🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • 🔴#Breaking: JENGO la TRA KARIAKOO LATEKETEA kwa MOTO - JESHI la ZIMAMOTO WATINGA KUUZIMA...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 65

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 дней назад +3

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @KamisaRamdan
    @KamisaRamdan 7 дней назад +3

    Kaliakoo panatakiwa dua maombi ya kweli 😂😂😂😂😂😂

  • @BiashaElefu
    @BiashaElefu 7 дней назад +1

    Kariakoo tena. Mungu awajalie ndugu😢

  • @NejamMnzava
    @NejamMnzava 7 дней назад +2

    Polen sana wana kariakoo mungu awalinde

  • @KelvinMichael-k3g
    @KelvinMichael-k3g 7 дней назад +1

    Mungu anawajalia watu wa kariakooonii

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 7 дней назад

    Hongera sana Jeshi la Zima moto ❤❤❤❤

  • @abuu0001
    @abuu0001 7 дней назад +4

    Yan apa bila shaka kuna upigaji unaendelea apa, ikulu wako busy na masapta sapta, uku TRA inaungua moto

  • @LindaMasanja-s3k
    @LindaMasanja-s3k 6 дней назад

    Mcheni mungu na kumutukuza kwa Sasa ni Saa za udhibitisho kwamba yesu anakuja

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 6 дней назад

    Hapo kuna ushahidi unachomwa.. huo ni uhuni tu.. makampuni yanyodaiwa kodi na serekali ndio ushahidi umeshapotea tayari 😭😭😭😭

  • @NoviaRaphael
    @NoviaRaphael 7 дней назад +1

    Ee mwenyezi MUNGU naomba utusaidie 😢jamani kariakoo tena 😮😮

  • @WemaKiondi
    @WemaKiondi 6 дней назад

    mmh 😊😊😊😊😊😊

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад +1

    Duuu hapa sasa Rais anahusikaje kumsifia tena jamani 😊😊😊

  • @JosephLukumy
    @JosephLukumy 7 дней назад

    Poleni 😂 Mungu awanusuru

  • @SheznatyrashidySaid
    @SheznatyrashidySaid 6 дней назад

    Kaliakoo yetu inanini jamanii?

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 7 дней назад +3

    Pesa ishasepa wanaondoa ushahidi maza anachinjwa taratibu kampeni

  • @kezianathan3963
    @kezianathan3963 7 дней назад +1

    Daaaa majanga haya MUNGU awaponye wafanyakazi wote watoke salama jamani in Jesus name

  • @HappyBahati-t8i
    @HappyBahati-t8i 7 дней назад +1

    Kwer hawajaungua watu humo😭😭😭😭

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад

    Kodi zetu watu washasepa nazo hapo 😢😢😢😢😢

  • @deadcrush
    @deadcrush 7 дней назад

    Nishati safi oyyeeeee….

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад

    Chunguzeni kama kamera hazijaharibika kwa nini moto usitokee kwenye floor za ofisi waliko watu ila ikawa huko juu????

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 7 дней назад +1

    Moto unawaka mtu wa kwanza kufika mpiga picha

  • @syliviamrosso8655
    @syliviamrosso8655 7 дней назад

    Lord Have Mercy on us.

  • @Anchida-k6h
    @Anchida-k6h 7 дней назад

    Uongozi wa Samia huu kazi ipo

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад +1

    Na mbona ni saa za kazi ilikuwaje wafanyakazi wasiuone na kuuzima mapema ungali mdogo

    • @HobokelaAdam
      @HobokelaAdam 7 дней назад

      Ndio hapo sasa, wafanyakazi wa hizo ofis wachukuliwe wakatoe ushahidi police

  • @SaidKondo-i2t
    @SaidKondo-i2t 7 дней назад +1

    Nawapongeza polisi tu, mapema sana wamewasili, usalama mkubwa

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 5 дней назад

    duh" majirani naoRoho juu😂q

  • @lovsply
    @lovsply 7 дней назад

    Duh! KARIAKOO WABISHI

  • @Shaaban-oe9pn
    @Shaaban-oe9pn 7 дней назад

    Hili ndio tatizo la majengo mengi yaliyojenga Kariakoo, hayana vifaa vyake vya kuzima moto. Kila jengo linatakiwa liwe na mfumo wa maji ili moto ukitokea hayo maji yanaanza kuuzima moto huo na sio kama hivyo inavyoonekana hadi gari la zima moto lifike.

