This is one of the most authentic women out there. She speaks her mind and the truth about her life. I always tell myself that when I succeed I will support her whichever way I can. She’s very real and a wonderful being. Tunakupenda dada. Hivi karibu utapata baraka. Twakupenda.
Huyu binti several times namuona akiongelea anayopitia huwa analia lkn ni mgumu kinoma anajipa moyo sn, Ila Kuna Mambo ya kisaikolojia anatakiwa kusaidiwa sn
Pole saaaan Mamy Duu nimejikuta nalia Wallah Mungu ni Mwema saaaan Gigy pole saaaan hata Mimi sikuwai kupata Mpenzi Ya Mama Ao Ya Baba ila Alhamdulillah nimekuwa pole
Mi namuelewa Gigy, nimepitia huko.. Mama anaweza kumuharibu mwanae100%.. Nikikumbuka huwa camini lkn ndo imeshatokea.. But nashukuru Mungu mm ni mama mwema kwani nimejifunza mengi kupitia maisha yangu niloishi🙏🏼
I can feel Gigy. I am going through what she went through with her Mom. Nampenda sana mzazi wangu but i can tell i am the one whom she hates the most😞.
Me too dear....My mom is Toxic and abusive yan alishawah kuniambiaga bora angetoaga mimba yangu.....i moved out 8years later i never looked back. Simp hata thumn yangu sasa wala sijui anafanya nn
Gigy is young. She is just 22 years old. My opinion is that she is looking for love in wrong places, she should come to agree that she can't change her mother nor people that hurt her but GOD in heaven can. She needs God's love, that will suprase all the hurt and heal her completely. ❤️
Pole Gigy nimekuelewa! Me mama yangu alinitupa nilipo zailiwa, nilipokuwa nifanikiwa kimaisha sana nikamtafuta mama, but trust me nilifanya makosa makubwa sana kumtafuta kilichonikuta sitosahu! Sijaongea na mama yangu kwa ss ni miakaaa! Sio kila mzazi ni mzuri kwa mtoto, wazazi wengine ni balaa tu! So angalia life yako na mwanao, mama yako alitakiwa akulee vyema na akupenda ili ukikuwa ukumbuke mapenzi na malezi yake na wewe umrudishie. Sasa mzazi anakuwa ndio chazo cha wewe kuharibikiwa,, alafu utasikia nimekuzaa mi ni mama yako. So!! Kwani nilikuomba unizae?? Mbona inakuwa kama kifungo vile utafikiri nilileta maombi nizaliwe, wakati nistarehe yako na mumeo! Gigy uko msupuu sana alafu strong💪endelea ku hustle beautiful acha kulia. Bless up🥰
Nafikiri dada salama kuna baadhi ya sehemu usingeziweka public. Kama vile platform imekuwa ya kumsuta mama yake na Gigy. Gigy kwa mara ya kwanza nimeamini kuwa you are real Good mother. Mama mzuri ni yule anayeweza kutambua kitu kizuri kwa maisha ya kesho kwa ajili ya mwanae
I feel you Gigy it is true wazazi wengine to be hoset ni mitiani am talking about things that have pass true in my life. But I thank God for very thing and thank good for who I am to today
Dah!! kiukweli wanawake wanapitiaga mambo mengi sana, ata mimi mpenzi wangu niliyezaa naye mtoto mmoja anatamani sana kama My mum ndio angekua mamake wakumzaa kwa visa na maneno anayomtupia kila uchao,but I keep on encouraging her to love her the way she is coz she's the only mum mwenye Allah amemtunuku nae na kila siku namwambia kuna sababu kubwa sana kwanini Mwenyezi Mungu alimbarikia yeye na sio mwengine.... Following from Mombasa/Kenya, Salama I've been with you since Mkasi Allah akuzidishie....
The way alivyoeleza hisia zake juu ya mama yke ni wazi sasa hv yupo matured .ni wachache tutakaomuelewa ....lkn tunaambiwa ushuzi wa mtu mzima haunuki..try to find a space in your heart to go and talk to your mom eye to eye...hata km kuna aina fulani ya malez umeyakosa kupitia mama still she's your mom.forgive her also she can forgive u.na maisha yataendelea ukiwa na peace of mind .otherwise cku akifa itakuja kukuumiza zaid ya unavyoumia sasa Time ndio hii fix pale palipoharibika.
