Yusuf daktari wa ndacha shekhe wetu mungu akuongeze umri uzidi kueneza dini yamungu pamoja na professor said mwirigi tunawapenda sanaa kwa Ajili ya Allah.
Maashallah Masheikh wetu..!...Qur’aan imesema kweli kabisa kwamba wanaosema Yesu kafa WAMEKHITILAFIANA (hawana ukweli)......Na walimu wa kikristo hawajaziongelea khitilafu hizo..! Siku nyingine mkisimama walimu wa kikristo kwenye maada kama hii mtuambie hizo tofauti zina ukweli upi..? Lkn Kiukweli wenye Masikio wamesikia...! ......Yesu Hakufa ‘ ..Kwa Mujibu wa maandiko..!
Ina Lilahi Waina Ilahi Rajiun, hawa waubiri wanawapotesha wanzao kwa sana ila yote wanafanya hivo kama biashara iliwaendeleze mmbo yao ila ukweli wanaujuwa ni Islam masheikh wetu kwa kweli Allah awatangulize In Sha Allah kwa kazi ya kueneza dini ya Islam
Safi sana Amir yusufu... jamani waislamu kazi ambayo hawa mashekhe wanafanya ni kubwa mno, tujitolee kuwasaidia kifedha ili dini ya Allah isonge mbele.. mashekhe wamejitolea kuitetea dini ya mungu wamewacha familia zao ,kazi zao na shuguli zao kwa ajili ya kuitangaza Lailaha ila lah Muhammad rasulu lah kazi hii hawawezi kuifanya wenyewe wanatuhitaji sana. Jamani tujitokezeni kwa wingi tutoe mchango wetu mwenye chochote atume ujumbe kwa amir yusufu kupitia number zake za simu za wosup hapo chini kwenye video. Jazakalahu kheira. Allah atujalie pepo inshaAllah.
Mnaofuata dhana tu, ni waislamu. Sio wakristo, biblia ipo wazi kwa kila mtu. Unasoma unaelewa ujumbe ulio ndani. Hicho kitabu kingine cha kulia kushoto. Hata hakieleweki. Ndio maana hata wewe hupendi kukisoma. Unapenda biblia.
hawa mapastor kwa nini wanazunguka wakihubiri uongo?na kwa nini biblia haisemi ukweli? mara yesu alibeba msalaba mwenyewe mpaka golgotha mara alibebewa na mwengine mpaka golgotha sasa tuamini lipi?UISILAMU NI DINI YA MWENYEZI MUNGU YA KWELI NA YA HAKI maana haichanganyi watu kama biblia inavyo wachanganya wakristo.Hongera sheikh Yusuf na mwenzako Said kwa kazi mnayoifanya ya kuelimisha watu ALLAH awajazie kheri inshaallah
Ndacha kumbe kuna mungu alisema atamua isa sasa kumbe kuna mmungu vp mnasema yesu ni mungu nyiyi hamueleweki unasema ni mmungu alie sema mmntakufisha na ntakunyayua basi kweli kuna mungu na isa si mungu ni na bi kumbe alifishwa na mmungu
MashaaAllah masheikh zetu, Aahhhh kijana Ndacha amekuwa kama tumbili ambaye siku zake za kufa kila kitagaa ashikacho kinateleza maanake huna aya unazoweza kujitetea kabisa za kimsingi😆
Wamekubali yesu kafa ila quruqni inasema hawajamsulubu wala kunua ajuae mmungu alimbadilisha au alimpaisha kumbe mm7ngu yupo alie mpaisha bada ya kumuomba msada
Yusuph utadanganya wasio chunguza maandiko na ukweli wake maandiko yako wazi tatizo hatuyasomi nakuchunguza kile Mungu anachosema nakingine tunakuwa wagumu kulitii neno la Mungu Waislamu na Wakristo wa jumapili hakuna tofauti wote wameshika mapokeo ya watu kuliko neno la Mungu kwasababu maandiko yako wazi yanaelekeza ibada siku ya sabato jumamosi lakini watu wameshikilia mapokeo ya watu na uongo mwingi wote wanakwambia ibada ya sabato jumamosi ni ya Waisraeli huo ni uongo wa kishetani Mungu atusaidie sote tulitii neno lake
Wewe ndacha unawazimu wa mchana ayani ujielewi unacho kisoma unatapatapa nakuhurumia wewe ndie wakwanza jahannam coz unapoteza watu wengi sanaa wasio jielewa kama weye...
