P-Funk Majani ft Conboi Cannabino X Rapcha - Tunashine (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 636

  • @BongoRecordsLtd
    @BongoRecordsLtd  Год назад +115

    Stream, Comment & Share with your Friends

  • @ELiaofficial99
    @ELiaofficial99 Год назад +2

    unyamaaa wakutoshaaaaaaaaa😋😋

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 Год назад +2

    Hii motooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 Год назад +10

    Oi iv uyu conboi canabino ni mkenya au msauzi!? Fundi kichizzz

  • @sokashabikitv2699
    @sokashabikitv2699 Год назад +60

    wangapi Mmeisikia beat ya ngoma ya Kimya kimya ya MAGWAIR na JAY MOE kwa mbali Majani is a LIVING LEGEND💯

    • @bingwafranclyimo4280
      @bingwafranclyimo4280 Год назад +2

      Hawa MADOGO hii nyimbo nzuri ila imemezwa na ile kimyaaaaa kimyaaaaa org

    • @allybakari4009
      @allybakari4009 Год назад +1

      Hiyo beat ya kimya kimya aliyeitengeneza ni majani mwenyew,, yaan hii nikama ameingizia hiko kinanda kama kuinogesha hii ngoma tu,,, huyu jamaa ni nima asee miaka nenda rudi

    • @dariusmsagha
      @dariusmsagha Год назад +5

      @@allybakari4009 Majani didn't create that instrumental. He did a direct sampling of a track by The Three Degrees

    • @dariusmsagha
      @dariusmsagha Год назад +4

      @@allybakari4009 this is the original track ruclips.net/video/0VzZFU_hpt0/видео.html

    • @jumazahoro3537
      @jumazahoro3537 Год назад

      Ni makusudi ya majani

  • @davabackup7767
    @davabackup7767 Год назад +20

    Kama unakubali vyuma vimeumana nione dole gumba juu 👍

  • @JumaMwakyambiki
    @JumaMwakyambiki 12 дней назад +1

    More Respect to Majani the Living Legend in TANZANIA 🇹🇿 and East Africa in General.

  • @bainolatino3412
    @bainolatino3412 Год назад +3

    Majani new talent hizo keep out with drugs my hommie

  • @DMATZ-qh2sd
    @DMATZ-qh2sd Год назад +1

    Nimependa nilicho kiona respect 🙌 👏 🙏

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 Год назад +8

    Huyu Conboi ni habari nyingine🔥💥

  • @jamalisebarua9594
    @jamalisebarua9594 Год назад +2

    Dah ebwana kama mbele vile conboy rapcha noma sana

  • @BARAKAMGINA
    @BARAKAMGINA Год назад +1

    bongo record haina mpinzani..............ngoma kali sana

  • @Tygermnyama
    @Tygermnyama 11 месяцев назад +1

    Huyu conboi wamwangalie sana ! Anaonekana hana masihala 🔥🔥🔥

  • @kagawafurniture-ep5ny
    @kagawafurniture-ep5ny Год назад +1

    Hiiii ngomaa kali pia ata chupaa la kizazi. Hapa wangempa vesi moja jay moe

  • @princepeter2110
    @princepeter2110 Год назад +1

    Me na bongo record toka kitambo sanaaa ..yani tutaendelea kushine💥

  • @hamsojuve432
    @hamsojuve432 Год назад +2

    Hatuna k2 tunataka 2 kushine💯💯🇰🇪🇰🇪

  • @jbalikenga
    @jbalikenga Год назад +1

    Majani noma...ndani Kuna vionjo vya beat kimya kimya ya jay mo

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 Год назад

    niaje dogo rapcha ulkubali yaishe nakumfanya mzee wa farisapha.dizasta.kua mshind.sio haahaaa

  • @allybakari4009
    @allybakari4009 Год назад +1

    P Funk ni habar nyingine asee umekiamsha hik kizaz kupitia mdundo wako wa kitambo wa kimya kimya aliopita Ngwair na Moo daah