Nakuelewa sana, mama angu alinitamkia atakaa aje akae na mim maisha yake yote, alionesha kumkubali dada angu sana alikua hana mategemeo na mimi but as we are speaking mimi ndio tegemeo na han pa kuish anaish kwang😢,,inaniumizaga mpka leo nikikumbuka maneno yake,, shootout for my dad he wqs there namkubali sana mzee wangu
Nampenda huyu dada namuelewa sana japo kuna watu wanamchukilia syo lakini ni mwanamke anaejitambua nn anachokifnya so ayumbishi na maneno ya waja kwa mawazo yao
Really u mak me crying all night u are very strong woman but people is things wrong about you never give up I like u all my life my god make something good for gg money😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
It's amazing nowadays watoto wanasema ati mamangu ni toxic mother. Mbona kitambo hakukuwa na haya mambo? When a child anakosea na hataki kuwa disciplined anaweka lawama kwa mama. Hakuna mama anamtakia mtoto wake mabaya lakini inafika wakati mwingine mtoto anasikiza Sana mambo ya watu wa nje kuliko ya mama. Forgive your mother and make peace with her before it's too late. Pia wewe ni mzazi na iko siku utamwelewa mama yako. Don't be like Kobe Bryant.
Kabisa maana kuna muda Gigy alifunguka had kupitiliza ila bado dada keep calm to ask .Nafikiria Gigy alipata sehemu sahihi ya kufunguka..I love her...she is also beautiful
Nakupend sana gigy umehaso sana nimekusikiliza kwa makin sana😭😭😭😭 ila kaza but usilee vibenten fanya maisha yako mungu atakujaria mama zetu wanamapungufu sana ila mungu atakusaidia
Myra got a super mother.. Your are so real Gigy,beautiful and confident.Keep it up...nimekua nakupenda kabla sijakusikiliza kwenye intavyuu..huko mitandaon tu kawaida.God Bless you little sister.🥰🥰
Ukiona mwanaume mpk machozi yamemlenga ujue kaumia sana moyoni mwake.. Nmeumia sana alivosema hamjui babaake na hayupo duniani... Daaah hii imeniumiza sana kwasabu na mim nmmoja wapo pia.. Daaaah
Kwanza hongera yako gigy kizungu kimetulia. Pili unajielewa naunajituma no matter what. Tatu wewe ni mzuri na hu fake kwa interview uko honest. Salute sister.
This safe interview you did justice to and the guest treated it fairly she was Open and it has become a Class of of people learning things, try to bring the able to express themselves and dearly it a problem you will find yourself talking even unqualified people put even a month once or for two weeks once this bring people to attention my worries if you start to bring those who do not understand the period will be worthless, @jojo@fa@benpour@gigy@nawengine wachache
Jamn gigy umenitoa machozi mim pia hakika n ngumu kujua upendo na uchungu wa mzazi paka pale unapofikia hatua ya kuitwa mama pia I know how you feel gigy 😢😢nakupenda
❤Awww Gigi I feel you. Mama ni mama tusamehe tuu....And keep talking english dont give up; stop telling her not to talk in english : We all learn from mistakes and become better people.❤❤❤❤❤❤
Gigy wow I understand you, girl you are a fighter, much love from this end, I wish you well. Seriously you can be too crazy at times. But it's all good
Nikwer kabsa yani hawa wazazi/walezi wetu ndio chanzo cha tabia zetu imeniuma sana ila mungu anajua anachokifanya nakupenda gigi wangu I wish to see you one day
Gigy nampenda Kama na we unampenda piga like zake
Zaina Msangi we binadamu upo
Zaina msangi?
Nampenda Salama anajielewa Sana anatulia haongei Sana anamuachia mtu anajielezea mwenyewe na gigy mm huwa nakukubali Sana sana
This is one of the most authentic women out there. She speaks her mind and the truth about her life. I always tell myself that when I succeed I will support her whichever way I can. She’s very real and a wonderful being. Tunakupenda dada. Hivi karibu utapata baraka. Twakupenda.
always nmpenda gigy money kama nawew hunamkubali pls weka like yako
😱😱
Huyu binti several times namuona akiongelea anayopitia huwa analia lkn ni mgumu kinoma anajipa moyo sn, Ila Kuna Mambo ya kisaikolojia anatakiwa kusaidiwa sn
Agree with you
Jàmàñ tuna tunatotiana mtu mwinģne kulia hupunguza machungu
True bro
Sure
@@nasmafarmsltd9146 pp
Salama is super smart...... I just love her....