Unaeza jiuliza kijana mdogo wa miaka 9 anajua qurani lakini kijana wa miaka 24 wa kikiristo haujui Hadi mwanzo katika biblia😂😂alafu unawaskia wakicheka dacha akiwapigia kelele kisichokua na maana Jameni someni kitabu cheni Unajua wanawake wafai kuhubiri mbele ya wanaume (1 Corinthians 14:34-35 jifunze hapo kitu)
Waislam njooni kwa MASIHI YESU ndo dini (njia)ya uzima wa milele.acha kumswalia mtume Mohammed,nyinyi mna utukufu gani wa kumswalia? Njo kwa YESU muombezi wetu ,wewe ukimuona PR ndacha ,onyango na Omar kibavu unafikiri wanafundisha yariyo yao? Hao wanaongozwa na ROHO mtakatifu ,maana imeandikwa nyinyi si wa ulimwengu huu ,ulimwengu hauwezi kuwatambua.ndo maana hamuaelewi ,hao kiboko yenu.
Yusuf daktari wa ndacha shekhe wetu mungu akuongeze umri uzidi kueneza dini yamungu pamoja na professor said mwirigi tunawapenda sanaa kwa Ajili ya Allah.
Amin sote
yusuf mungu akujalie mafundisho yako yanafanya napenda uisilamu
Amin sote
Waa... Mashekhe wetu Allah awape mema hapa duniani na kesho Akhera awape zaidi na akili zenyu awape akili ya smaku ya kutosahau
Amin sote
Yusufu ulikuwa mujinga sana
Maashallah Masheikh wetu..!...Qur’aan imesema kweli kabisa kwamba wanaosema Yesu kafa WAMEKHITILAFIANA (hawana ukweli)......Na walimu wa kikristo hawajaziongelea khitilafu hizo..!
Siku nyingine mkisimama walimu wa kikristo kwenye maada kama hii mtuambie hizo tofauti zina ukweli upi..?
Lkn Kiukweli wenye Masikio wamesikia...!
......Yesu Hakufa ‘ ..Kwa Mujibu wa maandiko..!
Z
Masha Allah waelimishe Sheikh Yusuf warudi Kwa njia ya haki iliyo nyooka ambayo ni dini ya Uislamu.
Kweli Ukristo si dini
Maanshalah Sheikh Yussuf na said shukran ndacha na onyango mtatii tu mnajua haki ila mnajifumba macho,Allah huwa anamuongoza amtakae Allah yahdiik
Masha'Allah my Allah bless and reward you and your team the great work on dawah and preaching insha'Allah
Amin sote
MashaAllah Fatabarakallah dini zidni kuluu ijii Muslim in world INSHALLAH
Inshallah
Masha Allah yani kazi nzito muifanyayo
Insha Allah , Allah awafanyie wepesi kwa kila palipo na uzito
Amin
Allahumma amiin
@@ukhtysakinaa7664 Ameen
@@faridabakari8511 thumma amiin
MashaAllah Allah awasaidie
Anaitwa shekh yusuf Allah akuweke inshallah MASHALLAH wewe ndio shindano ya Ndacha imeingia
Amin sote, Alhamudulillah
Asalam alykum www sheikh Yesufu kwakazi nzuri kuwafundisha haki
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
Kiboko ya Dasha Sheikh Yussuf
وَعَلَيْكُم السَّلَام وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ،،،،،،ماشاءاللہ
Ndacha wallah usiposilimu, utchomwa moto wa jahannam ukifa na imani ya ukafiri.Nakusikitikia sana.
