Thanx papa
🌺❤️❤️🌺
Ujumbe umelenga penyewe
Mchungaji mm ninakukubali mno
Mwambaaaaaaaaaaaa jasusi la mbinguni
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Hakika ujumbe mzuli
Izi short video jmn wekeni ndefuuu 😮
8:55
Tupe nyingine saaa moja
Usichoke
Ukikuta mtu anamsema hovyo huyu mwamba basi juwa unaongea na jini aliyevaa umbo la binadamu,,,, maana mtu wa kawaida hawezi nena hila kwa Gwajima boy
Hakika unacho Sema ni kweli
Ameen
Amen
❤❤❤❤
Ameen
AMEN
Amen
Amen