Ma sha Allah Ust.Mazinge,Yusuf na Ust.Yahya kwa Kazi ya kheri na ina manufaa kwa Sisi waislamu pia Wakristo..nawahakikishia wameanza kuona mwangaza ya nuru
Ust.Yusuf nakumbuka mlikuwa Sololo 8 Months ago,ndugu yetu moja akaslimu.ningewaomba tena na tena mkuje hili mwajenge Imani ya Wakristo wachache wapate pia fursa ya kuepukana na Moto ya Jahanaam.Amiin
Mashallah masheikh wetu ALLAH awape umri mzidi kulingania dini yetu inshaallah nawapenda sana, nimecheka sheikh Yusuf akisema atoe ushahidi aokoke tena ataokota sadaka
@@kenyadawahtv90 ila shekh kwa kumuogopa mungu unaushaidi wowote kwenye qurani unasibitisha issa bi mariamu yupo hai maana kwenye qurani akuna sehemu akuna sehemu kwenye qurani yoyote inayosema yesu yupo hai
Nasubiri Part 2 in Shaa Allah...pastor Chaka waite wakristo wenzio wa SDA wakusaidie...SDA wajifanya wasomi na hata hawafahamu lolote katika dini ni kupayuka tu bila maandiko..wape elimu masheikh wetu...makanisa lazima zifungwe zote duniani hata freemason watasilimu in Shaa Allah. Naomba sheikh Yahya uwaalike pastor Ng'ang'a na pastor Awuor katika mihadhara zako maanake hawa wawili ndio wanaowapoteza wakristo wengi kwa tamaa za njaa zao. Muwaletee peupee wakristo waone uwongo na udhaifu wao.
@@njiliyawakatinw2751injili ipo ndani ya quran ...hili kaka joshua linajulikana kuwa ni agano la kale.....likini kwanini walikataa agano la kale ndio hapo utafauti wenu na wetu ukaja
Inshaallah Allah awafanyie wepesi kwakila jambo mzidi kutuelimisha hata ss kwani napata mafundo nilikuwa siyajui mengine lakini tokea nifatilie hii mijadala Wallah nimepata kujifunza mengi nami nawa fundisha wenzangu kupitia ninyi ma sheikh wetu
Tatizo la wahubiri wa nduze2 wakristo wajua ukweliuwapa lakina wanazidi kupoteza uwasoielewa.2tazidi kuwaombea ili watoke kwagiza away lete kwa nur ALLAH na nur ya ALLAH ni ISLAM
Mashekh umnakwama wapi nyie na wakati kwenye qurani nzima akuna aya yoyote inayosibitisha yesu yupo hai zaidi ya kufa nyie mnaimani gani mashekh mnashika njia za mayaudi akuna mtu yyte aliyeinuliwa na kiwili wili chake
Tawafu limetumika kwenye qurani mara nyingi kama kufa nyie mnapinga nini na yesu amekufa kama kweli mnaamini yesu ajafa toa aya yoyote inasibitisha yesu yupo hai
pande zote ni wapuuzi watupu, yesu harudi leo, kesho au kamwe. yesu kafa atafufuka siku ya kiama kama wengine. waislam wamejiingiza kwenye mashaka kama walivyo kuwa wakristo, wakati mwenyezi Mungu aliweka wazi jambo ili. Yesu (as) kafa, na HARUDI. hata kama UPENDI HIVYO. MIAKA 2000 IMESHAPITA NA MTANGOJA MPAKA KIAMA KIFIKE.
