@@VeronicaAdamu Nyimbo Nzuri, Mambo matatu kukazia: moja Kwa kifo Cha Bwana Yesu Tumepata msamaha wa dhambi zetu zote milele pili Kwa kufufuka Kwa Bwana Yesu Tumepata HAKI ya kuwa Wana wa Mungu milele na tatu tumekuwa watakatifu milele Kwa KUMUAMINI Bwana Yesu. Kwako Veronika weka mahesabu ya siku na uhakikishe matumizi hayazidi kipato, Kazi njema.
Asante Sana Mungu wangu. Pokea shukrani zangu. I feel blessed ninapousikiza huu wimbo. Im watching from Kenya! Mungu akukirimie nyimbo nyinginezo nyingi za kubariki nyoyo za wanaomtumainia yeye.
Hongera saana dada Veronica kwa utulivu wako wa uimbaji, big up saana mkuu wangu Director Mdete kwa kuongezea thamani ya wimbo kwa video yako nzuri sana. Mungu awabariki nyote.
Waoo ❤❤❤ vero nyimbo nzuri 🎉🎉 sema mungu kakujalia sauti nzuri sana na na vionjo flani ivi vya kuk vutia
@@ReginaldMartin-og4rt Amina
God bless you lady you made it 🙏
@@damianTiba Thank you
Hello Veronica ❤
❤❤❤❤❤❤ hengera mdogo wangu
Jaman wimbo uko good tuongee tu ukweli pia huyu dada ni mzuri sana MUNGU amtunze
Amina mpendwa
@@VeronicaAdamu Nyimbo Nzuri, Mambo matatu kukazia: moja Kwa kifo Cha Bwana Yesu Tumepata msamaha wa dhambi zetu zote milele pili Kwa kufufuka Kwa Bwana Yesu Tumepata HAKI ya kuwa Wana wa Mungu milele na tatu tumekuwa watakatifu milele Kwa KUMUAMINI Bwana Yesu. Kwako Veronika weka mahesabu ya siku na uhakikishe matumizi hayazidi kipato, Kazi njema.
Mpendwa si uniwekee tu namba hapo
@@VeronicaAdamu❤❤❤❤❤
👏👏
Kumbe hata waroman Mnaweza iba bila kwa ya Ongela saana dada angu Kipenzi MUNGU aku baliki saana🙏🙏🙏🙏
Asante dada angu
Hongera sana kipenzi Cha wote
Ni maombi yangu uzidi kutubariki na nyimbo nzuri kama huu wimbo. Ubarikiwe sanaaa ❤️❤️❤️
Amina
Nimependa uhimbaji wako mungu akupe moyo wa kuimba sanaa na mafanikio juu🎉
❤❤❤❤❤. U sister veronica
Thank you madam
Unaimba vizuri we ni wawap jamooon najaribu ata kudanload inakataa kufunguka
Kiukwel nashindwa hata kusema maana nyimbo nzuri sana na yeye Ni super cute mpaka sauti yake nimeiangalia Zaid ya mala 5 hongera mungu akusimamie
Asante sana🙏🙏🙏🙏🙏
Dada yangu unasauti nzuri alafu unajua. Weka jitihada kwenye kipawa chako
Amina🙏🙏
Aisee nyimbo nzuri sana binafisi nimekuta uweo wa MUNGU ukinijia ndani moyo wangu ubalikiwe mtu wa mungu 🙏🙏🙏
Amina mtumishi
Maneno ya Mungu Aya ozi Na Aya Expaya jesus , Zuez Prophet
Amina
Dada uko vizur Sana kwakwel
Asante sana
Mungu akutumie kwa viwango vya juu ikimpendeza siku 1 tutakuja kutoa wimbo wa pamoja
Veroo kipenz hakika umejua kunifrahisha kazi nzur saana MUNGU akutue nguvu
Aminaa
Nice one🎉
