Salama Na Zuhura Ep 13 | DADAKE Part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 429

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 4 года назад +343

    Hakuna Mtangazaji mkali na Mbunifu anaemzidi Salama Jabir kama unakubali Gonga like yako

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Ahmuh Ally kwa Mapishi matamu pitia channel yangu ujifunze ruclips.net/video/dJAHK3vpHa0/видео.html

    • @allymkaku2495
      @allymkaku2495 3 года назад +2

      Kweli

    • @allymkaku2495
      @allymkaku2495 3 года назад +1

      Kweli

    • @تاتا-ن6ن
      @تاتا-ن6ن 3 года назад

      Kweli

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @yushalforever7216
    @yushalforever7216 4 года назад +31

    Da salama nakuombea kwa Allah uwe miongoni mwa wanawake watakaoongoka katika dini ya kiislam

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 4 года назад +1

      Amiin

    • @abdullrashidalmas9732
      @abdullrashidalmas9732 4 года назад +2

      @@abdulkareemseif667 8
      ,
      Mmoja

    • @hawa4968
      @hawa4968 4 года назад +1

      Amini Allah subuhanah watallah amuongoe

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @funnyvideosandvichekesho.1862
    @funnyvideosandvichekesho.1862 4 года назад +75

    Tunaomkubali Zuhura tujuane hapa

  • @queenseptember4640
    @queenseptember4640 4 года назад +56

    Yaan nimeamini Zuhura na Salama ni mashost sio kwa vicheko hivyo,
    Pole dada Zuhra kwa kufiwa na wazazi,
    Hongereni pia kwa interview bomba.

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 года назад

      True

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @justdee13
    @justdee13 3 года назад +11

    Nafurahi kuona wanawake,wadada au watoto wakike wanafanya Mambo makubwa let's keep inspiring a girl child instead of diminishing there dreams💥

  • @FromTanzaniatoNorway
    @FromTanzaniatoNorway 2 года назад +8

    Kwa mnaosikiliza hii kwa mara ya nne tujuane😄👌❤

  • @yusuphwella9651
    @yusuphwella9651 4 года назад +12

    Waandishi wakibongo igeni the way ambavyo salama anakuwa comfortable anapoendesha kipindi na uulizaji wa maswali anaifanya show inakuwa na burudani, respect to you dada salama

  • @mbarakawadh3184
    @mbarakawadh3184 4 года назад +9

    Mashallah zuhura . sio Nafsi yako iliyo mpaka ukaavaa hijab ya kisheria .Bali ni Allah kakuchaguwa uwe miongoni mwawanawake wenyewe kufata haki na kiigizoo chema kwa madada wakiislamu . MINAL FAIZIN.. TEAM ABOARD ALL THE WAY FROM UAE .

  • @ibrahimnjopeka9161
    @ibrahimnjopeka9161 4 года назад +4

    Allah awaleze mahali pema wazazi wetu sote walitangulia
    Hakika Dada Zuu nakukubali SALAMA bigapu nakipindichako maana umenifanya nijuwe uweki nilijuwa mkenya kiukweli na nimefurahisaaana kujuwa historia ya maisha ya Dada Zuu
    Na nimejuwa kumbe unapenda kucheka sana
    Ndiomana nahofu nautaki kuzungumziwa kuhusu ndoa ila Allah aiujalie upate mume mcheshi na vitukovingi adumishe tabasam na kucheka

  • @mwajabumalekela5563
    @mwajabumalekela5563 2 года назад +2

    Hongera saana salama, Mungu akuendeleze zaid na zaid-Amen

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 года назад +5

    Aa”Peace and Love” Salama ni jina zuri kama Zuhra. Tanzania tunahitaji wanawake zaidi kwenye nyanja nyingi sio media tu. Nimefurahi kuona wanawake wana nafasi nzuri na ni msukumo nchini Tanzania. Big up- napenda kazi zenu, fikra na ubunifu wenu utawasaidia wengine kufata mfano wenu. Asante kwa kazi nzuri.

