Anastacia Muema - Ndoa Ni Upendo (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 891

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  3 месяца назад +248

    Karibuni sana kutazama wimbo huu wa mzuri wa ndoa.❤️😊Walioshiriki Kama Bwana na Bi harusi wamefanya maigizo tu.🤗Mungu abariki ndoa na familia zote duniani. Ndoa ziheshimiwe😊😊🙏🙏Mbarikiwe sana na mjue nawapenda sana!❤️❤️❤️🙏🙏🙏

    • @adeodatusmwatela
      @adeodatusmwatela 3 месяца назад +4

      Asante ❤ @anastaciamuema Mungu akubariki zaidi. Imetungwa na nani nataka nijue plz

    • @catembinya3871
      @catembinya3871 3 месяца назад +4

      Amina.done and dusted

    • @WilsonMwaniki-q7p
      @WilsonMwaniki-q7p 3 месяца назад +2

      Wimbo huu wapendeza

    • @fredrickpascal2068
      @fredrickpascal2068 3 месяца назад +1

      🎉🎉🎉🎉🎉 kongole kwenu na Mungu awabariki

    • @BettyGasheri
      @BettyGasheri 3 месяца назад +2

      Have watched the song more than 10 times...yaani iko moreeeeeee fireeeeeeee..hongera Sana dear ❤

  • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
    @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 3 месяца назад +69

    Aliyeona kama mimi kwamba wimbo ni mzuri sana halafu mfupi unaisha haraka wakati natamani niendelee kuutazama anipe like 👍🏽 yangu 😂😂😂 yaani nimebaki naurudia rudia tuu 😅😅 ❤️❤️❤️
    Congratulations sana Dada Anastacia na Timu yako mumefanya kama vile ndio kweli sherehe yenyewe ya Ndoa Takatifu ❤❤❤

    • @EdwinNyabera-c3d
      @EdwinNyabera-c3d 3 месяца назад +1

      l
      ruclips.net/video/BiRHlYKHd-4/видео.htmlsi=RhCKk0R3JDU59Zlc

    • @richardkingi660
      @richardkingi660 3 месяца назад +1

      Kwani haikuwa Harusi ya Ukweli

    • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
      @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 3 месяца назад

      @@richardkingi660 Ndiyo Mpendwa.. soma hiyo Comment hapo juu aliyoipin📌 Dada Anastacia mwenyewe 👌🏽

  • @perismatoke9240
    @perismatoke9240 3 месяца назад +6

    This man must be lucky. Having been featured in two songs sio mchezo. Usikosee dada yetu Ann please. Mpendane daima na mungu ailinde ndoa yenu. Amina.

    • @jacintandeti4728
      @jacintandeti4728 3 месяца назад +2

      Hope this is the lucky man to Ann, hope ndiye mpenzi wa Ann na Soon tunahope tutaitiwe wedding 💒

  • @FurahaChristine-r3v
    @FurahaChristine-r3v 14 дней назад +1

    Tutafurahi mukiungana ya ma kweli. Jozi yenu yapendeza sana. Muungane muzae muwe na watoto.

  • @emmyandrew
    @emmyandrew 3 месяца назад +2

    Wow our lovly gal from our mother land Kenya from Kamba land doing great each day by serving God in every corner n spreading the Gospel all over with our brothers n sisters from Tanzania n Kenya,tunawapenda sana. Mungu aendelee kukubariki Muema, abariki mziki wa Kenya na Tanzania na duniani mwote.Beautiful, aki goosebumps zimenijaa ❤❤❤💃🏼💃🏼💃🏼wimbo wa kupendezaaaaa sana🥰🙏🏼am so blessed.

  • @Annogechi123
    @Annogechi123 3 месяца назад +54

    Anastacia fans kujeni hapa hii imeweza❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @dennismwenda5873
    @dennismwenda5873 2 месяца назад +3

    Wimbo mtamu Sana ...God bless you Anastasia uendelee kutubariki na nyimbo nzuri hivo nafurahia Sana .