Pole saaaan Mamy Duu nimejikuta nalia Wallah Mungu ni Mwema saaaan Gigy pole saaaan hata Mimi sikuwai kupata Mpenzi Ya Mama Ao Ya Baba ila Alhamdulillah nimekuwa pole
The other side of Giggy money which I didn't know is how she is very bright....
katika watu wanaonipa nguvu ninapopata changamoto n gigy money anaifanya niwe strong nampenda sana gigy
Nakukubali Sana Gigy,your a strong woman,and you deserve better, your going to be a wonderful mother,keep fighting.God loves you.
Mi namuelewa Gigy, nimepitia huko.. Mama anaweza kumuharibu mwanae100%.. Nikikumbuka huwa camini lkn ndo imeshatokea.. But nashukuru Mungu mm ni mama mwema kwani nimejifunza mengi kupitia maisha yangu niloishi🙏🏼
Pole msamee mama ndio Allah aliye kupangia wawe mama yako
Nimekuelewa sana,Pole Gigy nasisi tumekua bila kulelewa na Baba wala Mama,ndugu usimuhukumu mtu hujui ametoka wapi.
Gigy mm naomba Mungu awasimamie msameheane na mamaako mzazi ni mzazi na kuna baraka za Mungu ukiwa na uhusiano mzuri na mzazi
I so love Gigy,she is blunt and funny in her word phrasing but i think she is a nice person in my opinion.
I can feel Gigy. I am going through what she went through with her Mom. Nampenda sana mzazi wangu but i can tell i am the one whom she hates the most😞.
Pauline Shayo But Why she hate you?
😟
Me too dear....My mom is Toxic and abusive yan alishawah kuniambiaga bora angetoaga mimba yangu.....i moved out 8years later i never looked back. Simp hata thumn yangu sasa wala sijui anafanya nn
same story with me. sio Gigy pekee tupo wengi hata kama wengine pia hawasemi
Your future is bright dear keep praying n work hard
Gigy is young. She is just 22 years old. My opinion is that she is looking for love in wrong places, she should come to agree that she can't change her mother nor people that hurt her but GOD in heaven can. She needs God's love, that will suprase all the hurt and heal her completely. ❤️
NINA BRENDA sure
On point. That is also most women's issues in the world.
yeah she should move on its hard but she will if she wants to
kweli yani
Salama is like that best friend we all need yaani she's so composed, such a good listener, really easy to talk to...
Modest Feran ko im
Sometimes we dont really know whats going on in people's life.. Big up gigy you are a strong person..
I love how salama listens.
Me too
Anajua anachofanya
One of the most important qualities of a great journalist. Keep it up SJ.
Kweli uko na talent sana
I like this girl for real she very real and very smart and strong lady independent and she's confidence bip up girl
Nakupend buree kabis
Nimesubiri interview mpk nilichoka, lkn good! Yaani salama unaletaga watu amabao wanajielewa,salama,zamaradi na Millard ayo namjua kazizenu.
Gigi mzuli sana mama myra
Dah I felt that part “mama anaweza muharibu mtoto” forsure much love to you gigy ♥️♥️♥️pole sana 🥺
Gigy ndio maana nakupenda saana kunavitu tunafanana sema wengine hatuwezi kuhojiwa tu komaa🎉🎉🎉❤❤❤
I looooove this, been a Salama fun for years for being real.... and Gigy just an owesome woman.... Love her honesty!!!
GIGY nakupenda sana mamy... Ww ni real yan hufeki feki maisha dah
SALAMA DAH JINSI UNAVOULIZA MASWALI YAKOO TU DAH UKO VERY VERY CREATIVITY
Ni creative bro sio creativity
😂😂😂
@@ismailkatala4792 😂😂😂😂
Pole Gigy nimekuelewa! Me mama yangu alinitupa nilipo zailiwa, nilipokuwa nifanikiwa kimaisha sana nikamtafuta mama, but trust me nilifanya makosa makubwa sana kumtafuta kilichonikuta sitosahu! Sijaongea na mama yangu kwa ss ni miakaaa! Sio kila mzazi ni mzuri kwa mtoto, wazazi wengine ni balaa tu! So angalia life yako na mwanao, mama yako alitakiwa akulee vyema na akupenda ili ukikuwa ukumbuke mapenzi na malezi yake na wewe umrudishie.
