HAYA GUSA TUZO TUISHANE UTACHEKA NDARO NA STEVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 219

  • @ndarotz742
    @ndarotz742  Год назад +162

    ASANTENI SANA MASHABIKI ZANGU BILA NYINYI NISINGEPATA TUZO HII🤏😎ENDELEENI KUNISUPPORT KAZI YANGU NIKUWACHEKESHA TU

    • @officialAlAbdul
      @officialAlAbdul Год назад +6

      Ndaro m nakushauri kitu japo we saii uneshajulikana jarbu kueka content fupi sio ndefu sana alafu aichekeshi inakosa lada ya kurudia

    • @macklineremmanuel1742
      @macklineremmanuel1742 Год назад +2

      Na sisi tutacheka mpaka upate na nyingine na nyingine na nyingine+ ndio Furaha yetu Kiongozi

    • @epimakkimario5056
      @epimakkimario5056 Год назад

      Pamoja kaka

    • @Faustin27
      @Faustin27 Год назад

      Niko fan wako napatikana katika inchi ya marekani

    • @PirfaImanipirfa
      @PirfaImanipirfa Год назад +1

      Okay, bwana mkubwa yaani ongeza sana vya kuchekesha

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 Год назад +18

    Walomuelewa ndaro kama katuonesha tuzo mashabiki wake nyoosha mkono😂...
    Hongera ndaro tz

  • @JanethAnania-w3s
    @JanethAnania-w3s 8 месяцев назад +4

    Nakukubali ndalo muha mwenzangu ❤❤❤❤❤

  • @emanuelymittango3741
    @emanuelymittango3741 Год назад +7

    Ila ndaro na stivu mmekutana mnalinganisha akili🤣🤣🤣❤❤

  • @Felixndelwa
    @Felixndelwa Год назад +5

    Nawakubali sana nyie ndo wachekeshaj Bora kwa Sasa tz

  • @NyagahKolloh-zu2ng
    @NyagahKolloh-zu2ng Год назад +7

    Hii ndio nilikua nangoja wallai imeweza

  • @msafirimatwajo3891
    @msafirimatwajo3891 Год назад

    Steve. Vs. ndaro nyie ni namba 1 tz commedian

  • @Samuelassumani-ub1qm
    @Samuelassumani-ub1qm Год назад +8

    haaaa 😂😂😂 ndaro ndaro ndaro ndaro ndaro mkali mkali mkali

  • @nguranoelias1019
    @nguranoelias1019 Год назад +9

    Mnaupiga mwingiii kaka 😂😂😂😂😂

  • @asmaarashid2890
    @asmaarashid2890 Год назад +4

    Lana nyoko limegoma kuwaka🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣stive wewe

  • @allexisaya6590
    @allexisaya6590 Год назад +4

    Hongera sana brother Ndaro umetisha kinoma noma pambana kaka

  • @Rajab-Raj
    @Rajab-Raj Год назад +6

    Vina mdaa...😂😂😂😂😂

  • @2116-n
    @2116-n Год назад +7

    6:44 steve alijikuta tu amechekeshwa seriously ndani ya scene, Ndaro aliposema waarabu wa sudan😂😂😂

