Nakupenda xana Giggy,na hua ni mkweli xn MUNGU akupe mafanikio endelea kumpenda mwanao na kupmbana kumlea,kwavile unamuamn MUNGU na kulitaja jina lake lazma atakusaidia,maana MUNGU alisema ktk vitabu vyake tumwite nae atatuitikia na atatuonyesha Mambo makubwa na magumu tucyoyajua!tukiomba lolote kwa jina lake atafanya!
Baba watt wangu arinipiga Niko na wiki mbili nimejifunguwa akachukuwa kichanga akataka kumtuba inje natambaa nafata mwanangu arinipiga teke la usoni nirihisi kufa 😭😭😭mungu nimwema turiachana na watt wawiri nimereya wanangu Sina ata habari yake🙏🙏🙏🙏
Huu mtihani inaonyesha unahitaji counselling maana una stress nyingi sana. Achana na mitandao itakuharibia zaidi wewe unajieleza wao wanatengeneza pesa wakati haikusaidii wewe wala familia yako. Take it easy Gigy.
Gigi wewe kiboko, unatuliza 😭😭😭😭 mwisho wa siku unatufurahisha jamani 😂😂 Nakupenda bure.
😭🤣🤣🤣
Kweli tenaaa 😂😂😂
🤣🤣🤣 kabisa uyu ni komed
@@janethjasson9958 😂😂😂😂😂😂
Yan umeona eeeh
Gigy is such a vibe ❤️🥰.and she is a brave and kind hearted woman.l really love her ❤️🎉
First time I've paid attention to Gigi and I am loving her so much ako real sana. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
UK
UK
UK
@@godrobart6288 I like your name.
This is my first time too and I love her on God.
Huyu dada ni real sana. Yan sio mnafik na uongo hajui..
#live WIVU UKIZIDI NI TATIZO KUBWA UNAWEZA KUFANYA TUKIO BILA KUTEGEMEA GUSA LINK KUTAZAMA ruclips.net/video/N9WSFQhSiTM/видео.html
Nampenda sana yani huwa ananifurahisha sana
Respect Gigy mahelaaaaa....Love u much mamy
😭😭😭😭Muachenii Gigy jamani hamjui anayoo pitia jamani Single Mama tunajua uchungu wa mateso ya watoto we2😭😭😢
I love this lady she is very strong
Gigy shikamooooo🤣🤣🤣🤣 umejua kunikunaa🤣🤣 mkaka mzurii kumbe mwanga🤣🤣🤣💯💯
🤣
Nampenda Gigy sana sana mana n mkwel na kiatu chake nakielewa mno mana nikiatu changu pia
Uyu dada me napendaga tu confidence yake yani 😂😂
You are a very brave woman, always strong💪💪🥳🎉🥳🥳🥳
Nakupenda xana Giggy,na hua ni mkweli xn MUNGU akupe mafanikio endelea kumpenda mwanao na kupmbana kumlea,kwavile unamuamn MUNGU na kulitaja jina lake lazma atakusaidia,maana MUNGU alisema ktk vitabu vyake tumwite nae atatuitikia na atatuonyesha Mambo makubwa na magumu tucyoyajua!tukiomba lolote kwa jina lake atafanya!
super woman.Gigi despite her age she is wise confident and a strong lady.Kudos
Baba watt wangu arinipiga Niko na wiki mbili nimejifunguwa akachukuwa kichanga akataka kumtuba inje natambaa nafata mwanangu arinipiga teke la usoni nirihisi kufa 😭😭😭mungu nimwema turiachana na watt wawiri nimereya wanangu Sina ata habari yake🙏🙏🙏🙏
Pole sana😩
Jaman pole sana
Pole sana jamani🙆♀️🙆♀️😭😭
Pole pole my
Jmn pole sana,,, huyo alikuwa jini
I love this woman ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
kuna namna atafutiwe tuzo huyu dada, shes brilliant anajiamini sio powa
Gigi, you're a brave woman 👏
Sure
💯
Wangekuwa wanakuja hata huku mtaani wanatuoji jaman dah ningeyatoa yamoyon aisee😥😥
single mom wote wanaelew nn kinaongelewa nq gigy
Kweli kabixa
Sana yani
Gigi umenifundisha kitu maana wengine tumekuwa wa kwenda mbele na kurudi nyuma bt interview hii imenifanya niwe mpya.