Sasa mzazi anakuwa ndio chazo cha wewe kuharibikiwa,, alafu utasikia nimekuzaa mi ni mama yako. So!! Kwani nilikuomba unizae?? Mbona inakuwa kama kifungo vile utafikiri nilileta maombi nizaliwe, wakati nistarehe yako na mumeo! Gigy uko msupuu sana alafu strong💪endelea ku hustle beautiful acha kulia. Bless up🥰
Shaimah Love poleeee sanaaa dada pole ety
@@tynnahpaul8639 asante 🙏
Wengi wetu tumetokea huko na bado tunaishi uko gigy, Ila Mungu ni Mwema....
Nafikiri dada salama kuna baadhi ya sehemu usingeziweka public. Kama vile platform imekuwa ya kumsuta mama yake na Gigy. Gigy kwa mara ya kwanza nimeamini kuwa you are real Good mother. Mama mzuri ni yule anayeweza kutambua kitu kizuri kwa maisha ya kesho kwa ajili ya mwanae
I feel you Gigy it is true wazazi wengine to be hoset ni mitiani am talking about things that have pass true in my life. But I thank God for very thing and thank good for who I am to today
Salama is smar, i luv the way she listened ❤be strong gigy life still goes on usiache kumuomba Mungu
Dah!! kiukweli wanawake wanapitiaga mambo mengi sana, ata mimi mpenzi wangu niliyezaa naye mtoto mmoja anatamani sana kama My mum ndio angekua mamake wakumzaa kwa visa na maneno anayomtupia kila uchao,but I keep on encouraging her to love her the way she is coz she's the only mum mwenye Allah amemtunuku nae na kila siku namwambia kuna sababu kubwa sana kwanini Mwenyezi Mungu alimbarikia yeye na sio mwengine.... Following from Mombasa/Kenya, Salama I've been with you since Mkasi Allah akuzidishie....
Ur wife is blessed, wat a gentleman
Yaani salama na zamarad mnajuwa kumtaview mtu anafungua mpka mwisho kisha mtu anasoma kutokana mahojiano .nampenda sana.gigi money. Nilisuburi sna
Mm na penda sanaa interview za gigi money kisha nampenda sanaa kwa sababu yupo real
U are not alone gigy ..take heart it's part of life which makes you stronger than before.😢😢 hugs girl.👭
The way alivyoeleza hisia zake juu ya mama yke ni wazi sasa hv yupo matured .ni wachache tutakaomuelewa ....lkn tunaambiwa ushuzi wa mtu mzima haunuki..try to find a space in your heart to go and talk to your mom eye to eye...hata km kuna aina fulani ya malez umeyakosa kupitia mama still she's your mom.forgive her also she can forgive u.na maisha yataendelea ukiwa na peace of mind .otherwise cku akifa itakuja kukuumiza zaid ya unavyoumia sasa
Time ndio hii fix pale palipoharibika.
So sad.ooh kumbe kuna mama zengne sio eeh.thanks god for giving me my lovely mom,she has good heart....my everything. Alah akuweke.pole gigy money.
Unaongeya history yangu Gigi I wish I can tell my story to everyone
♥️♥️🙏🙏
Andika Dear. Watu watasoma storia yako.