  • @BenedettaMelita
    @BenedettaMelita 3 месяца назад +5

    Mungu Abariki Ndoa zote ulimwenguni...my home priest Fr Ben big up 🎉❤

  • @kelvinmutie1749
    @kelvinmutie1749 3 месяца назад +3

    What an amaizing masterpiece song. Ndoa ni upendo kupitia Maulana aliyeipanga kwa heshima dhamani ... This song is a blessing mostly unto us waiting to join the wedding family 🙏. May almighty God too protect you with favor blessing as the phrase of song says mungu ailinde ndoa na kuibariki... Mola aendelee kukupa hekima na busara kuendelea kueneza injili kupitia nyimbo zako kote duniani...atakayekulipa ni mungu aliyekupa wito wa uimbaji ...Congrats na Barikiwa sana Annastacia🙏

  • @olgahotichro2781
    @olgahotichro2781 3 месяца назад +10

    Praise be to Jesus!!! Another beautiful wedding song by my very own friend, Anastacia Muema, just towards my Holy matrimony in two weeks time!🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳. What a blessing! God shall remain faithful, using you Anastacia to bless others❤️❤️❤️🥳🥳🥳🥳🥳🥳

    • @obsidian_Ke
      @obsidian_Ke 3 месяца назад +1

      May the Lord God grant you the loveliest, happiest and most blessed matrimony for a lifetime of prosperity, in Jesus' mighty name. Amen and amen.

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  3 месяца назад

      Wooow! I’m so happy that you have an additional wedding song in your playlist.
      Congratulations bibi harusi ❤️❤️❤️🎈🎉🎊

  • @reginahechei1978
    @reginahechei1978 Месяц назад +1

    Wimbo huu unatukumbusha wana ndoa siku tulipoweka agano madhabauni kwa Bwana
    Basi tuuishe agano
    Hongera sana Anastacia na wote wanakwaya

  • @WinyDeMicky
    @WinyDeMicky 3 месяца назад +1

    Waooo🎉🎉🎉🎉 sijui nifanye marudio..... Hii nyimbo tamu sana nimeipenda big up kwako dadaa❤❤❤

  • @Mark_Miller_Music1
    @Mark_Miller_Music1 3 месяца назад +2

    Congratulations Anastacia Muema.
    Hii ndio maana halisi ya kujituma, kumaanisha unachokifanya, kuwa na Ubunifu, kupenda unachofanya, kuchagua kilicho bora. Hongera sana kwa kazi nzuri saana. Gob bless you 🙏 ❤❤❤

  • @brianwamalwa9574
    @brianwamalwa9574 3 месяца назад +5

    Wow,,,nishaapata wimbo wa harusi yangu,,,,, it's so loving and encouraging

  • @dancanomondi8978
    @dancanomondi8978 3 месяца назад +5

    Twakupenda pia Dada Anastacia,Kwa kweli unatupa chakula cha kiroho kupitia nyimbo zako Tamu Mungu mwenyezi azidi kukubariki🙏🙏🙏💕

  • @edibertlongino4818
    @edibertlongino4818 3 месяца назад +13

    Hii ni moto🎉 Watanzania njoon na likes za kutosha jaman

  • @muiaconstance3976
    @muiaconstance3976 3 месяца назад

    Wow. Wimbo mtamu kweli. Asante dada kwa kutubarikisha kwa njia ya uimbaji. Mungu akulinde siku zote

  • @jacksonmwangangi2380
    @jacksonmwangangi2380 3 месяца назад +2

    So lovely..
    Well done Ann...
    Congratulations.
    Nimeipendeza sana

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 3 месяца назад +1

    Drums drums....teren teren,,,hii imeni kwachu ❤❤❤🎉🎉 Hii Ndoa ibarikiwe 😊😊

  • @MonicaAgapitiBruno
    @MonicaAgapitiBruno 2 месяца назад +3

    Msiniambie na mtiti anyepiga ngoma ni mtoto Wa bw arusi kama ivyo basi kipaji macho MUNGU awasidie siku zote za maisha yenu😍😍😍😍😍🥰🥰❤️❤️❤️Na muende Lee kumtumikia bwana

  • @jacksonakwenda7838
    @jacksonakwenda7838 3 месяца назад +2

    Nimeupenda na kuufurahia wimbo huu mtamu. Asante kwa kazi safi.❤❤❤

  • @beatrice254-p2b
    @beatrice254-p2b 3 месяца назад +1

    You have nailed it ....sweet voice ...
    My best ever🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉...
    Congratulations 🎉🎉🎉

