- Видео 272
- Просмотров 975 436
Valeriana Simon
Танзания
Добавлен 30 июл 2008
Видео
TUONGEZEE IMANI -Valeriana & Pro studios choir.Ft.Kwaya ya shirikisho B.Maria wa Mateso Msakuzi-DSM
Просмотров 2,4 тыс.14 дней назад
#music #gospelmusic #piano #song #kenyanews #radioshow #video #nyimbopendwazakikatoliki #choir #mormontarbenacle #ambassadorsofchristchoirrwanda #bwananikufananishenananicatholicsong @anastaciamuema @radiomariatanzania @tumainitelevision @Kmdkimanga @BernardMukasa @rajopro @KwayaYaMtSeciliaMakuburi @kmcarushacathedral @Asalimubashara
SALA YA KUMWOMBEA MWANAFUNZI SHULENI
Просмотров 62114 дней назад
Tuwakabidhi watoto wetu wanafunzi mikononi mwa Mungu Mwenyezi kwa njia ya sala. Sisi hatuwezi kuwa nao kila wakati, ila Mungu wetu anaweza. Tuwaombee bila kuchoka. #tanzania #litania #Kamugisha #Rozari #novena #mkatoliki #elimu #love #kilimanjaro #kenya #rwanda #kiswahili #gospelmusic #sala #mafungo #hija #music
Jinsi ya Kutupa au Kuteketeza Visakramenti vilivyochakaa
Просмотров 678Месяц назад
Visakramenti vinatusaidia kupokea vema Sakramenti Takatifu. #rozari #litania #Tanzania #Mayagaya #novena #mkatoliki
SALA KWA AJILI YA NCHI YETU
Просмотров 301Месяц назад
Kila mwananchi anawajibika kuombea taifa. Usipoombea nchi yako unakosea. basi tujijengee utaratibu wa kuombea nchi yetu kila siku. #tanzania #kilimanjaro
KRISTO ATAWALE || Alembaje || Mt. DON BOSCO ..KALOBE MBEYA
Просмотров 4222 месяца назад
Wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Mt. Don Bosco ya Kalobe Mbeya. Walikuwa na ziara kuinjilisha katika parokia ya Moyo Mtakatifu, Irambo Mbeya, Dominika ya Kristo Mfalme 2023. Hawa ndio wana wa #karibuwifi watu wa mastepu.
Rozari ya Kufungua Roho 50,000 Kutoka Toharani kwenda Mbinguni || Sala ya Mt. Getrude Mkuu
Просмотров 1,2 тыс.2 месяца назад
Hii ni sala ya pekee sana sana aliyotupatia Bwana Yesu Kristo kwa ajili ya kuendelea kuonesha upendo kwa wapendwa wetu waliotutangulia mbele ya haki. Unasali kwa wastani wa nusu dakika, halafu roho 1,000 wanatolewa toharani na kwenda kwenye furaha ya milele mbinguni. hii ni kazi nzuri ya faida sana. tuitumie sala hii. Ni sala fupi, na rahisi kuishika kichwani. "Mt. Padre Pio anasema "Tuipukutis...
USHUHUDA KUHUSU TOHARANI || Sehemu ya 2
Просмотров 3032 месяца назад
Tukimbilie maombezi ya watakatifu kwa ajili ya kuwaombea marehemu wa Toharani. Sehemu ya kwanza iko hewani angalia link kwenye sehemu ya maoni hapo.
Maua Yanavyomsifu Bikira Maria || Sehemu ya 2
Просмотров 3653 месяца назад
Maua Yanavyomsifu Bikira Maria || Sehemu ya 2
ALELUYA (Nakuabudu Yesu) G. KAYETA-VALERIANA & FRIENDS
Просмотров 4 тыс.3 месяца назад
ALELUYA (Nakuabudu Yesu) G. KAYETA-VALERIANA & FRIENDS
Njia 12 za kukusaidia Kuanza na kuimarika katika kusali Rozari Takatifu
Просмотров 9103 месяца назад
Njia 12 za kukusaidia Kuanza na kuimarika katika kusali Rozari Takatifu
Jinsi ya Kushika Matendo ya Rozari takatifu ya Fatima || Valeriana Simon
Просмотров 6623 месяца назад
Jinsi ya Kushika Matendo ya Rozari takatifu ya Fatima || Valeriana Simon
MAOMBI KWA MAKUNDI TISA YA MALAIKA
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
MAOMBI KWA MAKUNDI TISA YA MALAIKA
LITANIA YA MT. MIKAELI || Valeriana Mayagaya
Просмотров 2,1 тыс.4 месяца назад
LITANIA YA MT. MIKAELI || Valeriana Mayagaya
ROZARI YA MT. MIKAELI malaika mkuu || Valeriana Mayagaya
Просмотров 2,9 тыс.4 месяца назад
ROZARI YA MT. MIKAELI malaika mkuu || Valeriana Mayagaya
NJOO KWANGU || D. KALOLELA || Valeriana Mayagaya
Просмотров 14 тыс.4 месяца назад
NJOO KWANGU || D. KALOLELA || Valeriana Mayagaya
