OMO atangaza 'matuta' kuelekea Oktoba 2025 | GUMZO LA LEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 41

  • @shahidmaftouh1141
    @shahidmaftouh1141 2 дня назад +10

    Huyu jamaa ni jasir na Allah kampa kipaji sio bure akili nyingi ,tumuunge mkono hadi kiweleweke ❤

  • @AbuFaris-h7z
    @AbuFaris-h7z 2 дня назад

    Asante sana honorable Othman kwa kuwapa ukweli hao wauwaji (CCM)... Mtu hataki uchaguzi halali na huru aapata wapi sauti kuja kwenye majukwaa kujisifu wametekeleza ilani, majuha wakubwa hao

  • @maqalbinkicha
    @maqalbinkicha 2 дня назад +2

    Huwa unaongea pointi sana. ❤

  • @KibaSazaf
    @KibaSazaf 23 часа назад

    Mashallah huyu kiongoz

  • @nassorjuny
    @nassorjuny 2 дня назад +9

    Hivi ndivo wwnavyotaka hawa hakuna huruma wala hakuna mazungumzo yoyote yake na nchi watatoa watake wasitake.VIVA ZANZIBAR soon Zanzibar huru inarudi In Shaa Allah

  • @HabibuKhamis-n3n
    @HabibuKhamis-n3n 2 дня назад

    Act wazalendooooooooooooooo❤❤

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 дня назад +3

    sema. uwezavo. hawatuwezi hao. hatujawahi kushindwa. ila mara hii tutajitangaza wenyewe hatungoji tume

  • @KibaSazaf
    @KibaSazaf 23 часа назад

    Mara hii tunaaza na matuta kabla ya mpira kuchezewa 😊

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 2 дня назад +1

    ZANZIBAR SASA HIV WATT WADOGO WANAVUTA BANGI, BA WALEVI KWA KILA SECTION, HATUWEX KWENDA NA KUISH KWA7B HIY, HAYO MAJUMBA YAJENGWE MPKA YAFIKE MBINGUNI, NCHINL IMEVAMIWA KAM ILIVYOVAMIWA 1964

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah День назад

    Eti tume yetu, hivi ccm munaringia kufanya dhulma, subirini mufe mukachomwe moto dhulma sio nzuri, dhulma ni adui wa haki, Nyie miccm mpaka leo munaishi kidhulma tu bas subirieni siku mutakayosimamishwa mbele ya M, mungu ndio mutaona kilichomtoa kanga manyoa mutaona subirin mufumbe jicho tu ndio kizuizi kilichopo kwa sasa

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 2 дня назад +1

    Inshallah biidhini llah 2025Allah akupe uwezowake uwe rais wetu wa zanzibar,utuletee usawa ubaguzi kwisha kwisha kabisa

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman День назад

    Ayo jatura naona mtayaruka wenyewe kwa uwezo wake Mungu

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 2 дня назад +1

    Nimeipenda hiyo " wasubiri wastaafu wakumbane na vikokotoo."

    • @BimkubwaOthman
      @BimkubwaOthman День назад

      Yaani nyie mnajiashauwa sana eti wastaafu 😂😂😂bc ikiwa hamjui msije mkashangaa uyo mkweli wenu akajistaafisha yeye mwenyewe au akajiuzulu wapumbavu nyie

  • @jumasaid5215
    @jumasaid5215 День назад

    Muungano ndio silaha kubwa wanayojitapia. CCM wanajua fika kwamba wazanzibari hawawataki. Wanafanya uchaguzi siku mbili kwa mughma wao tu. Fanyeni mufanyavyo ila musichukuwe roho za watu.

