Hawa ndugu wawili wa Damu ni Waimbaji Wakubwa wa Mungu, ibilisi anapambana kuua karama zao kwa namna yoyote ile. Ashukuriwe Mungu ambaye ni Mkuu kuliko mkuu wa giza maana hakika itajulikana mbivu na mbichi
Kweli dada nimesikiliza nyimbo zako mbili ambazo nazipenda, Mimi ni dhahabu na Ebenezer sijasikia jina YESU Huu ndo wimbo nimesikia YESU anatajwa pole dada kweli humuweka mtu huru jipe moyo songa mbele na YESU 😢😢😢
I'm here in 2023, I'm really in need of peace right now and listening to this song soothes my soul... it's really relevant to my situation right now... Thanks 🙏 for this wonderful song.
We will never understand the impact we have to this broken world unless we accept to be guided by the Holy Spirit Beatrice Mungu anakukutumia kutia moyo walio kata tamaa. Ubarikiwe sana
I was feeling so low sick thinking about my family background with no hope i saw this song on my friend's status i searched here i feel better amazing voice and touching words "moyo wangu tulia "daaaah,am a blessed soul wishing you blessed journey you blessed my heart gave me hope of life i love you in Christ, God forever 😢 😢😢😢
Barikiwa mno Dada angu Beatrice hakika MUNGU ni mwema sana yani nasikiliza huu wimbo nakumbuka mengi sana ambayo bila YESU sijui ningekuwa wapi😪😪 Yani napata imani na tumaini kupitia huu wimbo
Woooow ,,I was just watching my upcoming husband preaching on RUclips and wondering how am gonna pay for air ticket from Kenya to Israel where I am,,and your song my finger dialed by mistake,,,God bless you ,,,am hoping April I will wed insha'Allah
Wale walioona video akilia kisha kuja hapa,nyoosha mkono
Niko hapa
😂😂 🙌🙌🙌
Tupoooo❤❤
Mm hapa tokea kenya
😂😂 una dhambi ww😅😅
😮😮😮 Daah! kipawe unacho dada ❤ Mungu funguli dada wetu milango 😢😢yatakiwa awe super 🌟 Mimi kafika hapa Baada ya Joan kuongea kaa jini 😢😢
Waliojua kuwa kumbe beatice ni muimbaji wa gospel mzuri kuliko martha ila hawakumjua mpaka ikatokea vurugu wakusanyike hapa
Hawa ndugu wawili wa Damu ni Waimbaji Wakubwa wa Mungu, ibilisi anapambana kuua karama zao kwa namna yoyote ile. Ashukuriwe Mungu ambaye ni Mkuu kuliko mkuu wa giza maana hakika itajulikana mbivu na mbichi
Amen
Kweli dada nimesikiliza nyimbo zako mbili ambazo nazipenda, Mimi ni dhahabu na Ebenezer sijasikia jina YESU
Huu ndo wimbo nimesikia YESU anatajwa pole dada kweli humuweka mtu huru jipe moyo songa mbele na YESU 😢😢😢
Tulia Kwa yesu
Freedom of choice, l will give my children freedom to choose the artist they love btn To choose Beatrice or leave my house
Nimekuja kwenye account yako tena 16-12-2024 Baada ya kuona ushuhuda wako aise pole sana Madam Hongera kwa ushindi
Hata mimi
@@fridafrancis1960 nimejisikia kulia yani kuna kipindi nilikua nakaa hata mwaka sitaki kuongea na mama 😭😭😭😭
@@DommyAbasy-cn5ncikatae iyo ni madhabahu ya kuzim inakua inataka kukutumia kama kabisa
Amen moyo wangu tulia bwana anajua wakati wa kukubariki.tulia moyo watching from Saudi arabia.homeland🇰🇪🇰🇪.
Spirit lifting...admitted in the hospital and my baby incubated😢....Wimbo huu unanitia nguvu kila siku
May the Lord see you through
I'm here in 2023, I'm really in need of peace right now and listening to this song soothes my soul... it's really relevant to my situation right now... Thanks 🙏 for this wonderful song.
