KIHEREHERE CHAWAPONZA NDARO NA STEVE MWEUSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 337

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +31

    Huyu Dada anaye wachamba akina Steve mweusi na Ndarooo nampenda Sana. Anachamba hatariii tokea kule mkojo wa ngedere

  • @mercynamalwa
    @mercynamalwa Год назад +16

    One love from kenya. Eee ndevu kama kifagio cha jelaa weee😂😂😂msininyime like team strong

  • @alfredkasololo5242
    @alfredkasololo5242 Год назад +8

    Huyu mwana dada anayeitwa Tatu ni "kiboko yao" kweli.😂😂😂Tatu na ndo Tatu !!!❤️🇨🇩

  • @berthamavere5671
    @berthamavere5671 Год назад +29

    Waoooo! Nimefurahi sana kumuona Tatu Kipepe🔥🔥🔥 Rudi kwenye game mama tumekumiss😭😭😭😭😭 LEO AKINA STEVE WAMEINGIA CHA KIKE, ETI PUA KAMA BUTI LA JEJE🤣🤣🤣

  • @bellabelle1593
    @bellabelle1593 Год назад +13

    Duniani una tafutwa ahera haupo wupo wapi😂😂😂😂❤❤❤

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani349 Год назад +32

    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪😅😅😅

  • @venaciokariuki4552
    @venaciokariuki4552 Год назад +12

    😂😂😂😂😂😂😂😂 napenda hiyo combination ya Steve na Ndaro 😂😂😂😂😂😂 humu Kenya hatuachi kucheka banaaaa 😂😂😂😅

  • @AbdallahBakari-mp6te
    @AbdallahBakari-mp6te Год назад +7

    Ndaro huyu dada nimecheka san mzee baba mumechabwa 😂😂😂😂

  • @layannalcis4789
    @layannalcis4789 Год назад +3

    Mwanamke ngedele c ndo huyu dada hatimae amekua😂😂😂

  • @rayvannychui1409
    @rayvannychui1409 Год назад +7

    Hapomwishon pamefanya ninicheke sana👑👑👑👑👑

  • @fabienDC8431
    @fabienDC8431 Год назад +44

    Haya sasa nipeni like. Hoya Stevu ee ndemwa,mkuranga unapajuwa wewe?

  • @DavKin-f9p
    @DavKin-f9p Год назад +7

    Leo nmekuwa wa kwanza kukomentent daah awa majamaa nawakubal atar

  • @jabbydux
    @jabbydux Год назад +4

    Huyu mdada mtafutieni yule mwanetu muuza sumu za panya! 😄 🤣

    • @jamessamwel9456
      @jamessamwel9456 Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂 Yule wa sumu ya panya ni cherehanipro max

    • @jabbydux
      @jabbydux Год назад

      @@jamessamwel9456 😄 🤣 Nadhani yule ndo kiboko yake

    • @FaustiniJoseph-xk1sr
      @FaustiniJoseph-xk1sr Год назад

      😂😂😂

  • @memsiigaufe9225
    @memsiigaufe9225 Год назад +10

    😂😂😂😂😂😂😂ndaro amepatikana 🇧🇮😂

  • @Barry.ginger
    @Barry.ginger Год назад +3

    🤣🤣uyo. Dada. Hajui kitu. Apo mmefel👊🥰

  • @dr-stevenson
    @dr-stevenson Год назад +5

    Leo Steve kimekulamba. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 very nice

  • @bashiriwilliam5982
    @bashiriwilliam5982 Год назад +4

    Huyu dada tumkutanishe na Yombo Msukuma...🤣🤣

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 Год назад

      😅😅😅😅kabisa inabid akutqnishwe na yombooo 😅😅

    • @SALOMEJACOB-i4z
      @SALOMEJACOB-i4z 6 месяцев назад

      Kabisa

  • @getsanyaledy8608
    @getsanyaledy8608 Год назад +8

    Ndaro na stev ujanjawenu wote leo mmekutaniza

  • @aizakali2797
    @aizakali2797 Год назад +2

    Ndaro leo mumeyakanyagaa mumempata Hadija kibinuuu anawasha moto😁😁😁😁😁😁

  • @jacquesmulalirya1704
    @jacquesmulalirya1704 Год назад +4

    Ndaro ume yakanyaga leo😂😂one love ❤️ from congo 🇨🇩

  • @dr-stevenson
    @dr-stevenson Год назад +2

    Steve naona umepata dawa yako... watching from UK.... good work...The lady keep it up.

