Rapcha mdgo wang upo sehem sahih na hujakosea kua #Bongo Records naamin katika uwezo wako🤝na miongon mwa nyimbo zako ambazo znananifanya nkuelewe mdg wang ni #Mama pambania kombe #Shyonetv
nalifata soko,linifate soko,mtumwa wa soko,kiki ndio soko,litambue soko ndio uchague soko,huwezi kosa soko,letu wote soko.JIFUNZE HESHIMA IKUTUNZE ILA PESA TU NDO ZITAKAZOKUSAIDIA KWENYE UZEE.......oya me nimewasanua tu mistari ya uyu mwamba ina maana kichizi.
Msamiati nailed the flow...He smashed for real what a lyrical, story telling rap with creative moves we been expecting here in Tanzania... Keep that up forever team.
Kama kawaida Msamiart ametupa mistari yenye mafundisho ya maisha, huyu jamaa ni ulamaa wa kizazi chetu.. Video kali sana, dada zetu wadogo wapo kwenye mazingira hatarishi kila siku kuna kesi tofauti za watu kufanyiwa ukatili wa kijinsia, sheria ikishindwa kuwalinda na sisi tutatumia sheria za mtaa kuwadhibiti wale wasiokuwa na utu, Asanteni sana kwa ku'raise awareness juu ya hili, once again bigup Bongo records, Msamiart and the rest who made it possible
zilete za kutosha bro turud kwenye nafac yetu#bongorecord#realhiphop#hiz ndo creativity tunazo hitaj#lazma tuingie kwenye izo chart zao za hiphop Africa. ...sweet &good music.
P Funk Nomaaaaaaaaaaaaaaa... Daaahhhhh Hivi ndo vitu tunavyohitaji now.. Kwa Hali hii, tunahitaji Movie Majani... Nimerudia Mara 10 bila kuchoka. Mara 11, u just want to watch kipi kinakuja. Rapcha kauaaaaa
Majani uko so creative bro..project nmeipenda..flows kali,beat kali na alodirect na io story shikamoo kam movie...we hope moto unawaka volume 2 ipo jikoni mixed already
Aliyeplay hii ngoma zaidi ya mara tujuane kwa like
👆🏿
hii ngoma lazima uirudie kama unaakili timamu🔥🔥🔥
My 20th time
Daaah dude nimelielewa kadri time inavoenda🙌
Aliyeielewa hii ngoma tujuane,hii ndio bongoflava dude limesimama kinoma
Tisheti VP zitolewe zenyenembo ya bongo record za kiniga zaidi tuzinunue
Santeeee Bongo rekod Pfunk Majaniii Bonge la Ngomaaaaaa
Gonga like kwa rapcha
Nice majaniii turudishie na bongolos ase we miss them
Nakubali mwanangu Rapture moto unawakaa kuwaka
Nilivyoona tu, Bongo Record nikajua hapa kishalipuka. Noma sana hili pini.
Jah kani bless niwe the best hamuwezi pinga
naona movi inaitwa the city of war kutoka kwa kodak black inahusika.lakini hawa jamaa wamejitahidi sana sn big up
Onesmo Haule kwa bahati mbaya hatuijui hiyo kazi. Hii ni fresh from the brain 🧠. No copy cat bullshit we always keep it original.
mwaka mingi nawinda sna majani anifanyie japo beat moja ....
#KikiHouston @BURUNDI
Hapa amekosa the king FID Q ingekua zaidi ya moto
p,majani heshima yako hawezi shuka wee ni king na utabaki kuwa hivyo pia umeumbwa uwe hivyo solute bro
Rapcha mdgo wang upo sehem sahih na hujakosea kua #Bongo Records naamin katika uwezo wako🤝na miongon mwa nyimbo zako ambazo znananifanya nkuelewe mdg wang ni #Mama pambania kombe #Shyonetv
Kitu nzuri, sana aisee ubunifu mzur piaa ujumbe wa moto hata video kali huu ndo mziki tuliokuwa tunausubilia kitambo 🤟🏿
Bonge la beat , safi P funk we ni noma mzee baba
hii ndio maana ya godfather #majani
uyo paka kaenda na biti kwili bro mdundo na sauti vinasikika poa ndo kitu tulicho mis bongo
nalifata soko,linifate soko,mtumwa wa soko,kiki ndio soko,litambue soko ndio uchague soko,huwezi kosa soko,letu wote soko.JIFUNZE HESHIMA IKUTUNZE ILA PESA TU NDO ZITAKAZOKUSAIDIA KWENYE UZEE.......oya me nimewasanua tu mistari ya uyu mwamba ina maana kichizi.