SALA MOJAWAPO YA SAA TISA ALASIRI || Valeriana Mayagaya
Просмотров 1,5 тыс.5 месяцев назад
SALA MOJAWAPO YA SAA TISA ALASIRI || Valeriana Mayagaya
NUKUU 20 ZA MISA TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
Просмотров 7365 месяцев назад
NUKUU 20 ZA MISA TAKATIFU || Valeriana Mayagaya
SALA KWA ROHO MTAKATIFU VALERIANA MAYAGAYA
Просмотров 2,9 тыс.6 месяцев назад
SALA KWA ROHO MTAKATIFU VALERIANA MAYAGAYA
Litania Damu Azizi ya Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
Просмотров 4,4 тыс.6 месяцев назад
Litania Damu Azizi ya Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
Sala kwa Kichwa Kitakatifu cha Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
Просмотров 2,7 тыс.6 месяцев назад
Sala kwa Kichwa Kitakatifu cha Yesu Kristo || Valeriana Mayagaya
NOVENA (Sala) ya Mt. Yuda Tadei, kukabiliana na shida kubwa || Valeriana Mayagaya
Просмотров 9 тыс.7 месяцев назад
NOVENA (Sala) ya Mt. Yuda Tadei, kukabiliana na shida kubwa || Valeriana Mayagaya
Litania ya Kuwaombea Mapadre Wote || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Просмотров 1,6 тыс.7 месяцев назад
Litania ya Kuwaombea Mapadre Wote || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Njia 8 za Kukua Katika Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu
Просмотров 1,1 тыс.7 месяцев назад
Njia 8 za Kukua Katika Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu
Sala ya Mt. Antoni wa Padua, kutafuta kilichopotea
Просмотров 2,4 тыс.7 месяцев назад
Sala ya Mt. Antoni wa Padua, kutafuta kilichopotea
Je, Wajua? (1) _ Kuhusu Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Просмотров 3217 месяцев назад
Je, Wajua? (1) _ Kuhusu Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya (MwanaSayuni)
Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya
Просмотров 2,1 тыс.7 месяцев назад
Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu || Valeriana Mayagaya
MAMA Maria Mama wa Rozari takatifu utuombee 🙏🙏🙏
Amina
Asante yesu
Asante kwa somo
Amen
Damu azizi ya bwana wetu yesu kristo nilinde
Asante sana
Mwalimu wangu wa rozari, nauliza mwanangu wa kike anapo Sali rozari je ni lazima nimnunulie kitambaa cheapest cha kuvaa kichwani?
Naomba uanze namba 1 ya ahadi ya Yesu 🙏
❤❤❤
Mama hapa umenichanga kwa mfano Nkianza kusaliii asubuhiii je nasali Kila baada ya Lisaaa au nasali Kila saaa
MUNGU NITUNZIE WAZAZI WANGU KAMA WALIVONITUNZA MIMI AMEN 🙏
❤❤❤❤❤❤
Amen.nifundishe gisi ya ku sali
Amin sana
❤
MUNGU akujaalie maisha marefu mama .🙏❤️
Kazi nzuri my sister
Hongera kipenzi changu
Asante sana
Amina
Mungu akutunze mama yangu kwazi nzuli sn
AMINA
Amina
Amina
Asante Yesu Asante Yesu Asante Yesu 🙏♥️
Amin sana
Amin sana
Amina
Mmependeza sana😊
Hongera sana mama❤
Nice song ongerani sana
Asante. Sifa kwa Yesu
Tumsifu yesu kristo
Hongera sana mpiga kayamba
@@Jimmsuva-be5dc ASANTE SANA
@Valerie365 Hakuna audio nyingine za mbingu za hubiri Dada
Mt yuda thadei nisaidie katika dhiki yangu ninakuomba Eeee Mt yuda thadei unisaidie
Hongera sana dada kwa uinjilishaji mzuri
Wimbo mzuri sana. Hongera sana dadangu
Hongera sana sister kazi nzuri mnoo
Amina...tuongezee imani Bwana
❤❤
Safi👏
Wimbo mzuri sana hongereni sana ❤🎉🎉🎉
Hongera sana Mama🎉🎉
So very beautiful song mtumishi Tunahitaji imani zaidi hata kidogo tu na matendo pia
Wimbo huu ni Sala na Tafakari nzuri sana
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏 Mungu Abalikie kazi yako nzuri yakusaidia wakristo kusali mara yapili
Waooo nice song..
Kazi nzuri sanaaa INJILI Bora sanaaa katika Imani
Hongereni sana .Kazi nzuri sanaa👏
❤❤🎉🎉
Kazi nzuri sana
Amina 🙏
Hakika Mungu tuongezeee Imani