Listening to this song while crying thinking, how l lost my both patents, Daddy And mum at the same time, l was like I'm finished, But when l remember about God, Naona nitafika salama,And to God be the Glory.
Nakumbuka hii nyimbo inatoka nimepewa mimba nimekataliwa nimelala ubungo wiki nzima kisha nikaenda kuomba kazi za ndani nikapata nikaa mpaka nikajifungu kweli mungu yupo tutafika salaam😭😭😭😭
Umenikumbusha mbar huu wimbo mwaka 1992 kuna sku tulikosa hata unga wa uji tulilala na njaa tulikuwa na bibi yangu huko bariad mkoan simiyu MUNGU alivo mkuu usiku wa saa 7 dada akaja na maharage kutoka geita niliamka nikayabandika niliyachochea had yaliiva tukala😢🙏 kama na ww umepitia haya nipe mkono👋
I was going through hard times in2017 I heard this song from a neighbor. It changed my heart . Today is 1st February 2022 indeed THE LORD HAS BEEN WITH ME. THANK YOU LORD
I have been In depression and truly God has fought for me...financial difficulties...but God has fought for me and my family...this song had really encouraged me
Yes, I can identify with this song. When I remember where I was 6 years back and when I look at where I am today, I can not fear where I am going because I know, "mradi niko na mungu, nitafika salama".
😭😭😭anytime I listen to this song I just feel am blessed 😊☺enda nasi najua tutafika salama 😢...i wish my son will never give up on me juu sina uwezo kwa sai but najua tutafika salama 😘😍😭
I can't hold my tears anymore,, this song reminds me back in life but today am huppy because nimefika salama,,, out there don"t worry you will be there salama
Mungu azidi kushukuriwa, kwa kile kidogo tulichonacho tusiache kushukuru.. Leo hii we unalala mika hujala ila Kuna mwingine kafiwa na watoto wake wote... Mungu wetu anatupenda kusudi lake ni jana kila iitwapo Leo. #Tutafika salama
Ak huu wimbo hunifarigi wakati napitia magumu 😢😢nmezaa miezi tatu nateswa natukanwa nkajikaza niende kazi kurud napata nmefungiwa nyumba na mtoto wangu wa miezi tatu😭😭😭😭😭😭ak mungu nipiganie bila ww sitaweza
This time last year nlipitia kipindi kigumu sana and i was listening to this song every single day! Things are different this year Glory to God! Mungu ni mwema ❤️
7 years ago my life resonated to every word of this song😢But today I testify God ...Even when I didn't know which direction to make for my next step God knew Nitafika Salama.Brethren have faith in God and Truth him even when it seems impossible God atakufikisha salama
Nimeupenda sana wimbo huu dada Beatrice...Good Message,very touching song !!...very talented sister...!!...Wimbo mzuri sanaaah!!..,good message!!...umenikumbusha mbali wimbo huu umenitoa machozi maana hata mimi wimbo huu unanikumbusha MUNGU AMENITOA MBALI SANA....TUTAFIKA SALAMA PALE MUNGU ANAPOTAKA TUWEPO...Usikubali kukatishwa tamaa na Mungu atatutetea na Magumu yoteeeeeh!!....Amen.
I can't hold my tears while listening to this song ,TRUELY God is faithful. At one I was down but the minister I received through the song encouraged me .May you be lifted my sister .
My sister ingekua mimi Ni mzawadia watu basi ungekua na zawadi nyingi,hii nyimbo yako hii inasimulia maisha yangu kabisaa,na hii nyimbo hili fanya niokoke,my God akuzawadie maisha marefu nizidi kusikia sauti yako,all the way from KENYA MOMBASA and from BIGSTAR COMEDY 001,mimi ndo NOCHI, wish you the best in everything
huu wimbo wanitia moyo,Ni mengi yatukumba njiani lakini kwa msaada wa mungu tutafika salama only through experience can one come up with such a song take heart Beatrice it's well with the righteous
Kweli huu wimbo umetoa machozi,,, kwani kuna kipindi nimepitia mpaka nkauona mwisho wangu,, lakini Namshkuru YESU kwani kanishindia vita kubwa,,,, nitafika salamaa
I listen to this song this 2020 and cannot stop thinking of those that have lost their loved ones, jobs, houses, and finances during this Corona Virus pandemic. May God stand with us in this journey Tutafika salama.
