OTHMAN MAZINGE SAID KINYOGOLI...JE ALLAH NI NANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 301

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 4 года назад +7

    Allah Akbar,Allah Akbar,mungu moja aliyeziumba mbingu na aradhi ufalme wake wote ni wake,subhanallah aliyetukuka pekee yake

  • @halimanassor7309
    @halimanassor7309 3 года назад +4

    Mashallah mnafahamisha vizuri sana hao wakipinga wapinhe tu lakini ukweli unajukikana

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад +1

    Hiikazi ningumu Allah awalipekher dunian na akhera

  • @nazonahdi9993
    @nazonahdi9993 5 лет назад +8

    Subhanallah MA shekh wetu wadogo ila wamesoma sadaqta mungu awajahaliye kila la kheri wakiristo mnachuki biy nafsi

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 лет назад +7

    Mashallah mungu awabaliki san inshallah sote twende pepeni

  • @fahmimaalim2624
    @fahmimaalim2624 6 лет назад +5

    Sheikh masha Alllah fundisha wenye wanataka ukweli......Mungu akupe elimu zaidi

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 года назад +5

    Mashallah allah awabaliki san inshallah, ama akika wisilamu ni dini ya aki kutokana na mandiko.

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 года назад

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri MaShekhe wetu Allah awalipe kila la kheiri mnapigania dini yake

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ Год назад

    Ustsdh Said wallahi uko fiti❤❤❤❤❤

  • @maryammakhumo4015
    @maryammakhumo4015 8 лет назад +27

    mungu awabariki mashekh watu baraakllah fiik

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 года назад +1

    Poleni sana wa cristo ingawa akuna dini inaioitua cristo, munatakiwa kusema mumekufuru.

  • @nazonahdi9993
    @nazonahdi9993 5 лет назад +3

    Padri umechemsha maisha mwislam habadili dini kwajili tunasoma quran bado wadogo tunajuwa dini co km wakiristo wanadanganyika na mapadri

  • @mayasakitambwa4186
    @mayasakitambwa4186 6 лет назад +4

    walaaahi nimekapenda mashekhe wangu mpaka najivunia kuwa mwislamu 😍😍😍😍alhamdulllah

  • @behewameja5058
    @behewameja5058 5 лет назад +7

    Nampenda Saidi kinyogori halaf eti Mungu wa makafiri ni mpya sio wazamani halaf wale watu walio kuwepo zamani walikuwa hawana Mungu 😅😅😅😅😅 nacheka pia naumia wanavyo mtukana Allah na yeye ndo kila kitu duniani mpaka Akhenaten Asante Mungu najivunia kuwa muislam na namuomba anifishe muisilam Mungu wangu

  • @zainabmsuya2419
    @zainabmsuya2419 2 года назад

    Kweli mwenyezi mungu ni mmoja na mtume ni mja wa allaa

  • @sauzimikito8346
    @sauzimikito8346 4 года назад +1

    Pole sana suzana Hujitambui ndio maana

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 6 лет назад +5

    Jazakumllahu khairan ma shekh wetu.

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад

    Niko saudia maashallah mashekhe wetu

  • @hidayashaaban2625
    @hidayashaaban2625 7 лет назад +1

    Mashaa Allah mungu azidi kuwapa nguvu na afya njema mpate kuendeleza uislam Inshaa Allah

  • @mangulymanguly139
    @mangulymanguly139 3 года назад +1

    Yaani awa wakristo ata kujenga hoja awajui, Inna lilah wa ina ilaihi Rajiun

  • @shabirimohamedi5380
    @shabirimohamedi5380 2 года назад

    Kinyogori na mashekhe woote mungu awape afya njema amin

  • @mohammedbusaidi8505
    @mohammedbusaidi8505 7 лет назад +4

    wazamani ndio mumgu wa kwel sio mwengne bali ni allah hadhawajala ya allah waongoze waliopotea ktk njia ilionyoka ameeeen😢😢😢😢😢

    • @saidirashid9118
      @saidirashid9118 6 лет назад +1

      Mohammed Busaidi subhannnah Allah ni msiba aki

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 лет назад

      Mohammed Busaidi mh kama wa zamani huyo joka mwabuduni ninyi lkn wa kristo wanamtumaini Mungu ambaye ni yeye yule Jana Leo na milele, mana wa zamani atatupwa jehanam