ibrahim budole Ugwe umenye🔥 #Ndagha🙏🏽
Mistari ya moto sana
TKLA mbaya sana kawaonesha inavyotakiwa kufanywa👊👊👊👊
Moto walai
Sipati picha kama Fid q angekaa humu aisee..... Japo kwa sekunde kadhaaa.....
Naona bongo record imeamua kutuwashia moto wa kumaliza mwaka,bonge la dudee,Rapcha see you bro,keep it up
Good kazi asa kwa mwana Rapcha Nw tunachana mpka kichaga
Ni noma sana ubunifu uliopewa nafasi yake
wanangu mmetisha mbaya @rapcha see you bruh
Wacha moto uwake tu 2020 baba mwenye nyumba karudi
Nakubali Sana Mkuu
Wanangu shkamooniii hii ngoma imsmama soo kidgo... Moto uwake tu
Moto umewaka ... scooby nakuona nakuona
Huyo si Rapcha --huyu kijana noma sanaa, nakubali kwa majani kumkubali ,,naona design za Dj Khalid
Bongo record Salute @ p f majani
shikamoo majani
Daaaaah Bongo Konyoo kinoma....Sasa ule mlango alikuwa anafunguaje wakati aujafungwa...??embu tutazame tupate majibu...0:30
Hiyo jamaaa kwa Second Verse ni Mooootoooo.....Bonge la Beat, Bonge la Chorus, Bonge la Ngoma. Umetisha Legend.
P funk majani
Msamiati nailed the flow...He smashed for real what a lyrical, story telling rap with creative moves we been expecting here in Tanzania... Keep that up forever team.
Sweezy Mill Ugwe umenye🔥 tuendelee kusapoti, tushinde wote💪🏽 #Ndagha🙏🏽
Hiphop bado inaishi,we need more track
Kama kawaida Msamiart ametupa mistari yenye mafundisho ya maisha, huyu jamaa ni ulamaa wa kizazi chetu.. Video kali sana, dada zetu wadogo wapo kwenye mazingira hatarishi kila siku kuna kesi tofauti za watu kufanyiwa ukatili wa kijinsia, sheria ikishindwa kuwalinda na sisi tutatumia sheria za mtaa kuwadhibiti wale wasiokuwa na utu, Asanteni sana kwa ku'raise awareness juu ya hili, once again bigup Bongo records, Msamiart and the rest who made it possible
Majani, Wewe ni Direct Mkali sana hapa Bongo...…
Bongo Records...…….Hii ni kali ya kufunga mwakaa 2019.
Missing Ideas in Bongo Hiphop is Back, P hiz touches tulizimiss , Well done Simba + Karabani
zilete za kutosha bro turud kwenye nafac yetu#bongorecord#realhiphop#hiz ndo creativity tunazo hitaj#lazma tuingie kwenye izo chart zao za hiphop Africa. ...sweet &good music.
Hii ngoma kali sanaaaaaaaaa
Wanaoangalia kila time kama mimi tujuane hapa majani kauwa
Bonge la dundo, much big up big bro Majani
Ni bonge moja la movie
Respect bro hujawahi kukosea production
Rapcha uja rhyme hadi naogopa aseee
Nouuma na nusu bongo records
Director 95 Rapture 90 Producer 80 Msamiati 78
Idea kwa ujumla 95
Bless 🙏🙏🙏
Hii ngoma mkn sanaaaaa
#moto unawaka
Safi sana majani
Rapcha Ni Balaa Sana Nakubali Mze
Kazi zur Raptcha ...keep takin over ze game we trust yuu
Imekosekana verse ya tkla tu🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Vile Majani anafanya utadhani hatafanya tena
Msamiati 💥💥💥, bhumenye🎶
Jimson Ndituzya Ndagha🙏🏽
Kazi nzuri sana, big up
Daa bonge la idea beat Kali balaaaa
Kwaapa majani dogo anakurudisha mjini
Tuanze kupata radha halisi ya bongo record
Lit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 majani, dogo mpya n the concrete!...the first rapper
moto unawaka na unafunga mwaka
hiii move iendelee inaonyesha haikuishia hapo salute bonge la production
Daaah mwanangu wa damu,pacha,bedmate m ni zaid ya shabiki wako
Ni MMFUASI wako🔥🔥🔥
Amaizin sana,,bado tunaiman na Majani kwenye sanaa,,kile kichwa mezan ni level za hollywood
Kama kawaida yako haujawahi kufeli kaka mkubwa
Namwelew sana huyo jamaa Msamiat🧢
"Classic" Majani ajitahidi waende, isije ikawa kama Bongolos
Thanks majani umenifungia mwaka
Waaaaaaaaaaaaaaaasha!BONGO REC. LTD!like nying hp
P Funk Nomaaaaaaaaaaaaaaa...
