Jaman nipo ofisin nasikiliza hii nyinbo nasikia furaha moyoni mwangu baada ya kutamkiwa na mchumba wangu kuwa ameniacha lakin Leo baada kuanza kusikiliza hii nyimbo amenipigia Tena ananiuliza mama mkwe hajambo nasikia kulia jaman Mama maria anatenda miujiza❤😭😭😭
Naomba mama nisaidie kuniombea Roho ya nsMaha na Amani kwanza kwangu Binafsi Mimi ndugu zangu wote niwasamehe kwa yote Martha Simon Michael Marry Anjelina na Daud. Mwenye Enzi Mungu kwa maombezi ya mama Bikira Maria nijaliweoyo wa msamaha na Hawa ndugu zangu wajakiwe wote Roho ya msamaha amina
Nyimbo tamu kweli kabisa. Zanituliza moyo. Asante sana Mama kipenzi changu siku zote. Tafadhali niombee na familia yangu.Nalisifu jina lako tamu Ee Mama
Asante sana Mama Bikira Maria kwa maombezi yako ya daima. Yananipa faraja mimi pamoja na familia yangu na rafiki zangu. Asane mama yangu kipenzi sana!!!!!
Mama Maria mama mbombezi kwa wenye shida mbali mbali usiniache mwanao bondeni huku nina shida inayoitaji huruma yako usiniache mama mama muombee kea mwanao Yesu Kristo
Kazi nzuri ya uimbaji, imetulia na inabariki vyema. Hongera sana Valeriana, Mungu kwa maombezi ya Mama Maria akuimarishe na kuendelea kukubariki namna ambavyo ninabarikiwa hadi nasitisha ratiba nyingine nikisikilizia uimbaji uliotulia. 🙏
Mama Maria kwa maombezi Yako niombee Mimi ninayexhumiwa na ndugu Angu baadhi wao ni kuniona tu m Aya ,wewe na mwanao Yesu kristu mwajua yote kabisaa kuhusu Mimi Mungu Roho Mtakatifu nitakase naitJadike hasa mbele za watu wangu na wote wanaknizunguka
Mwenyezi Mungu kwa njia ya mwanao Yesu kristo Asante kwa maombezi Yako mama yatu Bikira maria uniombee katika makaribu haya naamini kuvuka katika yote na pia kuheshimu jina lakeama aniombee kwa Yesu anitie utaji na utisho kwa maombi na uovu wote nisiguswe na uovu na u hadi wa Dunia hii Yesu kristo unikonge na uovu wowote na mabaya yote kuanzia sasa niwe na Amani na uhuru kamili kiroho na.mwili kati ya mabaya na maonevu na madharau yasiyo lazima. Amina mama Maria uniombee
Hongera wote kwa uimbaji wenu 🎉🎉🎉🎉🎉
Tusali Rosario tupate Amani duniani côté.🎉🎉🎉
Moyo safi wa Maria, Moyo mwema wa Maria, Moyo wa Maria tuombe. wimbo unabariki sana. Asante.
Wow asanteni sana yaani Niko CHINI ya mti nikisikiliza na kuwaza nitaweza kumbembeleza Mama Maria KUPITIA nyimbo hizi ....be blessed
Asante sana mama,nikumbe mimi na familia yangu,na ma rafiki zangu ❤
Jaman nipo ofisin nasikiliza hii nyinbo nasikia furaha moyoni mwangu baada ya kutamkiwa na mchumba wangu kuwa ameniacha lakin Leo baada kuanza kusikiliza hii nyimbo amenipigia Tena ananiuliza mama mkwe hajambo nasikia kulia jaman Mama maria anatenda miujiza❤😭😭😭
Tumshukuru Mung.
Maria mamayangu naomba ulinzi who kwamaadui nilindie wtoto wangu wajukuu nzgu namaadui niy
Naomba mama nisaidie kuniombea Roho ya nsMaha na Amani kwanza kwangu Binafsi Mimi ndugu zangu wote niwasamehe kwa yote Martha Simon Michael Marry Anjelina na Daud.
Mwenye Enzi Mungu kwa maombezi ya mama Bikira Maria nijaliweoyo wa msamaha na Hawa ndugu zangu wajakiwe wote Roho ya msamaha
amina
❤❤❤❤asante sana mama maria tuombee sote kwa mwanao na maitaji yetu tushike mkono wakati wa maombi yaweze na kujibiwa eeh mama wetu
@@JulianaFahym Amina
Amina
Muujiza Leo baada ya kusikiliza hii nyimbo Mungu ahsante sana Mama maria❤❤
Mama mwenye huruma utuhurumie na utuombee kwa mwanao mpendwa sana
Maria Mtakatifu Mama wa Mungu Uniombee
Nyimbo tamu kweli kabisa. Zanituliza moyo. Asante sana Mama kipenzi changu siku zote. Tafadhali niombee na familia yangu.Nalisifu jina lako tamu Ee Mama
Jameni tusali rosali milele
Tumsifu Mama yetu Bikira Maria kupitia nyimbo zake tamu sana. Mama tuombee katika familia zetu na watoto wetu tushinde nguvu za shetani.
Mama Maria tuombe sisi wanao twakulilia sana
Asante sana mama Maria nikumbuke na familia yangu
Nyimbo hizo zapendesa sana na zinambariki sana God bless you 🙏
Amen. Tubarikiwe sote!