  • @everlynejosephat3752
    @everlynejosephat3752 3 месяца назад +3

    So beautiful Anastacia..hongera hongera....mbele mbele

  • @vincentmunyithya6194
    @vincentmunyithya6194 3 месяца назад +1

    This is lit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 keep it it up Anastacia and Mark Miller 💓... Lawrence Siwezi kukusahau kaka umefikisha Mziki kiwango kingine in Kenya .... Congratulations 🎉🎉🎉🎉

  • @kipawacrew5639
    @kipawacrew5639 3 месяца назад +17

    Hayaa watu wa harusi December wimbo ndo ii apa❤❤🎉

  • @frankmhoja2460
    @frankmhoja2460 3 месяца назад

    Hakika kuimba ni kusali mara mbili Nimetafakari sana juu ya wimbo huu....hakika Anastacia Muema be blessed wanakwaya barikiwa sana ...sauti ya nne ipo vizur ni quality and perfect voice...video safii.🙏kwenye ndoa yangu ntakuita uje utunge wimbo uje na cabinet yako yote🥳🥳🥳🥳Barikiwa sana wanakwaya
    🥳🥳🙏

  • @JemimahWinnie-y3d
    @JemimahWinnie-y3d 3 месяца назад +1

    Congratulations girl ❤❤❤wimbo mtamu sana❤

  • @theresaurio9691
    @theresaurio9691 3 месяца назад +3

    Woow,,,tuliisubiri kwa hamu hatimaye....
    hongera sn rafiki,,
    Mungu azidi kukutunza

  • @PriscaMajigwa-cl2io
    @PriscaMajigwa-cl2io 3 месяца назад +1

    Wimbo ni 🔥🔥🔥🔥 though ni mfupi ♥️♥️ Asante dada

  • @nicomedthomas854
    @nicomedthomas854 3 месяца назад +11

    Nyimbo zako huwa zinanibariki sana....all the best from Tanzania...nakupenda bure.....nyimbo zako tamu sana

    • @EdwinNyabera-c3d
      @EdwinNyabera-c3d 3 месяца назад

      l
      ruclips.net/video/BiRHlYKHd-4/видео.htmlsi=RhCKk0R3JDU59Zlc

  • @Raphaelkinyanjui
    @Raphaelkinyanjui 3 месяца назад +2

    Congratulations ❤ Anastasia npenda nyimbo zako sana keep up

  • @rogath_silayo
    @rogath_silayo 3 месяца назад +1

    This song is soo good...ngoja niu save kabisa.

  • @agripinahillary9008
    @agripinahillary9008 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Hii muzuri sanaaaa kazi na viwango vyote
    .hongereni Sana team

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 3 месяца назад +1

    I really love your songs❤❤this one being one of them and it's lit❤🔥🔥keep it up

  • @mjkinuthia386
    @mjkinuthia386 3 месяца назад +1

    As an institution, marriage is under attack from the enemy. Family is in great danger. This beautiful song brings to the fore the pre-eminent position of matrimony as a sacrament. The words, the voice(s), and the production are on point. Another great one, Anastacia

  • @lizzienjeri3672
    @lizzienjeri3672 3 месяца назад +1

    Waaooh finally nice song congratulations guys 👏👏👏 am blessed 🙏🙏🙏🙏

  • @PtahRonnie
    @PtahRonnie 3 месяца назад

    This is on another level.... Waaaah 🎉🎉❤❤❤Annastacia has done it
    Congratulations 🎉🎉... With Mark miller 🎉🎉

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  3 месяца назад +25

    NDOA NI UPENDO LYRICS.
    Utangulizi: Tazama sura yangu inavyopendeza, tazama vazi langu, linavutia sana.
    Ni Mungu amejaza, pendo ndani yetu. Ni mungu amefanya leo tuungane.
    CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni.
    Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda.
    1. Ni mimi nimetoka, ubavuni mwako, nipende siku zote, nilinde siku zote.
    CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni.
    Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda.
    2. ⁠Mwenyezi Mungu ailinde, ailinde ndoa yetu, ibarikiwe siku zote, maishani mwetu
    CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni.
    Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda.