Kazi nzur maa shaa Allah
Allah awalipe kila lakheir masheikhe wetu
Allahuma Amin
Ma sha Allah Ust.Mazinge,Yusuf na Ust.Yahya kwa Kazi ya kheri na ina manufaa kwa Sisi waislamu pia Wakristo..nawahakikishia wameanza kuona mwangaza ya nuru
Shukran
Ust.Yusuf nakumbuka mlikuwa Sololo 8 Months ago,ndugu yetu moja akaslimu.ningewaomba tena na tena mkuje hili mwajenge Imani ya Wakristo wachache wapate pia fursa ya kuepukana na Moto ya Jahanaam.Amiin
Allah amnusuru awaifadhi masheikh wetu Allah awabariki Kwa Kazi mnao fanya
Allahuma Amin
Mashallah masheikh wetu ALLAH awape umri mzidi kulingania dini yetu inshaallah nawapenda sana, nimecheka sheikh Yusuf akisema atoe ushahidi aokoke tena ataokota sadaka
Masha Allah . Viboko ya masabato Ma Ustadh wetu Mola awalipe na Janatul Firdaus.
Allahuma Amin
Mashaallah napenda vyenye mnahojiana na kujadili kwa heshima na taadhima ...Allah atawalipa pepo
Shukrani wa limuzagu Allah awalipe kilalaheri
MashaAllah naipenda sana mihadhara ya dini Allah atupe umri sote yarabi mtufunze zaidi.
Allahuma Amin
MashaAllah mwenyezi Mungu amjalie kwa kazi nzuri mnayoifanya
Allahuma Amin
Kazi nzuri ,mnayoyafanya, Allah awalipe, maana si kazi nyepesi ,ila Mola, atawarahisishia, ili mpate kuwanusuru hao wakristo kutoka motoni
Allahuma Amin
Masha Allah, kazi nzuri, Allah awalipe kheir hapa duniani na kesho akhera Amiin Thumma Amiin, lakini sauti iko chini
Allahuma Amin
Allahuma Amin
Mashaallah tabarak allah
Shukran... Allah azidi wabariki kwa kazi munayofanya
Allahuma Amin
Masha Allah tabarakaAllah
MashaAllah
Masha Allah, Allah awalipe kheri mko vizuri ALLAH AWAHIFADHI
Allahuma Amin
""Maashaalllah mada nzuri, lakini sauti iko chini sana, Allah awalinde mashekh wetu na Awafungulie kheri zake
Allahuma Amin
MashaAllah, Allah awalipe mema peponi Masheikh wetu
Allahuma Amin
@@kenyadawahtv90 ila shekh kwa kumuogopa mungu unaushaidi wowote kwenye qurani unasibitisha issa bi mariamu yupo hai maana kwenye qurani akuna sehemu akuna sehemu kwenye qurani yoyote inayosema yesu yupo hai
Masha` Allah
Mashaallah tabarakallah
pastor hapo umepatana na miti auwezi chomoa
Chaka hayukombali na uislam Mungu amuonyeshehaqi in Sha Allah 🙏🙏
Allahuma Amin
Suleiman umepotea wapi ndugu tuma vitu vyako long time kaka mashaallah
Hallo mwalimu yahaya na Ostard Yusuf nafulaishwa na mafunisho yenu mazuri nawaombe dua kila siku Kwa Mola wetu
"HAIWEZEKANI,UGONJWA NIUMWE MIMI KISHA ILI NIPONE DAWA ANYWE YESU,..IMANI HII SIO SAHIHI"
Ma Shaa Allah
Austadi yahaya plz tunaomba tupate CD senu sikiwa full recoded
Zipo tuwasiliane
Nasubiri Part 2 in Shaa Allah...pastor Chaka waite wakristo wenzio wa SDA wakusaidie...SDA wajifanya wasomi na hata hawafahamu lolote katika dini ni kupayuka tu bila maandiko..wape elimu masheikh wetu...makanisa lazima zifungwe zote duniani hata freemason watasilimu in Shaa Allah. Naomba sheikh Yahya uwaalike pastor Ng'ang'a na pastor Awuor katika mihadhara zako maanake hawa wawili ndio wanaowapoteza wakristo wengi kwa tamaa za njaa zao. Muwaletee peupee wakristo waone uwongo na udhaifu wao.
