ALIYEMPINGA RAIS SAMIA AJIBU BAADA YA KUFUKUZWA UANACHAMA CCM ASEMA.. 'HAKUNA MTU YEYOTE'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Комментарии • 199

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani 11 часов назад +36

    Hata kama kafukuzwa chama, lakini alisema kweli

    • @OlivreKimario
      @OlivreKimario 11 часов назад +2

      Kbs

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 5 часов назад

      Ukweli waga unauma

    • @MaryamMasoud-s2b
      @MaryamMasoud-s2b 4 часа назад +3

      Hana ukweli wowote choyo tu kimemjaa magufuli nae si alifanya kama hivi au

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 3 часа назад

      @@MaryamMasoud-s2b Bora hata wewe umetukumbusha tulikuwa tumesahau basi kumbe ni utaratibu wa mtu kumalizia kipindi Cha pili

  • @DaimonMwapelele-g1d
    @DaimonMwapelele-g1d 11 часов назад +21

    Wewe acha kujipendekeza kura gan zilipigwa alafu zikapitishwa achen kuhalalisha uovu kwa hila

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 11 часов назад +23

    Kura imepigwa wapi wakat kikwete alitoa kaul😂😂😂

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 10 часов назад +14

    Chama cha hovyo sana hiki

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 5 часов назад

      CCM Ina Watu wazuri wengi sema bado hawajapata nafasi

  • @abedinegoelias9616
    @abedinegoelias9616 10 часов назад +12

    Hamna akili kabsa nyie, hovyoo kabsaa. Yaan ccm bana cjui mnafiki kwa kutumia nin?

  • @GodfreyBikukan
    @GodfreyBikukan 11 часов назад +12

    Machawa machawa mnahangaika semeni Kwa Amry ya kikwete ndio mlimpitisha sio Kwa utaratibu wa chama

  • @RajabuMussa-h5n
    @RajabuMussa-h5n 10 часов назад +10

    Hata mukimfukuza ameshaongeaukweli kwani mlipiga kura wapi mnamuonea Mzee Kisha amepasua jipu

  • @MmohamediSaidi
    @MmohamediSaidi 10 часов назад +14

    Kama si mwanachana mbona munamfukuza acheni propa ganda

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr 6 часов назад +4

    Kumbe ccm ukiongea ukweli unafukuzwa,

  • @yokoi-u3g
    @yokoi-u3g 11 часов назад +19

    Uwiiiii kweli tuna watu viazi 😮😮😮😮😮

    • @ZaidAKissinza
      @ZaidAKissinza 8 часов назад

      Viazi kivipi yoko? hebu nipashe hapo nielewe

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 5 часов назад

      Ndiyo Tanzania yetu wao wanajifanya wanaona kuliko sisi

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 10 часов назад +7

    Ccm hakuna democracy ni ubabaishaji tu hamchagui ila mnateuana tu

  • @MzeeBonge
    @MzeeBonge 4 часа назад +2

    Jiangalie kwenye Kioo mama Sura Yako inakusuta Mnafiki mkubwa

  • @MaryamMasoud-s2b
    @MaryamMasoud-s2b 4 часа назад +2

    Dah nimeangalia comment za watu wingi nimegundua mumejaa chuki na choyo kwani magufuli hakufanya kama hivi au ndo Samia Mzanzibar,muislamu na mwanamke

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 Час назад

      hakuna kitu km hicho, katibu mkuu alitoa Tangazo mwezi May 2020 kuchukua fomu ya Urais ingawa hakuna aliyejitokeza kuiomba zaidi ya Magu kuna mwingine alidai alizuiwa sijui ukweli wake, Magufuli akalipia fomu akajaza fomu akarudisha baada ya hapo vikao vya uteuzi vikakaa kunteua kuwa mgombea ..Mama Samia kajiteua mwezi January bila hata kujaza fomu kuomba nafasi hiyo kinyume na ktb ya CCM inayosema lzm ujaze fomu na kulipia fomu hiyo ili kugombea nafasi yeyote ile hata ya kuomba kugonbea kuwa mkiti wa kijiji kupitia ccm..