  • @asmamohamefasma2307
    @asmamohamefasma2307 8 лет назад +8

    mashaallah Alla awaongezee umri mrefu ili mupata kutuelimishaa ishaallaah

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 лет назад +8

    inna lillah wainnaillah rajiun allah awasameh

  • @muhammedkinanda6960
    @muhammedkinanda6960 6 лет назад +4

    m/mungu awape mwisho mwema mashehe wote

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад

      Allah humma amin

  • @abdullahnassor9504
    @abdullahnassor9504 5 лет назад +5

    shkh said ni mrith wa mazinge

    • @amirmohamedali2484
      @amirmohamedali2484 4 года назад

      Kweli bro kinyogori ni kiboko lakini pia usimsahau sheikh shafi

  • @mgeniali1768
    @mgeniali1768 5 лет назад +3

    Innah hillah wainna lillah rajiunah mungu wanusuru yarrab mbona mijinga hayo makafiri

  • @mussagweje8731
    @mussagweje8731 5 лет назад +4

    Allah tupemema duniani na akhera nautukinge naazabjzamoto

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад

      Allah humma amin

  • @timabushuti2065
    @timabushuti2065 7 лет назад +1

    Mungu awape kheri duniani na hakheri

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 5 лет назад +1

    ... SubhaAllah...wallahi ni msiba mkubwa jamani huu.... Wakristo wamefungwa macho.

  • @mohammedbusaidi8505
    @mohammedbusaidi8505 7 лет назад

    hi we inaonesha huna hata akil aka unauliza allah nin nan unjuwa alie kuumba we unamjuwa nan pumbavu jinga we aliekupa pumzi n huwo ujaeuri wako n masauti yako unamjuwa nan jinga we amka ya allah waongoE ktk njia iliionyoka😢😢😢

  • @fatmayahya6100
    @fatmayahya6100 8 лет назад +10

    Masha Allah mwalim said

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 года назад

      1 Yohana 3:1
      Tazameni jinsi Baba alivyotupenda mno, hata tukaitwa watoto wa Mungu! Na hivyo ndivyo tulivyo. Watu wa ulimwengu hawatutambui kwa sababu hawakumjua Mungu. Wapendwa, sisi sasa tu wana wa Mungu. Tutakavyokuwa baadaye haijulikani bado, lakini tunajua kwamba Kristo atakapotokea, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo.

  • @beatricezacharia4313
    @beatricezacharia4313 5 лет назад +1

    Nashukuru sana wachungaji wangu mungu azidikuwatia nguvu mzidi kuwaelomisha hao

  • @sadasada1291
    @sadasada1291 6 лет назад +1

    subuhan nllaah shukran san mashekhe wote wakiislam

  • @lugendohussein103
    @lugendohussein103 5 лет назад +15

    Yesu alimsujudiwa bwana Mungu wake kama wafanyavyo waislamu lakini hakuna andiko yesu aliimba wala kupiga kelele makanisani

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 лет назад +9

    PETER CHUCHU mashaa Allah tuna kukaribisha katka dini ya kweri

    • @suzanamenamenswingahallelu198
      @suzanamenamenswingahallelu198 5 лет назад

      Mmmmm dini ipi??? Shame on you... funguwa Quran 3 vs 116 ..uone kama hiyo dini inaweza kumuingiza mtu katika Uzima wa milele mmmm someni vitabu vwenu vizuri ndugu yangu .then ndo uanze ku judge ....

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 5 лет назад

      @@suzanamenamenswingahallelu198 hiyo aya uliyoandika na kutaka isomwe, inasomeka kama ifuatavyo ..''hakika wale walio kufuru hazitawafaa kitu mali zao wala watoto wao mbele ya MWENYEZI MUNGU. Na hao ndio watu wa motoni humo watakaa milele.''

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 5 лет назад

      @@suzanamenamenswingahallelu198 aya uliyoitaka isomwe ndio hiyo hapo, nini hoja yako?

    • @suzanamenamenswingahallelu198
      @suzanamenamenswingahallelu198 5 лет назад

      @@king3-q1s AMA kweri nyie niwatu waongo kama vire mtume wenu alivyowafundisha kwamba unaweza kutumia uongo .Loh. ndo huu unaoutumia hapa du.. wapi umetowa hayo maneno ?? Plse read carefully dat verses .ambayo nimekutumia mimi...

    • @farhatrashid2063
      @farhatrashid2063 4 года назад

      @@suzanamenamenswingahallelu198 wht u mean when u say uzima Wa milele...