  • @EdithaJoseph-q8p
    @EdithaJoseph-q8p 7 дней назад

    Nnawapongeza maaskar maana walikua bize kulinda BENK

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад

    Natabiri itaundwa tume nyingine kuchunguza tusubiri 😮😮😮😮

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад

    Tukio halioneshi kama li ajali ya dharura kuliko mashaka kuwa ni la kupangwa ama dili

  • @SaloKapanda
    @SaloKapanda 7 дней назад

    Pole

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад

    Kama ni dili hakuwezi kuwa na watu ndani walishasepa kabla

  • @VannesaMichael
    @VannesaMichael 7 дней назад

    Wamechukua pesa hao

  • @SophiaKawishe
    @SophiaKawishe 7 дней назад

    Wameshapiga vitu Tyr hai aise pumbavu zao

  • @changarawekitigani3430
    @changarawekitigani3430 7 дней назад

    Why always kariakooo

  • @gilbertoisso
    @gilbertoisso 7 дней назад

    Why karoakoo kila siku 😢😢

  • @SuleimanMadaha
    @SuleimanMadaha 7 дней назад

    Nyinyi warabu nawAhindi mnawazinisanadadazetu wauswalini ndomanamabalaa hayaishi

  • @JnatJaaa
    @JnatJaaa 7 дней назад

    innalillahi wainnalillahi rajioun..kwani karyako kunani..

  • @TeddyNathaniel-u5g
    @TeddyNathaniel-u5g 7 дней назад +1

    Mmmmh ataliiii

  • @zakariakashinje4742
    @zakariakashinje4742 7 дней назад

    Ooh

  • @leinaamos
    @leinaamos 7 дней назад

    Haya

  • @irenesimalike3962
    @irenesimalike3962 7 дней назад

    Mh! What a coincidence!

  • @Eva-s4g8k
    @Eva-s4g8k 7 дней назад

    My deep sorry to what is happening

  • @omarkhamis3909
    @omarkhamis3909 7 дней назад

    Wacha liteketee lote washalichoma kufichà ushahidi washa piga hela hao

  • @FaymaSaidi-l7d
    @FaymaSaidi-l7d 7 дней назад

    Ni mtaa gn ety😢😢

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 7 дней назад

    Vitu vidogo vidogo 😮😮😮😮😮??

  • @w4058
    @w4058 7 дней назад

    Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajioun

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 7 дней назад

    Bongo kama marekani tu

  • @RashidSonara
    @RashidSonara 7 дней назад

    Hapo akuna upigaji tunapoteza ushahid

  • @deadcrush
    @deadcrush 7 дней назад

    Na soko limefunguliwa.

  • @bas2823
    @bas2823 7 дней назад

    HASBIYA LLAHU WANEEMA AL WAKEEL" AMIIN" UWADUWI GANI HUU TO BURNED 🔥 THE NEW BUILDING AUDHU BI LLAH MINA SHAITTAN RAJEEM"😢! BAD PPL BAD CITIZENS!

  • @AminielMbise-cl3fq
    @AminielMbise-cl3fq 7 дней назад +1

    WAMEIBA HAO. WAKACHOMA NYARAKA

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 6 дней назад

    UTAWALA DHALIMU..AWAMU YA 6 ACHA KUWATEKA NA KUWACHINJA WATU UMWAGAJI DAMU... NA TOZO KIBAO KWA WALALA HOI ACHENI RAISI PUNGUZA PANGA PANGUA YA VIONGOZI HUU NI UDHAIFU WA UTAWALA WAKO...NI AIBU KWA TAIFA...

  • @ErastoSimba-Tz
    @ErastoSimba-Tz 7 дней назад

    Pumbavu

  • @AminielMbise-cl3fq
    @AminielMbise-cl3fq 7 дней назад

    HAPA SIYO LOS ANGELES. KAMA SITO HITILAFU YA UMEME NI HUJUMA TU