  • @DanielMakunja-n1x
    @DanielMakunja-n1x 11 часов назад +9

    Muda utaongea

  • @ndeziboysanga
    @ndeziboysanga 11 часов назад +10

    uongooooooo mkubwa achien nchi

  • @ChachaMarwa-p6p
    @ChachaMarwa-p6p 11 часов назад +7

    Ww mshamba kweli

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo 6 часов назад +1

    Kila mwana CCM anauogopa ukweli iv hamjui kuwa wananchi wameshawaelewa ndiomaana hamuwezi kupata kura hata ya kichaa

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 5 часов назад +1

    Ukweli waga unauma kuupokea kusema ukweli CCM Watu wenye mvuto Kwa Sasa Kwa Wananchi ni Mh Majaliwa na Makonda Mama kurudi madarakani itatumika nguvu kubwa sana ya Dola kumrudisha madarakani ngoja October ifike

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 3 часа назад

    Nenda chadema kwa heri mamy asante kutusaidia kujua haya hongera dear

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 5 часов назад +1

    Fomu imelipiwa wapi?Nani kamdhamini mgombea..Tufuate katiba .Fomu imejazwa wapi?Walioko chini wakiiharibu mtawalaumu.?

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 55 минут назад

      Fomu zilianza tolewa lini?? Samia akachukua lini??akajza kuomba na akarudisha lini???😂

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 8 часов назад +1

    Chawa kazini

  • @ZeynabAlly-c2m
    @ZeynabAlly-c2m 11 часов назад +4

    Alikua nccr mageuzi.aliamia chama cha mapinduzi kwa sababu alitaka kuwavuruga hamkulitambua hilo? Nilijua tu mmeingiza kunguni si chawa

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 10 часов назад

      Kunguni ni mafisiemu majambazi sugu yalio kubuu

  • @aje6
    @aje6 9 часов назад +1

    🎉mama mungu akulinde saana amina.

  • @KitubhawiseJulius
    @KitubhawiseJulius 11 часов назад +10

    tumewachoka bwana aa

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 5 часов назад +1

    Hakuna Katiba hapo Dada,mlivunja Katiba

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 3 часа назад

    Mtahikumiwa tu kwa ubabe wenu. Yaani hamtaishi milele ndani ya nchi hii

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 6 часов назад +1

    Misukule bad mingi sana

  • @masoudtwalib6413
    @masoudtwalib6413 11 часов назад +2

    Safi sana,mtu kaingia 2021 leo anajifanya mjuaji.

    • @ibrahimliela1111
      @ibrahimliela1111 8 часов назад

      Acha akili kuifyatika kwenye kishundu,ebu uwege na MDA wa kufikiria

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 Час назад

    Safi sana mpuuzi huyo,akajiunge na vyama vya kipuuzi

  • @AminiHakundwa
    @AminiHakundwa 10 часов назад +1

    Ni kweli nchi hii ukiwa msema kweli mbayaa ila bora kufa na fikra sahii kuliko kuishi na fikra zilizokufa

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 10 часов назад +3

    Kwani MTU akipinga ni dhambi? Kwa nini afukuzwe uanachama?au ni lazina kuchagua MTU huyohuyo?
    Femokrasia iko wapi?

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki Час назад

    Huyo jamaa aliyefujuzwa mimi kwangu nimeipenda ccm kwa njia hiyo waliyo fanya kumtimua mamluki kama kwamaana yangu kuwaunga mkono kufukuzwa huyo nikwamba waliomchagua mama Samia waliyofanya uchaguzi walikuwa mamia na maelfu yeye na waliyo nyuma yake walikuwa wapi