  • @allymakwasa8855
    @allymakwasa8855 5 лет назад +4

    Mweny enz mung hawaongeze ndug zetu waitambuae haki waachwe ushabik

  • @daudipaulo3576
    @daudipaulo3576 8 лет назад +12

    mashaallah majibu mazuri ya kiislam

    • @saidtamim8600
      @saidtamim8600 7 лет назад

      Daudi Paulo mashaallah tunakuribisha kwenye kalima ya laailahailallah muhammad rasuulullah

    • @suzanamenamenswingahallelu198
      @suzanamenamenswingahallelu198 5 лет назад +1

      Yapi hayo ??? Shame on you ... ngojeni Siku ya kiyama .ndipo hapo mtakakiri kwamba yesu ni mwanzo na mwisho. Kama alivyo kiri farauni na mwenzake ahabu .avyokuwa wakiabudu misanamu ..... ⭐🌙🌞

  • @harbisulub
    @harbisulub 8 лет назад +8

    jazaka Allah khair mashaAllah

  • @mwanamsipofu6043
    @mwanamsipofu6043 7 лет назад +10

    Nashukuru kuzaliwa muislam alamdhulilah

  • @mussagweje8731
    @mussagweje8731 5 лет назад +3

    Allah tupemema duniani,natupemema akhera na utulinde namakafiri

    • @Awatee
      @Awatee 3 года назад

      Amiin

  • @jeanpaulkwizera3216
    @jeanpaulkwizera3216 Год назад

    aaaa Uyu mu evangelist awo wahislam wata ku uwa aaa

  • @yesusimungu9084
    @yesusimungu9084 8 лет назад +10

    Shuq"ran Masheikh

  • @aishaaaa6987
    @aishaaaa6987 6 лет назад +3

    Wakristo poleni sana mnaonyesha kabisa mpo kwenye giza

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 лет назад

      AISHA Aaa wa kristo wapi nuruni kila mwenyewe jicho anatazama wa kristo na kusoma biblia mana wanaabudu Mungu asieshindwa, WANAJUA kuwa Mungu alieumba viumbe vyake hashindwi kujua lugha zao

    • @abedisalumu2295
      @abedisalumu2295 5 лет назад +1

      @@frankjohn8570 nakuona unavyo angaika kwakila comment yesu mwenyewe shetani kafa nalaana ya Allah

    • @mudkhamis3078
      @mudkhamis3078 5 лет назад +3

      @@abedisalumu2295 huyo jamaa anahangaika tu ngoja malakal maut anakapomjia ndipo atakapoanza kujuta

    • @farhatrashid2063
      @farhatrashid2063 4 года назад

      @@abedisalumu2295 hahahahhhh umeona eeee

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 4 года назад

      @@mudkhamis3078 nyie makafir ndo mtajuta sana

  • @binmungiadinininasahachane5888
    @binmungiadinininasahachane5888 4 года назад +1

    Waislam wamejaaliwa hekma sana

    • @najmaawadh1359
      @najmaawadh1359 2 года назад

      Allahu Akbar mungu ana mfafanulia kila aliye ntaka na kumbainishia ukweli shkuru ukiwa wajua kubainishiwa ukweli na haki alhamdullh hawa Namuomba mungu kma hawakubahatika kuwa waislamu natka nikawazomee motoni wallh na maneno Yao machafu wanapoteza watu

  • @obasisibao5086
    @obasisibao5086 7 лет назад +7

    Kinyogoli shafi mazinge nouma sana kkkkkkkk

  • @mwanashazinga9538
    @mwanashazinga9538 6 лет назад +7

    shekh saidi kinyagoli wanipunga vilivyo

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 8 лет назад +10

    MASHAA ALLAH

    • @godwinmwambande3208
      @godwinmwambande3208 7 лет назад

      Alima Alima yesu anaokoa

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 6 лет назад +2

      +Godwin Mwambande mbona kashindwa kujiokoa mwenyewe

    • @rashidkhamis9794
      @rashidkhamis9794 5 лет назад +1

      @@godwinmwambande3208 mbona kashindwa kujiokoa yeye halafu aje kuokoa nyie c ndo ugonjwa uwo

    • @farhatrashid2063
      @farhatrashid2063 4 года назад

      @@godwinmwambande3208 ujbu bs au vp

  • @kibibimwanamvuamohammadmoh9823
    @kibibimwanamvuamohammadmoh9823 8 лет назад +19

