Nmeutafuta huu Wimbo miaka Mingi Kama 6 hvi or miaka 7,nlipokuwa naludi jana kutoka job nkajarbu tena kuutafuta nkauona ,ckuamini mapgo ya Moyo yalienda mbio sana,nkasubir nfike nyumbani nkasikilize,nmefurah sana,huu wimbo umekuwa ukiimba ndani yangu mda mrefu sana.barikiwa sanaaaa
Oh how I searched for this song 😭 finally I found it after 4yrs of search.... this is truly a blessing may God bless you and elevate you onto higher levels 🙏
Long time I was waiting for such thing, now I'm excited to watch it-Ebenezer. Thanks Huldah for blessing, it's really a powerful song and I like the video!!
I have been searching for this extraodinary and powerful song for years in youtube. GOD bless you indeed my Sister.nimepata salama moyoni mwangu love from +255 🇹🇿
Sisy Hulda ... Ooh my God ,,, I started hearing this song in 2012 if not mistaken .. It was via Praise Power Radio here in dar and at that time I was schooling my Advanced level.. Nlipomaliza masomo nliingia RUclips searching for that song,,, sikuwahi kuona chochote ,,, nkakutafuta Facebook sikufanikiwa my God ... Today nkasema ngoja niangalie ndo naona Wimbo una siku 6 RUclips .. Looooooh This song is big .. Nimehudumiwa sana kwa Wimbo huu,,, Mungu akupake mafuta zaidi,,,, let's celebrate more
@@huldavagheni6186 same here..Niliwahi kusikia nikiwa Tanzania kupitia Praise Power nadhani...Miaka kadhaa iliyopita wakati nipo chuo huu wimbo ulinitia moyo sana. Guess what? Leo tena nimesikia moyoni naimba huu wimbo kwamba nimepata salama nikasema ngoja nitafute RUclips, and here I saw your video all the way from the UK. I think your time has arrived, Mungu akupeleke kwenye viwango alivyokusudia. Bless you!
Mungu abariki kazi
Amen mtushi nabalikiwa kutoka tanzania
Ni Yesu ndani yangu
Wimbo mzuri sana sister from Tanzania tunakupenda❤
Kalvari! Good job Mama Huldah , ubarikiwe❤️
Mungu ni mwema. Hakika niliutafuta huu wimbo tangu mwaka 2014
Ameeeeeeeeeeeen,nimepta Salama ambayo Dunia haingeliweza kunipa...sasa natembea ndani ya NURU YA YESU KRISTO WA NAZARETH.AMEEEN💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Be blessed mamy! I love so much this song !
Nyimbo zako zimebariki mno moyo wangu, nilisubiri kwa miaka kuona video zako dada Huldah. Mungu abariki huduma yako.
Amen barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe mnzuri kweli salama yakwel iko kwa Yesu 😍😍🙏
Wimbo mzuri sana! Ubarikiwe
🎹
Nmeutafuta huu Wimbo miaka Mingi Kama 6 hvi or miaka 7,nlipokuwa naludi jana kutoka job nkajarbu tena kuutafuta nkauona ,ckuamini mapgo ya Moyo yalienda mbio sana,nkasubir nfike nyumbani nkasikilize,nmefurah sana,huu wimbo umekuwa ukiimba ndani yangu mda mrefu sana.barikiwa sanaaaa
Wonderful, Nafurai sana kuwa Ona my people 😘, Tumepata salama ndani ya Yesu alléluia 🎈
Na roho mutakatifu ahakikisha kama nime pata salama. Yesu Amani yangu, Yesu Ndani yangu, Yesu salama yangu. Asante sana
Les actes du genre renforcer d'avantage ma foi à Jesus quand je vois les jeunes s'engage comme ça à servir le seigneur
Musalabani kasema yote yame Kwisha. Kiburi changu, zambu zangu ame zisamehe. Amen amen. Nime pata salama. Be blessed my sister.
thanks bro
Yeah you're a blessing huldah
Ubarikiwe dada, tu fais notre fierté
Gloire à Dieu Lui seul. Merc bcp 🙏
Ameni mtumishi Barikiwa Sana kwa ujumbe mzuri,,nikisikiliza huu wimbo namkumbuka projuza John prasida record. 🙏🙏🙏
Napenda sana huu wimbo asante sana kabisa
Amina, Sifa ni za Bwana kabisa
Ndani ya Yesu kuna salama 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 one of my favorite songs. 😍😍😍
Hongera sana kwa kutoa video ya huu wimbo, am so blessed, God bless you my sister. 100% kwa Yesu kuna salama sana ambayo haipatikani sehemu nyingine.
Asante sana Joseph 🙏
Yesu ndio salama ya kutuliza myoyo zetu katika Muda wa furaha kama vile wa shida!! Ubarikiwe Maman kwa wimbo ambao unatujenga!!
AMina kaka. Mungu ni mwema ntakati zote.
Ya Mungu ni meeengi. Ni wa ajabu huyu Mungu.
Glory to God! Jesus in me, peaceful.
Love from Tanzania 🇹🇿
Thank you dear Elizabeth.
Yaan naomba uweke wimbo wa tembea na Bwana ni baraka sana kwangu kwa kwel
Hi my siz, nita uweka bila shaka Dear. God bless you more
Blessed indeed
Oh how I searched for this song 😭 finally I found it after 4yrs of search.... this is truly a blessing may God bless you and elevate you onto higher levels 🙏
Same here,for almost 6 year..today is a day
Amen. May God minister to you all
Je suis béni par cette séquence, je félicite l'artiste Huldan
Wonderful song portraying the peace that only God can grant to any heart that seeks him. Hallelujah !