Mungu akulinde kila time na akuogezee maneno matamu ya kumsifu
Amina
Hongera sana vero kipenz
Mdeteee🔥🔥🔥🔥
🙏
She has South African fitures ,imean the bantu effect 🎉
Nyimbo nzuri
Asante sana
Congratulations 👏👏 my sister kazi nzuri Mwenyezi Mungu na akuneemeshe zaidi
Thank you
Umetishaaa
Barikiwa sana mtumishi hudumaa isonge mbele
Amina mtumishi
Asantesana nashukuru wimbo mzuri
Nyimbo ya viwango vya Ali ya juu sana❤❤❤❤❤🎉🎉
🙏🙏🙏🙏
Wow hongeraa mwayaa mwenyezi mungu aendelee kukupigania usonge mbele zaidi rafiki@veronica😘🌹🙏
Asante sana kipenzi
❤❤❤ waooooohh bonge la voice mungu akuinue zaid na zaid ili uwe juu ya kinara kitakatifu maadui zako wakushangae🎉🎉🎉🎉😮😮😮
😢 Nice holy comment with no hypocricy, Good be blessed
Wimbo mtamu
Thank you🙏🙏
Kiukweki nilitaka nipite bila kuangalia ila nimeenjoy video kali saut kali Daah!! Hongera na tunasubri next video 📢
Sawa kaka
Hongeraaaa sanaaaaa mungu akupee nguvuuuu tenaaaa na tenaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana🙏
Wimbo mzur sana🎉
Asante sana
Wimbo mzuri jmn barikiwe dada🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana🙏🙏
Kazi nzuri ❤,Mwanzo mwema kabisa🫶🫶💯💯, Tuzidi Kumwimbia kwa Tenzi Tamu🙏🙏😊😊
Aminaa
Thanks 😊
❤❤❤❤ you 🙏🙏🙏🙏 Amen 🙏
Hongera kwa kazi nzuri Mungu akujalie hitaji la moyo wako❤❤
Aminaa🙏🙏
we are waiting 😋
❤❤❤❤❤ hongera sana kazi zuri v
Kazi nzuli niptie kwangu
MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE KATIKA KUMTUMIKIA KWA SAUTI YAKO NZURI💖💖💖💖💓💓
Amina dada
Hongera sana dad yetu kazi zuri sana
Nyimbo nzuri barikiwa sana❤
Asante sana
Dada Yuko vzr saaana, Mungu azidi kukubariki
Asante sanaa
Endlea dada unaweza unakipaji cha kipekee sana!!!!! Utafika mbali sana na Mungu akubariki
Amina
Hongera sana dada Veronica, sifa na utukufu ni wake ni mungu
Amina🙏🙏
❤❤❤❤❤ Hongera Sana Vero Mungu akuongezee Maarifa tele na Uchaji wake from Katbu wa kwaya Sesilia. Nangwa
Asante sana
Yan huu wimbo wako Wanibariki Sana Ama Mungu akupe wepesi uzidi Kumtumikia
❤❤❤❤❤❤ wimbo mzuri san dada velo
Asante sana kaka
Eeeeeeeeiiiii❤️❤️❤️❤️kazi safi dada
Asante sana
Hongera Sana mdogo wangu Mungu akulinde na kukufikisha mbali
Amina 🙏🙏🙏
Keep moving forward 🙏
Keep it up, , nimependa sauti yako🙏🙏🙏
Asante sana
Hongera dear❤❤
Yes, wimbo mzuri sana❤
Thank you
Hakika MUNGU ametupa sauti tuweze kumsifu na kulitukuza jina lake congrats dear Vero ♥️♥️
Asante sanaa
Mungu amzidishie baraka telle katika uduma yake ya kuinjilisha kwa njia ya uimbaji
Amina
❤❤❤❤ kazi zuri mwimbaji wetu
@@AlbertEnda asante sana
Wimbo wenye baraka tele ❤❤❤
Amina🙏🙏🙏
Kwa kweli pokea shukrani zetu ewe mola. Nice voice .