    Mtihani mkubwa jamaan yani mtu anamtukana Mwenyezi Mungu bla mwili kumsisimka, wafunzeni wakifuata ni kwa faida yao wenyewe na wakipuuza ni khasara yao. Ndio maana ufunguo wa rizki upo kwa Allah tu ungelkuwa kwa mja wake wallah wengi wangekosa rizki kwa 7bu ya uovu usiopimika. Allah awape subra walimu wetu na nguvu ya kuwashinda makafiri. Aamiyn

    • @othmanabdallah1948
      @othmanabdallah1948 7 лет назад

      Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad ameen

    • @godwinmwambande3208
      @godwinmwambande3208 7 лет назад

      Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad hatukanwi mugu gan anachangamana majini? mungu gan anayempenda shetan?

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 6 лет назад +2

      +Godwin Mwambande hata Mimi nashangaa yesu kamchagua SHETANI kuwa mwanafunzi 6:70 yohana

    • @hajimohamed9711
      @hajimohamed9711 4 года назад

      Godwin Mwambande mshazoea kudanganywa nyie namoto unawangojea kama amtomkubali mkubali mtume wa mwisho Muhammad wamwenyezi mungu ambae nikiongozi wamanabii wote ukijumlisha na yesu pia,unashindana naaliye kuumba tena unamkana,basi ujue kwake utarudi tu sababu ndo ulipotoka we mwana wa Adam,woe to you repent 😡

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 года назад

      @@hajimohamed9711 nabii wa mwishwo kwa nan?

  • @josephkamani2093
    @josephkamani2093 3 года назад

    Injili Tanzania yagonga ndipo hapa Kenya Francis Ndacha agonga ndipo mbalikiweni twaelewa mengi ya Mungu

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 года назад +1

    Wewe ni muanaadamu umepewa ubongo wakujijuwa mwenyewe na yaliyo tuzunguka ya malimwengu na kujuwa tutokako na tutakako regeya nakujihadhari na yaliyo tu sababisha kuwateremuswa hapa ulimuenguni
    Nawewe muanadamu una ubongo wakuweza kuinuza mambo yakumujuwa ALLAH ikiwa sisiwanadamu hatujijui kwanza ba nikama hivyo muna amuwa kuwa qatumishi wa ibilisi huyo anaye zunguza mwewe ndiyo ibilisi anajificha ndani ya kuchanga kuruani wewe ndiye i bilisi mwenyewe

  • @mariamkombo5325
    @mariamkombo5325 7 лет назад +6

    Allah akbaru!!Allah a waongo ze katika kutangaza karma ya laila hairaa uraa mohamedi raa surlaah

    • @amirmohamedali2484
      @amirmohamedali2484 4 года назад +1

      A Salam aleykum ndugu waisllamu tushukuruni sana Allah kutufanya waisllamu

  • @peterchuchu5395
    @peterchuchu5395 8 лет назад +36

    Nikweli alla anasema ukweli na ukristo ni ushabiki tu kwa ufatiliaji wa ngu nimeona wislaam ndo haki

    • @omarjogo4338
      @omarjogo4338 8 лет назад +1

      PETER CHUCHU umetisha

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 лет назад +2

      Tunawatakia kila hker duniani

    • @shuwehaharunaomariikwena233
      @shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад

      karibu ndugu yangu utongeneze akhera yaki

    • @godwinmwambande3208
      @godwinmwambande3208 7 лет назад

      PETER CHUCHU pole. sana hujui ulinenaro tatizo ufaham,

    • @shuwehaharunaomariikwena233
      @shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад

      Peter fanyia kazi Allah kashakuongoza umepata ufahamuusibabaike na maneno ya watu kwani wapo watu wao Allah kashapiga mihuri mioyo yao ndio maana unaona mtu anabishana na ukweli au yupo katika dini ya Allah lakini anafanya kinyume naasemayo usivunjike moyo ushaongozwa ndugu yangu

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 года назад

    Hii ivi hawajui kua mnawasaidia wasichomwe moto

  • @lugendohussein103
    @lugendohussein103 5 лет назад +5

    Biblia inathibitisha yesu kuingia msikitini na kuhubiri 17:17 matendo ya mitume lakini hakuna andiko yesu ameingia kanisani kwenye biblia bado tu

  • @RastaMpesa
    @RastaMpesa 3 года назад +2

    Mashaallah

  • @bakarimwakabebe9649
    @bakarimwakabebe9649 5 лет назад +7

    Kweli nyie wakristo mmekita katika Giza Totoro.. Allah awaongoze..mufe mkiwa waislam dini ya haki