Ndach anajua uislam ni nini but anapoteza wakristo mbaya sana Allah amuonyeshe njia
KWELI mwalim wa kiisilam umefundisha kwamifano vizuri Ila HUYO wa kikiristo anajibu kiujanjaujanja kashindwa kutetea bibilia
Ole wao wakristo wametekwa akili hata kufuata mjadala kwa yakini waelewe maskini nikuchekekeshwa kijinga tu kumbe wadanganywa .
MashaAllah Laquwwata ila Bilah. Allah awajaalie wepesi mashekh wetu Amiin .
Amin
MashaAllah Mungu amzidishie neema
Amin sote
May God add you more power to do His work 🙏🙏🙏🙏
Masha'Allah
Wafunzeni hao jama si wao wamepoteya
Mashaallah allah awazidishie umri yaaarab muzidi kuwaelimisha
Masha Allah mungu azidi kukuongoza Ssheikh wetu
Amin sote
Ya Allah ya Allah..huyo ndacha anawapoteza watu subhanallah
Haijatokea wala haitotokea wakristo kujibu hoja za waislam
Ina Lilahi Waina Ilahi Rajiun, hawa waubiri wanawapotesha wanzao kwa sana ila yote wanafanya hivo kama biashara iliwaendeleze mmbo yao ila ukweli wanaujuwa ni Islam masheikh wetu kwa kweli Allah awatangulize In Sha Allah kwa kazi ya kueneza dini ya Islam
Amin sote
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Biidhini Allah
Ameen
Allahu akbar, Allahu akbar, Allahu akbar... Ya Allah rahisishia mashekhe wetu kazi ambayo wanafanya.
Amin sote
Sheikh yussuf kujeni Garissa wakamba na gikuyu ni wengi...
Inshaa-Allah
Ndacha. Ushindwe.
Allah barik
Mansha Allah
Wakiristo wanadanganywa na wachungaji
Safi sana Amir yusufu... jamani waislamu kazi ambayo hawa mashekhe wanafanya ni kubwa mno, tujitolee kuwasaidia kifedha ili dini ya Allah isonge mbele.. mashekhe wamejitolea kuitetea dini ya mungu wamewacha familia zao ,kazi zao na shuguli zao kwa ajili ya kuitangaza Lailaha ila lah Muhammad rasulu lah kazi hii hawawezi kuifanya wenyewe wanatuhitaji sana. Jamani tujitokezeni kwa wingi tutoe mchango wetu mwenye chochote atume ujumbe kwa amir yusufu kupitia number zake za simu za wosup hapo chini kwenye video. Jazakalahu kheira. Allah atujalie pepo inshaAllah.
Asaddikk swadakta
Sharifu Mustafa. InshaAllah
@@rehemaahamadiahmadi566 shukran
@@minaminaa1669 shukran
Absolutely...
Allah akupe nguvu kwa kazi yako nzuri ya La ilaha ila Allah.umechangamsha mada vuzuri MashaAllah.
Amin sote
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassappmashaallah mungu akuzidishie
Mashallah raha xana
Nimeamini kweli Waisilamu wanasema ukweli! Kumbe hawa wengine kina kutetea Biblia kumbe wanafuata dhana tu!
Kweli kabisa
Kusema uongo ndani ya uislamu ni ruhusa, Uongo ni kazi ya shetani, mtadanganywa mpaka mwisho. Ukweli upo kwa yesu kristo tu.
@@mwakajohn1819 Aati wasema nini mana uliporea angalia njia ya haki nayo ni uislam akuna yesu wala nini
@@AaAa-kr9nb umepata wapi uislamu ni njia ya haki? Toa andiko na mimi niwe muislam.