  • @johmziwanda985
    @johmziwanda985 Год назад +2

    Oya Steve na Ndaro,hizo pisi mnazooigiza nazo mnazitoleaga wp? 🙌🙌🙌 kmmke hamuna pisi mbovu wazee🤓🤓🤓

  • @joseealexislenguumeni18
    @joseealexislenguumeni18 Год назад +3

    Ndevu kama ni kifagio ya jela😂😂😂😂jamani watanzania mnipe msichana moja wa kuoa bana...niko tu hapa Nairobi Kenya😂

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 Год назад +2

    Daaaaah hiii bufaa mliko itoa Aseee na inapiga 2 in 1😃😃😃😃😃🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Год назад +4

    Uyu dada wamemu estare emo sabufaa anaongea sna 😂😂

  • @AllieOchu2395
    @AllieOchu2395 Год назад +4

    Hahaha mpak steve unaielew kazi ya AZUMA

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 Год назад +2

    Sina lakusema bora nicheje kakizaa watoto niwehu 😂😂😂😂😂

  • @africanfilmstz8765
    @africanfilmstz8765 Год назад +4

    Nimecheka sana hapo mwishoni eti TATU UTALIA 😂😂😂😂

    • @ndayisengaamissi6102
      @ndayisengaamissi6102 Год назад

      Steve ndo kaniacha hoi " eti ukiskia Maokoto aka ndo kaokoto kwenyewe." Eti NADARO umekatoa wapi?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @africanfilmstz8765
      @africanfilmstz8765 Год назад

      @@ndayisengaamissi6102 😁😁😁

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 Год назад +5

    Hahahaha Huyu Demu Asije Kwetu 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 Год назад

      Alija mtahqmaaa dadeq😅😅😅

  • @JojoAhishakiye
    @JojoAhishakiye 3 месяца назад

    Eeee nimwanamke au redio😂😂😂😂

  • @blandinamussa7941
    @blandinamussa7941 Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂mmenitanya nicheke mwenyewe kama mjinga

  • @iddjuma2206
    @iddjuma2206 Год назад +1

    Ndaro huyo demu Yuko sawa mrembo aitwa nani tumempenda vile ana acti nko Mombasa Kenya

  • @djzygote349
    @djzygote349 Год назад +4

    Ndaro usinisukutue 🤣🤣🤣 mm sielewi

  • @ChampionDac
    @ChampionDac Год назад +1

    Ulimkutaaa wapiiiiii huyoo xixter mbn ivoooo kaka stivee usimwachieeee aleteee burudaniiiiiii

  • @SelemaniIddy-nc1n
    @SelemaniIddy-nc1n 7 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂 leo wameyatimba 😂😂😂😂😂😂

  • @BenjaminnyenyeziDieuveut
    @BenjaminnyenyeziDieuveut 6 месяцев назад +1

    😂😂😂 stivu dem kakuzima

  • @SamsonMabena-u1o
    @SamsonMabena-u1o Год назад +2

    Maini ipo mahala pake bandama ipo mahala pake 😂Ndalo na stive mmekutana na mdada wamoto 😂😂

  • @alidubo9
    @alidubo9 Год назад +10

    One love❤ from Kenya 🇰🇪

  • @IssaothmanSliman
    @IssaothmanSliman Год назад +1

    Mumetisha saaaaana ndaroooooooo mwambasssaaass

  • @tommyokillah
    @tommyokillah Год назад +6

    Steve na ndaro wamepatikana kweli😂😂 8:11

  • @jennifermusau597
    @jennifermusau597 Год назад +1

    😂😂😂😂 huyu dada noma 😂😂 i like her big up Mama 💕

  • @faustinkabene971
    @faustinkabene971 Год назад +1

    Mmepata leo 😂😂😂😂😂😂😂😂 wa miake yenu ndaro na styve

  • @LEBLUECLUBSHOW100Chelsea-gw3oo
    @LEBLUECLUBSHOW100Chelsea-gw3oo Год назад +1

    Ndaro and steve u are thé best compilation Watch from senegal

  • @KanyasiTumba
    @KanyasiTumba 11 месяцев назад +1

    Uyo dada njo ndaweza ku pendana naye napenda wadada kama hao, mimi niko South Africa 🇿🇦 napenda comely zako.