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 лет назад

      Bakari Mwakabebe sema wa Kristo wapi juu sana huwafikii wala kuwaona si kama wapo gizani Bali ugiza wewe mana Kristo ni Nunu nanyi mmependa Giza mmemkataa

    • @bakarimwakabebe9649
      @bakarimwakabebe9649 3 года назад

      Hamtambui Kesho wala Amali za maisha ya kaburini .hayo ni mawaidha mnaipenda dunia sana .mnasoma na kuamini kupitia mahubiri yanayozongumzia maisha ya kawaida hapa duniani.hamuwezi kuziona kudura zake Allah.

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 3 года назад

      @@bakarimwakabebe9649 usishindane nao kaka hawa maana mwisho utapata dhambi ju utawatukana kwa hasira maana hawaelewi na sio wakueleweshwa

  • @mwanaishanassor377
    @mwanaishanassor377 8 лет назад +6

    MashaAllah Maalim Said

    • @abu_AZOZ
      @abu_AZOZ 8 лет назад +1

      mungu awabariki

  • @hadijahshabani2674
    @hadijahshabani2674 4 года назад

    Allah Akbar takibiriiiiiiiiiiii

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 года назад

    Waoga akifika mazinge watowa kwa mtandawo wanazima

  • @shortcut3816
    @shortcut3816 8 лет назад +10

    Wa Lahi Allah mwingi wa Rehema. jinsi hivi makafiri wanamtukana Allah , bási hawa wangekuwa wameungua wakageuka mikaa hadharani. bahati yao kuwa kajiita Al Rahman Al Rahim bila hivyo wangemjua bila kufungua mdomo.
    Biblia yao inatukana mitume, kinamtukana hata huyo wanamwabudu kama Muokozi wao yesu inamwita laana kafanywa laana kwa ajili yao. hiyo biblia pia inasema Mungu atanyolewa (Isaiah 7:20) hii ni wazi kuwasemea ukiristo si dini ya Mungu bali ni chama cha kupinga dini ya mwenyezi Mungu. kwani ingelikuwa kweli ni dini pasi wangefuata sheria 10 ambazo zimetajwa na mambo yote aliyokatazwa katika biblia wangefundishana hayo wanaona imeandikwa wasile nguruwe wao wanakula, imeandikwa wasinwe ulevi wao ndio wanakunwa kanisani ukiristo ni mali ya shetani ambae huenda kinyume na maagizo ya mitume.

  • @FF-gq2zt
    @FF-gq2zt 7 лет назад

    Mm naomba shehe mazinge aseme je yaruhusiwa kumramba mke uchi wake

  • @binmungiadinininasahachane5888
    @binmungiadinininasahachane5888 4 года назад

    Uelewa mdogo sana

  • @fatmayahya6100
    @fatmayahya6100 8 лет назад +5

    Inalillah waina ilayh rajiun

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 6 лет назад +9

    yaani kweli wakristo akili zenu zimefungwa kabissa,yaani maandiko mwayasoma lkn hata common sense hamna

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 4 года назад

      Na hayo majini yenu mtaaungu nyinyi

    • @bakarimwakabebe9649
      @bakarimwakabebe9649 3 года назад

      @@suzansuzanei1143ii ndio ukaidi wenu kwasababu mnaamini mahubiri ya mapadre wenu. Ni makosa kumuabudu au kumfuata mwanadamu..Nabii issa ni mtume ndani ya wale 25 na Muhammad ndio mtume wa Mwisho aliekuja kukamilisha dini..

  • @mwadawasaidi2304
    @mwadawasaidi2304 8 лет назад +11

    jamani mimi nashangaa wakristo ivi wariumbwa na yesu au ? mbona yesu mwenyewe kaumbwa na Allah amakweri wakristo mtaangamia katika moto usio zima da.

    • @godwinmwambande3208
      @godwinmwambande3208 7 лет назад

      Mwadawa Saidi endelea kuwashangaa ila jua neno moja tu Giza na nuru havichangamani !

    • @rashidkhamis9794
      @rashidkhamis9794 5 лет назад +4

      @@godwinmwambande3208 wewe kuona wapi mungu akazaliwa

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 4 года назад +2

      Watu ni wa ajabu jamani!! Eti wameumbwa na Yesu! Khaaaa msiba huu!