  • @ramamdoa
    @ramamdoa 11 часов назад +6

    Ccm nyinyi nimajizi na majambazi mbwa nyinyi

  • @MmohamediSaidi
    @MmohamediSaidi 10 часов назад +4

    Malisa watoe mavi ao

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki Час назад

    Tumeipenda hiyo safi sana huyo nimpumbavu sana

  • @JeremiahJuliet-r7p
    @JeremiahJuliet-r7p 11 часов назад +5

    Mbona hizo kura hatukuziona zikipigwa kama chadema ninyi mlikuwa mnagia sirini

  • @MaryamMasoud-s2b
    @MaryamMasoud-s2b 4 часа назад +1

    Mama mitano5🖐️ tena 👅💪🔥💯🎉❤️

  • @GeorginaAnatory-u1z
    @GeorginaAnatory-u1z 10 часов назад +2

    mama mbona unaongea kwa jaziba

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 10 часов назад +1

    Siyo democracy, ni maoni yake lazima yaheshimiwe, mnataka wote wakubali tu hata kama hawataki, kikatiba ana hoja pia

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 9 часов назад

    Chama kinakwenda kuanguka.Hii ndio aibu ileeee,iliyotabiriwa na mtumishi wa Mungu juu ya huyo mama enu.

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 4 часа назад

    Sasa unapigaje kula ya hapana wakati mtu ni mmoja?

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 6 часов назад +1

    Karee watoto 2

  • @MmohamediSaidi
    @MmohamediSaidi 10 часов назад +2

    Mumerikoroga wenyewe mutalinyw hilo

  • @jeffmap4038
    @jeffmap4038 11 часов назад +2

    its the matter of time. time will tell...by Bob Marley

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 10 часов назад +4

    Ccm wote ni wajinga😢

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 5 часов назад

      Hiyo hoja yako siyo sahihi CCM Ina Watu wengi wazuri sema bado hawajapata nafasi

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 2 часа назад

      Wengi wamekosa radhi za mwalimu Nyerere hawafuati maagizo yake

  • @MmohamediSaidi
    @MmohamediSaidi 10 часов назад +2

    Si mulimpokea vipi tena bado msigwa

  • @ObadieMwalongo-j9y
    @ObadieMwalongo-j9y 10 часов назад +1

    Hapo CCM hamtendi haki kabisa

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 5 часов назад

    Ifike mahali basi ccm muwe na aibu jaman kwa mnayoyafanya Mungu hapendi kabisa.Kwani ni wapi pameandikwa kwamba lazima atawale yeye wakt wengine wapo?

  • @StevenNyanguye
    @StevenNyanguye 3 часа назад

    Karibu chadema

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 9 часов назад +1

    uyo mama hamna anayemtaka mnaforce tu

  • @JohnJacob-k6e
    @JohnJacob-k6e 10 часов назад +1

    Walikutana watatu tu kijana wa mwinyi, kikwete na mama ndo walipitisha nyie njaa tu mmenigishwa tonge nono bumbavu zenu mnafikili hii nchi ya CCM!

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 11 часов назад +3

    Chadmea kura waazi

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 6 часов назад

    Eleweni tu kuwa Watanganyika hatutaki kuongozwa na Rais toka taifa jingine tena. Bi Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari toka nchi ya Zanzibar. Tanganyika hatuko tayari tena kuongozwa na Mzanzibar!!!

  • @PendaelJames
    @PendaelJames 6 часов назад

    Hawakosolewi hao na ccm wenzao madhara yake n kumfukuza lakin ukweli umefika

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 5 часов назад

    Hapo mmezingua kabisa pia kumbukeni zama hizi ni za watu wengi waliosoma na wenye ufahamu hebu tiambieni ni lini alipgiwa kura zikaonyesha kuwa amepita bila kupingwa? Acheni jaman kuturudisha enzi za kale

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 7 часов назад

    Limama chizii kama ilii una weza sema wana wake wana akiliii kweliii Sasa kula walipiga lini na alishindana na nani

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 7 часов назад

    Huyo samia sio malaika kwa hiyo mzee yupo sahihi na kupigwa ni lazima

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 5 часов назад

    Tatizo nyie ccm ni wezi na kuambiwa ukweli hamtaki dini yenu wenyewe inakataa mwanamke kuwa kiongozi