Through the help of God 2020 am in breaking limit, if this same God defended Israel at red Sea a whole nation what about me an individual ah nitafika salama
Bado huu wimbo ni ushuhuda kwangu unaniliza sana hakika hakika inshallah mungu yupo nasi 2023 bado kwangu ni wimbo bora sana …nasemaje nasemaje sikati tamaa iwe mvua au jua niko na Mungu 🙏🙏
Kwa msaada wa Mungu tutafika tu japo bado safari ni ndefu na vita ni kali sana lakini pamoja na yote tutafika salama msaada wa Mungu upo pamoja nasi daima.
umeimba kwa hisia mamito mpk machozi yamenitoka,nyimbo inaujumbe mzuri na inafariji ki ukweli,kwa msaada wa Mungu tutafika salama,hongera zake kwa director (mumeo)kazi nzuri.
Ilipata kama nimechukuliwa na anti yangu kwa sababu alikuwa na huruma sana vile tuliishi akanipeleka kwa mazuri na hii wimbo ikaanza kama nakula vizuri nikaacha kwa sababu nilikumbuka vile dada zangu waliteseka sana kule nyuma
I remember the first time I listened to this song..is when I was going for an interview in Nairobi Kenya...and I left my 5months old baby ...with a class five boy and grade 3girl ..no body was there to look after them ..in the bus I repeatedly sung the song untii I reached the destination....on reaching during an interview so many people were there from the county I was from ..but who is God ...mark you I was the oniy one succeeded ..an was given the job instantly ...I will always remember this song ....I feel blessed
Ur songs inspires me alooot kwanza ile ya "Dhahabu lazima ipite kwenye moto" kweli kweli mungu huinua watu mavumbini nakuwakalisha kwa wafalme....taking me from House B to manager sjui mungu nimlipe nini amentoa mbali
napenda sana kusikiliza hii nyimbo kwa kuwa inanipa matumaini ya sehemu nilioko na wazazi wangu pia kuwa ipo siku mungu atamkumbuka mja wake awezi muacha kamwe😓😓
Nani anaskiza huu wimbo 2024
Tutafika salama
Seksolive
😢😢😢 Nimesikiliza huku machozi ya kinitoka mungu amenities mbali
Listening to this song while crying thinking, how l lost my both patents, Daddy And mum at the same time, l was like I'm finished, But when l remember about God, Naona nitafika salama,And to God be the Glory.
Yes utafika .....pole
Pole Sana Irene unaendeleaje 2022
@@neemaloy889 Thanks Alot, God bless you, I'm doing well, God has been so faithful, Thanks for your prayers,God bless you abundantly my dear.
@@belindambuja5585 Asante Belinda, May good Baba bless you abundantly.
Tutafika salama
Nakumbuka hii nyimbo inatoka nimepewa mimba nimekataliwa nimelala ubungo wiki nzima kisha nikaenda kuomba kazi za ndani nikapata nikaa mpaka nikajifungu kweli mungu yupo tutafika salaam😭😭😭😭
Hawa wanaume ni wakatilii den anaweza taka mtt
Mungu ni mwema
Ayseee polee mama
Pole ulikuwa una date na mtu ambaye hakuwa tayari kuwa baba bali alikuwa ni mvulana
Mungu aendelee kukupigania mpendwa 🙏
Nitafka salama kW mapenzi ya mwenyezi mungu.Saudi ntamaliza salama
Hakika huu wimbo umenitoa manjozi, kweli tutafika salama. Kama tuko pamoja 2020 konga like hapa juu tutafika salama
Kweli tutafika salama
Lydia Mresh AMINA Ubarikiwe sana kweli kabisa kwa msaada wake Mungu tutafika salama
Wimbo umenitia moyo asnte dada
Umenikumbusha mbar huu wimbo mwaka 1992 kuna sku tulikosa hata unga wa uji tulilala na njaa tulikuwa na bibi yangu huko bariad mkoan simiyu MUNGU alivo mkuu usiku wa saa 7 dada akaja na maharage kutoka geita niliamka nikayabandika niliyachochea had yaliiva tukala😢🙏 kama na ww umepitia haya nipe mkono👋
Mimi ni Muslim huu wimbo hua unanibariki Sana na kunifanya nipate Amani ya moyo mpaka Sasa 2021 nipo hapa sitoki
Huu wimbo ndo ulikua wakwanza kuusikiliza baada ya kutoka kwenye Oxjen .Kwakweli Mungu ni mwema
I listened to this song first when I lived in my small bed-seater. Today, I comfortably live in a two-bedroom house. Aint the Lord too good jameni?