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 4 года назад

      @@fatmazullu4933 wewe kweli zuzu

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 4 года назад

      Majini ndo yaliyowatawala nyie

  • @munirayusra91
    @munirayusra91 8 лет назад +4

    Masha Allah

    • @godwinmwambande3208
      @godwinmwambande3208 7 лет назад

      Munira Yusra ah!ah! Allah ajawahi kuumba ata nyenyere masihara mmmh mungu wa ajabu kweli huyu

  • @BayuyuHussein
    @BayuyuHussein 8 месяцев назад

    ALLAHU AKBAR welcome to ISLAM

  • @assanshakur4743
    @assanshakur4743 8 лет назад +5

    shehetani#shetani

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 года назад +1

    Uisilam umeanza mwaka 600 hiyo ndiyo Mungu wa zamani au longolongo tu

    • @hassanabdalla2741
      @hassanabdalla2741 4 года назад

      Uislamu umeanza na Baba Adamu na sio mwaka 600. Mungu yupo tangu enzi na enzi wala hana mfano wa kitu chochote.

    • @amadimagadi2017
      @amadimagadi2017 3 года назад

      Wakristo mashabiki tu hawa hawajielewi

    • @zalhathasaid2060
      @zalhathasaid2060 3 года назад

      @@amadimagadi2017 hawajielew vo akili zimeganda na mikate ya mavi wanolishwa

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 3 года назад

    Lakumdinukum Waliyadin

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 года назад +1

    Lakini wakristo munajifunza kuelewa au kujifuraisha? Au kujifunza hili mupate kubishana?
    - Lakini ndio ulivio maskini, ila nasema tu mola awasamehe

  • @dacwatual-naasilaaallah8236
    @dacwatual-naasilaaallah8236 7 лет назад +3

    Allahu Akbar

  • @Bachirdjibril-jo2uk
    @Bachirdjibril-jo2uk 4 месяца назад

    Wallah

  • @sharifmuadham2454
    @sharifmuadham2454 6 лет назад +2

    Yaw ewe ndiounawapotosha Kweli.bro

  • @hamaschannel801
    @hamaschannel801 4 года назад +1

    MashaALAAH

  • @youtubeisyours6417
    @youtubeisyours6417 7 лет назад +2

    allahu akbar

  • @jackjoseph6345
    @jackjoseph6345 5 лет назад +2

    Ndivyo tunavyojidanganya eti unawezw ukawa mwizi na mzinifu lkn ukishahadia Siku yako ya kufa utaenda peponi sasa fanya hayo mambo ya kishetwani useme ukitaka kufa utashadia lkn wapi shahada aitatoka na utashindwa kuitaja sababu ya uchafu Allah atuifadhi walahi uIslam ndio dini ya haki aina Quran ya sasa wala ya zamani yote ni moja tu

    • @marcbanyankirubusa135
      @marcbanyankirubusa135 3 года назад

      Hata wislamu muutakas mukiwa mamilioni na mamilioni utabaki kuwa uongo museme kwakiasi gani, utabaki ni ucafu tu, hautaingia mbinguni ukipitia wislamu utaenda jikoni,sikukula cibisi kucomwa tu, lakini waislamu muna mdomo hamna masikio, wokovu unapitia masikioni yesu alisema walio waheli akasema heli mulio namasikio asikiae kuna walio namasikio hawasikii walio na maco hawaoni, waislamu niwale yesu alisema wanatembea lakini ni maiti wadani ni Watu hai lakini walisha kufa napfusi Zao zimekufazamani.

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 5 лет назад +2

    waislamu hamna siku mtakua na uadilifu mikelele tu ndio mnajua

    • @barakarama9541
      @barakarama9541 5 лет назад +2

      Wakiristo hamfi mana mmemuamini yesu

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 лет назад +1

      Davis Rotich lipi tumaini kwao walioambatani na walio hao mana ni heri mbwa alie hao kuliko simba aliekufa,imeandikwa

    • @husseinhaidhurojr5469
      @husseinhaidhurojr5469 5 лет назад +1

      Chuki binafx

    • @abedisalumu2295
      @abedisalumu2295 5 лет назад +1

      @@frankjohn8570 brother yesu wenu Yuko wapi ?