InshaAllah part 2 itakua hewani leo usiku
Sasa mtasemaje eti yesu aje aoe Kisha afe??iyo iingii katika akili kabisa
@@njiliyawakatinw2751 ataoa na atakufa na kuzikwa .....na hii Mwenyezi Mungu amewwka kwa ajili nyinyi muamini kuwa hakuwa Mungu waka nwana
@@njiliyawakatinw2751injili ipo ndani ya quran ...hili kaka joshua linajulikana kuwa ni agano la kale.....likini kwanini walikataa agano la kale ndio hapo utafauti wenu na wetu ukaja
SUBHANAALLAH
Masha Allah mada nzuri mda mchache pastor yanamuingia vizuri na ameona ukweli tatazi akisilimu sadaka na fungulakumi atalipawapi ?
Tegea part 2
Inshaallah Allah awafanyie wepesi kwakila jambo mzidi kutuelimisha hata ss kwani napata mafundo nilikuwa siyajui mengine lakini tokea nifatilie hii mijadala Wallah nimepata kujifunza mengi nami nawa fundisha wenzangu kupitia ninyi ma sheikh wetu
Assalam Alaikum. Very solid answers from our sheikhs. When's the next part coming? I've been following this. Shukran.
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Masha Allah
Tabarakallah
Thanks broo
Tatizo la wahubiri wa nduze2 wakristo wajua ukweliuwapa lakina wanazidi kupoteza uwasoielewa.2tazidi kuwaombea ili watoke kwagiza away lete kwa nur ALLAH na nur ya ALLAH ni ISLAM
Safi sana
Muelimisheni kabisa huyo mwenye koti la bru make haelewi lolote huwa naona anaropoka tu
Naam ashapata ujumbe
Assalamu aleikum sheikh yahya hizo videos mbona hazikamiliki zafika nusu nusu
Wallahi. Was to ask the same.
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh ipo part 2,3,4, tutaziweka tegea InshaAllah.
A salaam alykum warahamatullah wabarakatuhu love u ma sheikh's live in uganda kasese district
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Mashaallah🇹🇿
Yusuf wataka ubatizwe uchukuwe sadaka kweli Yusuf mt Kenya damu
Asalmy alykm mie nahamini kweli yesu amekufa na kamwe awezi rudi
Pole
Mashetani rudini NYUMA. Acheni ujinga na unafiki. Acheni upotofu. Acheni ushenzi. Shetani ashidwe kwa jina kuu la Yesu!
Yesu aliumba nn duniani??? Ya Mungu mpe mungu nayesu mwache awe yesu
Masha Allah Shekh
Ilo swali angeulizwa ajib pastor ni yesu yupi alie uliwa akatundikwa au yupi alie kufia msalabani
Tegea part 2 maswali na majibu
Hapa elimu akuna kwa mashekh kwaiyo maada
Inalingana na matendo yako na roho yako kama ni safi au chafu wengine ndani ni chafu na inje ni safi so angalia roho na uzuri
Na yesu alisurubiwa ila akufa msalabani
Mashekh umnakwama wapi nyie na wakati kwenye qurani nzima akuna aya yoyote inayosibitisha yesu yupo hai zaidi ya kufa nyie mnaimani gani mashekh mnashika njia za mayaudi akuna mtu yyte aliyeinuliwa na kiwili wili chake
Tawafu limetumika kwenye qurani mara nyingi kama kufa nyie mnapinga nini na yesu amekufa kama kweli mnaamini yesu ajafa toa aya yoyote inasibitisha yesu yupo hai
pande zote ni wapuuzi watupu, yesu harudi leo, kesho au kamwe. yesu kafa atafufuka siku ya kiama kama wengine. waislam wamejiingiza kwenye mashaka kama walivyo kuwa wakristo, wakati mwenyezi Mungu aliweka wazi jambo ili. Yesu (as) kafa, na HARUDI. hata kama UPENDI HIVYO. MIAKA 2000 IMESHAPITA NA MTANGOJA MPAKA KIAMA KIFIKE.
wewe ndio mpuuzi sababu haueleweki umeshika tawi gan!
Faci babu kweli hujielewi kabisa na maan diko huyajui jitahidi kusoma utaujua ukweli tu