WAKRISTO WAGADHIBISHWA NA MANENO YA ASKOFU NA WAKADAI NI MPINGA KRISTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 120

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 года назад +1

    Mashaallah ustadh yahaya mangu awape kheri waelekezeni wakiristo hata wao hawaelewani du 🙏

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 года назад

    Shukran sheikh yahya waeleweshe mpaka kieleweke,mwaka huu wakiristo wamo kwenye upotovu

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 5 лет назад +3

    Mashaallah🇹🇿 kutoka tz tunawapata vzr

  • @hassanmradi153
    @hassanmradi153 4 года назад +3

    YA ALLAH tuongoze ss waislam kwa amri zako na wezo wako na akuna apaswae kuabudiwa kwa haki ipokuwa ww ALLAH wetu na Muhamad (S.A.W) nimjumbe wako

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад

      Amiin

  • @musasaanane2758
    @musasaanane2758 3 года назад

    Nakupenda she Wangu mungu akubariki Na familia yako endelea kuanyosha wakristo kwamana hawajui kitu

  • @salimamry9432
    @salimamry9432 4 года назад

    Maa Shaa Allah sheikh Yahya unatumia hikma katika kuwaelimisha. Jazzaka Allah anna khair

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 4 года назад +1

    Wanaudhu billahi min dhaalik...Yaani Mungu Muumba wetu anapashwa tohara.
    Istaghfirullah ,Mungu awaongoze wakristo

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 года назад

    Mashaallah wisilam yahaya kazi unayo na hawa ndungu nzetu wagum kuelewa usichoke kuwaelekeza mngu atawafanyia wepess insha'Allah 🙏

  • @halidiyasin7485
    @halidiyasin7485 5 лет назад +7

    Shukran kwa elim mnayotupatia waumin wenu

  • @asiriyaaljabriy434
    @asiriyaaljabriy434 5 лет назад +1

    Mashaallah mola akubariki

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад +1

    Allah awalipen kher fidunia wali akhera masheikh wetu wote awastri na kila mabala

  • @alidanger5663
    @alidanger5663 5 лет назад +1

    ALLAHU AKDAR MASHA ALLAH ALHAMDULILLAH , Allah Bless you all my dear brothers & sisters stay Humble

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 лет назад +1

    Mashaa Allah sheikh yhy

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 лет назад +10

    Sheikh Yahya watanyooka tu hao wakristo

    • @rehemabukuku4823
      @rehemabukuku4823 5 лет назад

      Samantha Ali usiongee hvo hata mkristo ni binadam kama wewe tafadhal uwe na hofu tena futa hayo maneno machafu .kwan nyie nabii issa mnayemwita si ndo yesu

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 5 лет назад

      @@rehemabukuku4823 nimecheka hii reply yako. Kwani kaongea baya gani hapo? 🤣🤣🤣

    • @ameenaameena3324
      @ameenaameena3324 5 лет назад +1

      @@nohatredbutlove5786 😃😃😃😃😃😃Na mimi na shangaa maana hakuna nino mbaya hapo eti afute 😃

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 года назад

    Allah awaongoze hawa wakristo wapo gizani

  • @WendoJuma
    @WendoJuma 5 лет назад +7

    Masha_Allah

    • @abdallahnkurunziza231
      @abdallahnkurunziza231 5 лет назад

      Mansha Allah Allah awafanyie wepesi kwakila jambo enyi masheikh na maustadh yahya Issa yusuph wambugu namsomaji mzur saana mwaligi Allah ajalie pepo kabra hamjafa mnaojitahidi nyoote kuelimisha hao ndug zetu Allah awape mwisho mwema Amiin

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад

      @@abdallahnkurunziza231 Amiin

  • @najmasalimsalim2741
    @najmasalimsalim2741 5 лет назад +15

    Jamani nashkuru kuzaliwa katika uislamu

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 3 года назад

    Wakiristo wanachekesha kwel duhh nashkur mungu kuzaliw nikiw muislam

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 5 лет назад +4

    hiii yao imezidi maji kwa unga makufuru yanazidi katika fikra zao auuuuch ..hii dini ipakuliwe kwa sahani watu waimalizie once hawana cha kuwanasua maskini wa MUNGU

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 5 лет назад +1

    MashaAllah..