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 2 года назад +7

    Zuhura umefanana na Mama yangu mzazi marehem unajifanya nikupende

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 4 года назад +21

    Salama, ur Mombasa BAE waving from Dubai 👋👋👋. Interview swafi sana, shukran kwa kutuletea Zuhura. Nampenda sana bibi huyu, umakinifui wake, sauti na uweledi kwenye utangazaji MashaaAllah ila usifanye wivu wewe na mimi damdam hadi mwisho wa pumzi 😘😍😘

    • @afroindian5574
      @afroindian5574 4 года назад

      Kauli Mbiu she from Zanzibar
      Stone town is what she mean

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 4 года назад +12

    Jamn zuhura anazungumza vzr uwiiii sikuwah mfaham kabla😍😍😍😍😍

  • @mwasakafyukasamson
    @mwasakafyukasamson 4 года назад +8

    kipindi kizuri ,
    Salama nitafurahi kwenye kipindi chako ykiwapata hawa wafuatao .
    1. Edo Kumwembe
    2. Mwisho Mwampamba
    3. Lady JD
    4. NA YULE MAMA WA BSS a.k.a Madam Ritha Paulsen

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 года назад +19

    Masha Allah Bi Zuhura She's very Humble😊😊

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 2 года назад +5

    Maa shaa Allah mmnaongea Kiswahili kizur cha pwani.. hasaa

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 года назад +9

    Nakupenda Salama na ninakuombea kila la kheri katika kazi yako ninaelimika mengi kupitia vipindi vyako

  • @abrablack
    @abrablack 4 года назад +16

    Hapa wamekutana wazanzibari wawili. Yaani mazungumzo yamenogeshwa kipwani zaid. Ladha imetaraddadi zaidi na lafudhi ya kipwani. Zanzibar njema atakae aje.

    • @ashaalkharas8883
      @ashaalkharas8883 4 года назад

      Raha sn kiswahili fasaha

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe

  • @abuudingo3843
    @abuudingo3843 2 года назад +2

    Salama Allah akufahamishe,na usilete istihizai katika mavazi ya dini kama ivo kuvaa shungi usilete masihara na utani katika dini kuna kaburi lakusubiri

  • @abdallaramadhan3850
    @abdallaramadhan3850 4 года назад +5

    Hongereni Sana nawakubali sana Salama na Zuhra..Napenda siku moja nikukute Salama ukikatiza mitaa ya Mkanjuni pale Chake Chake..lkn itakua aula kama utavaa hijjab.Zuhura In Shaa Allah tutakutana tu hata kama uko bize na majukumu sana..lkn binadamu kwa binadamu hukutana na milima kwa milima ndo haikutani..

  • @aikashayo4305
    @aikashayo4305 2 года назад +7

    The interview is perfect ...the bond is perfect ...what i chemistry 😘😘

  • @schosay_
    @schosay_ 2 года назад +3

    The chemistry kills oooohhh! Asante sana Bi Salama

  • @wakitaa9653
    @wakitaa9653 4 года назад +20

    unafanya kaz nzuri ila naomba nikushaur Dada yangu salama bint jaabir mrudie mungu wako nacku yako ya mwisho hii ni dunia tu

  • @babayoria9181
    @babayoria9181 4 года назад +10

    this interview imekua gud kumbe nyie watu mnajuana long time ago imekua poa sana

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe

  • @khadijakurdish7527
    @khadijakurdish7527 2 года назад +2

    Mashallah Mashallah dada Zuhra yunus nakukubali sana nataman siku 1 niwe kama wewe
    Naitwa khadija nipo iraq

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 4 года назад +14

    Dada salama tunaomba utuletee mmoja wa watu hawa;
    1. Bonta Maarifa
    2. Nash Mc
    3. Nikki Mbishi.
    Ahsante!!!