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 лет назад

      @@abedisalumu2295 YESU YUKO HAI NA HUKO MBINGUNI NA SIKU ATAKUJA KUHUKUMU ULIMWENGU SI WAISRAELI PEKEAO BORA KUFUATA SHERIA YAKE KULIKO KUDANGANYWA NA MAKAFIRI WASIOMJUA MUNGU AMBAO HAWAKUBATIZWA ,NA SIO WANAFUNZI WA YESU HALAFU WANAJIDAI WANAFUNDISHA NENO LA KWELI WAKATI HAKUNA MTI MBAYA WENYE KUZAA MATUNDA MAZURI

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 Год назад

    Yaani waislamu mmejaa matusi kwenye midomo yenu kweli hivi hio aya inayosema kua jehannam itadai watu Hadi Allah aweke mguu wake ndo iseme imetosha ni ya uongo ama ni ya kweli???sas kama mnatushawishi tusilimu tumfuate Allah na Allah ataingia jehannam kuna faida Gani na ww mwislamu unatutukana sis ni makafir tutasilimu vip na matusi hayoo

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 Год назад

    Nyinyi mfuateni tu Allah na sisi tuacheni tumfuate yesu na ukafiri wetu mwisho wa hayo yote tutajua ukweli ni upi ???

    • @khairatsuleiman4606
      @khairatsuleiman4606 Год назад

      Umekiri Ww kafiri
      Sasa kwann ubaki ktk kufuru usiifuate haki
      Iko Siku makafiri mutaijua haki Ila omba usife kuchelewa mpaka kufikiwa n'a umauti

    • @elizabethsidi5574
      @elizabethsidi5574 Год назад

      @@khairatsuleiman4606 mm nishaamua kuwa kafiri Hadi kiama kama kumfuata yesu ni ukafiri nitabaki tu kuwa kafiri hata usijisumbue kuniambia nimuache yesu .yesu ni njia kweli na uzima hakuna aendaye kwa mungu bila kupitia kwa yesu .

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 3 года назад

    Hawa wakirito hawasikii wakikatazwa wasichezee mavi wanachezea mikojo wakikatazwa wasichezee mikojo wanarejea yaleyale mavi hasa kama hawatak kuamin kama din ya haki ni uisilam ikiwa fika siku ndo watamjuwa mola wahaki kama ni yesu au allah

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 лет назад +5

    kumbe mnajua kwamb cfa ya mwenyez mungu ni uumbaj sas huyo yesu kaumba nn alaf yesu kazaliwa kama viumbe wengne muabudun mung mmoja tu kidogol waambie hao bado wapo kwny kiza

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 4 года назад

      Wasilamu wanafki wa kubwa nyie

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 4 года назад

      Mbona waarabu wenyewe wanakunywa atari

    • @zalhathasaid2060
      @zalhathasaid2060 3 года назад

      @@suzansuzanei1143 kwan wakristo nyie akili za mavi hamunywi na waarab n kabila tu usichachawe na rangi wala kiarab wapo makafir kma nyinyi mazombi

  • @alihaji1687
    @alihaji1687 5 лет назад

    HAFAHAMU HUYU ANAKASORO YA KUTOFAHAMU ANABIRUWA BIRUWA TU NDIO WAKRISTO WANAKUWA HAWAFAHAMU WANA BWAJA TU

  • @beatricezacharia4313
    @beatricezacharia4313 5 лет назад

    Najivunia kuwa mkristo waislam mungu awasaidie mumjue yesu mkombozi wa dunia

    • @mudkhamis3078
      @mudkhamis3078 5 лет назад +1

      Duu umepotea, pole sna!!!

    • @sauzimikito8346
      @sauzimikito8346 4 года назад

      Akusaidie wewe uujue ukweli uufate uingie kwenye uislam

    • @salmaomary6792
      @salmaomary6792 4 года назад +1

      Tatizo hawa wanasomewaga vifungu tu hawafafanuliwi wanawapa shida walimu wetu kuwaelewesha yan makafir wabish san

    • @sauzimikito8346
      @sauzimikito8346 4 года назад +2

      @@salmaomary6792 ndio Tatizo hilo Dadaangu wakiambiwa ukweli wachungaji watakula wapi

    • @hajimohamed9711
      @hajimohamed9711 4 года назад

      Sauzi mikito watakula wapi 😂 acha waendelee kuwalisha sababu ajira zimebana Tz,cha ajabu zaidi mapasta wengi matajiri kwanjia yakupoteza watu wakristo awana kitu kinachoitwa madrasa kama sisi waislam alhamdulillah sasa kwailo watapata tabu sana sababu awatailewa biblia inasema nn mpaka kufa kwao arafu wanamkana aliyewaumba basi wangoje siku watakaorudi kwa Allah najinsi atakavyowakataa siku yakihama sipati wallahi kama huo muhadhala ujawapa muongozi waipi nidini yakweli basi wagonjee adhabu ya allah na adhabu nikubwa ingawa wangejua

  • @lugendohussein103
    @lugendohussein103 5 лет назад +2

    Wakorinto wa kwanza sura ya 14 mstari wa 34-35 inakataa mwanamke kunena kanisani wakristo hao mnaowaita mama wachungaji amri yakunena kanisani wamepewa na nan?