Daaahhhhh Hivi ndo vitu tunavyohitaji now..
Kwa Hali hii, tunahitaji Movie Majani...
Nimerudia Mara 10 bila kuchoka.
Mara 11, u just want to watch kipi kinakuja.
Rapcha kauaaaaa
Kazi nzuri saaana hongereni sana wote karaban majani
africa nzima akuna ka bongo record hela tu hatuna kama unavoemaga p fuck ila we ndo producer kwangu africa
Majani uko so creative bro..project nmeipenda..flows kali,beat kali na alodirect na io story shikamoo kam movie...we hope moto unawaka volume 2 ipo jikoni mixed already
oyaaaa #TEAM BONHO RECORDS#
Ii project noma
Msamiati gwa gukaja unajua sana keep the spirit and focus on the goals what u planned before
Undule Roman Ena kikolo, tubhuke twesa. Tusapoti, tushee zaidi. Yetu wote hii #UgweUmenye🔥 #Ndagha🙏🏽
@@Msamiart usiwaze mkuu itafika kwa wahusikaa
Yess yess yooo ngoma kaliii sanaaaaaaaaaaaaaaaa🙌🙌🙌
🙈💪 Nimefurahia mlicho fanya, Endeleeni kuuwakisha moto utapakae hadi huku 254 Mombasa
Yeeeeaaaaaah Moto Unawakaaaaa!
MaKaNTa Afrika Ugwe umenye🔥 Ndagha🙏🏽
Kazi Nzuri Brother Majani! Audio & Visual.. Saluuut sana
Kuna Rapper anavyokuona kama namuona saiv bonge la competition apo naliona linakuja
Dah!! BONGE MOJA LA NGOMA NA KIDEO CHA KIBABE🔥🔥🔥 BONGO RECORD🤝🤝🤝🤴🤴
baba amerud kazini . majani on fire
Raptcha mwishooo
Nimekuelewa vilivyo majani
Video kali Sana mzee Mkubwaa #Majanii
Yanachosha maneno . Toa kitu uitwe my 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
NIKODEMUS CHACHA Tunawapa peremende watoto wafurahi #UgweUmenye🔥 #Ndagha🙏🏽
Hahaha live
Hawa watu wanajua sana ila wanabaniwa sana,,,,master j alisema kwenye interview flan,,,majani wameamua kumharibia kwa gharama yote
Ngoma kali video ndo kabisaaa next level sijui director mmemtoa hollywood au,
Tim Cee Director mkuu wa hii kazi ni Majani co Director Karabani.
Mchezo unazidi kucharukaa,....rapcha kijana umeiva
Moto unawaka#hakika
Noma sana
I see the hip-hop from you now🚀🚀🌪️🌪️moto unawaka
Imekaa ki international Sana hii inahitaj Akil kubwa kuielewa.
video idea is designed and payed well ... good idea
Maaaan!!! 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👍👍👍
Huyu mwana rapcha ana flow like chad boy
Asanteni sana bongo records for the new generation good bro.
yeeh majani moto umewaka🔥🔥
apo ni lazima moto uwake broo big up kwako rapcha
Ni nomaaa
Daaaah,asante sana P funk 🔥🔥🔥ila dogo kakabwa na wahuni wengi duuh 😂 mlitaka kumuibia madaftari ama 😂 Kazi nzuri sana.
Thanx majani