MAZRUI WAMO TAZAMA VIBE LAKE LEO PEMBA MKUTANO WA ACT WAZALENDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 32

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 10 дней назад

    Mazrui ktk ubora wake ngoma imenoga asante muheshimiwa

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 11 дней назад

    nakupenda makelke yako. vijana. wanahamasika mno. kwakweli. mazuruwi. tunakupenda

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 11 дней назад +1

    Waziri wewe ndio mwenye dhamana ya wizara ya Afya haya tuambie kulikoni mzime umeme mtu wetu apoteze roho halafu leo unasimama mbele ya watu na macho kama samaki

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 12 дней назад +1

    Tunakenda sana kiongoz wetu mamlaka kamili ya zanzibar ❤

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 11 дней назад +1

    Kweli siasa ni mchezo mchafu😂😂😂😂😂

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b 11 дней назад

      Huyo ndio Mazrui tunaemjua. Hajawahi kuisaliti Zanzibar

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 12 дней назад +2

    This is Nassor Mazrui that we know.

    • @HvhVvb-k3i
      @HvhVvb-k3i 12 дней назад

      That is him😂😂

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 11 дней назад +1

    Hamna uchaguzi wa siku mbili hapa

  • @KhamisMbarouk-l5c
    @KhamisMbarouk-l5c 12 дней назад

    🎉🎉🎉🎉 Amin inshaallah naiwe hivyoo

  • @SaidAli-vh1nm
    @SaidAli-vh1nm 11 дней назад

    well don

  • @nnadir7799
    @nnadir7799 11 дней назад

    Zanzibar ni sawa na Palestine/Ccm kwa manufaa yao si rahisi kuiacha,labda ipite kudra ya Allah

  • @omarsultan4502
    @omarsultan4502 11 дней назад +1

    Uyu mazrui msanii tu uyu katika mtu ambaye si wakumuamini ni uyu

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 11 дней назад

      Usanii wake ni upi? Mazrui ni mtu alietoa mpaka pesa zake na Mali zake kwa harakati kashawekwa ndani Mara kibao kashapigwa na kuumizwa Leo aitwe msanii au ndo zile tabia zetu mpya wazanzibar za choyo na kupinga kila kitu.

    • @JRN2612
      @JRN2612 11 дней назад

      Wewe ni ccm hivyo hupaswi kukuamini Mazroui

    • @omarsultan4502
      @omarsultan4502 11 дней назад

      @FahadAbubakari-y3f checki uyu kwni kuna wanasiasa wngapi washafungws washatoa Mali zao mwsiho wa siku wanakuwa ccm siasa tu izo

    • @omarsultan4502
      @omarsultan4502 11 дней назад

      @JRN2612 ww mwenyewe ni ccm kwani hio act ni ccm 2 ww kaa unajikubali ni act bas jua ww ni ccm pia

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 11 дней назад

      @omarsultan4502 ye hajatoka kwenda ccm hivyo hatuna uhalali wakumtolea mifano iyo walotoka walitoka ye bado yupo , kusema mazrui si wakumuamini haya aaminiwe Nani sasa

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 11 дней назад +1

    Muongo ana nyuso 2 huyu

  • @MsomariMsomari
    @MsomariMsomari 12 дней назад +2

    Were nimafiki tu

  • @aliikizrooo9580
    @aliikizrooo9580 12 дней назад

    😂😂😂karibun ccm kumenoga

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 12 дней назад

    Zanzibar itabakia kua ni ya Wazanzibar tu haiwezekani kuiachia kwa CCM ni Chama cha Mauaji na Wizi mtupu wa Mali na Rasilimali za Wazanzibar!

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 12 дней назад

    Mazur pga zowezi

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 10 дней назад

    mi ata cna imani na ww labda OMO,Jussa na babu Duni

  • @HvhVvb-k3i
    @HvhVvb-k3i 12 дней назад

    Watu wakija na vifaru vyao km tuko vita vya CONGO sauti km hii mazrui hatoitoa kimya Oktober

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 12 дней назад

      HasbiyyalLah Wanaimail'wakil Mungu akujaalie Ukoma na Upofuke macho Yaarab Aamin 🤲🤲🤲🤲🤲🤲

    • @HvhVvb-k3i
      @HvhVvb-k3i 11 дней назад

      @jaysullman3697 sawa najua nimeongea y kuuzi lkn tukumbuke ni ya kweli nisemaya na Wala sio mageni ni muendelezo tu ktk kpnd hichi labda wanao kufanyieni ndio watapofuka mimi cshiki silaha yyte kwaheri

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 10 дней назад

      ​@@HvhVvb-k3i
      Ikiwa Ukweli una Uchungu na Ardhi yako na unaijua Haki yako ata jiwe lipo km Wapalestina ni mfano wa kutosha na akifa anajua anakufa Shahid tu! Wewe kwa maneno yako sijui lkn unaonekana Chuki zako binafsi kwa iyo Waachie Watu Wadai kilichokua Haki Yao usitoe maneno yy'te yale huna la kuongea nyamaza tu!