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 месяцев назад

    Salama nakupenda sana'siku moja mtafute Mhe.Mpango na Mhe Majaliwa'mimi nawapenda sana Wa heshimiwa hao❤❤❤

  • @mako331
    @mako331 3 года назад +9

    Good to hear more about my favorite journalist Zuhura, big up Salama

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @moonlightness2556
    @moonlightness2556 2 года назад +6

    Zuhura’s accent 😍😍😍

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 года назад +1

    Lugha za kipemba zimekutana hapo safiiii

  • @_fizzle
    @_fizzle 4 года назад +16

    Ila ZUHURA YUNUS ni mzuri mnoo. ❤️

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 4 года назад +22

    I enjoyed watching this interview 😍😂😂

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @sachyempire5562
    @sachyempire5562 4 года назад +20

    ZUHURA;Botony in zoology.
    SALAMA;maua.
    ZUHURA;Hapana ni mimea.
    SALAMA;Si mle mle😂😂😂😂😂hii scene kali.

    • @تاتا-ن6ن
      @تاتا-ن6ن 3 года назад

      Hhhhhh

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @hidayyaali6516
    @hidayyaali6516 4 года назад +1

    Hingera dada Zuhura kwa umahuri wako Allah akufanyie wepesi kila penye uzito

  • @jescamassawe2519
    @jescamassawe2519 4 года назад +31

    She is smart and she has confident i love her

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Jesca Massawe kwa Mapishi matamu pitia channel yangu ujifunze ruclips.net/video/dJAHK3vpHa0/видео.html

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 4 года назад

      Who

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @awadhpowers
    @awadhpowers 4 года назад +6

    Daah nampend sn mtangazi Zuhura, her voice quality is awesome :)

  • @franktimothkisimbo5354
    @franktimothkisimbo5354 3 года назад +6

    Salama....she is very creative.. Big up Dada

  • @fatmamohammedali4306
    @fatmamohammedali4306 4 года назад +2

    Napenda utangazaji wenu kumbe Zuhura Mzanzibar nimeipenda hii

  • @LucyRaia-sx8jk
    @LucyRaia-sx8jk 4 месяца назад

    Nampenda huyu dada zuu akiwa BBC news

  • @barakambise8577
    @barakambise8577 3 года назад +3

    Nakupenda sana dada unaweza kujieleza

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 года назад +7

    Mashallah, nampenda sana uyu Dada Zuhura 😍😘🙏

  • @azizamvungi6203
    @azizamvungi6203 2 года назад +2

    napenda sana zuhura yunus..mtangazaji mzuri sana mzuri sana

  • @richarddominick3172
    @richarddominick3172 4 года назад +28

    One of the best interview

    • @johnmchunguzi8589
      @johnmchunguzi8589 4 года назад

      Aya

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 4 года назад +7

    Salama na mwana FA ni story ya kufundisha yaani maisha ya mwana FA yangekuwa move ingekuwa yakusikitisha mno

  • @faridmwinyi9462
    @faridmwinyi9462 3 года назад +4

    One of the best interviews 😂😂 nmecheka mwanzo mwisho.

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @pinkie_x_bryne
    @pinkie_x_bryne 4 года назад +12

    Great show, i loved the chemistry but matangazo , aiseee ni balaaa. Embu tufanyie wepesi Salama ili tufurahie kuangalia hiki kipindi.

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @mwandegeplaza6504
    @mwandegeplaza6504 4 года назад +9

    Zuhura bhana;
    ''Eti Zuhura yuleee, na Baibui lake la Brown''

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 года назад +4

    sema tatizo la Zuhura hajulikani ana mume au hana,kuna watu wengi wanameza mate lakini hawapati jibu

  • @emilianahamad8126
    @emilianahamad8126 2 года назад +3

    Woooo! Weru weru girl😘😘

  • @philemonmgasha3670
    @philemonmgasha3670 4 года назад +6

    Nampenda sana zuhura mpaka mke wangu anajua

  • @ibrahimbakar622
    @ibrahimbakar622 4 года назад +6

    Wavisiwani gonga like hapa

  • @deborahbukuku6662
    @deborahbukuku6662 2 года назад +3

    Salama ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @schosay_
    @schosay_ 2 года назад +2

    Great interview! Ni nzuri kuliko ile ya akina mwafulani hawakumtendea haki Bi Zuhura, but Salama you did it!!