  • @doreenngatha7771
    @doreenngatha7771 Год назад +10

    From Kenya....ndaro unaongeanga ukiwa serious kweli... Nakupenda bure❤❤

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +9

    🤣🤣🤣🤣🤣Hongera Sana wakwetu Ndarooo nawakubali Sana wewe na Steve mweusi 🙌🏼😂😂😂

  • @chuseboy
    @chuseboy Год назад +7

    Waleteeee stev vs ndaro oyaaa nyie watu sio poa mnatuzingua Sana kitaa😂😂😂😂😂😂

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 Год назад +5

    Nawakubal kinoma wanang ✌️✌️

  • @jovinusbuberwa641
    @jovinusbuberwa641 Год назад +22

    Wakwanzaa kbsa nipeni likes zangu

  • @tediciousndunguru1283
    @tediciousndunguru1283 Год назад +4

    Unyama mwanng WA K G

  • @amaniartsgroup4403
    @amaniartsgroup4403 Год назад +2

    very clean mr ndaro tz fight a lot daah I have accepted this video

  • @rahemomary
    @rahemomary Год назад +3

    Daaah! 😂😂😂 ntakuja kuninyofoa mbavu 🙌🙌

  • @goldenyzacks3566
    @goldenyzacks3566 Год назад +1

    Et Mungu wee nipe uvumilivu me takiua🤣🤣🤣🤣

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge Год назад +3

    Yaaani ndaro Eti una zalilisha kipara😂😂😂

  • @QeenRose-y4z
    @QeenRose-y4z 6 месяцев назад

    Safi sana ndaro, 😂😂😂haya tumeona tuzo ya dubai😅😅😅

  • @DanielChankwa-cc4ns
    @DanielChankwa-cc4ns Год назад +5

    We Mha mambo ni fire

  • @princejobic9036
    @princejobic9036 Год назад +1

    Ahh haa kumekucha... si ndaro yule

  • @zenahbayeh7371
    @zenahbayeh7371 Год назад +2

    Ati nitakupiga kipara 😅😅😅😅😅😅😅

  • @macsam
    @macsam Год назад +3

    Steve uwe unasoma hiyo juice inatakiwa utikise kabla ya kunywa 😂😂😂😂😂

  • @dicksonmadauda508
    @dicksonmadauda508 Год назад

    Mjeshi kikofia 💪💪💪💪💪💪💪 nakubali jembe langu

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 10 месяцев назад

    Dah ndaro hii umetisha kinoma sana bro Dah😅😅😂😂😂😂

  • @khadijatanzania7817
    @khadijatanzania7817 Год назад +1

    😂😂،،، 😂😂😂unavituko nyieee

  • @reinnemsambya3414
    @reinnemsambya3414 Год назад +10

    Congratulations i know Tanzania it will be the best for every day, i want to give you the new name (Mr T ndaro)❤

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 Год назад

    Acha nicoment zifike mia moja 99 haipendezi 😂😂😂

  • @TygahLupha
    @TygahLupha Год назад +2

    Nenda Shuleee😅😅

  • @Ronicakeddy_254.
    @Ronicakeddy_254. Год назад +1

    In kenya We love you mwalimu ndaro ❤❤

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr Год назад +2

    Hii kombania harare😂😂

  • @IssaothmanSliman
    @IssaothmanSliman Год назад

    Umetishaass mwamba ndarooooooooo

  • @OngaroJM
    @OngaroJM Год назад +6

    Congratulations bro 🎉 Top fan 254

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂mmekutana

  • @foxfocas
    @foxfocas Год назад +2

    Nawakubali kaka

  • @KeviniteTinchwa-ke7rq
    @KeviniteTinchwa-ke7rq Год назад

    Hongera sana ni kevinite hapa nakupa bigap

  • @Mzuritvonline
    @Mzuritvonline Год назад +2

    pita na kwangu uone vichekesho vyangu

  • @athumanidaudi2826
    @athumanidaudi2826 Год назад +3

    Hawa ni 🔥🔥🔥

  • @mrkane8boy866
    @mrkane8boy866 Год назад +3

    Love you from Rwanda❤❤ 🇬🇦🇬🇦

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 12 дней назад

    Ila nyie hawa akili zao.🤣🤣🤣🤣🤣🙌

  • @TygahLupha
    @TygahLupha Год назад +2

    Biscuits za Kushiba 🤣

  • @josphatmutua8808
    @josphatmutua8808 Год назад +8

    Wakwanza kabisa nipeni likes zangu

  • @essromeadonias1685
    @essromeadonias1685 Год назад +7

    Wa kwanza Leo like zangu tafadhali

  • @DJ_Triky
    @DJ_Triky Год назад

    Akumenyee wewe umesikia hii kalanga😂😂

  • @selaAugustin
    @selaAugustin 9 месяцев назад

    Mbona unazalilisha kipara ndaro 😂😂😂😂😂😂

  • @macsam
    @macsam Год назад +2

    Sema director kuna kipande unaonekana kwenye kioo cha friji makosa hayo

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 Год назад

    😅😅😅 mama'e eti wengine tumewaandikisha majina kwa wewe hapana

  • @babakoog1
    @babakoog1 Год назад +2

    Gusa tunzo tumalizane 🤣

  • @denotheactor
    @denotheactor Год назад +3

    Mmmm 🥰 nice content

  • @mariajoel6359
    @mariajoel6359 Год назад

    Hongera sana tunaipenda kazi yako❤😂

  • @macklineremmanuel1742
    @macklineremmanuel1742 Год назад +2

    S.N group nawaona kwenye ubora wenu nafrahi endeleeni kushusha materials

  • @pascalmagaba7255
    @pascalmagaba7255 Год назад +2

    Hata haya mang'ombe hayana akili twende tukagusishe wenye akili

  • @Agiza24hours-cp8vl
    @Agiza24hours-cp8vl Год назад

    Jinsi viongozi wa Africa Wanavyodanganywa ndo ivi😂😂😂

  • @iddmohamed8179
    @iddmohamed8179 Год назад

    we ni bonge la mchekeshaji hapa taz hasa mkiwa na steve mnatisha sanaaa

  • @ezzotyger5756
    @ezzotyger5756 Год назад +1

    we jamaa n mwehu

  • @titusjuniort.j3026
    @titusjuniort.j3026 Год назад +1

    Ndaro nfikishieni 100k subscribers

  • @AdrienabediMpg
    @AdrienabediMpg Год назад

    Poa kk nafurai sana
    Fro d,r,c 🇨🇩

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani349 Год назад +12

    One love from Kenya 🇰🇪🤣🤣🤣

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 Год назад +6

    Naomben like leo dondosha like kama umefungua hii

  • @EricNdihokubwayo-p3r
    @EricNdihokubwayo-p3r Год назад

    😂😂😂😂😂😂 nabapendaga sana

  • @AsheryandreaAsheryandrea
    @AsheryandreaAsheryandrea Год назад +7

    Naomben like na Mimi jamani

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 Год назад

    Hahahahahahahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂tunzo itatutoaaa roho😂