    • @ScolasticaWali
      @ScolasticaWali 3 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤

    • @ScolasticaWali
      @ScolasticaWali 3 месяца назад

      The massage of the song the best ever 💓💓 nmeipenda bure

    • @emmyandrew
      @emmyandrew 3 месяца назад

      Najiskia kama ni harusi yangu leo, wimbo mtamu sana, baraka tele na Mungu aendelee kukuongezea hekima maarifa upendo na ulinzi na mengine mengi kila siku. Twakupenda pia.❤

  • @FunnyAquariumFish-ih3in
    @FunnyAquariumFish-ih3in 3 месяца назад +1

    Anastazia muema dada yng napenda KAZI zako zote nzuri nyimbo sauti na ujumbe nzuri pamoja na vidz zako zote nzuri mungu azidi kukutiya nguvu na afya njema utuinjilishe zaidi chakula Cha kiroho neno la mungu

  • @HavilaWanyonyi
    @HavilaWanyonyi Месяц назад +1

    I just love you girl freely😊❤ keep going🎉 catholic FOREVER catholic to the WORLD🥳

  • @LucyKinyua-yd8bx
    @LucyKinyua-yd8bx 3 месяца назад +1

    What a nice song, I can't stop playing all day long. May God bless you abundantly, my mind and soul is happy for you

  • @obsidian_Ke
    @obsidian_Ke 3 месяца назад

    Another great entertainment production in honour of the holy matrimony. Nice one; well crafted, inspiring and captivating experience. 👌👏🎉🫡

  • @veronicahkanini-v2n
    @veronicahkanini-v2n 3 месяца назад +1

    Beautiful song❤, beautiful voice❤, beautiful couple❤ beautiful complement beautiful collabo❤, beautiful spirit❤beautiful production❤ selfless inclusivity❤ eiiiishhh yawah mrembo wetu si umewezaa🎉🎉
    Thankyou for preaching to the whole world the true meaning of Love through this amazing song.
    Much blessings to you Anastacia and your team ❤❤❤

  • @mutaivincent4809
    @mutaivincent4809 3 месяца назад +1

    Very excellent production. Video imekubalika Wimbo nzuri

  • @annenjogu7196
    @annenjogu7196 3 месяца назад

    So lovely! Irresistible! You nailed it girl ! 🎉🎉

  • @dianakemuntoogeto5437
    @dianakemuntoogeto5437 3 месяца назад +2

    Hongera our queen of Catholic music kwa kazi nzuri ❤❤

  • @benchadzutsa6509
    @benchadzutsa6509 3 месяца назад +1

    What an amazing production this is keeping us on our toes dancing to these wonderful produced Gospel tunes Anastacia Muema.

  • @AgapiuKinyua
    @AgapiuKinyua 2 месяца назад +1

    Utamu too.❤❤ Tena anatia ushangi too mwema to
    1

  • @benedictaoshoa5254
    @benedictaoshoa5254 3 месяца назад +2

    Kuna kuimba halafu Kuna kinanda🙌🙌hongera sana dear Anastacia Muema.
    Nyimbo zako zinanibriki sanaa dear..Mungu azidi kukuinua❤

  • @ClarisMurunga
    @ClarisMurunga 3 месяца назад +2

    ❤❤❤more blessings 🥳🎉 nami huu wimbo lazima niuimbe siku ya harusi yangu

  • @perpetualkatendesammy9739
    @perpetualkatendesammy9739 3 месяца назад +1

    Nice one Ann 🎉🎉🎉🎉🎉Endelea kueneza injili Yake Mungu kupitia uimbaji

  • @lucymutiso4838
    @lucymutiso4838 3 месяца назад

    So wonderful song...how I love your songs!!may God continue blessing u

  • @thepebrisfamilygracedbless6668
    @thepebrisfamilygracedbless6668 3 месяца назад +7

    Moto mkubwa kama kawa.. Hongera sana Dada Yetu Miss Anne. Hii ni Zawadi kuu sana kwa wanadoa woooote❤❤❤❤

    • @EdwinNyabera-c3d
      @EdwinNyabera-c3d 3 месяца назад

      l
      ruclips.net/video/BiRHlYKHd-4/видео.htmlsi=RhCKk0R3JDU59Zlc

  • @corneliusmusau
    @corneliusmusau 3 месяца назад

    Wow woW,Kazi nzuri sana Ann,Congratulations💯❤

  • @FilbertChiza
    @FilbertChiza 3 месяца назад +2

    Nimebarikiwa sana hakika wimbo huu unanifanya nivunje ukimya, mwakani tukijaliwa nitavunja ukimya

  • @michaelwambua3911
    @michaelwambua3911 3 месяца назад +1

    Nimetizama mara kadha wa kadha. Wimbo mzuri sana. Sauti ya kupendeza pia. Kitu shwari....❤🎉❤🎉