Mnaofuata dhana tu, ni waislamu. Sio wakristo, biblia ipo wazi kwa kila mtu. Unasoma unaelewa ujumbe ulio ndani. Hicho kitabu kingine cha kulia kushoto. Hata hakieleweki. Ndio maana hata wewe hupendi kukisoma. Unapenda biblia.
Nawapenda sheikh wafundishe wenzetu wamepotezwa sana
MashaAllah sheikh Allah akuzidishie elimu
Amin sote
hawa mapastor kwa nini wanazunguka wakihubiri uongo?na kwa nini biblia haisemi ukweli? mara yesu alibeba msalaba mwenyewe mpaka golgotha mara alibebewa na mwengine mpaka golgotha sasa tuamini lipi?UISILAMU NI DINI YA MWENYEZI MUNGU YA KWELI NA YA HAKI maana haichanganyi watu kama biblia inavyo wachanganya wakristo.Hongera sheikh Yusuf na mwenzako Said kwa kazi mnayoifanya ya kuelimisha watu ALLAH awajazie kheri inshaallah
Asante
Richard naona ww unaakil yakuchanganua haki na batil...Inshaallah akufungue zaid
@@moanamohammed1406 AMIN
Mungu.awazidishie.nguvu na.awafanyie.wepesi.majubu.muwe.niwenye.kushinda.waislam..Nadini.izidi.kusonga.mbele
Amin sote
Ndacha kumbe kuna mungu alisema atamua isa sasa kumbe kuna mmungu vp mnasema yesu ni mungu nyiyi hamueleweki unasema ni mmungu alie sema mmntakufisha na ntakunyayua basi kweli kuna mungu na isa si mungu ni na bi kumbe alifishwa na mmungu
MashaaAllah masheikh zetu, Aahhhh kijana Ndacha amekuwa kama tumbili ambaye siku zake za kufa kila kitagaa ashikacho kinateleza maanake huna aya unazoweza kujitetea kabisa za kimsingi😆
😁😁😁Walimu wa ndacha walisilimu Sasa amebaki kupiga kelele tu
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp anaona anabahatisha anafikiria watu wako sokoni wanacheza ile mchezo ya kula pata potea😂🤣
Pahari ndacha yuko ni mtihani
uyu dacha yani yuaona raha kufurahisha wa2 na kumuudhi allah subhaana allah
Subhanallah
Allah awazidishie umri wenye kheir Masheikh wetu
Amin sote
Na hao manaswara hawana akili yakuchanganua..Subhanallah Subhanallah
Mie kwa Yesu sitoki ng'o
kwa sababu ushapotea na ukipofu uoni haki iko wapi ela kweli dini ya kweli ni.uislam
@@AaAa-kr9nb siwezi kubali kupulizwa matako na kuishi na majini
Lakini ujue kuwa unachungulia dirishani humo katika hesabu ya.ke wewe wenzio Akina Paulo wenyeji wa motoni mathayo 19:28 nambie wewe uko wapi hapo
Wanamacho lakini hamuoni munamasikio lakini hamsikii hasara iliyoje ifikie motoni
Ukitoka unajua utakula wap
ustadh Yusuf mola akupe maisha marefu upate utangaze dini ya Allah yaani raha kwelikweli,nafurahi kuangalia video zako mola akulipe kheri.
Amin sote
Mashalla
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp shelh yusuph allah akuhifadh raha sana maan maandik hawayajui
NAWAPENDA SANA MASHEKH WETU
برك الله فيكم
all'hamdo lillah rabilaallamin yarabi....