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel3876 Год назад +3

    Daaaah huyu mdada leo kawaweza🙌😂😂😂

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 Год назад +1

    Leo mmeyakanyaga Steve na ndaro😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GladnessMwanguku
    @GladnessMwanguku 7 месяцев назад +1

    Pua kama Buti la jeje 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramadanwario9960
    @ramadanwario9960 Год назад +1

    Uyu dada ni Kali paranawe😂😂😂😂

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 Год назад +2

    Yaani Steve na Ndaro hamna akili,hv kweli huyo mwanamke niwakuoa kweli😂😂😂 leo mumepatikana.

  • @pascalbaya1399
    @pascalbaya1399 Год назад +2

    Uyu dada kiboko yake eliudiiiii😂😂😂

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 Год назад +1

    Ila uyo dada anaongea Sana nampenda 😂😂😂😂😅😊

  • @hariidejunior3394
    @hariidejunior3394 6 месяцев назад +1

    Wueh huyu dame tawe,, love from Kenya 🇰🇪😂😂😂😂

  • @nelsongabriel6324
    @nelsongabriel6324 Год назад +4

    Azuma tena 😂😂😂😂

  • @LydiaToo-y1z
    @LydiaToo-y1z 3 месяца назад

    Aki leo nimecheka kweli uyu dada aki😂😂😂

  • @zawadihaji2822
    @zawadihaji2822 Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂 kimeumana ndoa tena

  • @RehemaSeif-e8i
    @RehemaSeif-e8i 4 месяца назад +1

    Nakupenda tatu❤

  • @ZigachanebalikunoDiortz-nc2ux
    @ZigachanebalikunoDiortz-nc2ux Год назад +11

    Wakwaza kukometi ndoro munipe likezagu. 😅😢 Ndoro hhhh

  • @MagrethJacob
    @MagrethJacob Год назад +1

    Hahahahaahahaaa jmn huyu dada ana mdomo eti mfupi kama line ya kukata

  • @jacklineyaa717
    @jacklineyaa717 Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pua Kama buti la jeje Steve na ndaro mumepatikana

  • @AnnaMtika
    @AnnaMtika 12 дней назад

    Daaaahh huyu ndyo tatu mzuka kweli.😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @deonatusyokta3579
    @deonatusyokta3579 Год назад +3

    Ndaro kayakanyaga😂😂😂😂

  • @magretndinda1455
    @magretndinda1455 Год назад +1

    Steve nataka unielezee kuhusu hamadi kijicho😂😂😂😂😂

  • @bonniestephen4313
    @bonniestephen4313 Год назад +3

    big up wakuu from kenya

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia Год назад +2

    Mbavu zangu ndaro na Steve 😂😂😂

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Год назад +1

    Huyu dada alikuwa wapi jaman 😂😂😂😂

  • @ashaomary5558
    @ashaomary5558 Год назад +2

    Nicheka mno jamani😢😢😢😢

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 Год назад +1

    Tatuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wageniii wa tatuuuu mmeyakanyagaaaaa😂😂😂😂

  • @agapemboya6664
    @agapemboya6664 7 месяцев назад

    Daaah eti ndevu kama fagio la jera ila uyu dada jamn😂😂😂😂😂😂ananikaush uzazi na mie

  • @Mubarakaashim
    @Mubarakaashim 7 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 havitoki mbali

  • @mbarukuabdallah2891
    @mbarukuabdallah2891 Год назад +2

    Weusi kama usiku wa mabalaa 😂😂😂

  • @LiisonOg-cp1dw
    @LiisonOg-cp1dw Год назад +1

    Uyo dem noma nimempenda bure anaongea

  • @rulebudodo2301
    @rulebudodo2301 3 месяца назад

    Ndaro “Steve kaniletee azuma”🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @DavidLucas-ou7vp
    @DavidLucas-ou7vp Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂huyu dada Steve umemtoa wapi?ananivunja mbavu

  • @halima2382
    @halima2382 4 месяца назад

    🤣🤣🤣ndaro na steve hawakupata la kusema tatu yuwasema ht hamezi mate nakupenda tatu duuh hatari 🤣🤣🤣

  • @GladnessMwanguku
    @GladnessMwanguku 7 месяцев назад +1

    Uyu dada anaechamba kafanana na riyama adi sauti mnaoona kama mimi nipeni like zangu basi

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Год назад +3

    😂😂😂😂dada hatari sana.