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 3 месяца назад +1

    WOW 😲 this is extremely beautiful 🎉. I truly appreciate your effort Anastasia Muema. Mola akubariki milele

  • @ferdinandnando4
    @ferdinandnando4 3 месяца назад +1

    Hii nyimbo imeweza saana 💯🎉. Congratulations Anastacia muema ❤

  • @msstella118
    @msstella118 3 месяца назад +2

    ❤ Nice wedding song.....Bravo Anastacia.....mahali Lawrence Kameja yuko ,is a must watch n listen 😊

  • @samsonmuigu2961
    @samsonmuigu2961 3 месяца назад

    Hongera.Wimbo mzuri.🎉🎉

  • @jamesmboyi30
    @jamesmboyi30 3 месяца назад

    Hongera sana dada Anastacia kwa kazi nzuri na kubwa sana.Mungu aendelee kukutumia kama chombo cha kumtangaza kwa njia ya nyimbo aili watu wajifunze kupitia ujumbe na wabarikiwe pia ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sylvia430
    @sylvia430 3 месяца назад +1

    Congratulations Ann🎉🎉😍hii nayo inakaa real wedding weeeh, happy for you ❤ beautiful song indeed 🥰🥰

  • @aaronkoech841
    @aaronkoech841 3 месяца назад +2

    Always the best....God bless you 💝

  • @michaelimmanuelkemboi7920
    @michaelimmanuelkemboi7920 3 месяца назад

    Eeeish 🎉 this is a milestone achieved ...Keep moving Ann ❤ Wanandoa Sasa wakualike....you need to perform this one of the fine wedding 💍 this year 😊

  • @dominicguchuramaina6829
    @dominicguchuramaina6829 3 месяца назад

    Eeeeii this is sweet yawaaa 👌🏽🔥 mapenzi ni tamu kweli 🤣🤣
    Congratulations dada for such a great piece 👏🏽🎉

  • @sisterslove1651
    @sisterslove1651 3 месяца назад +2

    Anastacia leads as others follows the best ❤ congratulations

  • @JoyceSyombuaFrancis
    @JoyceSyombuaFrancis 3 месяца назад +1

    Finally. Moto kama pasi. Congratulations Ann

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  3 месяца назад +1

      Thankyou so much🙏🙏😊😊❤️❤️

  • @Amina-OT
    @Amina-OT 3 месяца назад

    Woooow🎉🎉Hii nayo ni moto 🔥🔥 Congratulations ❤❤❤❤

  • @celestinemutindi7634
    @celestinemutindi7634 3 месяца назад

    This is so beautiful and colorful...imependeza👌👌♥️♥️
    I love everything about the song❤️❤️🔥🔥

  • @MonicaMbitheMusic
    @MonicaMbitheMusic 3 месяца назад

    Congratulations Ann♥️♥️This is beautiful ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @elizabethnduku9146
    @elizabethnduku9146 3 месяца назад

    Nice song ..hongera sana Ann🎉🎉🎉🎉

  • @nancymbithe5736
    @nancymbithe5736 3 месяца назад +2

    Alilililiiii🥳😘What a professional music!.Have loved it🤗🥰May God bless you abundantly.🙏

  • @catherinekathini3874
    @catherinekathini3874 3 месяца назад +4

    Congratulations 🎉🎉
    Mercy pale Nzeluni Girls, can't forget you gal, dancing so good😊

    • @MaryRobert-c8j
      @MaryRobert-c8j 3 месяца назад

      Yaan nilijua huyo ndo mmeo dada Anna jamn lakn syo mbaya hongera sana kwakaz nzur tuliisubil kwahamu

  • @cherotichfransiscah1322
    @cherotichfransiscah1322 3 месяца назад +1

    This so nice, the love of being catholic ❤❤

  • @agnesnelima2861
    @agnesnelima2861 3 месяца назад

    Wooooooooow❤❤❤❤❤ congratulations on this big beautiful masterpiece ❤❤🎉

  • @ezekielgeorge9977
    @ezekielgeorge9977 3 месяца назад

    Kazi nzri sana hongera sister muema👏👏

  • @ANTHONYNGUI-dk2mv
    @ANTHONYNGUI-dk2mv 3 месяца назад +1

    Wimbo mwema saana 🎉🎉🎉 congratulations,,,,,,,Mungu azidi kukujalia neema uendeleee na uinjilishaji,,,,,,,,sadakta

  • @ArnoldShirima-n5y
    @ArnoldShirima-n5y 3 месяца назад +4

    Dear Anastacia, congratulations for this inspirational song that promotes matrimonial sacramental union in family life. May God bless you and your family.