  • @Oscarokran8133
    @Oscarokran8133 Год назад +2

    Wakanza leo nipen like ndan ya. Second 15

  • @kijanaWaMamaBhajia
    @kijanaWaMamaBhajia Год назад

    Zidi kujituma kaka❤

  • @Ramjane_OG
    @Ramjane_OG Год назад +2

    home boy ndaro❤🔥🔥🔥

  • @ramadanwario9960
    @ramadanwario9960 Год назад +2

    Congratulations ndaro go ahead

  • @LinaKinia
    @LinaKinia Год назад +1

    from Kenya we love it ❤❤

  • @shabiluiddy-xx9dt
    @shabiluiddy-xx9dt Год назад +3

    ndaro nashida nauyo kidoti nataka nionane

    • @frankvianey2438
      @frankvianey2438 Год назад

      Sio wewe tu,huyu bint ni wa kipekee sana sijui kwa nini watu hawajanote tu

    • @2116-n
      @2116-n Год назад

      Acha umalayaaaa😂😂😂😂

  • @samsonjohn9482
    @samsonjohn9482 Год назад +3

    naomben like bac

  • @shabanrashidy9556
    @shabanrashidy9556 Год назад +2

    nipe uvumilivu

  • @pitbullfamily4499
    @pitbullfamily4499 Год назад

    🤦🏾😂🤣😁wallahi mweye nihatari

  • @PaskalinaTimotheo
    @PaskalinaTimotheo 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤ mawapemda sana jamn. Ndaro na stiv❤❤

  • @shugunderitu8999
    @shugunderitu8999 Год назад

    Hawa ningewapiga makofi😂😂😂

  • @NevesAmisse
    @NevesAmisse Год назад +2

    Mumeuwa sana🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @SlyiviaPhilomena
    @SlyiviaPhilomena 4 месяца назад

    Hongereni sana❤❤❤

  • @ernestchaulema226
    @ernestchaulema226 Год назад +2

    Since day one ✍️

  • @RoseNasambu-z4e
    @RoseNasambu-z4e 10 месяцев назад

    Nawapenda sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @Honest-nt4sb
    @Honest-nt4sb 8 месяцев назад

    Hongera ndaro❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @aloneboy12803
    @aloneboy12803 Год назад +1

    Babu harus comedy nawaunga mkono

  • @mussamageme2748
    @mussamageme2748 Год назад +2

    Steve😅😅😅❤

  • @milimomsemakweli9478
    @milimomsemakweli9478 Год назад

    Nimependa kutoka marekani na wakubali wasa ndaro na Steve mweusi

  • @MariyoAbdi-g4z
    @MariyoAbdi-g4z 9 месяцев назад

    Eti unazalalisha kipara 😅😅

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 Год назад

    Kazi ni kazi 💯💯💯

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 Год назад +2

    ILA HAWA MBWA WAMEKUTANA YANI WOTE VICHWA MAJI

  • @HarryMlay-dw6tg
    @HarryMlay-dw6tg Год назад

    Jamani nawakubalii mungu awalinde kila cku

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Год назад

    😂😂😂😂😂😂vivunja riski

  • @TumainiDominiki-bt4kf
    @TumainiDominiki-bt4kf Год назад +3

    Hakik sin mbavuuuu!!!!!

  • @BivanyTV
    @BivanyTV Год назад +1

    Ongera blood

  • @SelemanAmad
    @SelemanAmad 5 месяцев назад

    Daaa oyaaa Steve anafulahisha kwanyayo

  • @DeziImindey
    @DeziImindey Год назад

    Thank you, I love you very much, you are strong, I am very happy to come out 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤❤

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 Год назад +2

    Me nachek a na ni nachekaga tu.

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 Год назад +1

    Hatari

  • @AishaAlly-j8e
    @AishaAlly-j8e 5 месяцев назад

    Ila nyie😂😂

  • @JacobDamson-q6y
    @JacobDamson-q6y 4 месяца назад

    Da 2ndaro vp kamanda

  • @amaizinggracious8876
    @amaizinggracious8876 Год назад +1

    Stivu hadi katukana et laana****