Too good 😊
I was going through hard times in2017 I heard this song from a neighbor. It changed my heart . Today is 1st February 2022 indeed THE LORD HAS BEEN WITH ME. THANK YOU LORD
I have been In depression and truly God has fought for me...financial difficulties...but God has fought for me and my family...this song had really encouraged me
I think 2017 was not good yr to everybody
Sure
@@elizabethwangila6866 hope you are at the best state now
Yes, I can identify with this song. When I remember where I was 6 years back and when I look at where I am today, I can not fear where I am going because I know, "mradi niko na mungu, nitafika salama".
This song reminds me pale mungu amenitoa July 2022 after demise of my dad and sister in a span of 5days
Asant Mungu🙏 hata Leo pia Umenishka Mkono,,,,Mpendwa usikate tamaa Bado kidogo Tutafika salama
😭😭😭anytime I listen to this song I just feel am blessed 😊☺enda nasi najua tutafika salama 😢...i wish my son will never give up on me juu sina uwezo kwa sai but najua tutafika salama 😘😍😭
I can't hold my tears anymore,, this song reminds me back in life but today am huppy because nimefika salama,,, out there don"t worry you will be there salama
Tutafika tu maana mungu yuko pamoja nasi
Thanks for encouragement, I'm one if them but I believe that our God never sleeps
Amen n Amen
Amen God bless you for me.Me pia inanikumbusha bt najua tutafika salama
Tutafika salama
Wimbo huu hunipa matumaini kile siku...inaongeza imani yangu kwa Mungu kila siku...🙏🙏
"Bado tu kidogo nifike ngambo" Never give up when you walk with God surely ur going to accomplish your mission
Mungu azidi kushukuriwa, kwa kile kidogo tulichonacho tusiache kushukuru.. Leo hii we unalala mika hujala ila Kuna mwingine kafiwa na watoto wake wote... Mungu wetu anatupenda kusudi lake ni jana kila iitwapo Leo. #Tutafika salama
Amen devis
Ak huu wimbo hunifarigi wakati napitia magumu 😢😢nmezaa miezi tatu nateswa natukanwa nkajikaza niende kazi kurud napata nmefungiwa nyumba na mtoto wangu wa miezi tatu😭😭😭😭😭😭ak mungu nipiganie bila ww sitaweza
This time last year nlipitia kipindi kigumu sana and i was listening to this song every single day! Things are different this year Glory to God! Mungu ni mwema ❤️
7 years ago my life resonated to every word of this song😢But today I testify God ...Even when I didn't know which direction to make for my next step God knew Nitafika Salama.Brethren have faith in God and Truth him even when it seems impossible God atakufikisha salama
2020 tulio pitia mitihan gongaa like 😳
hakika tutafika salama
Tutafika salama
Mungu ametufikisha salama tuko 2021
Jina la Bwana Yesu lipewe sifa.