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 5 лет назад +3

    Hahahha.. Eid Mubarak brother yahya. Nyoosha watu kwenye njia ya haki. Allah bareek bro

  • @omaratik2778
    @omaratik2778 5 лет назад +1

    Mashallah Aleik sheikh yahya simbaaaaa

  • @mamual-ismaily7599
    @mamual-ismaily7599 4 года назад

    ماشاءاللہ😍

  • @aivanimaedard6314
    @aivanimaedard6314 5 лет назад +3

    Hakika siku za mwisho zimewadia

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 лет назад +1

    Alhamdulilah Allah atuongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na moto 🤲 shukran

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад

      Amiin

  • @BURHANDAWAHMAN
    @BURHANDAWAHMAN 5 лет назад

    Sh.Yahya wapendeza sana.
    Endelea kuwafunza.

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 лет назад +2

    mashaAllah

  • @mohammedabdillahi8675
    @mohammedabdillahi8675 5 лет назад +1

    MashaAllah

  • @sir-hillsir-hilldj4642
    @sir-hillsir-hilldj4642 4 года назад

    Kitu imenishangaza ni wakati anasema tukana kanisa muranga,kericho na mombasa kwani ni biashera

  • @mirajiselehe1764
    @mirajiselehe1764 5 лет назад +3

    Ulitakiwa uonyeshe hata mistari mitano iliyokosewa kisha uelezee usahihi wake ukoje. Lakini ndugu asikofu unaongea tu ni maoni yako tu.

  • @jafaryahmad4224
    @jafaryahmad4224 4 года назад

    uislam is the best ever

  • @zenaabdala2776
    @zenaabdala2776 5 лет назад +1

    allwah akbar

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 года назад

    Allah Akbar

  • @mamaboys2558
    @mamaboys2558 5 лет назад

    MUNGU nimmoja watu watalipa siku y kiama kutangaza yesu n MUNGU....

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 лет назад +2

    Ukristu ni kituo ca kutengeneza umarufu

    • @hp3202
      @hp3202 5 лет назад

      Si tu kutengeneza umaarufu Bali pia kutengeneza utajiri

    • @abbaimran4122
      @abbaimran4122 4 года назад +1

      Ni Shirika la Biashara

  • @alfanaansuperdayaxdalnursh811
    @alfanaansuperdayaxdalnursh811 5 лет назад +1

    kweli hii ni Leo ama kitaambo hii dawaa

  • @danielmahela2436
    @danielmahela2436 4 года назад

    Ndugu zangu waislamu cha ajabu kipi kama alivyo vaa mwili alikula, alilala, alichoka maana ndio sifa ya mwili huu wa damu na nyama basi pia alipaswa tohara yesu(Mungu) Au hamjui kuwa mungu aweza fanya lolote kwa ajili ya mwanadamu mbona CC wanadamu wenye dhambi tunajitoa sana kwa ajili ya watoto wetu hata kufanya kazi zinazoweza sababisha mauti mfano ujambazi, kwenda vitani, kuzama chini migodini ,Je mungu atashindwa kuvaa mwili ili atuokoe na moto Wa mille ? Au cc ni wema sana kuliko mungu tunavyojitoa kwa watoto wetu ? Basi tambua mungu alivaa mwili akuokoe wewe unaesoma ujumbe huu 1timotheo 3:16

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 года назад +4

      #DanielMahela ....Hahahaaaa....Na waliowapa Imani hiyo walijua ‘ Ndio maana wakawategea hapo kwamba ALIVAA MWILI ili muwe fifty fifty...!...Lkn kikubwa mnayapa kisogo maandiko...!
      Yesu anasema HAKUNA ALIYEWAHI KUMUONA MUNGU WALA KUSIKIA SAUTI YAKE...!...Sasa kama HAKUNA aliyemuona MUNGU ‘ Mbona Yesu alionekana..?...Kwa hiyo mnamshuhudia Yesu UONGO...!..Na tunaamini Yesu alikuwa Nabii wa MUNGU hawezi kuongea uongo..!
      Lakini pia anasema MUNGU HANA KIVULI WALA MWILI WA KUBADILIKABADILIKA...!..Sasa ww unapojiaminisha Eti MUNGU alivaa mwili akachoka’ au akapigwa ‘ MUNGU hana muda wala sababu ya kufanya Hayo’ ...
      Yaani Atungwe Mimba tumboni Mwa mariam’ ANYONYE....AJINYEE...ATAHIRIWE...AKAMATWE....APIGWE....AULIWE....AFUFUKE’ yote Hayo Kwa ajili ya Binaadam kupata WOKOVU’ kazi hiyo MUNGU hafanyi...!
      UNAPOTEA NDUGU...!....KASOME...!
      MUNGU NI ROHO hawezi kuonekana ...!