Pole
Pole mama Andika watu Tutajifunza
Kiwigi nimemuibia mama, gauni la mamdogo, ndala za kwangu, nauli nimekopa😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂nmecheka sn
Hhahahjahahhaha
Hahhhhahhaa
🤣🤣🤣🤣😭😭😭
Hyo imeniacha hoiii pia 😂😂
Nampenda anasemaga ukweli
Nakuelewa sana, mama angu alinitamkia atakaa aje akae na mim maisha yake yote, alionesha kumkubali dada angu sana alikua hana mategemeo na mimi but as we are speaking mimi ndio tegemeo na han pa kuish anaish kwang😢,,inaniumizaga mpka leo nikikumbuka maneno yake,, shootout for my dad he wqs there namkubali sana mzee wangu
Nampenda huyu dada namuelewa sana japo kuna watu wanamchukilia syo lakini ni mwanamke anaejitambua nn anachokifnya so ayumbishi na maneno ya waja kwa mawazo yao
CKUWAHI KUFIKIRIA KWA TABIA ZA GIGY ANGEWEZA KUNITOA MACHOZI, SASA NAMUELEWA, NAMPENDA KWANZIA LEO
Kwakweli yani
Pole gigy
Hahaha
Sadness 😥
Nakupenda gigy
Really u mak me crying all night u are very strong woman but people is things wrong about you never give up I like u all my life my god make something good for gg money😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
16:56 pole salama.. kumbe unaumwa cancer. Ila kwa sasa matibabu yapo
Salama unge mpa ata hug.. Sio pole tu, it feels good kwake emotional
Aisha kauthar nadhani kitaaluma hairuhusiwi wote mtakuwa emotional na itaharibu interview... imagine wote waanze kulia...!
It's okay to be emotional popote...
Sure kitaalamu haitakiwi
Aisha kauthar Corona pia mama
@@trudafortu 🤣🤣🤣🤣🤣
SALAMA thank you for making my gift cry it's healing trust me.
Sitaki kumuhukumu Gigy, ila haya mambo yapo sana tu, mimi nimekuwa single mothe miaka 18, najua hii situation, Pole sana Gigy.
It's amazing nowadays watoto wanasema ati mamangu ni toxic mother. Mbona kitambo hakukuwa na haya mambo?
When a child anakosea na hataki kuwa disciplined anaweka lawama kwa mama. Hakuna mama anamtakia mtoto wake mabaya lakini inafika wakati mwingine mtoto anasikiza Sana mambo ya watu wa nje kuliko ya mama.
Forgive your mother and make peace with her before it's too late. Pia wewe ni mzazi na iko siku utamwelewa mama yako. Don't be like Kobe Bryant.
I like ths girl cause...i can see confidence in her...she doesn't speak good english..but she is good
She speaks broken but ilove her... Ever
She try
Gigy needs a big hug...she's a fighter love her to bits 😘😘😘
In the long run, Gigy will definitely grow into a very courageous woman 🙌🏽
She is real , 🙏❤️🙏
Utulivu wa Salama 🔥
She is legend...
She is LEGEND
Kabisa maana kuna muda Gigy alifunguka had kupitiliza ila bado dada keep calm to ask .Nafikiria Gigy alipata sehemu sahihi ya kufunguka..I love her...she is also beautiful
Nakupend sana gigy umehaso sana nimekusikiliza kwa makin sana😭😭😭😭 ila kaza but usilee vibenten fanya maisha yako mungu atakujaria mama zetu wanamapungufu sana ila mungu atakusaidia
Nimeangalia June 2023, aisee very educative, very emotional... I've learned a lot Salama
watu wanaweza kukugeuza kuwa mzuri au mbaya, mbaya sana,.. kujadili watu kwa ya sioyajua ni ulimbukeni, wasamehe, usiweke moyoni yatakuumiza...
Nilicho gundua mama anaweza akamuhalibu mtoto wake gigiy amehalibiwa na mama ake, gigiy umeniuliza wallah 😭😭
Show kali sana Salama ww ni mkaliiii.......big up to Giggy fedha
Wa kwanza leo dah nlikua naisubiria kwa hamu sana, big lov to you guys❤❤
Nakupenda San gigy .....tok nianz kushk sm Sjawah kuach kukftlia....ur among of super women
Myra got a super mother.. Your are so real Gigy,beautiful and confident.Keep it up...nimekua nakupenda kabla sijakusikiliza kwenye intavyuu..huko mitandaon tu kawaida.God Bless you little sister.🥰🥰
Ata kama nichelewa vp ila interview za gigi cwez kuzipita ata cjui kwann
Ukiona mwanaume mpk machozi yamemlenga ujue kaumia sana moyoni mwake.. Nmeumia sana alivosema hamjui babaake na hayupo duniani... Daaah hii imeniumiza sana kwasabu na mim nmmoja wapo pia.. Daaaah
Kwanza hongera yako gigy kizungu kimetulia. Pili unajielewa naunajituma no matter what. Tatu wewe ni mzuri na hu fake kwa interview uko honest. Salute sister.