Ametufikisha salama
Asante Mungu wa huruma kutupigania katika kipindi hiki kigumu na tunaamini kuwa utatufikisha salama kule tunakokwenda. Amina
Amina
Asantee Mungu kwa kunitoa mbali had hap nilipo sasa
Nimpe nn Mungu kanitoa mbali sana Asante mungu kwa upendo wako
Hakika tutafikasalama kwa msaada wamungu
mimi sina ca kusema nakumbuka wakati naowa maisha akanitesa kweli titafika salama
Wazls
Lightness Geofrey asantee mungu
Ameeen,Nitafika salama kwa msaada wa Mungu
Bado Niko hapa🧎🧎😭😭baba unitoa mbali saaana 🙏🧎🧎😢2024 bado tuko hapa kupona moyo mnipe likes zangu ✋ wapendwa 🇰🇪🇰🇪
Ubalikiwe ❤ mungu akulinde
2020 here still listening to this song.....Kama Mungu amekufikisha salama gonga like
Nimeupenda sana wimbo huu dada Beatrice...Good Message,very touching song !!...very talented sister...!!...Wimbo mzuri sanaaah!!..,good message!!...umenikumbusha mbali wimbo huu umenitoa machozi maana hata mimi wimbo huu unanikumbusha MUNGU AMENITOA MBALI SANA....TUTAFIKA SALAMA PALE MUNGU ANAPOTAKA TUWEPO...Usikubali kukatishwa tamaa na Mungu atatutetea na Magumu yoteeeeeh!!....Amen.
Let me leave this here as an encouragement to myself that even at this hard and trying moment, nitafika salama kwa msaada wa Mungu😭😭
Mungu azdi kukuinua mpendwa,wimbo huu unatoa machozi unanigusa maisha niliyoptia baada ya kuwapotza wazazi wt,mungu nimwema katuinua
This song has just reminded me of where God has taken me from.God's faithfulness is ever sure.
I'm crying
Sina cha kuongezea ktk wimbo huu,naimani ktk Yesu tutafika salama
hongera sana dadaang may god bless u 4 good song
Neema Daudi usijari tutafika sarama mungu yupo kwajiri yetu
Neema Daudi haswaaaa tutafika salamaaa
When I ear this Nina aza kuli
Neema wajina acha kabisaaaaa
This song strengthens me...n reminds me that my God is always watching over me...n he's walking up with me 💪💪💪
2020 ambao tunaamini mungu atatuvusha salaam na janga la corona na maisha yatarud Kama kawaida tuseme ameni
I knew this song through my mum that was 2017 after my Dad's burial we passed through alot 😢Leo asubui yetu imefika God is great🙏
Beatrice Beatrice Beatrice nakuita mara3...mungu aendelee kukuweka...huu wimbo nasikiliza mara5 mpaka 7 kwa siku hauniishi hamu....barikiwa mnooo🙏🏾🙏🏾
Amen
Amen
Kwakweli tuta fika sarama kwaa musanda waa Mungu
I can't hold my tears while listening to this song ,TRUELY God is faithful. At one I was down but the minister I received through the song encouraged me .May you be lifted my sister .
2020 Neema mwaipaja ninahistoria ndefu sana na nyimbo zako dadangu .....Mungu akupe ujasili zaidi
2020 here and still watching
Tupo pamoja bado tupo na Mungu na Safari yetu ipo na Mungu na tutafika salama
Present 🖐️ 2020 still meditating on the message. God bless her for me🙏
Am from TikTok am shocked that the song has 6yrs but it's nice has really touched me still trending ❤Our God is Able
Beatrice dada angu hukoseag kabsaaaa mpendwa,,,,,,,, yaaan kila nymbo yako inanigusaga,,,, mungu azd kukupgania katka kaz zako mpendwa wanguuu
Am so blessed with your songs and voice.may Almighty God bless your ministry in singing.
Magreth Yohana
infact i do love the family of mwaipaja they sings couragereous songs keep it up
Hata tunapopitia taabu maadamu tuna Mungu tutafika salama
Amen Amen na upenda wimbo huu ubarikiwe dada uliye imba wimbo wa baraka
Adante mungu wangu wimbo unanigusa sana 😭 tutafka salam na nipo salama🙏🙏
God you have always answered my prayer i know that even this one of owning a home you are in control .love you Jesus .🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hii nyimbo inanikumbushaga mengi mpaka najikuta nalia, mungu awazidishie napenda nyimbo zenu zote kabisaa.
I hardly leave comments, but the song is a true reflection of a ministry in Music. God bless all who made this.
