Shimanyi Mwenyezi Mungu akutunze kwa ajili ya kuendelea kuponya mioyo ya qatu wake kwa njia hii ya uimbaji yaani unajua hadi sio poa❤️❤️👌👌 aya sisi wenye wapendwa wetu tuimbiane sasa😁😁😁
Muziki uliokamatana hakika, huu ndio wimbo bora wa mwaka kwa ajili ya wapendanao. Na utakuwa wimbo bora wa muda wote kwa jina la Yesu Kristo!! Mwenyezi Mungu atubariki sote
Ewaaah! Saf sana kazi nzuri Alimwona, akampende, akamkazia macho, akachukue no, akampanga, wakaelewan, kanisa na jamii wakafahamishwa, mahari ikatika, sherehe ikafaana kauli mbiu ikawa MIMI NA WEWE DAMDAM nani anapenda damu yake imtokeee? Hongera sana kwenu watunzi na waimbaji kwa ujumbe mzito 🎷🔝👩❤️💋👩👨👨👧👧
Daaah hya bwana nilivokuwa naenjoy na kuimba wimbo kuja kukumbuka kumbe niko single singulality sina hta wa kumuimbia . 🙌🙌🙌 By the way umejua kutunyoosha Nice song and i real love💪 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Waah 🤗🤗 Shimanyi jamaniii..😅😅❤❤❤ Congratulations sana Kwa wimbo mzuri ❤️ Halafu Kwa maoni yangu wacheza wimbo wangevaa kama vile ndio wako kwenye sherehe yenyewe ya Ndoa Takatifu ingependeza zaidi 🙌🏽🥰❤️❤️
kusema kweli kaka shimanyi unafanya Kazi ya utunzi wengine tunaiona kama nyepesi kaka sababu unafanya watu tusilale na tukilala tunawaza huu wimbo. Hongera Sana kaka, Mwenyezi Mungu azidi kukufanya baraka kwetu.
Very beautiful song,well composed,it honestly touches my heart... Marriage is beautiful if you get get the right woman or man,I pray God to bless me with my soulmate
Hiki kibao kishavuka....mkirudi tena jikoni pikeni kitamu kama hiki...its a blessing everyone would wish to participate and sing...254 is behind u...Njooni tena
Wakatoriki mpooooo💥💥💥💥🌹🌹
Kwa wimbo huu,nimemwambia madam tufunge ndoa🎉🎉😊😊❤❤tupate cheti cha harusi pia
I don't want much, I just want whoever is reading this be happy, healthy and jovial ❤❤❤
Shimanyi Mwenyezi Mungu akutunze kwa ajili ya kuendelea kuponya mioyo ya qatu wake kwa njia hii ya uimbaji yaani unajua hadi sio poa❤️❤️👌👌 aya sisi wenye wapendwa wetu tuimbiane sasa😁😁😁
Shimamyi jamani libarikiwe tumbo lilokuzaa na Baraka za MUNGU ziwe juu yako na nyumba yako isipungukiwe❤❤❤
Mume wangu mtarajiwa pokea huu wimbo umetungwa kwa ajiri yetu❤❤❤
Nimeupokea Amina 💙
Shimanyi made me feel single and a million others in this song 💯💯😅😅
Wimbo Mzuri ,Kazi nzuri na mungu azidi kuubariki utume wenu🙌💯❤️
Nifundishe kunyamazaaa 😂😂
Acha ni save hii for my big day some day in Jesus name 🙏 ❤❤ Asante sana
Kwa jina la yesu na mimi napokea wa kwangu na tutafunga ndoa takatifu. Ameeen
Aminaaa
Popote ulipo my wife naomba wimboo huu ukubariki❤
Hivi we shimanyi ulizaliwa kama sisi au Mungu alikushusha tu??😂 hua nakutafakari ujue mamana sio kwa hivi vyuma😊❤❤❤❤❤
Shimanyi Shimanyi Shimanyi Mungu anakuona mimi nimetoka asubuh kazini mpk sasa sijalala nasubiri nyimbo 😂😂 nyimbo nzuri sanaa 🔥🔥🙌
😂
We are still blessed with your work🙏🙏
May thy graces be up on your talent that nourish us everyday.🖐
Indeed we are Damdam with your work🤗😂
🥰🥰🥰❤️❤️wimbo tunao..shida ni wa kuimbia🥲
Here for you ❤
😅😅😅😅
Sure
Muziki uliokamatana hakika, huu ndio wimbo bora wa mwaka kwa ajili ya wapendanao. Na utakuwa wimbo bora wa muda wote kwa jina la Yesu Kristo!! Mwenyezi Mungu atubariki sote
Mungu...guza huyu boyfriend wangu akubali tufunge ndoa takatifu..😢😢...much love to the compser and singers❤from Kenya
Nyie wanakwaya nisha wahi kuwaona sehemu fulanii kumbe mlikuwa mnajipanga kutoa kawimbo katamu ivo, Mungu awabarikii jamniii
Kama umeliona Jimbo katoriki la sumbawanga kanisa kuu wape maua Yao vijana Shea nawengine waburudike nanyimbo tamu kutoka kusini mwa Tanzania
Woow, hongera kwa kazi nzuri. 🔥🔥
Kaka Shimanyi utatufanya twende mbiooo hukooo jaman, wimbo mzuri sana nasubiri stori ya CREDO na MARTHA iendelee moaka mwishooooooooooooo🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo nimeupata,sasa acha nijitahidi kutafuta mchumba❤❤❤
😂😂😂😂
Kwakweli.