Amen amen
God bless you David , he knows. Thank you
We thank God for this achievement, we hope that you will be blessed. Yesu salama yangu.
Long time I was waiting for such thing, now I'm excited to watch it-Ebenezer. Thanks Huldah for blessing, it's really a powerful song and I like the video!!
Thanks a lot mum! That's wonderful and of the sweetest song I know! Stay several blessed
That is it, God is good all the time be blessed all of you
@@davidbak3677 Thank you Dav, To God be the glory
Very nice song, hebu tusikilize natu barikiwe
Thanks.... GOD i have found this song... much blessing to you ... jesus treats my heart...!!!!
Amen AMen
Que Dieu te bénisse grande soeur.
Va encore plus loin ma dada
Merciiiii 🙏
Ni kweli nina salama ya kweli
Asante sana maman
AMina, barikiwa kaka
Asante maman
Trop édifiant
I have been searching for this extraodinary and powerful song for years in youtube. GOD bless you indeed my Sister.nimepata salama moyoni mwangu love from +255 🇹🇿
The melody is just👌👌thank God we have Jesus our peace....
Glory to him alone
Bienvenu maman sur le marché de disques. Que Dieu bénisse l'oeuvre.
God is good all the time now songs .
To God the glory
Gloire à Dieu pour cette oeuvre
Amen à lui seul toute la gloire
Am blessed
AMEN AMEN, stay bessed
Yesu salama yangu,Asante sana kwa wimbo ume nijenga sana Mungu akubariki sana dada
Nice one. Thanks
Gloire à Dieu , félicitation et courage ma fille
Glory Glory to God 👏🏾
Merci pour la chanson. Une belle oeuvre comme toujours. Que Dieu vous bénisse maman Hulda
Amen , merci bcp frère Serge
Glory to the mighty Lord. More blessings!!!!
Ur Blessed Hulda
Amen, glory to Jesus.
Be blessed Dada
Amina asante sana
Be blessed dear .
Good song.
Amen amen thank you for your encouragement.
Hallelujah ❤❤❤👍🏽👍🏽🙏😘
Amazing and touching message 🙏
Merci Jésus-Christ
Amen Amen. Shalom❤️💯
Is ruched my hurt that song,of bless
Félicitations pour ce travail immense . Que Dieu vous révèle encore plus. Nous sommes bcp bénis.
Merci bcp Papa Arsene
Sisy Hulda ... Ooh my God ,,, I started hearing this song in 2012 if not mistaken .. It was via Praise Power Radio here in dar and at that time I was schooling my Advanced level..
Nlipomaliza masomo nliingia RUclips searching for that song,,, sikuwahi kuona chochote ,,, nkakutafuta Facebook sikufanikiwa my God ... Today nkasema ngoja niangalie ndo naona Wimbo una siku 6 RUclips .. Looooooh This song is big .. Nimehudumiwa sana kwa Wimbo huu,,, Mungu akupake mafuta zaidi,,,, let's celebrate more
Hi dear, you are right kabisa. Imagine. Safari imekua ndefu but Jesus is our peace. Nashukuru Sana kwa sapoti dear
God bless you more. Wimbo ukubariki zaidi na zaidi. Mungu Ana kitu nawe najua. Asante sana kabisa , umenitia moyo. Share na wengine pia
Same here aisee!!!...this song reminds me the best days of praise power radio
@@barakastive AMina. sifa ni za Bwana. Eric Brighton alifanya kazi nzuri sana pale.
share na wengine
@@huldavagheni6186 same here..Niliwahi kusikia nikiwa Tanzania kupitia Praise Power nadhani...Miaka kadhaa iliyopita wakati nipo chuo huu wimbo ulinitia moyo sana. Guess what? Leo tena nimesikia moyoni naimba huu wimbo kwamba nimepata salama nikasema ngoja nitafute RUclips, and here I saw your video all the way from the UK. I think your time has arrived, Mungu akupeleke kwenye viwango alivyokusudia. Bless you!
Congratulations and keep on with this ministry of praising the Lord
Thank you David ... To God the glory
C'est pas parce que je te connais Yaya.
Tu as un talent !
Que Dieu t'amène loin , loin pour sa gloire!
"Yesu salama yangu"
ma petite soeur cherie
, Merci bcp
gloire à Dieu
Music that isn’t discriminative❤️. Thank you for ensuring to represent all of us. Crispy voice, great message! Bless you.
Gloire à Dieu pour cette oeuvre. Go forward mam, l meilleur reste à venir!
Amen , merci mon frère
Merci maman pour ce bel chant,Dieu vous benisse et vous amene plus loin avec lui.
I love this song. God bless you
Ubalikiwe
Bon travail, bonne oeuvre...
Félicitations, vraiment pleine d mot pour ça, ce que je peu vous souhaiter c'est le progrès dans votre carrière
Amen merci Ezechiel
WE praise God for the job fine. Bé blessed sister🙏
Amen Amen... I thank God.
I'm so blessed through this song
Amen 🙏 ✝️ 🎙️
Amen Amen...
Stay blessing
Que DIEU soit loué.
Amen
Aminaaaa
Courage
Thanks, be blessed.
Can I get tembeya na bwana song please
Glory to God
amen, to Him alone
very nice
Why did remove "TEMBEA" on RUclips. Be blessed
Baraka tele kwenu. Maman, album tembeya na bwana kuipata ni je?
Asante sana maman
Kwenye Boomplay unatumia Jina gani?
amina