My sister ingekua mimi Ni mzawadia watu basi ungekua na zawadi nyingi,hii nyimbo yako hii inasimulia maisha yangu kabisaa,na hii nyimbo hili fanya niokoke,my God akuzawadie maisha marefu nizidi kusikia sauti yako,all the way from KENYA MOMBASA and from BIGSTAR COMEDY 001,mimi ndo NOCHI, wish you the best in everything
I always listen to this song whenever I feel over burden, it reminds me that nitakuwa salama
True
Mungu nikupe nini kwa umbali huu? Sina chochote isipokuwa kushukuru na kutenda upendavyo!🙏
huu wimbo wanitia moyo,Ni mengi yatukumba njiani lakini kwa msaada wa mungu tutafika salama only through experience can one come up with such a song take heart Beatrice it's well with the righteous
Dada mungu akulinde
Wimbo uu unatia moyo
Kabisa
Ameeeeen,ameeeen,Naamin kwa msaada wa Mungu tutafika salama pale Mungu anapotakatuwepo .Amen,Ubrikiwe Mtumishi was Mungu
Cynthia neno yani huu wimbo unaniliza mbona
100% representation of my life at the moment........But I trust God #nitafika salama.
Nakushukulu Dada Martha,wimbo huu hunitia nguvu na moyo wa kuendelea.Mungu kanitoa mbali jamani,tumpe shukrani na sifa
Amen
Kweli huu wimbo umetoa machozi,,, kwani kuna kipindi nimepitia mpaka nkauona mwisho wangu,, lakini Namshkuru YESU kwani kanishindia vita kubwa,,,, nitafika salamaa
I listen to this song this 2020 and cannot stop thinking of those that have lost their loved ones, jobs, houses, and finances during this Corona Virus pandemic. May God stand with us in this journey Tutafika salama.
Tutafika salama kwa msaada wa Mungu..Amen
Kwa msaada wa mungu tutafika salama asante kwa nyimbo mzuri
Amen nimebarikiwa na message yako daa ata kama sioni nimeona siku ya leo si hiyo ni baraka niko mzima kabisa
2020 MARCH STILL PLAY THIS SONG GOD BLESS YOU!!
Am here watching with you it's soo touching 😭
2020 still watching this song nice song😭😭😭
Mungu
Muumba
Wangu kwa
Mfano
Wako
Nifike
Salama
Kwa
Ahadi
Yangu
Kweli tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kila jambo, tusiogope mapito yote ni mafunzo na kutuimarisha ili tufikie lengo
Kama unaskiza hii wimbo huu mwaka pia acha like
Nikisiliza huu wimbo nakumbuka nilipotoka mungu yupo nami kila wakati❤😭🙏
Tutafika salama kwa msada wa Mungu kuwa mungu tutafika salama
Nikipitia kipindi kigumu huu wimbo wangu pendwa. Najua nitavuka Salam🙏🙏🙏🙏
Through the help of God 2020 am in breaking limit, if this same God defended Israel at red Sea a whole nation what about me an individual ah nitafika salama
Mungu akubariki saaana Nimebarikiwa na huu wimbo 😭😭😭😭 Mungu Akubariki Tena saana 🙏🙏🙏
2020 July am here... SINA MASHAKA NA NIENDAKO🙏🏽...MWAIPAJA FAMILY TAKING US CLOSE TO GOD,, BE BLESSED ❤️.
Is martha mwaipaja her sister?
Nyimbo inanitia moyo nitafika salama kwamsaada wa mungu yeye ndio kiongozi mwema kwangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️ good is love
Beatrece unachokipaji mama sina la kuongeza love you so much
Bado huu wimbo ni ushuhuda kwangu unaniliza sana hakika hakika inshallah mungu yupo nasi 2023 bado kwangu ni wimbo bora sana …nasemaje nasemaje sikati tamaa iwe mvua au jua niko na Mungu 🙏🙏
Thank you Jesus for being on my side on everything, l have passed through,,,.