  • @abubakarisaidi8387
    @abubakarisaidi8387 4 года назад +3

    Salama na zuhra Nawapata vizuri nikiwa basra iraq nimeipenda interview yako

  • @barakayohana6021
    @barakayohana6021 4 года назад +6

    Wamekutana manguli waTz,Raha tupu watanzania Tunajivunia Sana,kwa kuwa na hawa mapresenter

  • @thobiasbolen2496
    @thobiasbolen2496 4 года назад +4

    Salama your very inteligent l don't know how much I missed mkasi now you have come with salama na.

  • @mwanaishashaban210
    @mwanaishashaban210 4 года назад +13

    Accent ya Zuhura, very nice☺️

  • @nailabashir8543
    @nailabashir8543 3 года назад +7

    Salama, you are so entertaining and hilarious. Always thought you were serious. 👍

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 года назад +6

    Kila nikiangalia nakumbuka nyumbani ila hapa 2lipo cc maisha kidg yapo afadhali,,Nipo sweden ila napenda kuangalia vipindi vya nyumbani..

    • @joelinko6632
      @joelinko6632 4 года назад +2

      Apaa arusha pamekua sweden skuizi

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 4 года назад

      @@joelinko6632 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 года назад

      @@joelinko6632 hahaaaaa nadhn Kijenge juu Arusha hahaaa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 месяцев назад

    Zuhura❤❤❤

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 4 года назад +3

    Pole Zuhura kwa kuondokewa na wazazi

  • @johnjackson4363
    @johnjackson4363 4 года назад +8

    Raha ya interview hii wamekutana magwiji na uzuri salama ameshaishi mbele

  • @ramadhanfadhil1786
    @ramadhanfadhil1786 3 года назад +1

    Nawapenda sana watangazaj kutoka TZ na viswahil vyao pale BBC

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 4 года назад +6

    love you salama nice work..9ce interview....she good since day 0ne mashambani uko saa kumi na mbili unusu "mie zuhura yunus na hii dira ya Dunia" keep on going biggirl

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Bish DaddiYao kwa Mapishi matamu pitia channel yangu ujifunze ruclips.net/video/dJAHK3vpHa0/видео.html

  • @abdallahkawambwa5683
    @abdallahkawambwa5683 4 года назад +1

    Hapana mungu kaumba mataifa na makabila ili tutmbuane unapokataa kudhihirisha kabilayako so vizur

  • @veronicamunisi1595
    @veronicamunisi1595 4 года назад +4

    Zuhura napenda lafudhi yako sana .Mimi shabiki wako kindakindaki

  • @catherinelandas1938
    @catherinelandas1938 2 года назад

    Hongera sana Zuhura kwa kuchaguliwa

  • @leonarddamian
    @leonarddamian 4 года назад +3

    Jasiri Kama Simba(love you Zuhura)

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 3 года назад

    Zuu ni mrembo pamoja una umri wake bado ni mrembo na yuko smart most of time namsikiliza kwenye radio ns nimekuwa nikivutiwa na sauti yake na kicheko chake I'm happy to see her face😄

  • @dantonetz2903
    @dantonetz2903 3 года назад +5

    Legend salama always uchujii

  • @ccmiaofficially2904
    @ccmiaofficially2904 3 года назад +1

    Salama hakuna sehemu hasiyo fit,kila kipindi Dada Salama unaweza

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 года назад +2

    Ni vigumu kweli kumuhoji mwandishi mwenzako

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 3 года назад +3

    Zuhura et tunapigana Kong fuu🤣🤣

  • @twahakassimtk4313
    @twahakassimtk4313 3 года назад

    Zuhura Yunus..Namkubali sna uyu Mama...Mungu amuweke

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe

  • @johnraymond4146
    @johnraymond4146 3 года назад +1

    Dada salama uko vizuri Sana kwa kuandaa vipindi vyako

  • @melembuki
    @melembuki 2 года назад

    Yupo vizuri, ana approach nzuri

  • @getmotivated3619
    @getmotivated3619 4 года назад +7

    sijawahi angalia interview ya salama na bila ya kuhakikisha kuna part 2, ila baada ya kumuona bibi Zuhra Yunus... dah! nipo nimetulia hapa.