  • @tonymsela
    @tonymsela Год назад +1

    P funk majini aka kinywele kimoja. Hatari saaaaana

  • @delphinusdeogratias4279
    @delphinusdeogratias4279 8 месяцев назад +1

    Bongo nyosso goma kama hili views 💵 million hakuna tisha kimya kimya #MAJANPFUNK

  • @cosmasseiya216
    @cosmasseiya216 Год назад +1

    Tumepata mrithi wa ngwair joh hatariiiii

  • @mickylifetimes
    @mickylifetimes Год назад +1

    #Conboi famasialaaaa💯💯💯💯💯💯💯

  • @kelvinbeckson7554
    @kelvinbeckson7554 Год назад +112

    Gonga like kama unamkubali conboi

  • @denissambaya9209
    @denissambaya9209 Год назад +1

    Next Migos

  • @ghazahstreetdonpharresy3974
    @ghazahstreetdonpharresy3974 Год назад +1

    Next level wakali wamepatana Moto juu ya bati

  • @rebecayusuph4713
    @rebecayusuph4713 Год назад +1

    Kumamamma eee hili dudeeee nyoko bless to .thes chemistry con boi.rapcha

  • @haxhtag_online
    @haxhtag_online 6 месяцев назад

    Bino & 99🔥🔥

  • @amosmapalalajuma-sv6gy
    @amosmapalalajuma-sv6gy Год назад +1

    Con boi bongo bahati mbaya, ungezaliwa marekan wew saiv ungekuwa msanii mkubwa wa dunia, sema tatzo bongo, na mwanangu rapcha nae kaua kinouma🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ciphertz
    @ciphertz Год назад +1

    Kwa mbali kimya kimya..aisee Kama ngwea na jmo tena

  • @allychikoko11
    @allychikoko11 Год назад +1

    Ngoma 🔥🔥🔥wameuwa wazeee💥

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 Год назад +1

    Bonge la goma afu uyu con boi 😮❤ Kumbe ni moto

  • @samuelbatholomeo3948
    @samuelbatholomeo3948 Год назад +1

    Ivi nani anapiga honi si angepaki kimya kimya R.i.p gwair big up conni & rapcha salute Jmore

  • @stanleynyale2755
    @stanleynyale2755 Год назад +1

    Listening from Mombasa, Kenya..Hatarii 🔥🔥🔥

  • @godfreyngalya4882
    @godfreyngalya4882 Год назад +1

    Missing my manijaaa mangwea.kimya kimya well done majani kwa beat..

  • @richardmichael4325
    @richardmichael4325 Год назад +1

    Bonge la dude level za hatar

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 Год назад +28

    P Funk you got the keys to master BIG Talents salute to you Rapcha and Conboi

  • @thewoo78tz
    @thewoo78tz Год назад +2

    Ngoma kali
    Director mkali

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 Месяц назад

    Coni boy na kuku elewa kaka🎉

  • @akilifulani
    @akilifulani 9 месяцев назад +1

    Combi nyengine moto🔥❤️🇰🇪🇰🇪

  • @jumajsauly9216
    @jumajsauly9216 Год назад

    Daaaaaaaah wanyama wangu awaaaa dadekiiiii kanabino rapch iludiweeee hiiii

  • @MirhaneAbdou
    @MirhaneAbdou 3 месяца назад

    2024 from 🇰🇲 Comoros islands 🔥nimekubali ngoma

  • @rajmanhampers8887
    @rajmanhampers8887 Год назад +1

    Con boi my icon pull up umeua

  • @rostermwakimata81
    @rostermwakimata81 Год назад +1

    Con boi ni 2pac wa bongo ila wabongo tumechelewa sana kulijua ilo rapcha nae kaua last king of 99

  • @innorapper3579
    @innorapper3579 Год назад +2

    KIMYA KIMYA Jay Moe feat Ngwair
    TUNASHINE Con & Rapcha

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 Год назад +1

    Kimya Kimyaa🙌🏽🔥🔥✊🏿✊🏿

  • @suddiejunior1961
    @suddiejunior1961 Год назад +2

    🔥🔥+ kichupaa 🙌🙌🙌

  • @agnessnkandi5229
    @agnessnkandi5229 Год назад +1

    Oy nyie!!, #conboy 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gourmetmasters910
    @gourmetmasters910 Месяц назад

    Katika top 3 Hip Hop producers in Africa, Majani hakosekani kwa hiyo list.
    Beat zake ni timeless.