Hongera sana mtunzi kiukwel me nyimbo za shimanyi nabarikiwa nazo sana hata kwenye kwaya naimba napenda kuzitumia sana
Kaka Shimanyi FM.
Unanhataaariiiiii
Congratulations Brother akhiii hiii I can't wait to be single again
Hii imeenda ❤❤ hakii wimboii ni mtamuuu vibaya mnooo salutee kwako shem Shimanyii♥️♥️
Nyimbo ya kwenye ndoa nimepata muda wa kutafuta mke sasa🎉🎉🎉😂😂
😂😂😂
😄
Nini wewe 😂😂@@ElizaMchilo-ks7gk
@martinimatutuli5575
Kabisa 😅
😂😂😂😂
Nice song sema mmja nimemmfananisha muganyizi nah is ni ww tuliimba kwaya ya mt yohane paul ii kibangu dsm
Hapo credo anaomba namba ananyimwa 😂😂😂😂😂😂
Nimepata wimbo sasa imebaki mpoa 😂😂😂
Kongole kwa producer🎉🎉
Hii itakuwa wedding song yangu asee the song ❤️❤️🔥🔥🔥🥰Hongera sanaa kaka
❤
Hit song yakwanza kutoka sumbawanga nimeielewje nikiwa katalamba
hujawahi kufeli kwenye muziki kaka ubarikiwe❤
Wow..top..top..top
🇰🇪 Nairobi tumeweka tik..that iko top..top.. top
Wimbo mzuri waimbaji mungu awabariki keep up
Composition, production, voices, creativity.. TOP TOP!! 🎉🎉🎉🎉🎉
Mkafanyike Baraka kwa kazi nzuri......🎓
😊chuma kipya for this chrismas,..mubarikiwe nyote
Mungu wa mbinguni azidi kukutunza mwalimu uendelee kutupa raha kwa nyimbo nzuri❤ nitakupenda John wangu milele
Ewaaah! Saf sana kazi nzuri
Alimwona, akampende, akamkazia macho, akachukue no, akampanga, wakaelewan, kanisa na jamii wakafahamishwa, mahari ikatika, sherehe ikafaana kauli mbiu ikawa MIMI NA WEWE DAMDAM nani anapenda damu yake imtokeee?
Hongera sana kwenu watunzi na waimbaji kwa ujumbe mzito 🎷🔝👩❤️💋👩👨👨👧👧
Daaah kama Mungu kakupa kipawa cha kuimba BC imba kwasababu ni rahaaaaa Sana Na a unapta amani sanaaa anyway song is so niceky❤
Wimbo mtamu huyu jamani💯💥💫
Amen tuna barikiwa
Ningeongeza saut had mwisho sema majiran watanionea wivu bhn😅 kiukwel mmenibariki Mungu awabariki❤
Daaah hya bwana nilivokuwa naenjoy na kuimba wimbo kuja kukumbuka kumbe niko single singulality sina hta wa kumuimbia . 🙌🙌🙌 By the way umejua kutunyoosha Nice song and i real love💪 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Daah inaumiza kuona huna wa kumuimbia 😂😂😂
@HappyFelix-fd1cz Yaan🤣🤣
Waah 🤗🤗 Shimanyi jamaniii..😅😅❤❤❤ Congratulations sana Kwa wimbo mzuri ❤️ Halafu Kwa maoni yangu wacheza wimbo wangevaa kama vile ndio wako kwenye sherehe yenyewe ya Ndoa Takatifu ingependeza zaidi 🙌🏽🥰❤️❤️
Huu siyo wimbo wa ndoa boss, ni wimbo wa wapendanao kwa ujumla
kusema kweli kaka shimanyi unafanya Kazi ya utunzi wengine tunaiona kama nyepesi kaka sababu unafanya watu tusilale na tukilala tunawaza huu wimbo.