  • @manenobuluba1037
    @manenobuluba1037 4 года назад +3

    Jamani zihura ninamwangu anaitwa neema anakupenda sana unapenda awe mtangazaji wa BBC hapo badae

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 4 года назад +3

    mama lazima awe mkali kwa sababu watoto wakike usiwape dhamana.

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @salmaaomar5936
    @salmaaomar5936 4 года назад +7

    Congratulations sister zukhra keep it up you can! Sister

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @firdausgreen1391
    @firdausgreen1391 4 года назад +2

    Allah awarehemu wazazi wako aaamiin thumma aamiin

  • @mkude2554
    @mkude2554 4 года назад +15

    Kwahiyo "born here here" I love dat

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад +1

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @agent48classified40
    @agent48classified40 3 года назад +9

    Great chemistry...

  • @johnmunge6466
    @johnmunge6466 4 года назад +3

    Loving the show,all the way from dubai

  • @deborahbukuku6662
    @deborahbukuku6662 2 года назад

    Mungu akufikishe mbali zaidi

  • @bcorhino9585
    @bcorhino9585 4 года назад +7

    smart and marvelous.
    Big up Salama, keep it up.

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA....
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe...

  • @bahatihthoya8997
    @bahatihthoya8997 3 года назад +1

    Salama naona Mwili umeongezeka kiasi fanya gym kwa sana🤣🤣

  • @andreajoseph5285
    @andreajoseph5285 4 года назад +2

    kweli huyu dada nampenda sana

  • @paulosambeke1510
    @paulosambeke1510 4 года назад +3

    Nakupenda sana zuhura

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 года назад +4

    Rafudhi zenu ni sawa mashallah watoto wakike sauti zimetulia

  • @rayhanchunu7779
    @rayhanchunu7779 4 года назад +3

    Asalam Aleykum
    Salama ogopa adhabu ya Allah jistiri .. Utapendeza ukivaa hijabu. Jaribu uone

  • @medicalphysicsbiomedicalen1707
    @medicalphysicsbiomedicalen1707 4 года назад +9

    Much love from Italy guys

  • @suleimanshehe252
    @suleimanshehe252 3 года назад +3

    I love Zuhra Yunus

  • @King-wj7ru
    @King-wj7ru 3 года назад

    Kumbe unajua kuvaa kislam salama unapendeza ukijistri

  • @magnusbugingo7471
    @magnusbugingo7471 4 года назад +3

    story zote nzur ila point kali ni huduma zinazotol'ewa kutokana na kod zenu na watu kutambua kuwa kitu ulichosomea kukifanyia kaz ni asilimia ndogo sana na kuelewa kuwa kudiscover tallent na kuivest kwenye tallent ndo kila kitu even having skil'ls

  • @omarymziray9109
    @omarymziray9109 4 года назад +4

    Dada zuhura upo simple sana

  • @UNO-xt7we
    @UNO-xt7we 4 года назад +2

    Uyo dada Z nimemlike 😍

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 4 года назад

      المهدي ابن الإسلام
      Half bado hana mume..

  • @mwandegeplaza6504
    @mwandegeplaza6504 4 года назад +6

    ''Kwani anakuona nani??''
    Ha ha ha Zuhura bhana

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 года назад

      Allah anaona kila kitu

    • @dantonetz2903
      @dantonetz2903 3 года назад

      KAMA WEWE NI MPENZI WA SIMULIZI NA HISTORIA
      Nimekuletea hii mpya, ya Mwanasayansi JASUSI Aliyewakomesha wamarekani.
      Tazama hapa👇🏽
      ruclips.net/video/VF2jtV0ljbU/видео.html
      Tafadhali ususahau kusubscribe

  • @faridaothman
    @faridaothman 4 года назад +1

    Gonga like kwa salama

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      FARIDA OTHMAN kwa Mapishi matamu pitia channel yangu ujifunze ruclips.net/video/dJAHK3vpHa0/видео.html