Mchungaji atapeliwa nyumba na mchungaji mwenzake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2018
  • Mchungaji wa Kanisa la Bishop Mji wa Bwana lililopo Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es salaam amedai ametapeliwa nyumba na mchungaji mwenzake mkoani Morogoro. Mtumishi huyo wa Mungu aliyejitambulisha kwa jina la Jacob Jorum Swila alidai alimpangisha mchugaji huyo ambaye ni mwanafunzi wake wa zamani na yeye kuamua kuiuza.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 35

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 22 дня назад +1

    pole baba baadhi ya uchungaji nimatali vibaya mnoo,hii dunia pasta mimi nimempa mtu kazi yakujenga nyumba,alipo maliza kujenga tukabidi tupaue amekimbia na pesa yote, ya mabati mbao,kachukua hera ndevu,haki ya mtuhaipotei baba Mungu yupo haki yako itapatikana,sinaamini tena mtu , Dunia mapito bila msaada wa Mungu huwezi kushinda vita vya shetani.

  • @furahabeatrice2057
    @furahabeatrice2057 2 года назад

    Pole sana baba mtumishi wa MUNGU.
    Ulifanya kwa imani na upendo, lakini ukarudishiwa mabaya. Lakini MUNGU anajibu maombi. Barikiwa mcungaji

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 4 года назад

    Amen Amen. Watumishi wa Mungu mmemuweka wapi Mungu asieshindwa?. Aturusiwi kushitaki ninyi mnashitaki. Je Mungu wenu kashindwa?. Jaribuni Mungu ninae mwabudu Mungu wa Mbingu na nchi . amen.

  • @kusekwasimon5874
    @kusekwasimon5874 5 лет назад +2

    Yeye mungu ni mwenye haki tu ndo tofauti ya Baba yetu wa mbinguni amina

  • @rammietv4907
    @rammietv4907 4 года назад +1

    ASTAGHAFIRULLAH hawa nao wanatapeliana ooh jaman ALLAH tujalie mwisho mwema

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 23 дня назад

    Wachangaji / watumishi, mnatukatisha tamaa...sasa nyie mkifanya hayo cc tufanye nini jamani?

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 23 дня назад

    Nimewahi kumpangishia mtumishi nyumba ya kuishi, nikamuazima baadhi ya vitu kwa kuwa alihamia kutoka mkoani, kwanza kabisa kunilipa kuanzia kodi ya pili ilikua ni usumbufu, ananiambia nikalidai kanisa, alipofikia kuhama kurudisha vitu vyangu ilikua ni vuta nikuvute.

  • @isackmodestus5935
    @isackmodestus5935 6 лет назад

    pole

  • @sebamrope7691
    @sebamrope7691 6 лет назад

    afwande Robert 😁😁😂😂

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 5 лет назад

    Wema ajali.

  • @davyadamsontz
    @davyadamsontz 5 лет назад

    Pole Baba lakini nadhani si sahihi wewe kwenda hapo, ungeenda mahakamani

    • @mijashushu9552
      @mijashushu9552 4 года назад

      Pole sana ndugu yangu mpenzi
      Hata nimeshangaa kuona kuwa mchungaji.
      Tulikua tukiishi wote Kirombero.
      Mimi nimama Mtaita nilikua naishi Tanesko kidatu. Ulikuwa rafiki yetu
      Mzuri sana katika familia yetu.
      Mungu akubariki sana.
      Naomba namba yako,
      Namba yangu ni hii +2557419464953.
      Naomba mawasiliano nawe
      Mchunga Swila.
      Mungu akubariki sana.

  • @kingbidder
    @kingbidder 5 лет назад

    Bongo 5 pls nisaidie promosheni ya nyimbo yangu. Uiweke kwenye community tab yenu. Pls contact me tuangalie tuta fanyaje WhatsApp yangu ni +447719640126 thnx

  • @florangarondola249
    @florangarondola249 5 лет назад

    Wachungaji sadaka nyie ndo yamewakuta nyie ka! Mnatia aibu

    • @anithabuberwa2253
      @anithabuberwa2253 5 лет назад

      Sasa kama nyie watumishi wa Mungu munakuwa hivi wakati ndio vioo vyetu sisi waumini tutakuwaje?😂😂😂

  • @bernardkamungu1714
    @bernardkamungu1714 6 лет назад

    Dhuh

  • @zuberinyenzi1982
    @zuberinyenzi1982 4 года назад

    Afwande robat

  • @beatriceabeid9943
    @beatriceabeid9943 6 лет назад

    Afwandwe Robert

  • @martinchatila320
    @martinchatila320 4 года назад

    Wakati fulani wawe wanafikiria mambo ya kupeleka kwenye media kwasababu wenye imani haba hawawezi kutofautisha wakimbilie wapi kama viongozi wa dini wanakuwa si waminifu na wanaeleza hadharani

  • @sankofa2231
    @sankofa2231 6 лет назад +3

    Mungu hayupo, binadamu tuu ndio wamemtengeneza na sasa wanamtumia kupiga madili!

    • @christinabiyengo2955
      @christinabiyengo2955 6 лет назад

      Ila shetani yupo?!

    • @sankofa2231
      @sankofa2231 6 лет назад

      Hamna shetani. Hamna majini, uchawi, malaika, na hata roho. Hizo fikra zimepitwa na wakati. Si umeona mambo ya Loliondo yaliko ishia? If you are old enough utakumbuka Dar watoto wengi walkua wana vaa hirizi. Hayo sikuhizi nayo yapepitwa na wakati. anyway, bado tunasafari ndefu...

    • @sittaerasto1288
      @sittaerasto1288 6 лет назад

      Sankofa du! Ni hatari

    • @paulmadeba8432
      @paulmadeba8432 5 лет назад

      Mpumbavu husema moyoni mwake hamna Bwana!!!!! Ni huzuni maana hajui siku ya kujiliwa kwake
      Dunia na kila kiumbe hai na vyote viijazavyo vinadhihilisha uwepo wa Mungu

    • @yohannathobias4742
      @yohannathobias4742 5 лет назад

      Hujielewi wewe