Asante sana🙏🙏
Nice
ruclips.net/video/UUws9Z_BA-s/видео.htmlsi=c5SNemS8DTzYfIAN
❤❤❤❤❤ love song
Wembo mzuri muimbaji mzuri saut nzur 🙏mungu akuongeze
Amina🙏🙏
Hongera sana Vero kwa sauti nzuri na utulivu..Mungu azidi kukuinua
Aminaa
Hongera Sanaa dada angu mzuriiiiiiii❤❤❤❤
Asante sana
Nyimbo nzuri ujumbe mzuri ubarikiwe dada angu🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Amina sana🙏🙏
Nakupa hongera sana Dada angu Kwa huduma yako ya Uimbaji 🎤🎤🎙️
Pia Mungu azidi kukuinua uwe na viwango vya juu zaidi 🙏
Amina kaka 🙏🙏🙏
Kazi safi🎉
Asante🙏🙏
Wimbo mzr sana endelea zaidi Mungu akupe nguvu zaidi ya kusonga mbele zaidi
Aminaa
Be blessed mwirak girl nimebarikiwa sanaa ❤
@@MARIAMARGWE-w6z Thank you
Wooooow congratulations 😮😮😮😮
Thank you
I'm from New Zealand Nice song I'm lean Swahili language ,wimbo mzuri
Thank you🙏🙏🙏
Dada mungu akupaliki uzidi kuwa wa viwango kila siku unaweza kuimba sana tu
Asante sana
Wooooow you look so beautiful ❤❤❤
Wimboo huu ni mtamuu Sanaa .. Mungu akubarikii sana
@@LucyKhamete-qw9rg Asante sana dear
hongera sana
🎉hongeraa wimbo mzuriiiii
Asante sana
Good jooob❤❤❤
Thank you
Wimbo mzuri Mungu akubariki 🙏
Amina🙏🙏
Mungu akubaririki dada yangu uko vizuri Sana jamani unapatikana wapi
Asante sana
Unatokea Parokia ya wapi Dada
Good Job
Hongera sana kazi zuri voice kali hongera tupo nyuma yako pambana❤❤❤❤❤
Asante sana
Asante Sana Mungu wangu. Pokea shukrani zangu.
I feel blessed ninapousikiza huu wimbo. Im watching from Kenya! Mungu akukirimie nyimbo nyinginezo nyingi za kubariki nyoyo za wanaomtumainia yeye.
Amina kaka
Hongera mungu akusimamie🙏
@@JuliaStyles-yy9fp Amina
❤❤❤❤ hongera sana
Asante sana
Hongera saana dada Veronica kwa utulivu wako wa uimbaji, big up saana mkuu wangu Director Mdete kwa kuongezea thamani ya wimbo kwa video yako nzuri sana. Mungu awabariki nyote.
Aminaa🙏🙏🙏🙏
ruclips.net/video/UUws9Z_BA-s/видео.htmlsi=c5SNemS8DTzYfIAN
Hongera wajina Nimependa kinarangu
Asante sana
Safi sana dada ang umeanza vizur sana
Asante sana
Barikiwe sana Dada MUNGU akubariki
Amina🙏🙏
hongera sana sauti nzuri
Asante sana
❤❤❤❤ ujembe mzur dad pambana tupo pamoja na wewe
Amina🙏🙏🙏
Wow, I love this, nice one... Nikisema Asante, Asante sana
Hongera vero
Hongera san dada ❤❤❤❤❤
Asante sana
God bless you 🙏
Kama unataka ku grow haraka inbox me haina aja ya ku sponsor
Mungu ni mwem na kazi yake ipambe moto
Asante sana
Wimbo mtamu sana,,Hongera sana Veronica kwa kazi njema
Amina🙏🙏
Hongera kwa wimbo mzuri MUNGU akujalie baraka ❤😂
Aminaa🙏🙏🙏
@@VeronicaAdamu pamoja sana I love it
Hongera sana dad wimbo mzur❤❤❤❤❤❤ mungu akuinue zaidi
Asante sana🙏🙏🙏
Safi sana ,Mwenyezi MUNGU aendelee kukuinua ❤
Aminaa
Hongera sana gorgeous unajua sana na umeni inspire sana
Asante sana
Aksante sana, ubarikiwe. iko wimbo wa shukrani. MUNGU APEWE SIFA
Aminaa🙏🙏
I like the song ❤
Dah! Sauti Safi mwenyezi mungu na akulinde akuongose na akupe nguvu uendele kuwa balozi kwa nyimbo za kutukuza
Amina🙏🙏🙏