Mashallah Yusuf Allah akupe shufa
Amin sote
Masha Allah shekhe wangu keep it up saraha
Thanks
mmefuraahi wakiristo Subiri mkawe kuni jitambuweni wachungaji wanakupotrzeni
Ndasha anapotosha sana manake hajui kujitetea kabisa
Baraka Allah fiikum
Amin
Allahumma amiin
Maashallah shekhe wetu
Thanks
Ina mana kumbe mmunhu yupo sio yesu yesu ni isa na bii wa mmungu
Allah awajalie kher...bila mfano hawaezi elewa
Amin sote
Mashekhe safi sana pigeni hao wagaratia hawana hoja
Tutawaelimisha taratibu
Waisilam waogo sana
Ushindwe
mashaAllah
Jezaka'Allahu kheir
Amin sote
Mashaallah
Wamekubali yesu kafa ila quruqni inasema hawajamsulubu wala kunua ajuae mmungu alimbadilisha au alimpaisha kumbe mm7ngu yupo alie mpaisha bada ya kumuomba msada
MASHALLAH
Mwalimu muongeze sindano bado ana maradhi
Victory belongs to Jesus
Oh yes. And Jesus is our musilim brother
Mashaa Allah Tabaraka Allah
Amin
Yesu alikufa msalaban kwaajili ya dhambi za ulimwengu na piah alifufuka mpaka leo yu hai na anadumu milele sijasikia kuwa mwamadi alikufa akafufuka
Wagaratia 6:5,yohana 8:21
Kama ni kweli hakuna haja kuenda kanisani kutubu dhambi lkn sio kweli kama amekupepea dhambi
Tangu yesu aondeke mpaka Leo usamehew dhambi mnaakili kwel
Yusuph utadanganya wasio chunguza maandiko na ukweli wake maandiko yako wazi tatizo hatuyasomi nakuchunguza kile Mungu anachosema nakingine tunakuwa wagumu kulitii neno la Mungu Waislamu na Wakristo wa jumapili hakuna tofauti wote wameshika mapokeo ya watu kuliko neno la Mungu kwasababu maandiko yako wazi yanaelekeza ibada siku ya sabato jumamosi lakini watu wameshikilia mapokeo ya watu na uongo mwingi wote wanakwambia ibada ya sabato jumamosi ni ya Waisraeli huo ni uongo wa kishetani Mungu atusaidie sote tulitii neno lake
Ndugu yangu toka kwa usabato utachomwa
Sabato ndiyo alama ya Mungu na iko kwenye amri zake kumi na amri ndizo zitakazotumika kutuhukumu unaanzaje kuikataa mtu wa Mungu
Kwa Yesu ni raha tu
Yusuf, kwa Andiko gani hiyo ati wasabato watachomwa?
@@Alichadeh Yusuf ni vionja tu na vichekesho
Ndacha😂🇹🇿 kichwa hamna kweli huyo
Waislamu hamna jipya Kaz kurukaruka
yusufu wambugu kiboko yao wape wape wakunywe au wateme watajaza wao
Kwa wenye hekima na wapenda ukweli wata amini Yesu ndie yote ndani ya yote na Mungu mkuu
MI yusufu siwezi mskiliza because Ana danganya watu
Nilingoja sana Yusufu atuonyeshe huyo Yesu bonoko anayedai ati alisulubiwa sikupata majibu
Wakorintho wa 1, 11 : 1-11
Mashaa Allah mashekh wetu kazi ni kubwa mnayo fanya Allah awaongoze n kila la kheri in shaa Allah
Amin sote
Sasa Yesu alisulubiwa na msalaba gani
We dont know anything about this fake Jesus
TUMSIFI YESU KRISTO
Nani amsifu yessu unamsifu mtu aliefanywa laana hm bora nisiwe na dini kuliko kumtegemea mtu
@@godisgreat1845 usiwe na dini Mara ngapi kwan hapo ulipo unadhan we una Dini
Wewe ndacha unawazimu wa mchana ayani ujielewi unacho kisoma unatapatapa nakuhurumia wewe ndie wakwanza jahannam coz unapoteza watu wengi sanaa wasio jielewa kama weye...