  • @MajengoSokoni255
    @MajengoSokoni255 Год назад +5

    Hakuna kama CONBOI kaka umeua kudadeki,like hapa kama unamkubali BINO

  • @hamadykijazi6576
    @hamadykijazi6576 Год назад +1

    Hatarii

  • @chrissoty7368
    @chrissoty7368 Год назад +2

    Ngwair $ Jay moe= Rap Coni
    🔥 🔥 🔥 🔥 Connboi Nilijua tu utauaaa Sema P Funk nae anaunyama khaaaaaa

  • @alexiswamillazo6520
    @alexiswamillazo6520 Год назад

    Majani nd'o muandaaji bora wa mziki Tanzania over

  • @ibrahimundani9018
    @ibrahimundani9018 Год назад +3

    Kimyakimya new version of Rapcha and Conboi.. 🔥🔥🔥

  • @barakasudai-cf8ju
    @barakasudai-cf8ju Год назад +1

    Kazi nzur

  • @abdulrazack.a.shemmelarshe228
    @abdulrazack.a.shemmelarshe228 Год назад

    1 &2=baaaad nuz 3 orbit makavel,4 salmin swagg💯💯💯💯💯

  • @dishangib
    @dishangib Год назад

    Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Muziki Taratibu Aiseeee Noma Sana 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪💜💜💜💜💜💜💜💜💜

  • @devymwanjala1123
    @devymwanjala1123 Год назад +1

    Rapcha noma sana bonge la ngoma

  • @armaniofficialmusic1
    @armaniofficialmusic1 Год назад +1

    Mbona kali sanaa,ntatembea huku 💥🚀Straight outa 254 🙌🏽🔥

  • @mlamytz
    @mlamytz Год назад +2

    Ila maanina kmy kmy bado ni oog ngwair alikua jini

  • @wisefolks1669
    @wisefolks1669 Год назад +2

    Oya sio poa nyie wazee! Kanabino conboooiiiiiii🔥🔥

  • @rostaduccibilly9046
    @rostaduccibilly9046 Год назад

    Rapcha kafichwa kabisa, conboi umetisha zaidi

  • @sixtuskamir2542
    @sixtuskamir2542 Год назад +1

    Beat kali . Afu wameimetendea haki.
    Director wa video katisha kinoma.🔥

  • @Tanzania_Ya_mama
    @Tanzania_Ya_mama Год назад

    Sema wewe mtoto Rapcha juni 😂😂😂😂 no comment Con boi big brother 👏🏾

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 Год назад +1

    Cosmas na conboi mmetisha ni noma majani pia

  • @4nil04
    @4nil04 Год назад +14

    Conboi 🔥🔥ingekua ni pale California ungekua #westside😅 #realinspiration

  • @Nobbis194
    @Nobbis194 5 месяцев назад

    Kushine lazim sem mda bado. Juxt ruuum broo 1️⃣9️⃣nobbis

  • @estonsmart
    @estonsmart Год назад

    Daaaa!!!!! R.I.P Ngwair 😭😭😭

  • @isaacrichard3879
    @isaacrichard3879 Год назад +3

    Huu mzigo ndio tulikuwa tunausubiria/ngoma nzito🔥💪👏❤️

  • @mizo.54
    @mizo.54 Год назад

    Rapcha ajipange Mnyama Conboi ni wa moto sana hamuwezii

  • @jumamtindi3227
    @jumamtindi3227 Год назад

    Unyama ni mwingi bongo record mawinguni!

