FAINALI BSS: NOMA SANA! YUSUPH NIZAR AFANYA KUFURU/ AINUA UKUMBI MZIMA / MASHABIKI WAMUIBUKIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Комментарии • 45

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 года назад +1

    Jamaa Verry Creative Safi Sna Huyu Ni Mshndi Kwel

  • @KBReally255
    @KBReally255 4 года назад

    Aaah jamaaaa anatixhaaaaaa
    Shout out kwake %%

  • @meissylai286
    @meissylai286 4 года назад +1

    Utafika mbali

  • @hassanmikidadi2401
    @hassanmikidadi2401 4 года назад +1

    Nakubali

  • @etoojanja1563
    @etoojanja1563 4 года назад +5

    Uwo ndio ukweli ushindi wake

  • @mohammedseph7952
    @mohammedseph7952 4 года назад +4

    Huyu ndio mshindi

  • @roseshoo1435
    @roseshoo1435 4 года назад +2

    Anastail jamn kua star tu lzm mashabik wakukubaliiiiiii

  • @loemaisaack2238
    @loemaisaack2238 4 года назад

    Jaman acheni ashinde tu anajua sana

  • @johnsongeorge9246
    @johnsongeorge9246 4 года назад

    Nakubal

  • @furahafrank8267
    @furahafrank8267 4 года назад +1

    Haiko vizuri kumashindano ku shangiriya hivo.

    • @imbatokamoyoni2209
      @imbatokamoyoni2209 4 года назад

      Kwani lazima wakae kimya??

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 4 года назад

      @@imbatokamoyoni2209 huyo mbuzi hapo juu hajielewi sasa wasishangilieili iweje ulaya tu wanashangilia

    • @eddydauson7525
      @eddydauson7525 4 года назад

      Tuachie kiswahili chetu usitukane bure

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 4 года назад +4

    Lakini hivi inakuwaje hayo ni mashindano sasa badala watu wakae chini ili majaji wawaangalie wao wanakuja wote kwenye steji kucheza kama vile ni concert jamani kulikoni? Mashindano ya bongo ujinga mtupu.

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 4 года назад

      Siyo bongo ujingamtupu jinsi walivyojenga

    • @sayimasanja5421
      @sayimasanja5421 4 года назад

      Always mtu anayekubalika huwez zuia mafuriko ya mvua

  • @etoojanja1563
    @etoojanja1563 4 года назад +3

    Kipaji san

  • @reginarichard2654
    @reginarichard2654 4 года назад +1

    Nyota nyota watu na nyota zao bob😁

  • @abdoulkarim7337
    @abdoulkarim7337 4 года назад +1

    Iyi nyimbo inaitwa je?

  • @zabibubintikalumeburundian4421
    @zabibubintikalumeburundian4421 3 года назад

    😁 😁😁😁 JAMA ipovizurisana nc

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 4 года назад +2

    Acheni wivu dogo anajua,burudani ndo tunataka wakuuu

  • @TheMandela21
    @TheMandela21 4 года назад +2

    Mashindano yalishapita they are just giving people a show

  • @alonnantala4497
    @alonnantala4497 4 года назад

    Ukitaka kutoboa mapema ngona ya kwaza fanya na maua sama

  • @mikehjackson8146
    @mikehjackson8146 4 года назад +3

    Jaman tuongee ule ukweli iv uyu jamaa alichoimba mnakielewa et anaba alafu elisha anatoka siusenge huu

    • @torokamwanaidi3777
      @torokamwanaidi3777 4 года назад +1

      Kwani elisha katoka

    • @mikehjackson8146
      @mikehjackson8146 4 года назад +1

      @@torokamwanaidi3777 wamemtoa et sasa haya ni mashindano au walishawaandaa mshindi wao

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 4 года назад +1

      Kwanza nashangaa mashindano gani watu woote wameenda kujaaa mbele wanacheza kama concert vile sasa majaji wataonaji, si kasheshe hii? Nonsense kabisa

    • @gracejosephy2242
      @gracejosephy2242 4 года назад

      Kwa sababu anaimba mziki wa tofauti

    • @mahrizainobaranchas7589
      @mahrizainobaranchas7589 4 года назад +1

      huyo Elisha wako hana ishu. Huyu anaimba mistari yake very talented

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 4 года назад +2

    Huyu ndiyo anayejua kuimba kuliko wote katika shindano hili mwaka huu...tungekuwa tunashindani linguine la afrika na awakirishe....mh....angeshinda kabla hajashiriki...sioni anachofanya zaidi ya wahuni kushangilia....majaji 0

    • @nelsonkasambala6849
      @nelsonkasambala6849 4 года назад

      Wengi wape...akiimba laZima mashabiki worse wasimame... Kilichombeba ni ubunifu..wengine wanaimba nyimbo za wasaniiii

  • @johnmnandi2237
    @johnmnandi2237 4 года назад +1

    Kpaji anacho yusuph sema wanagawa tunzo kwa upendeleo wanakuwa wamemuandaaa mshind

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 4 года назад

    Fainali ilikuwa ya kijinga sana Haina utulivu hata chembe

    • @jumbeselemani569
      @jumbeselemani569 4 года назад

      Bongo Ster Sach mwaka huu ni ujinga mtupu kwanza Aina utulivu ata kidogo

    • @naomimwiguru6136
      @naomimwiguru6136 4 года назад

      kajitahidi san

    • @erickthomas5069
      @erickthomas5069 4 года назад

      wew uliona ujinga lakini sio kila finally lazima zifanane bwege kabisaa

  • @zawadikitime233
    @zawadikitime233 4 года назад +1

    Diamond mchukue huyu bnna akaendwlwlze kipaji chake hicho

  • @issamanyenye6796
    @issamanyenye6796 4 года назад

    Ivi uyu jamaaa kashinda kwa kigezo gan