It's 2023 I heard this in matatu when going to work indeed it was a blessed day for me. Happy New year
Mung akubariki san nikisikiliza wimbo huu nabarikiwa sana mtumishi
Mungu ni mwaminifu kwa watoto wake hajawahi waacha
unanitia nguvu wimbo na kuendelea mble acha nkumbke jan Mungu alikonitoa
Unanitia nguvu sana pindi nikisikiliza huu wimbo asante dada kwa ujumbe mzuri
Wimbo huu unanitia nguvu niliko toka nimbali sana nikiutazama lazima nilie
Kwa msaada wa Mungu tutafika tu japo bado safari ni ndefu na vita ni kali sana lakini pamoja na yote tutafika salama msaada wa Mungu upo pamoja nasi daima.
pamoja na yale magumu lkn tumekua washindi......Barikiwa sana
Huu wimbo ni mzuri kwangu ni nambari moja barikiwaa mtumishi
I don't understand the coincidence.. listening to this beautiful song when am traveling..God bless you my sister
Hakika ntafika salama japo usiku ulkuwa wa tabu!!npganie BWANA!! penda sana huu wimbo
My song of 2017,bt now 2024 itestisfy that good lord changed the history
umeimba kwa hisia mamito mpk machozi yamenitoka,nyimbo inaujumbe mzuri na inafariji ki ukweli,kwa msaada wa Mungu tutafika salama,hongera zake kwa director (mumeo)kazi nzuri.
Najua ntafika salama ata changamoto zikuwe mingi, God is always there ❤
Mungu akubariki Beatrice wimbo unanibariki sana kweli sina mashaka na kesho nitafika salama
Tutafika salama kwa msaada wa Mzungu🤲🙏🏽
Nimelia nilipo sikiliza huu wimbo umenigusa kweli jamani Ubalikiwe sana
Kwa msaada wa mungu tutafika salama.Atatufikisha Wala usirudi nyuma
My tears have washed me uncontrollably without fear or shame ... This song ignites and rekindles my lifes journey without favor ....am bruised
Ilipata kama nimechukuliwa na anti yangu kwa sababu alikuwa na huruma sana vile tuliishi akanipeleka kwa mazuri na hii wimbo ikaanza kama nakula vizuri nikaacha kwa sababu nilikumbuka vile dada zangu waliteseka sana kule nyuma
Bt sai tunafika salama
2020,, still watching
Still watching this song aki anani tena naipenda sana######tutafika salama.....nkiskia tu machozi Yatoka yenyewe 🙏🙏
Asante dada yangu Mungu akubariki sana nyimbo zako zinatia nguvu
Sina mashaka na keshooo............ili mrad nip na MUNGU🙏🙏🙏
It's now 2 yrs 3months in Gulf.nifikishie siku ni home Mungu wangu.i really miss my family
hongera sana kwa wimbo wako mzuri,mungu azidi kukubariki betty....
Amen asante sana mpendwa wangu.
Amen twapaswa kushukuru kwa kila jambo , kesho niya Mungu . Mungu akubariki dada.
Barikiwa sana dada nabarikiwa na huduma yako Mungu aendelee kukutunza na uendelee kuwa baraka maixhani mwetu kwakututia moyo kwa huduma yako Amen.
Nyimbo nzuri,inanifariji
mungu akibari sana beatrice
Nakushukuru Mungu kamwe siwez kusahau jana...nanitafika salama kwa msaada wako Mungu wangu
How beautifully sung! Can you please post a translation of what you've sung? Much
love from India xx
We shall arrive safely with the help of God never give up
In GOD'S hands we are always safe
I remember the first time I listened to this song..is when I was going for an interview in Nairobi Kenya...and I left my 5months old baby ...with a class five boy and grade 3girl ..no body was there to look after them ..in the bus I repeatedly sung the song untii I reached the destination....on reaching during an interview so many people were there from the county I was from ..but who is God ...mark you I was the oniy one succeeded ..an was given the job instantly ...I will always remember this song ....I feel blessed
We used to cry so hard praying with this song that is my sister and I..🙏🙏hatufai kusahau jana
Everything about God is sweet...i love Jesus he is faithful...soo touching music
Ur songs inspires me alooot kwanza ile ya "Dhahabu lazima ipite kwenye moto" kweli kweli mungu huinua watu mavumbini nakuwakalisha kwa wafalme....taking me from House B to manager sjui mungu nimlipe nini amentoa mbali
this song is very emotional av listen 10 time and still listening
napenda sana kusikiliza hii nyimbo kwa kuwa inanipa matumaini ya sehemu nilioko na wazazi wangu pia kuwa ipo siku mungu atamkumbuka mja wake awezi muacha kamwe😓😓