Kweli moyo wangu tulia acha masham sham msikilize mungu moyo wangu, barikiwa sana mtoto wa yesu.
nabarkiwa sana dada yangu na nyimbo zako
🙏🙏🙏🙌🙌 asante mungu wangu
Going through so much at the moment,Moyo wangu tulia kwenye pendo lisilo kwisha atatenda kwa wakati❤
We will never understand the impact we have to this broken world unless we accept to be guided by the Holy Spirit
Beatrice Mungu anakukutumia kutia moyo walio kata tamaa. Ubarikiwe sana
Hongera nyimbo ina ujumbe dada, 🙏🙏🙏
Ata mara 10 kwa siku❤❤❤❤
I was feeling so low sick thinking about my family background with no hope i saw this song on my friend's status i searched here i feel better amazing voice and touching words "moyo wangu tulia "daaaah,am a blessed soul wishing you blessed journey you blessed my heart gave me hope of life i love you in Christ, God forever 😢 😢😢😢
Dadazangu zidi kusonga mbele Mungu yupamoja nawe milele na milele daima❤❤❤❤❤❤❤napenda sana nyimbo za zina tuinua❤❤❤❤
😢
Hongera sana kipenz nyimbo zako zmekua faraja kubwa mno kwangu,,,,,,dadaako nakupenda sana Mungu wetu aendelee kukutunza
Amen
Moyo Wangu Tulia Tuli Tuli Kwa Yesu ,Moyo Wangu tulia
Beatrice and Martha Mwaipaja -your really blessed, Keep on moving
Martha unanipaga raha mpagiliao wa nyimbo zako na sauti ! mungu amekubariki saana
Huyu ni beatrice
@@sarahfisoo5689 ohh kweli nimewachanganya
Mwenyezi mungu azidi kubariki kipaji chako Bite
Nyimbo za uyu madam are very emotional kwanza ile ya n mungu TU,bity i love you mamaaa keep going my playlist is full of your songs ❤️❤️❤️
Wimbo huu inakubariki sana sana mtumishi wa Mungu , Yesu akutunze sana🙏
Barikiwa
Moyo wangu tulia gulf sio mchezo moyo wangu tulia kwa yesu ..kwa maana kesho n ya bwana 🙏🙏🙏🙏🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Barikiwa mno Dada angu Beatrice hakika MUNGU ni mwema sana yani nasikiliza huu wimbo nakumbuka mengi sana ambayo bila YESU sijui ningekuwa wapi😪😪 Yani napata imani na tumaini kupitia huu wimbo
Nakupenda sana hadi nikiona sura yako nzuri na ya upore nafarijika
Asante kwa kunitia moyo❤❤❤
Merci Mungu kwa nyimbo iyi Mungu akubarikiya.
Jaman sk nyingi nilikuwa nilikuwa nimekumis mpenz barikiwa mpenz
Hakika mioyo yetu wacha itulie kwa yesu maana kilakitu ilikwisha pale msalabani
Nimeusikiza zaidi ya mara tano...going through alot n this song soothes my heart...God bless you so much maanake umeiponya na kutuliza moyo wangu
Umenifungia mie kabisa🙌🙌🙌💪💪💪barikiwa sana🙇🙇🙇
yes Moyo wangu tulia Kwa yesu.
Amina, ubarikiwe dada, wimbo wafaraja na matumaini, kuturiya kwa Yesu.
Sipendi nijute, haraka aina baraka, Moyo wangu tulia Kwa Yesu, amina.
Moyo wangu tulia kweli huu mwaka yalenimeona Kama si pendo la Mungu singekuwa 2023 I love this song it's a massage to me
Tik tok brought me here.....such a nice song
Sauti tamu ya kumtukuza mungu,the song is lit na unatuliza moyo
Moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia kwa Yesu tafadhali 🇰🇪🇰🇪
Unaimba vizur sana dada yangu ❤❤❤
Amen 🙏
Tupo huku sasa ivi🎉
Beatrice your songs makes me cry 😢 😢nimekua nazo Skiza zanituliza
Tunasubir kwa hamu video ya bado nina Iman na ule mwaka wangu ndio huu,,,Mungu akuongoze vyema
Bado nina Imani Mbona Ilishatoka?