Unajua salama utofauti wako Ninini?...kutumia kiswahili Fasaha icho ndicho ninachokupendea, shouts out to Gigy mpambanaji Nice interview#Salama#Gygymapesa
upo really sana gigy,pole sana msamehe bure na Mungu atazidi kukubariki,7bu ni yeye pekee akujuaye kuliko tukujuavyo.
Siwezi kosa interview ya gigy
Gigy huwa unanipa Raha Sana ur so funny na pia Ni Jembe unajua kukomaa na kile unachotaka keep it up
This safe interview you did justice to and the guest treated it fairly she was Open and it has become a Class of of people learning things, try to bring the able to express themselves and dearly it a problem you will find yourself talking even unqualified people put even a month once or for two weeks once this bring people to attention my worries if you start to bring those who do not understand the period will be worthless, @jojo@fa@benpour@gigy@nawengine wachache
Mean salama una kansa uwiiiiiiiiiiiiiiiii pole sna kama ni yes n ALLAH ata kuaf
Salama has a talent of bringing out people's good personality
Jane; I don't know you but you must be a very INTELLIGENT lady. Observation yako sio ya mtu wakawaida
She's just like Nikyminaj..lop u gigy
In every Woman there is Beauty, Gigy you are strong and beautiful. Keep pushing.
kwakweli Gigy umenigusa sana hiyo story ya mama yako -- najiona ni mimi kabsa dah
Sorry Gigi you need to forgive her and be prayerful, ask for peace from God
That's trueee
Hata mm namuona Gigy is a good soul.naamini siku moja Tutamtumikia Mungu Muumba wa mbingu na nchi.she is just so real.
Maskini... I feel bad for her. But at least she is a fighter. I like her sana.
Jamn gigy umenitoa machozi mim pia hakika n ngumu kujua upendo na uchungu wa mzazi paka pale unapofikia hatua ya kuitwa mama pia I know how you feel gigy 😢😢nakupenda
Inaonyehsa you went through alot just love your mom no one will ever relpace her
Pole Gigy una akili Sana na hakika huna kosa kwa Mama yako ila Mama yako ni miongoni mwa wazazi wasiojitambua 🙏🙏🙏🙏🙏
"Walikua wanataka kunipunguza nkasema aah twede hvyohvyo tukachaguliwe "🤣🤣🤣
Sometimes hate can be the best love. Pole Gigy
❤Awww Gigi I feel you. Mama ni mama tusamehe tuu....And keep talking english dont give up; stop telling her not to talk in english : We all learn from mistakes and become better people.❤❤❤❤❤❤
Wow!that's really sad , am glad she is finding herself
I love gift,and she knows!
Pole Gigy,pamoja na yote ukampambania utoboe aishi vema, lakini wapi!?
Nampenda sana gigy, Ni kweli wamama wote hawafanani
Gigiy God bless you with your daughter ❤❤🙏🙏
I can I feel what your going through gigy I went through that as well and no body knows I always keep smile.
Salam uyo Dada nimemuelewa Sana na Leo mawazo yangu ya ujinga kayaeka Sawa mwambie mm ni shabiki yake na nampenda pia
Gigy wow I understand you, girl you are a fighter, much love from this end, I wish you well. Seriously you can be too crazy at times. But it's all good
Astaghafilahi labilalamina gigy ilove you nife kesho au nife leo I wil never change that!ulikopita wewe mi nimepita sema mi ilikuwa kwa njia nyingine
Pole sana
Nikwer kabsa yani hawa wazazi/walezi wetu ndio chanzo cha tabia zetu imeniuma sana ila mungu anajua anachokifanya nakupenda gigi wangu I wish to see you one day
nampenda gigy🌹 km unampenda gonga like
Good gigy nimependa apo maisha uliopitia ww so na Mwanao nae apitieee magumu ulopitia wew
Nampenda mbaya gigi kwanza uwa adanganyi maish halisi yak
Pole Sana Gigy money
Napenda gigy moneya anaongea ukweli hafichi kitu##😘😘😘
Am so touched by this....keep up giggy....I love your brain
Uchungu uliokuwa nao gigy Nafahamu....pole sana mdogowangu dont give up
Gigy always una confidence ya ajabu🙌