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 Год назад

    Sijawai Onaga Producer Mkali Tanzania 🇹🇿 kama P Funk Majani hakuna Jamaa ni mtu hatar sanaa kwenye beat kali kama hizi

  • @silent9699
    @silent9699 Год назад

    Kimya kimya on new skull ni moto🚀🚀🚀🚀

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x Год назад

    Sina neno. Kwahiii ngoma rapcha kaumiza sana unyama 💯 💯 💯 💯

  • @mohammedzengwa6776
    @mohammedzengwa6776 Год назад

    Huyu hapa Alfan Majani Super-duper Producer bonge la jiwe bonge la biti yeahaaaaaaa mamae

  • @goodluckpatrick7489
    @goodluckpatrick7489 Год назад +32

    we need to flood the market with good tunes like this S/O to the OG and 'em youngins 🔥🔥🔥.

  • @flavourboyke
    @flavourboyke Год назад +3

    Ngoma kali sana , production on another level yaani no makelele

  • @francissimime1402
    @francissimime1402 Год назад +1

    Ni noma bonge la kazi kweli vijana wameamua kufanya kaz bigup kwa legend pfung majani kitu ni moto

  • @ambrose_vevo137
    @ambrose_vevo137 Год назад +1

    Majani sharaout ,umetisha hili beat modified from kimyaaa kimyaa....hahahah umetishaaa sana.

  • @blaise1445
    @blaise1445 Год назад +10

    Conboi is a top tier MC. mad love from 254

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 Год назад

    Daah , Bonge la ngoma ,Good Music

  • @nickminja704
    @nickminja704 Год назад +41

    asee naskia ngoma yangu pendwa kimya kimya uko ndani kama umenisoma gonga like apa twende sawa

    • @filberthabashi2870
      @filberthabashi2870 Год назад

      Uko makini mkuu,

    • @shabanially1008
      @shabanially1008 Год назад

      Makin

    • @allybakari4009
      @allybakari4009 Год назад

      Hiyo beat ya kimya kimya aliyeitengeneza ni majani mwenyew,, yaan hii nikama ameingizia hiko kinanda kama kuinogesha hii ngoma tu,,, huyu jamaa ni nima asee miaka nenda rudi

  • @IssaBoygram
    @IssaBoygram 5 месяцев назад

    Atuna kitu lakini tunataka kushine imeuwa sana r.i.p ngwear

  • @samakitv7745
    @samakitv7745 Год назад +1

    Bonge la ngomaaa

  • @Yegon254
    @Yegon254 Год назад +1

    Kizazi sana

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 Год назад +1

    Bab kubwa

  • @richardmk-gg5nw
    @richardmk-gg5nw 8 месяцев назад

    Wanangu wameuwa sana❤

  • @chappagold
    @chappagold Год назад +3

    Majani, kitu Cha kimya kimya mzee 💯💥🔥💯

  • @ShamsaAlly-u5i
    @ShamsaAlly-u5i Год назад

    majan mwenye bety yake atar sanaaaaaa kimya kimya kwa mali

  • @antonymnapaaaantonymnapaa7939
    @antonymnapaaaantonymnapaa7939 Год назад +1

    Conboi Anajua sana

  • @chuichongo3898
    @chuichongo3898 Год назад +1

    International level☝☝

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Год назад

    Sema kimya kimya, ngwea na mo waliua

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando Год назад +1

    Watupe chetu

  • @jacksonkaduma485
    @jacksonkaduma485 Год назад +1

    Majaniiiiii

  • @daudimzuri5771
    @daudimzuri5771 Год назад

    nyimbo kama hizi tumezimisi sana wimbo mzuri sana unatukumbusha enzi zetu

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Год назад +1

    SnS imenileta hapa, goma ni fire 🔥 🔥 kabisa bog up for P Funky na Kwa team nzima mmefanya ipaswavyo

  • @ezekiagazulo
    @ezekiagazulo Год назад +1

    Bino 🔥

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 Год назад

    Hii ngoma kali sana❤, we miss this hip hop

  • @shepherdmosha1610
    @shepherdmosha1610 Год назад +1

    Baba lao P ina house

  • @BakariMdoe-on5hh
    @BakariMdoe-on5hh 6 месяцев назад

    Goma Kali sana sema wanaunderlate hipop sana