  • @MercyNyambu
    @MercyNyambu 3 месяца назад

    Wow nice song dear, congratulations Ann.
    The outfit is so beautiful 💕💕💕💕.
    Continue serving God in singing.
    Thank you for the release.

  • @EdnahOtieno
    @EdnahOtieno 3 месяца назад +1

    Kazi nzuri mpendwa.... Baraka tu natamka kwako siku zote🙌

  • @veronicarita5891
    @veronicarita5891 3 месяца назад +2

    Finally ....wooow
    Congratulations 🎉Ann may the lord bless you always❤

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  3 месяца назад +1

      Thankyou so much. God bless you too❤️❤️

  • @mukaimaithya170
    @mukaimaithya170 3 месяца назад +1

    It's so amazing song wow I like it can't wait keeping watching the video wow wow heko muema

  • @Hadassah2731
    @Hadassah2731 3 месяца назад +1

    Wow! This is amazing. Next year is my year

  • @angelakibowen4526
    @angelakibowen4526 3 месяца назад +3

    Wow ❤ I am in love with this production ❤. Congratulations 🎉 our queen.

  • @stellamwikali5681
    @stellamwikali5681 3 месяца назад

    Our able gal has done it again,more blessings and congratulatioos,song iko sawa kabisa

  • @jamesmutura8434
    @jamesmutura8434 3 месяца назад

    Kazi safi Ann, May God continue support through this ministry ❤

  • @SerahWambua-tr1os
    @SerahWambua-tr1os 3 месяца назад +1

    Wedding song of the year , congratulations darling go go 🎉🥳🥳🔥🔥🔥👏👏❤️❤️👑our own queen the bestest

  • @jacklinekathini4105
    @jacklinekathini4105 3 месяца назад

    Waoh❤❤so lovely dear... congratulations and keep up 👏🥰🥰🌹🌹

  • @lizmwesh7061
    @lizmwesh7061 3 месяца назад

    Congratulations Ann.....a nice one❤.. keep it up

  • @Caro-w4e
    @Caro-w4e 3 месяца назад +1

    Aririririri💃💃💃💃💃 lm happy for you my sister 👏👏

  • @bintilwova
    @bintilwova 3 месяца назад

    Always a blessing listening and watching your songs. A day never passes. This is great and the message in the song is very important to all in marriage. It's such a talent how you do it to bring up evangelization through singing. tunakupenda Ana🥰🥰

  • @josephmutemi9940
    @josephmutemi9940 3 месяца назад +1

    Awesome comrade....it's a blessing to listen to this

  • @eunicebebgal
    @eunicebebgal 3 месяца назад +2

    This is Exceptional girlie🤩 and looks incredibly authentic.

  • @PurityWambui-d7i
    @PurityWambui-d7i 3 месяца назад +1

    Wow congrats Anastacia 🎉👏 love the song Iko 🔥🔥🔥

  • @alfoncemutuku2659
    @alfoncemutuku2659 Месяц назад +2

    Wimbo mtamuuu sana wa ndoa,,,, upendo upendo kongole sana Annastacia

  • @LovenaAwuor-iy1mo
    @LovenaAwuor-iy1mo 3 месяца назад

    ❤❤❤ wimbo tamu sana ya harusi,ubarikiwe sana Anastasia

  • @AnnLoko-td7te
    @AnnLoko-td7te 3 месяца назад +3

    Woow my namesake umeweza...song tamu sana, nimeipenda sana❤❤

    • @EdwinNyabera-c3d
      @EdwinNyabera-c3d 3 месяца назад

      l
      ruclips.net/video/BiRHlYKHd-4/видео.htmlsi=RhCKk0R3JDU59Zlc

  • @gabie4715
    @gabie4715 3 месяца назад +1

    There we go❤🎉. What a wonderful song. ❤❤.thank you Annie

  • @hopemwangudzah1775
    @hopemwangudzah1775 3 месяца назад

    A lovely song it is, I like the way you have invested in your shoot. You are talented, keep blessing us with your voice.

  • @SautiTamu
    @SautiTamu 3 месяца назад +4

    Ni kazi nzuri sana
    Hongera sana🎉🎉🎉🎉