Ukrud nyuma unapotea kbs yaan keep forward my dear
You can be a bad person but if you love your kid . there's nothing going to touch it. My dear stand strong and keep going 😘
Big up Gigy....kumbe lishirikina? Tupa kule...,tembea kubwa kubwa na Yesu.
Yaan Interview Akihojiwa Baba levo ama Gigy inakia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tupo pa1 my
Huu mtihani inaonyesha unahitaji counselling maana una stress nyingi sana. Achana na mitandao itakuharibia zaidi wewe unajieleza wao wanatengeneza pesa wakati haikusaidii wewe wala familia yako. Take it easy Gigy.
Wewe ni zaid ya mwanamke zaid ya mamaa❤️
All vibe in one show Gigy ni firee🔥🔥🔥
Sema wewe Gigi we ni mwanamke, nakupenda, ety nalala na bible chini ya mtu nikifa nakufa na Yesu
😂😂😂
May Allah protect you and your baby🙏❤️
Unatufurahisha huku unalia hahaha gigy we kiboko🥰
Mwenyezi mungu akutie nguvu Inshallah na akustiria mayra
This lady is actually beautiful!!! I think she even didn't drink today! she looks beautiful kabisa!!!
Acha uongo
Angalia interview ya part 1 😂😂 kuna glass ya pombe apo pembeni yake
Kuna kitu najifunza kupitia maneno yako
Hakuna mama chiz kwa mtoto wake nimependa ulivyo funguka nilikua naisubilia part 2 nimefurah sana
Nampendaga uyu mdada anajiamini sana
Gigiy kiboko ajua kutuliza nakutufrahisha mungu akutie nguvu
@@adelinamaiko9272 gigiy shikamoo yaan unaniliza kisha unanifrahisha
I love her, ni msichana pekee mwenye kujiamini whatever the weather and the situation.
gigy i love u,yaan una tabia zote za gemin,gemin haturogeki kirahisi,tunapenda sana ila ukitukosea aloooh utajutraa,wapambanaji hatujali wala nini
Love from south Africa😍😍😍😘😘😊😊
Much LOVE ❤🇰🇪🇰🇪
Gigy! 🤣🤣🙌,Unatuliza na kutuchekesha hapohapo.
Mungu ni mwema utakuwa sawa,kikubwa upendo Kwa mwanao,na mtangulize Mungu Kwa Kila Jambo.
Giggy man unaongea point sana kwa wale wanaokuelewa kwanza natamani kulia😭😭😭 unatamani kucheka😆😆😆 very very nice 👌
Tanzanian,, watu naowajua Wasema ukweli ni watatu tuu ,, baba levo,, shishi,, na gigi stop✋.
Hao kwa kweli ndo wanaosema kweli gia zikiachia wanasema yote wengine acheni tu
@@abdulmruke2246 na masha love😃
Faiza ally
watu wanaossema uongo ni Muhijako na nani tena?
@@Watema23 na juma lokole
Uyu anampenda sana baba mtoto wake saana,na awez kumsaham😢😢
I will always love you Giggy💓💓💓💓💓😘
Safi sana gig uchawi so mzur unarudisha nyuma sana baba mtoto wangu nae ana mambo hayo wallah naumia sana naelewa maumivu unayo pitia kama mama
Ila wanaume wengine bhanaa,,,, can't say anything koz cna mtoto,,cna mume,,,,Ila kwenye Miti mingi hamna wajenzi,,,,
Dah mo j ni mjinga kupitiliza 😏😏 gigy watanzania tunakupend xan t lea mtot wko n mung atakuxaidia ❤
Ndo maisha dear,kuwa uyaone.
