Dr. Chris Mauki: Kwa kufanya haya, utakwepa mahusiano feki
HTML-код
- Опубликовано: 17 дек 2024
- Wengi wametumbukia kwenye mahusiano feki bila kujua na wamejikuta wanalia na kujuta tu. Unaepukaje uwezekano wa kujikuta kwenye mahusiano feki? Fanya mambo haya machache. Hutojutia
Wale wafuatiliaji na wasoma comment tujuane kwa like zenu hapa
Wakati unaenda kwenye Mahusiano usiache ubongo nyuma! Tumia Na akili pia. Asante Sana Doctor Chriss najifunza mengi Sana uzidi kubarikiwa
Asante Sana Dr kwa elimu nzuri
Asante Sana Mauki.. Mungu aendelee kukupa kipawa hicho cha kutuelimisha sisi vijana amee.
Daaaah asante dr.hakika unatuelimisha kwa mengi naomba Mungu niondokane na fake relationship
Mungu wa mbinguni akuweke maisha malefu mtumishi
Ww baba Mungu aendelee kukutumia unatusaidia sana.Nakupenda Mungu akubariki
Somo zuri sana asante brother
Nashukuru saana mkuu
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 umenifunza mengi!!!
Mungu ukuweke mdamrefuuu mtu muhimu
Ubarikiwe sana Dk. Chris
Imani, kitu muhimu sana. Wengine tunafeki hapa sababu tunaanini mweza Bora anapatikana nyumba ya ibada
Mungu ❤️ akupe maisha marefu 🎉
Ubarikiwe sana
Inakuaje mpaka mke na mme wanafunga ndoa je hawakjua kuwa maisha ubadilike
Ubarikiwe sana kwa Elimu Yako nzuri 👍
Asante Sana Dr Chris mauki♥️♥️
Kuhusu ndoa watu wengi huchukulia kama raisi sana kwa sababu
Moja,kupenda kurahisisha
Mbili,wengi hupenda kujua kazi na kipato
Kaka ubarkiwe sana nipo ktk uchumba nshkru somo limekuj mda mzr kbsa nitayafanyia kazi
Thanks muimusana sikujuahii saizi ndionaelewa itabidi nitumie njiahii
Najiandaa kwa ndoa, Hiki ni zaidi ya mwongozo kwa vijana. Nawahimiza zaidi vijana wenzangu tupate nakala hii utashukuru baadaye.
Well said Dr
Hongera sana Dctr
Asante sana
ys Mrc . Leo
Somo zuri
Asante sana dr
Big up Dr. Stay blessed
Asante sana kwa elimu hiii ila ndio nimenasa😂😂😂
Umesema ukweli
Hahah kwel kabsa mkuu , hapo inabid tueleww ma'an utajukuta unarud nyuma speed.
Nisaidie Niko tayari kwa mahusiano feki nifanyeje
Pole sana
Naomba namba yako kaka nikutafute privatw ili tuongee zaid ktk mambo yangu plzzz
Doctor mungu akuweke vyema unatufunza mengi ... kuna wakati mtu yuko na maswali ya kibinafsi atakupa aje ?niliomba namba saana sijapata
ndio lkn hakuna mwanamke Leo anayo hayo
Mm pia Kila siku napata mahusiano fake sijui ni bahat au nn 😅😅
🤔
Wanaume wengine wana utajiri feki yaani wa giza, wanatembea na mapanya buku kwenye engine za magari can you imagine, panya halali anaweza kusurvive kwenye engine?
Najiandaa kwa ndoa, nakipata kwa Bei gan?
Tunavipataje hivo.vitabu baba??
Kitabu naeza inapatikana Kenya?