VITUKO MSIBANI: Masanja Alivyowachekesha Waombolezaji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @yohanamjenjemo2245
    @yohanamjenjemo2245 6 лет назад +2

    Halelujah:, Masanja wewe uko active sana. hongera!!!!!!!!!!!!!!.

  • @ferdinandnkamu8638
    @ferdinandnkamu8638 6 лет назад +3

    Poleni sana familia ya Mzee Kwajima. Mungu awatie nguvu.

  • @nithangow5030
    @nithangow5030 6 лет назад +3

    Hakika ukiwa na kipaji unaishi. God bless

  • @sophiamwanjanjoghomi5776
    @sophiamwanjanjoghomi5776 6 лет назад

    ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @maarufumohamed9655
    @maarufumohamed9655 6 лет назад +2

    Mungu ailaze roho ya mama maali panapo staiki

  • @ladoceurtony1567
    @ladoceurtony1567 6 лет назад +1

    Poleni sana familia ya baba

  • @marthasilas4304
    @marthasilas4304 6 лет назад +2

    Hata msibani, gwanda!!! Dah!

  • @bintievaezekiel7509
    @bintievaezekiel7509 6 лет назад +1

    neno la mungu first

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 лет назад +3

    masanja ni hatari sana

  • @YamunguYb
    @YamunguYb 6 лет назад +2

    Masanja upo juu

    • @christelleetiboi3236
      @christelleetiboi3236 6 лет назад

      7. SASA ! UJUMBE HUU UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14:7 ni tofauti na Matayo 25: 6.
      www.philippekacou.org
      goo.gl/WvqAz2
      #‎ProphetKacouPhilippe

  • @rozimweya3852
    @rozimweya3852 5 лет назад

    Diamond

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 лет назад

    Duuuuh noma sana 😂😂😂😂😂

  • @babjchumila3811
    @babjchumila3811 6 лет назад +2

    acheni ukuku mbona hakuna sauti

  • @ayendamethusela3310
    @ayendamethusela3310 6 лет назад +2

    Duh

  • @kanguchuerasmo579
    @kanguchuerasmo579 6 лет назад

    Nc

  • @bernardkamungu1714
    @bernardkamungu1714 6 лет назад +2

    Dhuh

  • @chokaaloyce4599
    @chokaaloyce4599 6 лет назад +2

    zitto naitaji number yako

    • @zakiamaungazakia720
      @zakiamaungazakia720 6 лет назад +1

      Nawasubir munfufue mbwembwe tu makanisani nafufua nafufua mbona mama yako umfufui usimzike mfufueni mnashindana na Allah kuhubia watu uongo gwajima unafufua

    • @abedijonas4936
      @abedijonas4936 6 лет назад

      Zakia Maunga Zakia duh

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 6 лет назад

      gara bukoba

  • @grace-angeleplasseu1381
    @grace-angeleplasseu1381 6 лет назад +2

    Wote unasema ni nzuri lakini wewe ni Wakristo? Kwa sababu leo, kama unamkataa Mtume Kacou Philippe basi ni Shetani kwamba umemwita Yesu Kristo na kuabudu bila kujua. Nuhu, Musa, Eliya, Yesu Kristo, Paulo na kila nabii alikuwa na kitabu chake na alikuwa Njia, Kweli na Uzima wakati wake. Na leo, kwa ajili yenu, ni Mtume Kacou Philippe ambaye ni Mwanga wa dunia na Njia, Kweli na Maisha. Hakuna mtu anayeweza kuokolewa isipokuwa na yeye. Leo, wewe ni Wakristo, sio kwa sababu unatembea kulingana na Biblia lakini kwa sababu unatembea kulingana na Mtume Kacou Philippe!
    Hapa ni kwa bure kitabu cha Mtume Kacou Philippe:
    http: // www. philippekacou. org
    http: // goo. gl / WvqAz2
    # ProphetKacouPhilippe

    • @thomasmianga1133
      @thomasmianga1133 6 лет назад

      imani yako kristo yesu na Mungu baba aliemtuma ukiambatanisha na matendo yako mema ndo utaenda mbinguni. hamna nabii cku izi walikuwa agano la kale tu ndo walikuwa manabii wa Mungu. siku izi neno unabii ni kutafutia kiki. mbona hawatabiri,.......? zaidi ya kuponda imani za watu. hakika hukumu I juu yao

    • @njugzkeith
      @njugzkeith 6 лет назад

      Grâce-Angèle PLASSEU maneno mengi ya kirongo yote....

    • @angelomaria6846
      @angelomaria6846 6 лет назад

      Ntabarikiwa ukinisaidia kuthibitisha hilo Kimaandiko zaidi, God bless you sister, I believe you will, mimi ni Mtznia

    • @nsobiobadiah6580
      @nsobiobadiah6580 6 лет назад

      eti nini?

    • @jicholafursa7058
      @jicholafursa7058 6 лет назад

      Grâce-Angèle PLASSEU .

  • @emmaleejr6670
    @emmaleejr6670 6 лет назад +1

    Hahahaa