Merci kwako kwa nyimbo izi nzuri🙏 mama azidi tuombea uponyaji kwa mwana wake yesu kristu👌🏼💪🙏
Asantee sana mama bikira Maria nimeona matokeo baada ya kuskiliza huu wimbo
God bless the prayers and let them be a blessing to me and to my family during this opportunity and other families too.
Kila ninapotaka kusali Rosali uwanina amu ya kuskiza nyimbo za Mama yetu Bikira Maria
Mungu akubariki sana mama Valerian Simon🙏😘
Ambatana na sisimama yetu mpendwa tunakuhitaji katika maisha yetu❤❤
Amen. Tusali Rosali daima
Asante sana Mama Bikira Maria kwa maombezi yako ya daima. Yananipa faraja mimi pamoja na familia yangu na rafiki zangu. Asane mama yangu kipenzi sana!!!!!
Dada unatisha sana huwa nabarikiwabsana na nyimbo zako,naikumbuka pia ile tuwaombee wagonjwa mashairi yalijitosheleza mungu akutunze dada
Amina na amina
Mama Bikira Maria utuombee wanao
Nyimbo zenu ni sawa kbsa nawapenda Sana
Mama Maria mama mbombezi kwa wenye shida mbali mbali usiniache mwanao bondeni huku nina shida inayoitaji huruma yako usiniache mama mama muombee kea mwanao Yesu Kristo
😊Eee3e33e3eee33333eé😊e
Nyimbo nzuri sana za Mama wetu Bikira Maria. Uchaguzi mwema. Shukrani.
Hongera Sana dada hakuna kitu utaomba kwa Mama Bikira Maria ukose
Asante sana kwa Ku muimbiya maman yetu anatu ombeyaka Sisi wa toto wake Siku zote
Good songs God bless you 🙏🏽 thank you am blessed
Kazi nzuri mamy&Team.❤Am really proud and inspired by you..❤
Be blessed binti wa Yesu!
Amen🙏❤️
Kazi nzuri ya uimbaji, imetulia na inabariki vyema. Hongera sana Valeriana, Mungu kwa maombezi ya Mama Maria akuimarishe na kuendelea kukubariki namna ambavyo ninabarikiwa hadi nasitisha ratiba nyingine nikisikilizia uimbaji uliotulia. 🙏
Amina na amina!
Ninamsikiliza mpiga kinanda wako, naomba uniunganishe naye nimpe maua yake na bahasha ya khaki aiseee
@@israeldanda7789
Wimbo wa kwanza kinanda amepiga PETER PERFECT.
Mama Maria kwa maombezi Yako niombee Mimi ninayexhumiwa na ndugu Angu baadhi wao ni kuniona tu m Aya ,wewe na mwanao Yesu kristu mwajua yote kabisaa kuhusu Mimi Mungu Roho Mtakatifu nitakase naitJadike hasa mbele za watu wangu na wote wanaknizunguka
Wow this is really story of Catholic Church,, napendezwa Sana Sanaa napo sikiliza Nyimbo hizi za Bikira
Valeriana unatisha mama akubariki sana soma wa Mama yangu
@@rosekiwale8302 Amina "mwanangu" Hahaa
Mama bikira utuombee
Great and wonderful songs
Mwenyezi Mungu kwa njia ya mwanao Yesu kristo Asante kwa maombezi Yako mama yatu Bikira maria uniombee katika makaribu haya naamini kuvuka katika yote na pia kuheshimu jina lakeama aniombee kwa Yesu anitie utaji na utisho kwa maombi na uovu wote nisiguswe na uovu na u hadi wa Dunia hii Yesu kristo unikonge na uovu wowote na mabaya yote kuanzia sasa niwe na Amani na uhuru kamili kiroho na.mwili kati ya mabaya na maonevu na madharau yasiyo lazima. Amina mama Maria uniombee
Nyimbo za mama zina nbarik sana❤❤❤❤
Hallow my dear Vareliana TYK Mimi ndugu yako nakutafuta
Karibu Linda. Tafadhali Nikumbushe zaidi.
Tumuombe Mama Bikira Maria atusaidie
Nyimbo nzuri sana ya mama maria
Nimebarikiwa na hizi nyimbo za mama maria napenda ukatoliki wangu
Mzidi kubarikiwa
Moyo wa Maria utuombee
Nyimbo tamu sana zenye kuvutia.
Nyimbo za bikira maria zinanibariki sana
Nyimbo nzuri,twambarikiwa kabisa
Hongera nabarikiwa na nyimbo za mama
Nyimbo nzuri za kubariki.Pongezi sana.
Hongereni sana 😂😂
Amina
Lesson for the Day for me in T- WA US
Hongera kwa kazi nzuri dada angu....
Hongera sana🎉🎉🎉
Amen
Wimbo tamu
Asante sn mama maria
Nyimbo tamu 🔥 🔥
Mubarikiye sana kwa nyimbo
😢mama MAMA NIMAMA YETU UTUOMBEE
Mama utuombee wanao
Blessings 💞💞💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
Asant
Wanaovimba kama mimi hapa tujuane... dada itabidi tukae vizuri nishiriki kwenye wimbo hata mmoja hapo baadae
❤
Daktari ako wapi lamo coz uenda joy naye amenda kwa daktari wake avuruhe
Muujiza Leo baada ya kusikiliza hii nyimbo Mungu ahsante sana Mama maria❤❤