Hongera Sana kaka, Mwenyezi Mungu azidi kukufanya baraka kwetu.
Hongereni sana waimbaji, hongera producer. Nyimbo nzuri sa a❤❤🎉
F.m shimanyi may God bless you good music n a good choir
Wedding song of the year , may almighty God bless you all and your family's ,I love it ❤❤
The best song ever 💓💓😍
I can't get enough of this song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 2025 congratulations 👏👏👏
Kazi safi
Kazi iko njema sana kaka Shimanyi. Hongera sana team kwa ujumla.
Wow,, God's doings 🙏
Kazi njema sana Shimanyi Mungu azidi kukubariki kwa kazi njema;
Pia pongezi kubwa kwa CGen Pro mnatoa muziki mzuri na mtamu masikioni. ❤🎉
Fortune Fortune ...... this one is great🎉🎉🎉🎉🎉🎉
vjana wenye balaa lao....🔥🔥🎶🎵🎶Vibe kama loteee...🎵Creative Generation on action🎹🎹
Hongera san mwalm shimanyi wimbo mzuri
Utunzi mwema Shimanyi❤❤❤
Kazi nzuri sana, bonge la wimbo yani hisia kama zote❤❤
very creative bro, nimeipenda kwa c.e.o credo hakutuangusha 😀😀😀😀
Kaka umeimba vizur sana
Ooooh sweet song❤❤❤❤❤I love it
Kazi kuntu❤
Aye endugu hii KAZI safi kabisa nkufikie vipi jamani
This is an amazing song naipenda zaidi❤
Hongereni sana👏👏👏👏 Marry congratulations ❤❤
Karibu nikuimbie💙
Nimeusubiria Kwa hamu sana
Kazi nzuri,
Namwona mwanangu Savio 🔥🔥🔥🔥
Luseba + shimanyi hii combination hainaga mchezo 😅
Wahoo bonge la kazi hongera sana shimanyi ❤❤
KAKA SHIMANYI WEWE NI MTUNZI ZAIDI YA WATUNZI👏MUNGU AENDELEE. KUKUBARIKI. NA MIMI UTANITUNGIA WIMBO WANGU WA NDOA🥰
Love this song
Hongera kwa utunzi bora
Shimanyi this is another one that describes you! Wewe una ligi yako peke yako!❤❤❤
Haya tusubiri watu waoane Sasa maana umewasemea tayari😂😂😂
Very beautiful song,well composed,it honestly touches my heart... Marriage is beautiful if you get get the right woman or man,I pray God to bless me with my soulmate
Wimbo Nimeupata Amebaki mwenye Kuimbiwa sasa😊
Jamaaa Anajua🔥🔥🔥😊
Hiki kibao kishavuka....mkirudi tena jikoni pikeni kitamu kama hiki...its a blessing everyone would wish to participate and sing...254 is behind u...Njooni tena
Shimanyi 🔥🔥🔥
Kazi Safi sana wakuu🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤waoohhh, great vocals. Congrats good people.
Nyimbo smart sanaaa❤❤
This good hongereni 🔥🔥🔥❤❤❤
Nimemtumia huu wimbo shemej yenu tuujadili ili siku ya harus yetu upigwe mwanzo mwisho😅😅 ni mzur san nimeupenda
Ujenzi wa mioyo yetu Kwa Imani🎉🎉🎉.Asente Sana Saidi ya Sana F.M.Shimanyi.Mungu akuongezee maarifa tele 🙏👏
Sending love❤ congratulations 🎊
Congratulations 🎉🎉🎉. always Catholic for me
wimbo mzur alafu mwepesi❤❤ Hongeren sana
Hii story tamu balaa 💙💙
Wonderful nice song shimanyi acha niseme ya kwamba mnadumisha Upendo kweli kweli
We want one from you too
hongera brother
My love has dedicated this sweet love song to me❤❤ love more my love
Shimanyi bwana stor itaendelea ooooy ngoja tusubir kitarndelea nn ila daa unanipa raha sana kwa nyimbo zenu mkuu
Shimanyi mwamba hongera❤
Damdam❤❤❤,🔥🔥🔥
Ubarikiwe sana kaka kwa kazi nzuri much love from southern states ❤❤
Wimbo nimeupenda Sana Mungu nisaidie niolewe niingie nao ukumbini
Am here readily
Dada wa kibanio pembeni hongera Mungu akuinue Kwa kipaji chako🙏
Kazi nzuri Mungu akuze talanta yako ikawe kubwa zaidi na zaidi
🎉🎉🎉🎉 Kombola Hilo ❤
Wooow wimbo mtamu kwa wapendanao... Sooo appetising