Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hongera Kwa kuinjirisha....... Mungu akubariki
Asante kwa Tafakari nzuri.Daima tuzidi kuwa Majasiri kwa kusameheana Ili kumshinda shetani🙏.
Mungu akujalie kipaji chako ktk utunzi wa nyimbo Takatifu udumu.
🙏🙏🙏Asante sana kwa tafakari hii Dada Valeriana, Hakika Jasiri Anasamehe
Hongera mama angu mungu azidi kukuimalisha zaidi kupitia msamaha mambo mengi hubadika
Hongera Mamy🎉❤
asante sana kwa nyimbo ubarikiwe sana Dada Valeriana
Mama endela ndani na nje ya nchi sambaza upendo daima mama ubarikiwe sana umetufunza kuajasili unpaosamehe
Asante sana Kwa kunipa moyo
Nimezidi kuelewa kusamehe ni muhimu ubarikiwe sana sana
Kwa kweli mtunzi umeinjilisha vilivyo . Huwa naguswa sana na nyimbo za kikatoliki, ila kwa hii collection nimepona moyo. Barikiwa sana.❤
Mungu azidi kukubariki sana
Dada kwa kweli wimbo huu wa mwisho umenigusa mimi nimewasamehe, barikiwa dada yangu. Naomba nota zake.
🎉
Duu nyimbo mziri
Thanks dada Valeria wimbo mzr huu
Umefanya poa sana mama Hongera sana hii imeenda Endelea kutubariki kwa Nyimbo nzuri kama hizo. Amen Amen Amen
Kumbe tumejifunza kutokana na na hizi nyimbo, maana unaposamehe ni ishara ya upendo. Yesu Meokozi alituachia upendo daima.
Hongera dada valeria Mungu aendelee kuwa ndani yako uinjilishe kwa roho na kweli❤❤❤
Amina na amina
Nyimbo nzuri heko sana.
Huu wimbo unaponya sanaaa mamy Mungu Akubariki sanaaaa
Tumshukuru Mungu mwema. Mbarikiwe kwa ushiriki wenu adhimu.
Ameeen dadake tuko pamoja
Hongera Kwa kuinjirisha....... Mungu akubariki
Asante kwa Tafakari nzuri.Daima tuzidi kuwa Majasiri kwa kusameheana Ili kumshinda shetani🙏.
Mungu akujalie kipaji chako ktk utunzi wa nyimbo Takatifu udumu.
🙏🙏🙏
Asante sana kwa tafakari hii Dada Valeriana, Hakika Jasiri Anasamehe