WAKRISTO WATATU WAMGEUKA ASKOFU NAKUMKANA HATHARANI....YESU HAJAUWAWA WALA KUSULUBIWA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 114

  • @aminasaid8311
    @aminasaid8311 5 лет назад +15

    Mashekh wetu Allah awazidishie afya na imani muendelee hivihivi

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 4 года назад +1

    Subhanallah...Alhamdulilllah kujaaliwa kua muislam...Allah awaongoze pia hawa wenzetu maana hawaelew..Masha Allah sheikh Yahya Allah atakulipen kher Inshaallah

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 5 лет назад +8

    Tatizo la wakristu maneno yao mengi huwa ni maneno wanayo towa kichwani mwao siyo maneno ya kutoka kwenye vitabu vya Mungu aliteremshiya ma nabi!!

  • @mejumaamwachirero7324
    @mejumaamwachirero7324 5 лет назад +24

    Wallah hawa watu wanamacho na hawaoni,wanamasikio lkn hawasikii na wanaakili lkn hawafikiri.

  • @DjmubaTechServices
    @DjmubaTechServices 5 лет назад +10

    #Shehe yahya huyu pastor akisilimu itakuwa raha sana... nimefatilia debate nying nimeona kuwa anakuwa anapinga vitu vingi vinavyofanywa au kuaminiwa na wakristo.... hiyo aya aliyotoa kuhusu nabii yunusi(yona) ni aya tosha kuwa yesu hakufa, wala hakufufuka.....Allah amuongozee inshallah...ana materials ambayo yanafaa kutumiwa....!!!!

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 года назад +1

    Huhuhuhu eeeti kiswahili cha zanzibar dini y haki n yakweli ya Allah awajalie waliopotea wote Allah awaonyoshe njia y haki

  • @babieslullabynurserysongs7448
    @babieslullabynurserysongs7448 5 лет назад +17

    Raha kuona wakristo wakilimana wao kwa wao

  • @aidarusabubakar5776
    @aidarusabubakar5776 5 лет назад +4

    Al Habib Uko Juuu..unawaeka chini Na kuwafundisha..Ama Kweli ww ni professor wa dawaaa..Allah izzidak Khyr.usitusahau kwa dua

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 года назад +1

    Maa Shaa Allah, Barikiwa Sheikh Wetu,Sasa Wenyewe Kwa Wenyewe hawaelewani.

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 5 лет назад +18

    Allah bareek sheikh yahya. Never give up. Allah will reward you in sha Allah ameen.

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 лет назад +1

      Allahuma Amin

    • @kitkatpleasesubscribe6720
      @kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад

      malic boy , My dear brother *PLEASE* watch my very important videos in my *Playlists* and
      a brotherly advice please my brother unsubscribe from haram channels

  • @AbdulAbdul-vp2np
    @AbdulAbdul-vp2np 5 лет назад +1

    Mashallah muhadhara poa sana Allah awazidishie kila la kheri sheikh wetu

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 5 лет назад +4

    ajaaabu sana leo mada imewashangaza walokua wakishangilia ..ALLAH awafahamishe...

  • @najmaheart952
    @najmaheart952 5 лет назад +2

    Kazi nzuri ma Shaa Allah

  • @issamohammed5728
    @issamohammed5728 5 лет назад +1

    Allah awabariq masheikh zetu kazi kubwa muifanyayo ALLAH awalinde kutokana namafasik wasio penda haki nakweli isemwe amin

  • @sakinayusuf5072
    @sakinayusuf5072 5 лет назад +3

    Mashallah Allah akulipe kheri shekhe wetu wape darsa hao

  • @japharynduko6139
    @japharynduko6139 5 лет назад +3

    kwa namna mnavyokaa pamoja tu unifanya mimi kuipenda kenya and i think nchi yenu inaupendo na Amani tele mbarikiwe sana wakenya nawapendaaaaaaaah

  • @achangomaitambae1229
    @achangomaitambae1229 5 лет назад +2

    JazakaAllah kher ya sheikh, inta Habibna ya sheikh

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 лет назад +8

    ustadhi yahay we no maa yani umetafuta kiwanja umewakusanya una wapambanisha mmh hishima kwako ustadhi