Sawa sawa naisubir mwaka wangu
Mungu n muzuri akukubuke na neema ingne tna nakupenda mum
Moyo wangu tulia asante kwa wimbo mzuri sana nimekuta narudi sana kuusikiliza
Aliacha Enzi na mamlaka kwaajili yetu ...oh Hallelujah 👏 Jesus❤
Wow 👌 hongera sana dada kujielewa na kutambuwa kuwa Bwana Yesu ndie njia pekee barikiwa mtumishi
Kwakweli. Dada. Nyimbo. Iyi sijui niseme ila tu. Mungu. Akubariki sana tena sana
Keep going my sister we praying for you 🙏 tunakuombea ufanikiwe iLi utimize ndoto zako. tokukwiputila twebandali palikimo nabanyakyusa 🙏🤲
Kazi nzuli dada beatreci mwaipaja good aidia Asante sana Mungu akubariki
Nakupenda sana
Ubarikiwe sana dada❤❤❤
Unajua kuimba mungu akubariki kipaji kidum
Huu wimbo umenibariki san
This song make me crying 😭
“Izi shida niza muda jifunze subira moyo wng”
This song makes me crying 😭,,lzi shida niza muda jifunze subira moyo wng,, to
Woooow I love this song 🙏🙏🙏❤❤❤ more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤
Mungu akubariki mtumishi wake kwa kaxi nzuri
Polesana dada munguakutiyeguvu katika upamubanajiwako
Barikiwa kweli upendo wa yesu nkweli tena amina,upendo wa yesu hauna usaliti God bless you
Moyo wangu tulia kwa Mungu kwani yote yanapita ila baba yetu Mungu anakupenda
Mwoyo turiya kwa yesu ubarikiwe sana
This song give me strength knowing that one day God will remember 😢😢😢 no matter what comes through my way 🙏🙏🙏
Ooooh my! Moyo wangu tulia kwa Yesu 🙏🙏.Am encouraged
Moyo wangu tulia nimebarikiwa sana
Hongera sna
Jaman mpak tunahandika haya ni Mungu nimetoka mbali san ,asant Mungu kwa makuu yako umenifikisha USA 🇺🇸 salama
Amen wacha moyo wangu utulie kwenye pendo liziloisha.
Moyo wangu tulia Mungu akubariki
Hongera rafk yangu
❤moyo wangu tulia tuli!!jiulize nani anayekupenda!Only Jesus Christ 👌anajua thamani yangu!!Amen!....
Hongera dada wa mimi
Hongera sana Mtumishi dada yangu
Hongera sana dada
AMEN.. be blessed... Watoto wamependeza....tupende watoto jamani
nakupenda dada nilikuwa naisubiri sana be blessed
❤❤❤❤na pendaka sana nyimbo zako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nyimbo za kuturudisha kwa Mungu ubarikiwe sana Dada
Umetubariki kwa nyimbo hii nzuri kweli 'moyo wangu tulia kwa yesu'.endelea na hiyo kazi na Mungu atubariki sote.
Moyo wangu tulia asante Dada kwa faraja mungu azidi kukubariki katika kazi zako
Woooow ,,I was just watching my upcoming husband preaching on RUclips and wondering how am gonna pay for air ticket from Kenya to Israel where I am,,and your song my finger dialed by mistake,,,God bless you ,,,am hoping April I will wed insha'Allah
Mungu wa rehema,airehemu familia yako beatrice na matha na kuwaponya.
Who is here 2024 🙏🙏🙏🙏
5th November 2024
Nakupenda Sanaa Ahsante kwa wimbo hours wa baraka
Wow am really blessed ,am listening while my lovely wife Ako in labour.My God be with her...
My favourite singer nice massage moyo wangu subiri kwa yesu
Amina 🙏🏼 moyo wangu tulia kwa Yesu,
Jesus is my salvation and my everything
Moyo wng tulia kwa Yesu,tulia tuli tulii😍😘😘😘🙏🙏🙏🙏
Vile napenda uimbaji wako but nilkuwa nakusubir hii video kwa hamu
AMEN kweli moyo wangu tuliya kwa YESU
Barikiwa Dada jumbe zako zinahuisha na kutoa matumaini kwa mioyo iliyopondeka ..MUNGU Azidi kukuinua katika Utumishi wake
My favorate gospel singer 🙏🏻
Bite we ni Neema Sana asee nilikuwa sijasikilizaga huu wimbo vizuri ooh thank you god
Wewe Beatrice na sauti yako nzuri kama Malaika Ninatakia maisha Mwema na nyimbo nzuri hii
Ubarikiwe mumy wimbo mzuri
Wimbo mzuri kweli, Mungu na akumbariki sana dada......moyo wangu naupate tulizo kwa Yesu milele yote.
Amina moyo wangu tulia mungu anajua yote ninayopitia na hitaji la moyo wangu
Mungu akubariki dadaa nyimbo zako n faraja ya moyo wangu mungu azidi kukuinua ,amen Amen
Hongera mtumishi wa Mungu
Hongera sanaa my sister