  • @MmohamediSaidi
    @MmohamediSaidi 10 часов назад +3

    Ccccm aibu

  • @ZakariaMhanga-iz8ip
    @ZakariaMhanga-iz8ip 4 часа назад

    Uchaguzi walifanya CHADEMA huko kwingine ni utapeli tu ulifanyika

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 10 часов назад +1

    KUNA WATU WENYE CHUKI BINAFSI , KWANI HUYO MZEE ALIVYOJITOKEZA KWENYE MEDIA NA KUTAKA ASIFIWE , KWANI ANGEKAA NA WANACHAMA WENZAKE AKAULIZA ASINGEPATA MAJIBU?

  • @StephanoGwelino
    @StephanoGwelino 7 часов назад

    We,mama muogope mungu kura zilipigwa wapi wakati mtu mmoja tuu ndo aliamua

  • @MmohamediSaidi
    @MmohamediSaidi 10 часов назад +2

    Kulikon

  • @HusseinMiraji-p2j
    @HusseinMiraji-p2j 3 часа назад

    Kwani mlikuwa na wagombea wangapi kwenye ngazi rais?

  • @MusaJosephi
    @MusaJosephi 27 минут назад

    Hawapendi ukweli Hao ndio ccm

  • @ismailsanga3233
    @ismailsanga3233 2 часа назад

    Kuna umaskini maradhi na ujinga Sasa ujinga aloukataa mwalimu ndo huu

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 6 часов назад

    Hiii ni thithiem OG

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 9 часов назад

    Huyu kiasi kweli! Kura gani ilipigwa hapo? Ilikuwa ni kuitikia tu kama mnachagua kiongozi wa soko! Shame on you!

  • @rashidsaid1199
    @rashidsaid1199 2 часа назад

    mm nawashangaa note wanao sema sheria hazija fwatwa .mapendekezo yalio tolewa yalipigiw kura na wajumbe sasa mnataka sheriagani ten?

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 Час назад

      Katiba ya CCM inasema wazi ili kugombea nafasi yeyote ndani ya chama hata kuwa mkiti wa kijiji lazima ujaze fomu na kulipia kuomba nafasi hiyo baada ya hapo vikao vya uteuzi vikae kuteua jina moja..Samia fomu alichukua lini??akalipia lini???akarudisha lini???ni sawa wanaosema kajiteua kwa kuvunja taratibu za chama..

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 9 часов назад

    Mfukuseni kabisa lakini mjue jamaa amesema ukweli

  • @FrankJohakimu
    @FrankJohakimu 8 часов назад

    Acheni ukilitimba kwa masilahi Yanu hi nitanzania yatu

  • @PendoKaaya
    @PendoKaaya 5 часов назад

    Wewe njaa itakuua simama kwenye haki waseme wananchi kura ilipigwa wap?

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t 7 часов назад

    Mhh mama yangu hata mungu umuogopi?

  • @MmohamediSaidi
    @MmohamediSaidi 10 часов назад +2

    Mulizani mumeokota dodo vipi tena

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 3 часа назад

    KURA mlipiga saa ngapi??
    Maana mlikuwa Live😀😀😀😀😀

  • @mrpaul6355
    @mrpaul6355 8 часов назад

    Swali ni je ninyi wajumbe wa huo mkutano milisoma hiyo katiba inssemaje isije kuwa ninyi kina mama ni kushabikia tu. Hata mkamu mwenyekiti Stephen masato Wasira alihamia huko NCCR mageuzi je ni mwadamizi . Hapo ninyi ccm mkukubali msikubali kuna tatizo lipo na wanachama wengine wanasoma hiyo katiba yenu wenywe kama alivyosema huyo mzee

  • @hajirashidamani7709
    @hajirashidamani7709 10 часов назад

    bado munachama wenu mbona wakina halima mdee wapo bungeni mpaka leo huyo ni wenu mpaka mwisho wa dunia

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 3 часа назад

    Na wale wasanii wote mliowaokota mabaa pia walikuwa wajumbe wa mkutano mkuu pia ?

