MUNGU wa mbinguni akubariki saaana mtumishi wa MUNGU aliehai umekuwa baraka saaana kwangu kupitia mafundisho unayotupa watoto wako, natamani saana kukuona ila nipo rombo Kilimanjaro na cjajua nitawezaje kukufikia mtumishi wa MUNGU 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Wow what knowledge?!so profound ,Asante Yesu. “Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa.” Mithali 11:9 NEN
Nashukuru Paster Soumbera Mimi ni mutumishi wa Mungu nimeandariwa n'a Mungu gupambana vitæ za Mungu nahitaji maombezi Yako nipate mafuta ya kazi ya Mungu yani Uwe muzazi wangu wa kiroho nina mwito wa kazi ya Mungu ukiomba Mungu atakuonenesha kazi Yake Mungu ndani yangu
Utajitambua ukiwa umelala Kwa njia ya Ndoto na pia ukitaka uishi Moja Kwa Moja kabisa omba maombi ya maneno ambayo utaona matokeo Yake ndo kuutawala unatamka kitu kinatokea ni Moja ya kuumiliki
Pole majini yanakusumbua yameshikilia ufahamu wako unachotakiwa sasa ni uombewe tu majini yaachilie ufahamu wako hakuna namna ingine zaidi ya jina la YESU KRISTO NDIO likufungue
MUNGU wa mbinguni akubariki saaana mtumishi wa MUNGU aliehai umekuwa baraka saaana kwangu kupitia mafundisho unayotupa watoto wako, natamani saana kukuona ila nipo rombo Kilimanjaro na cjajua nitawezaje kukufikia mtumishi wa MUNGU 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
SASA NIMEELEWA KUMBE KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA VIONGOZI WA DINI NA WATUMISHI WA MUNGU, BABA UBARIKIWE MNOO
Wow what knowledge?!so profound ,Asante Yesu. “Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa.”
Mithali 11:9 NEN
Nashukuru Paster Soumbera Mimi ni mutumishi wa Mungu nimeandariwa n'a Mungu gupambana vitæ za Mungu nahitaji maombezi Yako nipate mafuta ya kazi ya Mungu yani Uwe muzazi wangu wa kiroho nina mwito wa kazi ya Mungu ukiomba Mungu atakuonenesha kazi Yake Mungu ndani yangu
Soumbera❌ Sunbella✅
Mtumishi Asante Sana nakufuatilia kutoka DRC.Congo
Minister. Sunbella the value of your teaching is more than Gold
We thank God for you, imagine jinsi elimu ya ulimwengu wa roho ilivyonibariki mimi, baba mchungaji endelea kuchunga kondoo wako
Asante Roho Mtakatifu!!!!
Amina asante sana pastor natoka kwa Kasi ya ajabu
Asante mtumish Mungu akutunze zaid
Asante..sana God...
I need to access spiritual realm through the holyspirit in the name of Jesus Christ .
Asante minister Sunbella
Asante Mungu nimejifunza kitu kizuri sn,siendi Tena kwa waganga
Yaanii Sunbellaa!
amina
Mtumishi wa Mungu barikiwa sana. leo nimesikiliza somo la uelewe ulimwengu roho ( Nov 2018) bado lina moto na nguvu sana. Wewe ni mwalimu mzuri sana.
Mungu akubariki sana mtumishi
Amen 🙏
Mwenyezi mungu akutangulie sana mtumishi 👈 namimi nibariki pia ili niamini Kama unaniona mchungaji🏃
Amen..I learn alot..God bless you soo much pastor
Amen mtumishi
mutumishi mungu akubariki sana, rakini tupe siri vizuri, sasa ju tubaki kuco turico umbiwa inatubidi tufanye nini tupe siri nasisi na ubarikiwe
Tuko pamoja Asante sana kwa hili Somo Mungu akubariki sana
Mungu akuweke akupe uzima dady 🙏
Amen
Amen somo Zuri kabisa
Amen unanibariki Sana mtumishi ubarikiwe
Hii inahitaji ufunguke kiroho
Mbarikiwe wateule
Mungu ni mwema
Aksante, somo zuri.
Thanks we learn it
Kila siku nahitaji kujifunza zaidi, ,Mungu akubarikia Mtumishi.
Kuanzia leo kila kitu naanza kupambana katika ulimwengu wa roho
Nahitaji unifungue ngombo zote nimutumikiye Mungu wa Yesu Kristo nikiwa hutu kabisa
pastor tunaomba namba yako tafadhali .
Ameeen
Naitwa meshack ni dreva wa shabiby nakufuatilia sanaaa mtumishi wa mokozi
Majini mahaba yanawezaje kufanya mapenz na binadamu ikiwa wao wapo kwenye ulimwengu wa roho?
ezekia Aliko Majini huvaa mwili ktk ndoto, Na kitendo uonekana ktk uhalisia,baada ya kujikuta umelowa.
Kwanini huwa hatujitambui tukiwa ulimwengu wa roho
Utajitambua ukiwa umelala Kwa njia ya Ndoto na pia ukitaka uishi Moja Kwa Moja kabisa omba maombi ya maneno ambayo utaona matokeo Yake ndo kuutawala unatamka kitu kinatokea ni Moja ya kuumiliki
unajitaihidi ila unajichanganya kimaelezo
Pole sana Shabani kwani nyuma yako namuona shetani akihusika kwa siri sana
Kwa jina la Yesu na akuachie
Ww muislam kuelewa ngumu angeongea shekhe ungemuelewa