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 Год назад +1

    Ukisikia maokotooooo😄😄🔥

  • @RajabRwanosi-bt3ep
    @RajabRwanosi-bt3ep Год назад +1

    Leo mume yakuta ndaro na stive😂😂😂😂😂

  • @abdulkareemvitari610
    @abdulkareemvitari610 Год назад +1

    Etishepu kasaaniabati duh😂😂😂😂

  • @bensonashery2360
    @bensonashery2360 6 месяцев назад

    Ndaro ety ndevu kama.kifagio cha jera 😂😂😂😂😂😂😊

  • @michaeljm730
    @michaeljm730 Год назад +3

    Atariiii sana ✅✅✅✅🎤 ✅ w

  • @inviolatahnyakoa6167
    @inviolatahnyakoa6167 Год назад +1

    😂😂😂😂ila ndaro na steve nani kawaeka pamoja

  • @AtufigwegeMwakalibule-pv3nv
    @AtufigwegeMwakalibule-pv3nv Год назад

    Kaka ndalo dah na stivu 😂😂😂😂

  • @SummerClass-lp5ox
    @SummerClass-lp5ox Год назад

    Mnatisha sana nataka mje muigize kwenye kibesikel cha ice cream hapa tanesco

  • @YvonnePriya
    @YvonnePriya Год назад

    ❤❤❤❤❤❤ dhaaaa! mumechezea poa ongereeni kabisa

  • @erastowisdom969
    @erastowisdom969 Год назад +2

    Ndaro hiii imeendaa kabsaaaa huyu dada kiboko ya sele

  • @ANKOZUBERI881
    @ANKOZUBERI881 Год назад +6

    nimekuwa msukuma handsome boy kuangalia video zenu mbwa nyie 😂😂😂

  • @NkeshimanBarton-dk7zk
    @NkeshimanBarton-dk7zk Год назад +2

    Hii kali kuliko zote

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 Год назад +2

    Eti sanjari na hayo😂😂😂😂maokoto, Steve kenge sana huyu

  • @officialsonnyb9676
    @officialsonnyb9676 Год назад +1

    Kimeumanaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @EvwisleyIsinta0759302010
    @EvwisleyIsinta0759302010 Год назад +6

    From Kenya tunawapenda❤❤❤

  • @victorkobobiojuwang5149
    @victorkobobiojuwang5149 Год назад +2

    😅😅 Mtot mapepe Sana

  • @olenkalamba6879
    @olenkalamba6879 Год назад +3

    🤣🤣🤣🤣 imecheka qumamakeeee

  • @SimonMunyika
    @SimonMunyika Год назад +1

    Huyo mama Ana kipaji Cha kuongea

  • @yachriskambale3474
    @yachriskambale3474 Год назад

    Léo stuve n'a ndaro wame yakanyaga ❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jeanclaudekamanzi9678
    @jeanclaudekamanzi9678 Год назад

    Duh ! Mtoto mdogo ilaa kajaliwa mdomo!! Anachamba sikitoto anaonekana hajakalili mistari inashuka yenyewe . Mswahilina haswa doh hadi ndaro & mweusi wameishiwa maneno kimyaaa

  • @macklineremmanuel1742
    @macklineremmanuel1742 Год назад +1

    Ndaro na Steve hakwamiii😜😜

  • @AlphasinAkure
    @AlphasinAkure 4 месяца назад

    Leo ndalo anachambuliwa😅😅

  • @edinaalex6876
    @edinaalex6876 Год назад

    Jaman huyu dada yupo vzr sanaaa nawapenda buree ndaro&steve

  • @kusasiraarthur2764
    @kusasiraarthur2764 Год назад +3

    😂😂😂 much love from 🇺🇬