  • @AisseAli-t1t
    @AisseAli-t1t Час назад

    Huyu anaemfukuza malisa sauti ya kilevi

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 9 часов назад

    Mimi nawashangaa watu wanao shangaa Kwa ccm kumfukuza huyo mhaini wa chama .SI ndio utaratibu ccm waliojiwekea wapi wamekosea.sisi watanzania ambao hatuna vyama tunajua hiyo demokrasia wanayotumia .pilipili ya shamba inakuashia nini

  • @EmanuelJohnIbrahim
    @EmanuelJohnIbrahim 3 часа назад

    Hata mkimfukuza ukweli tayari

  • @rashidsaid1199
    @rashidsaid1199 2 часа назад

    ww nimnafiku pengine ulijiunga ccm ukijua uta kuja wavuruga .ndugu ccm nicma makini sana kina raslimali watu bilakuficha nakuam ia ww u bado mpinzan uwezi kua ccm wakwel

  • @joelyngomuo7441
    @joelyngomuo7441 6 часов назад

    Jambo ambalo sio halali kulitolea maelezo utatumia nguvu sana hadi ushuzi utatoka

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 5 часов назад

    Hamtakagi ukweli nyee

  • @obadiajuma436
    @obadiajuma436 5 часов назад

    Yuko MUNGU ataamua kwahaya mateso masikini wanayopitia masikini akitumapesa elifu 30000 anakatwa elifu 3000 tajiri akituma milioni anakatwa elifu sita jeiyonihaki

  • @leomika8473
    @leomika8473 8 часов назад

    Huu ni ukweri kwanini muwanyime wanachama kugombea kwa mujibu wa Katiba ya ccm na hii itashusha viwango vya ccm

  • @NeemaMkwemba-ws9du
    @NeemaMkwemba-ws9du 5 часов назад

    Uliingia kwenye mioyo ya watanzania au unaropoka tu wewe fara,,bc kumbe katiba haina maana😂😂

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 4 часа назад

    Hata mkimfukuza ili mradi kishawaambia ukweli

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 9 часов назад

    Wavunjaji wa kubwa wa katiba Chadema ndiyo Chama kinacho kubali mabadiliko CCM kunawaka moto kumekucha

  • @Bilifilmz
    @Bilifilmz 2 часа назад

    Chama cha kihuni

  • @JosephkelvinKelvin
    @JosephkelvinKelvin 8 часов назад

    Ngekuw na uwez ccm ingeenda saw na kipindi cha jpm,,ile ndio ccm ya haki

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 3 часа назад

    Kwani mkimuondosha ndio atakosa riziki ya Kula sauti kama kameza ngozi ya kenge sasa wewe dada ukiwa wewe mjumbe inatosha utazikwa peponi sawa

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 11 часов назад +4

    Wezi wasenge,achien nchi.yaan anayekaa anamnadi samia hana akili timamu

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 10 часов назад

    Hii si kwer ninauhkika Mpina na Ndugai hawakumpigia huyu mama😂

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 9 часов назад

    Kama mulijua kunashelia mbona mumevunja katiba mkampa fomu moja

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 4 часа назад

    Sema katiba ya chama na ya nchi haikavunjwa,

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 Час назад

      Samia kavunja katiba ya nchi ibara ya 21(1) kwa makusudi kbs

  • @RUTACHCHURCH
    @RUTACHCHURCH 10 часов назад

    Sasa luga ya kufukuzwa imetoka wapi kama SI mwanachama

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 7 часов назад

    INAITWA SYSTEM SET...

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 10 часов назад

    Kama mmemuengua mmefanya vizuri maana kashajichokea

  • @ErickAmos-h4e
    @ErickAmos-h4e 10 часов назад +1

    mzenge wewe mwabudu uyomungu wako Samia ilakichaja