  • @shahidmaftouh1141
    @shahidmaftouh1141 2 дня назад +5

    New Zanzibar is coming soon for the grace of Allah, tuko pamoja OMO Sharif 🙏 rais wetu ❤

  • @RashidMuhammed-g1n
    @RashidMuhammed-g1n 2 дня назад +1

    Insha'Allah one day yes

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 День назад

    Kweli muheshimiwa Zanzibar hatuna serekali tuna genge tu wahuniii mwinyi kakaa na wahuni wake tu

    • @hamidkasim-gz9sm
      @hamidkasim-gz9sm 6 часов назад

      Kama ni genge la huni pusha makamu wa kwanxa wa raisi man na yey yumo kwenye serekali hio hio

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 дня назад +3

    othman. wewe kiboko ya ccm. huu mwaka wao wasafari ya mkuranga

    • @hamidkasim-gz9sm
      @hamidkasim-gz9sm 6 часов назад

      Hamna mxigo apa kashindwa gwiji uyu yey mchumba 2

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 дня назад +4

    huyu oto tunamuamini mungu. atupe heri ishalla kwauwezo wake

  • @AbrahmanAbrahman-l7h
    @AbrahmanAbrahman-l7h 2 дня назад +1

    NA ZANZIBAR IMEWEKWA DOLE WANATAKA MPAKA VYETI VYA KUZALIWA KWA WALIOKUA SI WAZANZIBARI

  • @SalimKaimu
    @SalimKaimu 2 дня назад +1

    😊

  • @AbrahmanAbrahman-l7h
    @AbrahmanAbrahman-l7h 2 дня назад +2

    KINACHOSHANGAZA UNAAMBIWA MALENGO YA KUKUSANYA KODI KIMLA SIKU YANAPINDUKIA MALENGO,INAKUAJEE?WAZANZIBARI WANASHINDWA MUJIMILIKI HATA KWA MLO WA KILA SIKU MWINYI AMEKUJA HANA FADHILA NA WAZANZIBARI ANAWAONA WAMEPOPAA KUPINDUKIA .IPAKA.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 День назад

      Makusanyo yanaongezeka si yanakusanywa na kuliwa na familia ya Mwinyi na maswahiba zake, ukisikia yameongezeka halafu pembe elfu 2900 sukari 2800 nyama kilo 14,000 Kodi za bidhaa huko zinajenga mahoteli ya huseni, anataka akiondoka ampite babake aliyeuza Loliondo, wakifa siku wanazikwa na sanda tu huku wamewaachia vizuka wao mabilioni, plus na ule mshahara wa mjane wa rasi usiopungua milioni 15 kila mwezi uhai wake wote, wewe bado pembe tu linakusokota, na kura unapiga mara kumi kumi na siku ya ushindi unakata kiuno.😂😂😂

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m 2 дня назад +1

    Hawa wahuni tuanze na tume ya uchaguzi

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 дня назад +1

    kwamana hapo ndio wanaporingiya kutangaza watakavo. mbwa hawa wasiongope nahaya.

  • @MarzuokOG-l1l
    @MarzuokOG-l1l 2 дня назад +1

    Wewe utalala chale tu, che, zea ccm eeeeee.

  • @SelmeSaidi
    @SelmeSaidi 2 дня назад +2

    Tume yetu wenyewe mwinyi mitano tena

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 2 дня назад

      Hivi unajua kama Leo Kuna mkutno wa maraisi wa afrika wote dar salam

    • @adamyussuf1678
      @adamyussuf1678 День назад

      MWINYI yupo migombani Kalala sio raisi eti na ndio maana wazanzibari sote tunataka mamlaka kamiliiiiiiii ya Zanzibar yetu

    • @adamyussuf1678
      @adamyussuf1678 День назад

      MWINYI yupo migombani Kalala sio raisi eti na ndio maana wazanzibari sote tunataka mamlaka kamiliiiiiiii ya Zanzibar yetu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 День назад

      ​@@adamyussuf1678
      😂😂😂
      Ati marais wa Africa 🌍 wetu yupo migombani kalala 😂😂

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 День назад

      ​@@adamyussuf1678Haya banah ah, lakini hata Ibrahim Traore hajaja, naye yupo Burkina Faso kalala😂😂😂