    • @AshuraSalum
      @AshuraSalum 4 года назад

      Haukijuh ukisemacho,et alivaa mwili

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 3 года назад

    ISLAM 🙏 💪

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 лет назад

    Mungu anakula anaenda choo analala saazingine kupotea wazazi yan kafa na kufufuka sikitiko kubwa

    • @hp3202
      @hp3202 5 лет назад

      Msiba mkubwa huu Hawa wakristo hawana akili hata kidogo yaani Mungu Ana mama!! Dah mtihani sana

  • @swalehkiuga167
    @swalehkiuga167 5 лет назад +5

    Hii ukristo ni yakutafutia pesatu

  • @alhajjwaupewaupe1736
    @alhajjwaupewaupe1736 4 года назад

    Wakristo hawana elimu na bibilia yao

  • @shikaneno8861
    @shikaneno8861 5 лет назад

    Wote mmekosa ufahamu mmekosa na hekima pia

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣wanachekesha wakiristo

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 лет назад

    wakaangeee kwa mafuta yao

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 лет назад

    Gerishon awe akibeba hiyo original Hebrew bible ndo watu wamuelewe.

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад

    😁

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 5 лет назад

    Huyu jamaa ni mkiristo au muislamu nauliza

  • @princesssalmahtz4531
    @princesssalmahtz4531 5 лет назад +2

    Wakrit hawajielew Mara yes alikufa Mara hakufaa yaani wanajing'ata ng'ata tu

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад

    Lnk wamelimana kweli

  • @mwanashazingas3977
    @mwanashazingas3977 5 лет назад

    Askofu wa analilia sadaka 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 5 лет назад

    Mbona mnajidanganye wenyewe hakuna lugha ya imrania hamna elimu ya lugha ibrania ni ukoo wa nabii ibrahim na huyo ibrahim alikuwa mkurdi wa itaq na biblia imeandikwa na warumi injili iliandikwa na wayahudi kwa lugha ya kiyahudi sio ibrania wakristo hamna uhakika wa jambo lolote mnadanganywa na wachungaji

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 5 лет назад

    Waislamu hovyo hamjui hata kuchambua biblia. Quran yenyewe hamuijui. Mnaokota watu barabaran ambao hawajui hata kanisa mnajizolea nao maujiko.

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 5 лет назад +1

      Nenda wewe na viongozi wako mkajibu hoja kama mnawaweza waislamu maana hakuna mkristo anaenua anamuabudu nani mnadanganywa na wachungaji wadio na elimu ya mungu wanajiita mitume manabii mnaitwa kondoo mnakubali kuna kondoo mwenye akili jahannamu inawangoja kama hamtoacha kuabudu wafu yesu alikufa tena kwa. Kuuwawa na watu ati ndie mungu

    • @gerkombo6512
      @gerkombo6512 5 лет назад

      @@godisgreat1845 sawa bhana nyie endeleeni na allah akbar yenu.

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад

      @@gerkombo6512 ALLAH akuongoze ktk njia ilionyooka kabla umauti haujakufika nasi ALLAH atutie iman Thabit ktk nafsi zetu na atulinde na ukafir atuongoze ktk haki

  • @michaelalfonce6340
    @michaelalfonce6340 5 лет назад

    Believe Jesus first then you will understand his words,actually your interpretation completely wrong i advise stop misleading people as you will pay on it and even devil who used you to plant his worst words will refuse you during judgment day,my advise better you find other job to do rather than being agent of devil.

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 лет назад +4

      Everything is crystal clear, Jesus not God , he would have told us I'm God and worship me. But he didn't

    • @chidzore
      @chidzore 5 лет назад +2

      Who is misleading here?Usitishie watu eti they "will pay" , this is a constructive debate. Mr Odare speaks Hebrew and he is a theologian. so he knows what he is saying.Besides, all what is said here is based on the Bible. For anyone to believe that Jesus died, they have first to disagree with the point that Jesus is God. and I know no christian will accept this. so you're now caught in the middle. so either he died (so he is not God) or he didn't die (he's God)-which one do you choose?

    • @jashisham6280
      @jashisham6280 5 лет назад +1

      Jesus he didnt die and he is not GOD he is a Prophet

    • @chidzore
      @chidzore 5 лет назад

      @@jashisham6280 hata mi najua hivyo brother.huu ni mtego nimeutega.

    • @maryjosphat1005
      @maryjosphat1005 5 лет назад

      In my view Jesus and isa is not the same person same as God of Christian is not the same God of Islam Muslim need to tell as who is this God the always talk about where is he

  • @somaliabdirisaq6094
    @somaliabdirisaq6094 4 года назад +1

    Masha Allah