  • @mdududebst8933
    @mdududebst8933 5 лет назад +3

    Mchungaji mzuri Sana I appreciate all teachers

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 лет назад +7

    Subhana Allah

  • @japharynduko6139
    @japharynduko6139 5 лет назад +4

    sheikh yahya nakupenda sanaaa

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 5 лет назад +12

    Huyu atakuja kuwa sheikh mkubwa sana hapo kenya kadri siku zinavyokwenda

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 5 лет назад +5

    Asalam aleikum Sheh yahya ninaamini ipo cku huyu muizraeli mweusu utamsilimisha inshaala

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 лет назад +2

    Insha Allah kheri sheikh yahya

  • @swalehkiuga167
    @swalehkiuga167 5 лет назад +3

    Hii ni pale mnapokua katika imani isioeleweka imani ya mafumbo ili msiujue ukweli

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 лет назад +5

    mashaAllah

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 лет назад +10

    Asalam alykum ss huyu mchungaji yuko wapi maan simkristo wala si muislam. Allah muonyesha njia ya haki.

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 лет назад +1

    Huu ni msiba mkubwa innalillahi wainahillahi rajiun subhanah Allah yesu ni mungu

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 года назад +1

    Wallahi msiba!

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 5 лет назад +8

    Ukiristo ni dini ya kutunga ndio maana kila mmoja anajichanganya

    • @mdududebst8933
      @mdududebst8933 5 лет назад

      Fikiri kabra ya kuongea uisililamu ni dini iliyo tungwa pia na Mohammed what do you think about that

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 лет назад +2

      waambie pastor 😊Mwisho uwe Muislamu 😀

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 лет назад

      @@mdududebst8933 kwanza wapi katika bibilia ukiristo ni dini

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 5 лет назад +2

      @@minaminaa1669 wamechanganyikiwa hawa wakiristo

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 лет назад +1

      Yesu (Issa bin Maryam)alikua ni muizirail (muarab) sasa Rome (Italy) ilikuaje hata ikawa ndio makao makuu? Kwa nn yasiepo ktk nchi za kiarab? Hapa mm hua sipati jibu🤔

  • @MohamedHassan-tf3kn
    @MohamedHassan-tf3kn 5 лет назад +7

    MashaAllah mada nzuri lakini camera muirekebishe! !!

  • @banjatvofficial186
    @banjatvofficial186 5 лет назад +6

    Huyu mchungaji hajielewi kwa hio mtu ambae hakuwahi kufa ndio atakua Mungu so inamaana ENOCH NA ELIJAH ni Miungu tena Enoch na Elijah hawakuonja kabisa nyinyi mwasema yesu alionja mauti akayashinda mauti according to Christianity basi ikiwa kutokufa na kuchukuliwa juu mbinguni ndio kuna mfanya yesu awe Mungu basi kwa mujibu wenu pia Enoch na Elijah watakua Miungu SUBHANALLAH

  • @zainabuyusuf7730
    @zainabuyusuf7730 4 года назад

    Huyu pastor arudia arudia awambia watu waskie vizuri but yeye mwenyewe hajaskia vizuri wala hayuko makini,hapo andiko yasema yesu ni mwana wa adamu,kwani Mungu ni mwana wa adamu?????yesu Alilala,yesu alikula hizo sio sifa za Mungu,pastor karibu uislamu.

  • @evalineakuku590
    @evalineakuku590 5 лет назад +1

    Wee pastor haujui chenye unafunza.

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 4 года назад

    Yesu (Issa) ni Kiumbe si Mungu. Kutokufa kwa Yesu Masalabani haina maana kuwa Yesu hatokufa , ahad lopangiwa Yesu kufa bado haijafika (coz Yesu/Issa hajamaliza kazi alotumwa na Allah), Issa/ atarejea tena duniani (atarejeshwa na Allah) aje kuishi dunuani aoe, awaue Ngurue wote, ampige na kumuua Masiyh Dajjal (Mpinga Kristo kama wamiitavyo Wakristo) na baada ya hapo/ahadi yake yYesu ya kifo/kufa ikiwadia atakufa.kama wanavyokufa binAdam coz Yesu ni binAdam/mwana wa Adam.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 года назад

    Raha sana walahi wakiristo wanagombana wao wenyeye,picha hii inaonyesha wazi kua wao hawana dini ya kweli mapastor wanawapoteza