Yesu alikufa kweli msalabani alibeba dhambi za walimwenvu
Wagaratia 6:5
Yani abebeshw majanga yenu? Hahhh
Aki nyinyi ni wajinga wamwisho mungu afe! Duuuh mtihani uko kanisani kweli...
THE BIGGEST BOSS NASRI
Ama kweli Hawa wakristo hawalielewi hawafahamu wako hapo kucheka.
Ma Shaa Allah yusuf umewafunika
Sasa pastor anajitetea na quran 4:57..huoni hapo anakwepa
Mashallah
Ahmadia sio waislamu.
Kama yesu alivalishwa shanda mbona nyinyi mnavalishwa makoti mnapo zikana WHY
Ukweli bro hapo sasa
@@salimirungu3710 sio makot t, misalaba, SAA, dhahabu, miwani ,wenhin cm mpk charge? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ma sha Allah
Thanks
MashaAllah
Mapastor wanatapatapa kbsa imagne wanamasikio lkn hawasikii ht sheikh Yusuf anawafunza lkn wanafunga masikio
Msiba wajaluo Wana cheka na hawaelewi kiswahili Onyango na Ndacha ni warongo wakubwa wanawapoteza watu.
Mustafa M huyu ndacha anarudi Kisumu kila Mara na kupoteza Wat u na uwongo
kabisa.yani awajitambui
Wakristo,ushabiki si usahihi,fuateni nyayo yaani mafundisho na matendo yake mtume Yesu!
Unaeza jiuliza kijana mdogo wa miaka 9 anajua qurani lakini kijana wa miaka 24 wa kikiristo haujui Hadi mwanzo katika biblia😂😂alafu unawaskia wakicheka dacha akiwapigia kelele kisichokua na maana
Jameni someni kitabu cheni
Unajua wanawake wafai kuhubiri mbele ya wanaume (1 Corinthians 14:34-35 jifunze hapo kitu)
Hatari
Yani hata gamuaibiki kusifia msalimu wa uislamu anapigwa ten Neal lkn mnampea moyotu😂😂😂
Nyiyi wakristo hamuoni mnadanganywa unyango anasema alizaliwa na jufa hapo fikirieni mungu anazaliwa na kufa si ujinga huo
Napenda ukristo mpk kufa
1Wakolitho 15:18
Huuuu uongo wa Yusuph umezidi Mungu muongize na mubadilishe maana uweza niwako
Allah ameniongoza kwa dini ya uisilam Alhamudulillah, sihitaji dini za upotovu
Mashaa Allah tabarakah Allah
Amin
Live from Qatar (naimah
Ndacha kiboko yenu😁😁😂
Kabisa
Kabisaaa
@@ernestjohn872 Ndacha hana lolote yuawapotosha tu na kutafuta maisha yake na sio kua yuajua dini dini.ya hali ni uislam kiboko.yenu shekh yusuf
Waislam njooni kwa MASIHI YESU ndo dini (njia)ya uzima wa milele.acha kumswalia mtume Mohammed,nyinyi mna utukufu gani wa kumswalia? Njo kwa YESU muombezi wetu ,wewe ukimuona PR ndacha ,onyango na Omar kibavu unafikiri wanafundisha yariyo yao? Hao wanaongozwa na ROHO mtakatifu ,maana imeandikwa nyinyi si wa ulimwengu huu ,ulimwengu hauwezi kuwatambua.ndo maana hamuaelewi ,hao kiboko yenu.
@@ernestjohn872 khaa 😂😂yani nyny bwana hata yesu hamjui wallah
Huyu ni mjinga a metoka kwa maada na wajaluo hawajuwi kiswahili wanachaka kama ni comedy
Kuna mtu anasema yeye ni mtume Muhammad
Huyo anasema hivio razima ako na matatizo ya kiakili
Kama ibrahim alipo taka kumchinja mwanae akabadilishiwa kondoo kama ibrahim alipo unguzwa na moto akabadilishiwa uwe baridi