Kikubwa kila jambo lina mwisho,haya pia yatapita,mzingatie Mungu🙏🙏
Woman Mungu akupe ujasir Gigi wangu❤️❤️❤️❤️❤️🖤🖤🖤🔐🔐
Yani gigy ila amesema ukweli kabixa yani mungu akuongoze kiukweli kwa wale ma single tunajua shida hizi kweli😭😭😭😭😭😭😭
Much love from Kenya Gig baby
I love Gigy she is my Role model kiukweli naitwa celine nipo kigali sikosi kumfaliya Gigy
I love gigy is interview she is so really. Much love from Kenya.
My forever admire 🥰🥰🥰omg 🥺🥺🥺💔
I love this women 😘
Nimecheka Sanaa Gigy et Kuna mwanasheria na advocate, ahahaha raha sanaaa
Mtu anakupenda awezi kubali uteseke ata dakika moja pole sana gigy
Nakupenda dada alafu hapo umependeza kuliko hongeraaa
I love this girl from 🇰🇪
Nampenda giggy jamn , and her couple is my favorite😘
Waah you're very strong imagine unalia unakausha
Zai kijiwenogwa unamuaribu giggy😀😀😀😀
Nakupenda sana gigy money
Nyie Wanaume Wazuri na Wenye muonekano Wanashida sana jamani, Kweli Nimeamini.. Ukiwa na Mtu wako Personal Utaenjoy Sana.
Napenda interview za gigi
Kama mm napenda sana interview zake
Love you more gigy, stay strong girl 😘😘😘
Unaakili sana dada G
Ninachoelewa kua mpaka mtu anafikia kulia kwa uchungu kiasi hichi ni kwamba ana maumivu makali !!!! Aisee mo jay utalipa hili
We gigy love you so much
This Is so painful,i had shit different most human nawadays ain fine.GOD GUIDES YOU ..
Mnaweza msimuelewe gigy ila kama unajua love and care utaelewa Mimi ninekuelewa gigy pole sana
Crazy girl😂😂😂nampenda huyu dada
Am proud of you G
I love you Gigy. God bless you na akupe amani yako dear.
Aki giggy jamani uku tunalia uku tunacheka 🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 super woman
Love you 😍 gigy 🇺🇸
Gigy❤❤❤❤❤ safi sana mwanamke kujiamini hata kama huna kitu❤❤❤❤
Gigy I love you for free yesu akusaidia
Penda Sana gigy wew ni super woman more lovee❤️👌
Gigy my favourite girl 🥰🥰🥰
It’s so sad she went to through that 😭😭😭
Gigy Hakuna kama wewe mungu akusaidie jamani
Yni umeniliza mwisho unanichekesha nakupenda sana♥️♥️
She’s too real😍
love you very much Gigy
Thanks you gig money
Super woman ❤️❤️❤️
Gigi you are something 😂😂😂😂 I enjoy watching you but I have also learnt so much from you
Nilikua sijawahi kukwelewa ila this time gigi i love you so much dear
Akili za gigy km zangu sitabiriki😭😭😁😁😁
Mtoto anakulaaa mawee huyuu😀🙌🏽🙌🏽
i love this lady
Maish yote nakupenda gigy kwanz n mkwel sn dah unaniumiza
Yani hata sielew ukiend huku unaambiwa ivi ukija huku unaambiwa vile bhna ee TUWAACHIE NA MAISHA YAO
Oh my baby’s gygy umeniliza weee I love mamy simama baby you got this 💋@gigymoney ❤
Big up sister nakuelewaga sana Kuna point unazilenga na zipo kwa wanawake.. hasa ma hassle...
Gigy anaongea jamaniiii uwiiiiii
Love you so so so much, strong woman 💞💞
Love you Gigy ❤️
I luv u Gigy strong woman
Am tz tunaumia wengi gigi 😭😭😭 mh wanawake tunapitia mengi maumivu
Nakupenda sana ❤❤❤❤gig
Dadangu nakupenda Yani wainua nafsi Yangu kwweli
😂😂😂😂sijawah kuacha kukupenda gigy
I love gigy.....nimelia alivyolia ila mungu atamuongoza