  • @kaymyter7988
    @kaymyter7988 4 года назад

    Sheikh yahya ndugu ningependa full video yote kama iko nielekeze tafadhali

  • @esthernyabuto3845
    @esthernyabuto3845 5 лет назад +2

    Hawajui bibilia

    • @khamisally5788
      @khamisally5788 5 лет назад

      Esther Nyabuto kafundishe wewe waijuwe

  • @ramadhanmussa6318
    @ramadhanmussa6318 5 лет назад +3

    Huyu pasta ukwel anajua Lin bado anasitasita kuifata haki

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 Год назад

    Huyu jamaa anatakiwa akutane na ndacha amnyoosheee😅

  • @haleemasulthan4894
    @haleemasulthan4894 5 лет назад

    ama kweli mme pigwa mihur hamtosikia japo mna maskio msiba kwenu

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 4 года назад

    Hivi huyo pastor kuna mtu anamuelewa kweli binafsi mimi simuelewi.

  • @nizobeatz90
    @nizobeatz90 5 лет назад +5

    Nlcho gundua wakrsto weng awaijui bibilia ndio mana wanapngana

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 лет назад

    Wanakanyagan dahh kweli kondoo waliopotea

  • @bibiali4113
    @bibiali4113 4 года назад

    Hawa wachuganji shda n pesa tu wala Hawana njegine kwn waufata haki pesa zaka Isa zabure hawatapata.... Na wajua kwenda moto I huwa unanunua moto mwenye we

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 4 года назад

    😀😀😀

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 лет назад

    Dr.Gerishon umechanganya watu.

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 года назад

    14:15 methali tosha

  • @mdududebst8933
    @mdududebst8933 5 лет назад

    Shee uyo mtumishi atakesha kutafuta verse

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 4 года назад

    Huyu naye ni miguna miguna shouting

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 4 года назад

    jangombeboys1999 God bless

  • @gwamakaallen5110
    @gwamakaallen5110 5 лет назад

    Waisilamu hawa watu ni wazee wa kukalili tu hawana lolote wanaangaika tu

  • @chekisiela
    @chekisiela 5 лет назад

    huyu pastor alisema kuwa ukiristo sio dini ni imani na leo anasema yesu hajafa.

  • @mwanashazingas3977
    @mwanashazingas3977 5 лет назад

    Askofu huyu mbishi kila siku

  • @esthernyabuto3845
    @esthernyabuto3845 5 лет назад

    Huyo asikofu anafundisha mafundisho ya kipagani

  • @mdududebst8933
    @mdududebst8933 5 лет назад +1

    Yesu ni mungu na alishinda mauti maandiko matakatifu Ndio maana mtume Mohammed mpaka Leo Bado yupo kaburini me nakupenda waisilamu mnnavyo jifunza about yesu

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 лет назад +3

      @@fatumamwalimu5765 kabsaa apo umenena

    • @mdududebst8933
      @mdududebst8933 5 лет назад +1

      Asante bi fatuma kwa somo zuri Sana but unajua swala LA mungu linaongozwa na imani na ndiomaana mtumishi anajaribu kuzungumzia kua bible iliyo tafsiliwa na warumi inamakosa kitu ambacho walimu wengi WA kikristo hawajui haya makosa .na bible imekilikua watakuja matapeli wachungaji WA uongo for real kila dini inamqdhaifu makubwa

    • @mdududebst8933
      @mdududebst8933 5 лет назад

      Japo kua hizi dini zinamapungufu Bado zinakili kua mungu ni mmoja mtume Mohammed na yesu mungu aliwaleta ili waweze kulete nano lake but me naswali kwann mnamuomba mungu kupitia Mohammed . And Kwan before yeye Hakuna mtume mwingine ?. Na jaman tunavyo jifunza tujaribu kumtanguliza mungu maana hatugombani

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 лет назад

      Mdudu de bst umesoma bibilia kweli? How many people's were raised a life to heaven according to the bible ? Were not Enoch and Elijah raised up to the heaven a life?

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 лет назад

      @@mdududebst8933 ukitaka kumfikia uhuru utaenda kwa kibaki ama matiangi akusaidie kumpata uhuru ?

  • @rakshanbilally-1341
    @rakshanbilally-1341 5 лет назад

    😂😂😂😂😂😂😂 poster gonna loose it ooo ..go n write composition o