  • @saumu702
    @saumu702 4 года назад

    Alhu akibaru

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 года назад +2

    Huja onge shekh toa maandiko yako ya aya zako Allah ninani ni Mungu au Shetani uzinzi ulevi pepo gani hiyo toa maandiko kama alivyotoa mtangulizi wako

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 5 лет назад

    Huyu kila akielezwa hailewi sijui nani anamueleza nani amueleza ..maana zinaa ni kwa wanadamu wote wasifanye lakin leo hata wakaelezewa hawaelewi maana swali moja anauliza mara 3

  • @daahirmaxamed9297
    @daahirmaxamed9297 3 года назад +1

    Mashaalah

  • @mudkhamis3078
    @mudkhamis3078 5 лет назад +3

    Yani km utaamua kueka ushabiki pembele ukaskilia asa pent za pande zote mbili na zinavojibiwa kwakila upande hakuna shaka asa ukweli utabaki pale kuwa hakuna dini ya kweli ispokuwa ni uislam

  • @lugendohussein103
    @lugendohussein103 5 лет назад +3

    "Eti yeye aniaminie mm hata kufa hata milele" Sasa mbona mnamuamini na mnauonja umauti? Acheni ushabiki ni muda wakumjua Mungu kwa uhakika na kwa yakini kwani Hatujui siku wala saa

    • @mtumeshaba1768
      @mtumeshaba1768 4 года назад

      LUGENDO HUSSEIN subscribe account yangu

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 4 года назад

      We maji kincwani elimu amna kazi ushilikina tu ndo umewajaa

    • @zalhathasaid2060
      @zalhathasaid2060 3 года назад

      @@suzansuzanei1143 mnakula mavi awooooo😀😀😀

  • @chrispinimpepo7447
    @chrispinimpepo7447 6 лет назад

    Duh fungu LA zinaaa tobhaa

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 года назад +2

    Soma maandiko huyo Allah ni nani? toa aya zako kama alivyo toa

  • @mokhaking2734
    @mokhaking2734 7 лет назад +3

    ati wakristo hawafi. 😂😂😂😂😂 mapasta waongo kweli

    • @godwinmwambande3208
      @godwinmwambande3208 7 лет назад +1

      Mokha King ufaham shidaa!!

    • @godwinmwambande3208
      @godwinmwambande3208 7 лет назад +1

      Mokha King laiti ungekuwa mfuas wa Yesu engeeelewa maana ya hayo maneno

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 лет назад

      Mokha King yani kumkataa YESU unakuwa mfu ungali unakula ugali na dini yako ndimana imeandikwa acha wafu wazike wafu wao

    • @mudkhamis3078
      @mudkhamis3078 5 лет назад +1

      @@godwinmwambande3208 wewe ndoufaham wako shida!!!

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 года назад

    Paulo soma 16 yohana

  • @rosemasoud4028
    @rosemasoud4028 3 года назад

    Tatizo liopopo waislamu hawana elimu ya roho hivyo kuelewa kwao ni shida hata kuraani inasema na mkiulizwa habari za roho semeni hatukupewa roho ni mambo yanayohusika na mola wetu wakrito wanaongozwa na roho

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 лет назад +12

    mung kaamrisha znaa wapi nyie mnakufur mnazd kumkaclisha allah ila jeur yenu yoote itaisha cku ambayo zilail atapochukua roho zenu

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 года назад

    Kumbuka ni wasilam ni walimu wanakurekebisha wewe ni mwanafunzi ujui bible yako mwenyewe ndiyo munaulenga uisilamu lkujirekebisha amini usiamini nyiyi niwanafnzi mungeyafundishakutoka zamani ikiwayesu yuko hai wewe ndiye ibilisi mwenyewe

  • @somoendege4677
    @somoendege4677 5 лет назад +4

    Huyo yesu mwenyewe aliewadanganya nyinyi yuko wap?